Alisema tuachane na yule wa zamani tumzingatie huyu wa sasa huwezi lazimisha kuuza bamia wakati nyanya zinalipa hebu tuwaache watafute mkate wao lakini mkitaka wagumu wapo akina Dizasta Vina😂😂
BIG UP NGOSHA WANA MAN U DID IT WELL BY KICHUPA SIMPLE TU SHOUT KWA DOGO CHINNO NA CREW NZIMA MMEWEZA KEEP GRINDING MTAFIKA MBALI MSISIKILE MANENO YA WALIMWENGU
Huu wimbo nimeusikiliza mara+100 zaidi hapa maskani kwangu,hii ni zaidi ya ngoma kaka....Chemistry yenu imenoga kama ya mavoko rich,kijana chino BORA MBINGUNI TU haya mapenzi yalishindikana kweli tokea bustani ya Edeni.👋