Тёмный

Chino Kidd ft Fid Q, DJ Joozey - Kibabe (Official Music Lyrics Video) 

Chino Kidd
Подписаться 107 тыс.
Просмотров 700 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

28 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 1,8 тыс.   
@chinokidd
@chinokidd Год назад
ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-V9YCiD9xwlY.html
@evancejacob8507
@evancejacob8507 Год назад
Oyaaah wee hii chemistry nomaaaaa asee akika fid q we father asee iyo miondoko umetishaaaa, , , , ale chino chino...kaka amapiano ni yako hii bongo hakuna ka ww kwenye miondoko ya piano
@OmbeniAinea-p8k
@OmbeniAinea-p8k Год назад
Nakukubali mpaka kesho Chino wana man🎉🎉
@Joachim009
@Joachim009 Год назад
CHINO CHINO🎉🔥
@Makomando-l8s
@Makomando-l8s Год назад
ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-O0IALZfelFc.html
@victorotieno2365
@victorotieno2365 Год назад
Chinno wanam👊🏾🔥
@johannesssamsonambogo4125
@johannesssamsonambogo4125 Год назад
FidQ chochote utakachofanya kwaajili ya HipHop niko pamoja nawewe coz nakuamini sana brother hujawai kuiangusha Mwanza na Tanzania.❤❤🇹🇿🇹🇿
@abubakarkhalid8417
@abubakarkhalid8417 Год назад
Kaua @fidq
@Paschalandrea
@Paschalandrea Год назад
😮upo vizuri chino
@chinokidd
@chinokidd Год назад
Chino I'm here
@officialhadsome
@officialhadsome Год назад
It's a hit before being heard 🎉 Chino
@w7mnyamachinga669
@w7mnyamachinga669 Год назад
hii imeenda kaka
@RamadanPaul
@RamadanPaul Год назад
Unyama mwingi
@Amobizzy_OG
@Amobizzy_OG Год назад
Ohoooo🚀 NUMBER #1 on trending Iyooooo☝️☝️☝️☝️☝️☝️☝️☝️😂
@blaroskida
@blaroskida Год назад
I appreciate your hustle
@Paschalandrea
@Paschalandrea 11 месяцев назад
😢😅😊 nakubaliana na we we chinóoo😮😮
@LobbyAfrica
@LobbyAfrica Год назад
Ngosha wanamani😂😂 nipeni likezanguu ❤❤❤❤
@JamilSalanga-bv9of
@JamilSalanga-bv9of Год назад
Fid q n mwanamzik bora sana,huna ubaguzi unafanya kazi yeyote mradi iwe nzuri,nimependa sana broh
@swamadujackson
@swamadujackson Год назад
🙌🙌🙌🙌🙌chino salute ngosha kaingiza verce vyema sana
@ShekhaMansour-hd4ru
@ShekhaMansour-hd4ru Год назад
Chino namuonaa yuleee benderea akivukaa bodaaa
@keemine
@keemine Год назад
Kama unamkubali chinno usipite bila kulike , kibabe on fire🔥🔥🏆📌
@neemaconrad4517
@neemaconrad4517 Год назад
Chino namkubali xana kwenye hii ngoma kauwa xana❤️❤️❤️
@baysadam235
@baysadam235 Год назад
Unyama mwingi sanaaaa Aaaaa Chinooo a chino wanaman🔥🔥🔥🇲🇿🇲🇿🇲🇿
@samwellucas7649
@samwellucas7649 Год назад
Fid kauwa chino kubali hapo umekaa kwa ngosha
@bigtimetz
@bigtimetz Год назад
Tumpeleke kwa mwamposa mama Aminaaa achukucha nakubali sana Chino kidd,Chino "Wana man"
@GodwinMtambo
@GodwinMtambo Год назад
Nice, chino Kidd
@yustinrockboy4091
@yustinrockboy4091 Год назад
Ngosha kaupiga mwingi🙌 ihii imeenda 😊
@AmisseSumail-x9j
@AmisseSumail-x9j Год назад
Sina neno wazee kibabe
@am_achichy
@am_achichy Год назад
Now this is real piano....sio mtu anaimba maneno kbaooooo short and clear....big up chinowanaman🤘💥💥💥💥🇹🇿🇿🇦
@mancholotrasco8350
@mancholotrasco8350 Год назад
Where did u know amapiano from 🤔
@derickkahamba5572
@derickkahamba5572 Год назад
@@mancholotrasco8350 S.A
@slimtaddy8801
@slimtaddy8801 Год назад
Aah Mamae S2kizzy S2kizzy 🔥 Aaah Mamaaaae Zombiii 🔥
@yohanacharles872
@yohanacharles872 Год назад
Namba moja mm hapa wanangu wa falidi kubanda👍👍
@YassyYahaya-py1my
@YassyYahaya-py1my Год назад
Faridi titu
@ebenezakimaro4357
@ebenezakimaro4357 Год назад
Go Chino gooo!!!!
