Katika video hii nimekufahamisha njia 4 ambazo unazowezatumia kupunguza uzito na kitambi 'milele' kwa namna ya kudumu bila kujitesa kwa kutumia njia zisizokuwa salama kwa afya yako. Contact: 0767759137
Dr,Asante kwa SoMo nitajaribu.ila nna vidonda vya tumbo Kuhusu hiyo kachumbali nikiweka chmvi tu badala ya ndimu itakuwa sawa?natumiaga juisi ya bamia ndio naona afazari
Dr mimi naomba ushauri mimi mwili wangu unajoto sana yaani mda wote namwagika jasho yaani ata nikitoka kuoga akati najifuta maji natawer namwagika jasho tatizo nini?