Steve wee ndo the best comedy in tanzania umeuwa mwana mungu akuzidishie yaan si kwa kutupea fulaha jamn ila wee na ndalo mukipatana ndipo atalii san😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂nmecheka nyie kwa kweri😂😂😂😂😂😂😂😂
Kufikiya mwanamuke akupende kaka yangu ndaro nikukuwanamwenendo muzuri piya umuheshimu hatakama nimwanamuke asante kwa film yenyu Niko mukongomani ila naisho marekani
Oya ndaro umetisha sana umechekesha kwa vitendo tu alafu noma uku steve yeye akiongeza utamu kwakuongea bonge moja la combination nimependa sana ulivyokua unasafisha gari atari sana nimecheka
Ndaro umekwangua lini hiyo line body ya gari ya chinii tenaa...?? Nenda kaweke spacer gari inyanyuke juu kidogo iko chini sana utaharibu mabamper na line body hizooo
Ningependa nibadirishe uzalendo. Nisiitwe murundi tena ila mtanzania maana napenda kitu chochote kuhusu Tanzania. Mnifanikishe sasa nije niishi huko miaka yangu yote ya maisha. Hata Kiswahili nishajifunza na nakiongea kama mtanzania