@DealDeskPro
@DealDeskPro Год назад
Aisee, it's my first-time nimesikiliza music wa Amapiano mpka mwisho because of FidQ, i had doubts about hip hop kwenye Amapiano lakin Faridi nimekuvulia mikono, this thing is a hit mzee, nimebaki mdomo wazi..man, FidQ MVP, and GOAT in African Hip Hop
@zezenuvel7612
@zezenuvel7612 11 месяцев назад
Nomaaa... 🌟🌟🌟🌟🌟
@ycmrpondis1537
@ycmrpondis1537 Год назад
Ngosha Wana Man 🔥🔥 chino Wana Man hii imeenda love from 🇧🇮💪
@kiddybrown7154
@kiddybrown7154 Год назад
S2kizzy katisha zaidi☺️☺️☺️🔥🔥🔥Ngoma Kali👍
@jojigeorige1056
@jojigeorige1056 Год назад
Fid Q just renovated the Amapiano with hiphop flavour🎉🎉 Mfalme FidQ salute kwako mwamba!
@gabylove4602
@gabylove4602 Год назад
❤❤❤
@kawambwadilu1908
@kawambwadilu1908 Год назад
Ngoma nzur San imetulia
@Brayootech
@Brayootech Год назад
Tuliokuja kumuangalia fid q tujuane kwenye like hapa
@abdallahabdulghani9150
@abdallahabdulghani9150 Год назад
Ohha bonge moja la ngoma. Wacha wabonge ila ndio linasonga. Twende ngosha wanaman na chino wanaman,pamoja sana man,wacha nijiite dula wanaman.100,000/100
@shabaniddy9967
@shabaniddy9967 Год назад
Inafikanmuda watu tuonyeshe kua Kila mtu anahitaji heshima yake especially inapofika muda wake keep going ma man @chinokidd 👑
@ronaldissack3338
@ronaldissack3338 Год назад
Chino Wana man🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@cittaboy
@cittaboy Год назад
Ngoma kali sana Fid wagwan sana twende na upepo wao tena game inapendeza kinoma big up sana bonge la hit
@Swazy-n8c
@Swazy-n8c Год назад
Ngosha kauwaa mnooo humu
@moudkipete
@moudkipete Год назад
Chino hatumii nguvu nyingi kwenye ngoma zake na zinaenda
@CatherineNzeki
@CatherineNzeki Год назад
Nyota yake inangaa...yuko vizuri uyo dogo na atafika mbali
@BigBoyMpitanjia
@BigBoyMpitanjia Год назад
Fid Q mkali wangu ✊❤ NIC pamoja
@miltonmachage2462
@miltonmachage2462 Год назад
Hii ngoma najikuta nairudia Zaid ya mara tano cz bado sijaamini hip hop kuimbwa kweny beat ya amapiano,,,,,,big up fid q and chino
@barakapetro2734
@barakapetro2734 Год назад
Chino wanamani,Chino wanamani,Chino wanamani💐💐💐💪👊👊👊
@alfredbizimana7814
@alfredbizimana7814 Год назад
Finally I see Fid Q on amapiano😂😂😂 and amazingly he nailed it
@StanleyEmmajose-fs8th
@StanleyEmmajose-fs8th Год назад
Noma Noma Noma Noma zaidi ya Noma Neno ni Moja tuuu fosi kibabe.
@ktyvibez4286
@ktyvibez4286 Год назад
Big fan from Kenya 🍷🍾...chino wanaman
@pharmkakema8845
@pharmkakema8845 Год назад
#ngoshaaaaaa!!!!🎉🎉🎉
@Kelvinmambaga-jk1qi
@Kelvinmambaga-jk1qi Год назад
Respect for you brother #fid q chino nomaa kaka
@HusseinShabaan-bm7tq
@HusseinShabaan-bm7tq 4 месяца назад
Hii ngoma ni yangu ,sijui kama kwann muliamua kuichukua ,Chino si waja Kilifi Big Wave .Lazima tuongee kibabe Kuhusu huu wimbo wangu Tafadhali ndugu.
