Тёмный

CHIEF GODLOVE,APANIA KUFUNGUA KANISA LAKE LA KUHUBIRI MAFANIKIO NA KUPINGA UMASIKINI 

BONGO 24
Подписаться 127 тыс.
Просмотров 18 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 40   
@agentchidisautimbaya2141
@agentchidisautimbaya2141 2 месяца назад
Daaaah kila nikiwaangalia walinzi wa godlove nakumbuka mbali nimecheza nao sana kamali aiseee
@VickMatee
@VickMatee Месяц назад
Mimi ni mmoja was waumini,,,aminaaa 4
@PaulMerick-dy6qo
@PaulMerick-dy6qo Месяц назад
Pole mwaya
@LeonardSikazwe
@LeonardSikazwe Месяц назад
Kalibu ufe nakuonya usimtaje mungu 10:10
@TajewuoMoseka
@TajewuoMoseka 2 месяца назад
Chief hiyo kanisa ni ya chakula au ni ya neno la mungu mungu hadhiakiwa
@Aminmwansile-we8vn
@Aminmwansile-we8vn 10 дней назад
Watanzania bahati mbaya uelewa ni mdogo tunaamini sana uwongo kuliko ukweli
@jeremiahcharles6027
@jeremiahcharles6027 2 месяца назад
Upuuzi tu😂😂😂
@PeterSaqware
@PeterSaqware 2 месяца назад
Ukisikia YESU hatajiwi jiongeze
@RamadhaniYahayamshihri
@RamadhaniYahayamshihri 2 месяца назад
Pesa pesa tuu hawa washamba kk chifu achana nao hawo
@BarakaKayuni-c6f
@BarakaKayuni-c6f Месяц назад
Habali
@josepheriah5977
@josepheriah5977 Месяц назад
Sawa na uk
@PaulMerick-dy6qo
@PaulMerick-dy6qo Месяц назад
Huku lazima ufe godlove
@VickMatee
@VickMatee Месяц назад
Mimi mmoja wapo was waumini
@ISSACKRICHARD
@ISSACKRICHARD 2 месяца назад
Ukifunguwa kabisa umeenda Mzee mazombi ni mengi 😂😂😂😂😂😂 apo kwenye kanisa shikilia utapiga elaaa
@jumaotieno1299
@jumaotieno1299 Месяц назад
Dogo anajitahidi kuongea kwa kujiamini, ila yule baunsa nyuma ana sura ngumu daaa!!!
@jamessimbaire3016
@jamessimbaire3016 2 месяца назад
Yani kwa yule mwenye akili timamu huwezi msikiliza huyu jamaaa
@erickjosephat863
@erickjosephat863 2 месяца назад
"Nimepakaa mafuta ya million" 🙆‍♀️🙆‍♀️
@MabulaJelly
@MabulaJelly 2 месяца назад
Kanisani tunafata neno la MUNGU sio kula tunashiba neno
@oscarkalihamwe1621
@oscarkalihamwe1621 Месяц назад
Mwisho wa Dunia is near please!!! Come to Jesus Guys hata sodoma na gomnorrah walipona wanne tuu. Please and please Jesus is looking u to kneel down to him will be saved
@zachariamakoba8368
@zachariamakoba8368 2 месяца назад
Mtakuja na njia nyingi xn, nyinyi xana, ili kuwaoteza maboya wenye loho mtakatifu wa Mungu tunaijua hii😏😏😏
@KenethTuruka
@KenethTuruka 2 месяца назад
Hakuna kitu hapo wakala washetani uyo
@jumaotieno1299
@jumaotieno1299 Месяц назад
Hao walinzi wako unawapea bei kwa siku? Mbn wanaonekana wana njaa!!??
@Kuminamoja1995
@Kuminamoja1995 2 месяца назад
Likiwa kanisa la waumini ili wapewe pesa ni sawa lkn sio waumini kutoa sadaka?
@jacksule7557
@jacksule7557 2 месяца назад
Anazo ss
@habilahabdullah3941
@habilahabdullah3941 2 месяца назад
Yule baunsa kule nyuma ile sura
@DJINNOSSBTZ
@DJINNOSSBTZ 2 месяца назад
Yule anasubili alipwe maisha yaende ila msg ya jamaa haielewi kabisa😂
@venasbinguyeko9364
@venasbinguyeko9364 2 месяца назад
Mtambue majira na nyakati
@SalimRajabu-zn6ib
@SalimRajabu-zn6ib 2 месяца назад
Unachukua pesa kwenye group kisha unawaremov
@sisimizitv2020
@sisimizitv2020 2 месяца назад
Pesa ni pesa
@brysonuronu5862
@brysonuronu5862 Месяц назад
Unapotea
@RiyamaAbibu889
@RiyamaAbibu889 2 месяца назад
Naogopa idunia tunaenda wapi😂
@ngubadunia5879
@ngubadunia5879 2 месяца назад
Njo umeamuwa ili utobowe zaidi ufanye mazabau ili utowe kafara nyingi
@barikilangoy4737
@barikilangoy4737 2 месяца назад
Msaidie kwanza huyo mlinzi wako
@hamisimkoma7380
@hamisimkoma7380 2 месяца назад
Hahahah kwa ishu ya kanisa hapo utapiga hela kwa kuwa wakristo ni mbulula vibaya mno kwa kuwa wanafuata maneno ya wachungaji na sio maandiko ya injili
@BensonEvaristo
@BensonEvaristo 2 месяца назад
Chif huko kwenye kanisa unaenda kupotea usicheze na mungu kaka utapotea
@FatumaKibona-zs9uq
@FatumaKibona-zs9uq 2 месяца назад
Chifu 😅😅😅😅 unatowa neno na chakula
@peterngichabe270
@peterngichabe270 2 месяца назад
I wish people know what this guy is talking about...
@NicholausKalolo
@NicholausKalolo 2 месяца назад
uyuu jamaa agent wa freemason katumwa
@efathagenus99
@efathagenus99 2 месяца назад
HAKIKA ME NDO NABII NIJAYE,KWANI KUZALIWA KWANGU PAKA SASA SIJAWAHI UMWA NA SITOUMWA....PENGINE NIMEZALIWA NAKUSIBIRIA KIFO....NATAMN NIWAPONYE WOTE KW KUWASHIKA,LAKINI WATU HAWANA IMANI KWA MUNGU.....
@AzizaHamisi-o6z
@AzizaHamisi-o6z 2 месяца назад
Wenzetu haya mazehebu yanaongezeka sijui mnamacho hamuoni
Далее
VIDEO ZA HATARI TANO ZA CHIEF GODLOVE UTAOGOPA
8:39
CHIEF GODLOVE AFANYA KUFURU DAR ES SALAAM
39:03
Просмотров 11 тыс.