@@kidoesther yes kwa nini nidanganye NHIF imefutwa ata mimi pesa yangu imeenda theni akaleta ingine inaitwa Sha cjui ndio mboga gani hii 😭💔 uwanja wa ndege saa hii kuna muhindi ameuziwa jst imagine 30years ndio arudishe ni leo na tko tu na kizungu ytu
hebu niwasaidie, huyu dada amesema anaongea kiarabu na kifaransa, hiyo inamanisha anaweza Kuwa ni mwarabu kutoka Algeria Tunisia morroco Lebanon au mfaransa mwenye asili kutoka arab africa french colonies 😂
Si kwamba wazungu wote wanaongea kiingereza japo kwa kusema kwake kuwa first language yake ni Arabic na second language ni French my guessing ni kwamba she is of Arabic decent(just guessing though).