@zanzibartotheworld7826
@zanzibartotheworld7826 Год назад
Fid q is the definition of hiphop
@IqramLaizer
@IqramLaizer Год назад
Ngosha🔥🔥🔥
@Best_tz
@Best_tz Год назад
Chino Kidd Hajawai kuziacha Salama spika nimoto 🔥🔥🔥
@LawiPeter
@LawiPeter Год назад
Chimo maze big up maze
@davidwalalason7630
@davidwalalason7630 Год назад
At least by the end of the day chino has a story to write after receiving a blessing he needed from fiddy
@Mariaam123-g5n
@Mariaam123-g5n Год назад
Chinno kidd Asante nisana kwakutupa kitukikali mpakaleo hukukwetu huu nimwimbo wataifaaa
@Godmaletz
@Godmaletz Год назад
Hip hop like science subjects that's why we can survive well in all subjects ✊ brother Fid q
@Makomando-l8s
@Makomando-l8s Год назад
ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-O0IALZfelFc.html
@mwajamii
@mwajamii Год назад
Kivipi
@kaizilejackson862
@kaizilejackson862 Год назад
Hahaaa
@AMMY_TONYofficial
@AMMY_TONYofficial Год назад
Hii imeenda zaidi
@thetubenews
@thetubenews Год назад
Director aliye shoot 💥💥💥💥
@MelchiorKagawa
@MelchiorKagawa Год назад
Chino ft fid q 🎶🎉❤❤🎉🎉🎶
@giannafocus4542
@giannafocus4542 Год назад
Much love from🇿🇦🇿🇦🇿🇦🇿🇦🇿🇦
@costardeogratias7784
@costardeogratias7784 Год назад
Really from 🇹🇿
@khatibumasudi
@khatibumasudi Год назад
Iko vzur respect Legend fid q chino nakutambua sana
@GuerschomOmollo-wz9ly
@GuerschomOmollo-wz9ly Год назад
Mr Kubanda & chino wana Man what a Duo💥💯
@expert5852
@expert5852 Год назад
Oya🙌🙌🙌🙌🔥🔥🔥🔥🔥🔥 ..chino wanaman..chino wannaman....eeeehhhhCHINOOOOOOO🙌🙌🔥🔥🔥
@hucksondebawa
@hucksondebawa Год назад
Congratulations my brothers from TZ you are so amazing 🎉❤❤ i like to support someone’s like you chinoooo
@idrisadalluc4498
@idrisadalluc4498 Год назад
Ebana eeee du sikutegemea ni 🔥🔥🔥🔥
@ShyneBoy-c6j
@ShyneBoy-c6j Год назад
Chino Wana Man 🔥 ngosha wana man❤😊
@EmmaMzalendo
@EmmaMzalendo 2 месяца назад
❤❤❤
@Sweetbertmanala
@Sweetbertmanala Год назад
Like nyingi kwa fidq😂
@collinskegodizo6530
@collinskegodizo6530 Год назад
💥💥💥💥💥💥💥 mwotoo wakuuu
@mswaziklassik3902
@mswaziklassik3902 Год назад
Kibabe basi force kibabe💯🇧🇷🇧🇷🇧🇷
@jayspax1799
@jayspax1799 Год назад
Chino wana man hapa bongo ndo mkari wa Amapiano kwanzia kuimba mpka kucheza big up sana🙌🙌
@mwewemkali
@mwewemkali Год назад
Kibabeeeeee🇰🇪🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@tonybrighter3878
@tonybrighter3878 Год назад
Show Kaliii Ngosha Wanaman, Chinno Wanaaman Ishuuuu
@sakasendama4287
@sakasendama4287 Год назад
Let's goo 🔥🔥🔥🙌
@hilalmohd8941
@hilalmohd8941 Год назад
kibabe 🎉🎉🎉🎉❤ all you killed 🎉🎉🎉
@Amobizzy_OG
@Amobizzy_OG Год назад
Ohoooo🚀 NUMBER #1 on trending Iyooooo☝️☝️☝️☝️☝️☝️☝️☝️😂
@bcbuboy4468
@bcbuboy4468 Год назад
Fid mnyamaaa fireeeee 🎉🎉🎉🎉🎉
@djb2kzer0
@djb2kzer0 Год назад
Tuachane na amapiano huu wimbo wame tumia akili kubwa sana kuupangilia Ngosha wana man ame waza sana kukwepa kwenda na muondoko wa ama so katumia AmaHip Hop Noma sana 🔥🔥🔥
@big4l999
@big4l999 Год назад
💯
@DevZone1089
@DevZone1089 Год назад
AmaHip Hop 😂
@emmanueljames9215
@emmanueljames9215 Год назад
Kafanya kutoa mifano kwa wanahiphop wengine kuwa unaweza imba amapiano na ukabak kweny misingi Lengo kufikisha ujumbe na ustoke kweny line, kwahy Ayo ni maelekezo kwahyo tutegemee amahiphop kibao na na mc kibac. Gwara kwako jasir mwongoza njia
@djb2kzer0
@djb2kzer0 Год назад
@@DevZone1089 bro wana hip hop waje na style yao ya AMAHIP-HOP 😀
@DevZone1089
@DevZone1089 Год назад
@@djb2kzer0 hahah itakuwa poa sana 😁
@edmodric3634
@edmodric3634 Год назад
Chinokidd ❤❤🔥🔥🔥🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@fzlcomrajabu9514
@fzlcomrajabu9514 Год назад
Never disappointed Chino wana man💥🤝
@zudowanaman
@zudowanaman 11 месяцев назад
Swa bna wanaman gang
@Katamba255
@Katamba255 Год назад
Chino never disappoints 🙌🏽🔥🔥
@official20seven011_tz
@official20seven011_tz Год назад
Rockycity😁💯🔥🔥🔥🔥 gonga likes hapa tuinue dudeee hili zito linalovuruga pande zote iwe#BMAX LOUNGE ni kifo🔛 iwe kitambaa cheupe n fujoooo@ CHINOOOOOOOHHHHHHH📶📶📶📶📶📶📶📶📶📶📶📶📶📶📶📶
@RA_studioz_
@RA_studioz_ Год назад
Fid Q my man..... Big up bro
@joshuambilinyi6655
@joshuambilinyi6655 Год назад
Ngoshaaaaaa.,. Chino........mariooo piano ooo❤
@zaud6581
@zaud6581 Год назад
Let’s take to the trending higherr
@dulertech6284
@dulertech6284 Год назад
Duuh!Fid q mnyamaaa🎉💥💥💯
@marygathoni1355
@marygathoni1355 Год назад
Flowers to Fid Q❤🎉🎉
@Dauson-eu2vp
@Dauson-eu2vp Год назад
Kweli umeforce kibabe nice broo😊🎉
@Daddybway
@Daddybway Год назад
LETS GOOOO🔥🔥🔥🔥🦅🦅🦅
@JosephLubenda
@JosephLubenda Год назад
Kaka kachana kwenye mapiano big up kibabe
@AchuzyWiz
@AchuzyWiz Год назад
Unyama 🔥
@jumahassan273
@jumahassan273 Год назад
Chinno nakubali upo na mkali Fid q
@MafuruBM
@MafuruBM Год назад
Fid Q mistari yake inaingia kwenye kila beat maana ana ufundi sana Ngosha kaua KIBABE Sana ❤️💪🏿🇹🇿 Kama unakubali vibe la Chino Kidd na Ngosha gonga like
@SarahRegnaldi
@SarahRegnaldi Год назад
Kibabe Ngoma ipo ❤
@mickelfashion2193
@mickelfashion2193 Год назад
Good vibe👌
@Ostica..Omie..junior
@Ostica..Omie..junior 8 месяцев назад
Full vibes..chinoooo gold codes💥💥👑
@shabanichaye8255
@shabanichaye8255 Год назад
Chinno he's the best 🇰🇪 🔥🔥🔥🔥
@FarajaSunzu
@FarajaSunzu Год назад
sanaaa wanaaa man 🥳🥳kibabe
@swaglishauto846
@swaglishauto846 Год назад
Chino wanaman fid q killed it 🔥 ❤️‍🔥kibabe up to the world 🌎 from 🏴󠁧󠁢󠁳󠁣󠁴󠁿
@TALLUBOY
@TALLUBOY Год назад
Kweri ngoma kari sanaaaaa
@Pulse_tips
@Pulse_tips Год назад
Much love from Chicago
@bizzo-xmkassi3478
@bizzo-xmkassi3478 Год назад
Ngosha kama Ngosha unyama kama wote mzee baba umeuaaa💥🔥🔥🔥
@pirlo...30
@pirlo...30 Год назад
Best piano right now🔥🔥🚨..not for sale for the person under the level of amapiano
@Frank-t8t
@Frank-t8t Год назад
Kiukweli fid kaua kafuata misingi ya hip-hop. Nakubali fid
@u.mn.9419
@u.mn.9419 Год назад
Hi😊Chino,have a nice day!😊 Love ur music.
Далее
Fid Q Ft Chino Kidd  -  Mbinguni (Official Lyric Video)
3:40
Loui V x Chino Kidd   Mkimuona Official Video
3:55
Просмотров 110 тыс.
Don Omar - Danza Kuduro REMIX
7:51
Просмотров 90 млн