Тёмный

Coastal Union 0-1 Yanga SC | Highlights | NBC Premier League 26/10/2024 

Azam TV
Подписаться 2,8 млн
Просмотров 43 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

25 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 130   
@seremusicofficial
@seremusicofficial Час назад
Mashabiki wa yanga wenyew wanajiuliza kwann wanapendelewaga sana 😂😂ila nikwamba mechi ilishachezwa kwenye daftar na yanga wakashinda
@MohamedMohamed-s5w7q
@MohamedMohamed-s5w7q 54 минуты назад
Makolo mna matatizo sana yaani mkishinda nyinyi mmeshinda kihalali tukishinda yanga tumependelewa,Tumenunua mechi,basi TFF iitoe tu yanga kwenye mashindano yote mbaki tu nyinyi mabingwa
@mwajumampokileomckapela7541
Point 3 muhimu ugenini 💛💛💛💛🖤💚💚💛🖤💚
@Ngoviabbas
@Ngoviabbas Час назад
Ligi imekosa mvuto ushindi wa mipango kila mechi
@AshaKilobwa
@AshaKilobwa Час назад
Yanga Leo mmecheza mipira wahovyo kabisa
@AshaKilobwa
@AshaKilobwa Час назад
Kuna wachezaji yanga wanajiona mastaa sana kama pakome na ki azizi wanapoteza sana mipira
@bukaone7507
@bukaone7507 52 минуты назад
ustaa ukizidi sana ndio shida
@Nicodemashangi-z3o
@Nicodemashangi-z3o Час назад
Mwisho wenu uko karibu,endeleeni kujifariji eti mna timu nzuri
@MariamHassan-l2y
@MariamHassan-l2y Час назад
Sasa nyie simba munasema nin kwa yanga bado sana namutasema andno😮
@vedastusjimmy5158
@vedastusjimmy5158 3 часа назад
Hongereni mabingwa
@AnnaJayden-k4m
@AnnaJayden-k4m Час назад
Manaake kwanza nicheke😂
@josephgalandu128
@josephgalandu128 13 минут назад
Kwahio nyie hamna hela ya kuhonga!??😂😂😂
@barackmoses7003
@barackmoses7003 2 часа назад
MWISHO WENU WA KUBEBWA UNAKARIBIA
@malimahila9450
@malimahila9450 15 минут назад
Yanga timu kubwa
@MossesSolomonMollel
@MossesSolomonMollel Час назад
Hii ni Clear offside sema yanga wanabebwa sana
@OnaryYohana
@OnaryYohana 25 минут назад
Offside gani sasa hiyo
@Dullah_tz
@Dullah_tz 2 часа назад
Hii ni maajab anafungwa coastal anae umia ni kolo😂😂😂😂😂
@shabaninayopa-nw9cf
@shabaninayopa-nw9cf Час назад
Offside kabisa ila nyuma mwko Mungu anawaona
@AshaMkweche
@AshaMkweche 2 часа назад
Yanga wanacheza faulu za hovyo
@AziCure
@AziCure Час назад
Ona hili KOLO linavyoteseka😂😂😂
@GeofreyMwafinga
@GeofreyMwafinga 18 минут назад
kwan Simba na costal ilikuwaje? game y Simba vs cost Simba alibebwa alpewa penalty y uwongo pia refa almalza mpira tofaut na utaratib akihofia Simba kufungwa goal la 3,,, ko Simba alianza kubebwa yy,, dhid y cost,,, na Leo kabebwa yanga ko wote ni wanyanyanyi na team zote kubwa Simba yanga azam singida black stars Zina nunua match ko achen kujilalamisha nyie wote ni wambeleko tu
@bukaone7507
@bukaone7507 Час назад
moja moja
@saidmasoud9004
@saidmasoud9004 Час назад
Hili ni clear goal
@damianmcba9525
@damianmcba9525 2 часа назад
Mshery Ajitathmin huyu khomeny kipa mzuri
@EmanuelyMalugu
@EmanuelyMalugu 2 часа назад
Angalia mpira unavyo chezeka si lawama tu 😢😢😮😮😅😅😅😊😊
@KS-iw7qv
@KS-iw7qv Час назад
Maabadi maabadi anaonekana ni mchezaji mzuri sana
@RamadhaniSalumu-i5h
@RamadhaniSalumu-i5h 2 часа назад
Yanga bado haijawa sawa kwenye kufunga wanapoteza nafas xnaaa
@MichaelMathew-j3f
@MichaelMathew-j3f Час назад
Vp huyu ni kayoko au hahahahahahaha utani tu jmn mimi ni Simba!!! Bwana Yesu Kristo asifiwe!!
@hamishasan7737
@hamishasan7737 32 минуты назад
Gsm anacheza na gsm
@Nicodemashangi-z3o
@Nicodemashangi-z3o Час назад
Endeleeni kubebwa mwisho wenu Iko karibu
@Maalim_Seif_-_Zanzibar
@Maalim_Seif_-_Zanzibar 2 часа назад
GSM kamfunga GSM 😂
@SaumuSaidi-z2v
@SaumuSaidi-z2v 2 часа назад
Yn goli la halali limekataliwa ila goli la of saidi la yanga limekubaliwa yn gsm na tff na injinia wanaharibu ligi kwa kwl. Lkn iko siku yataisha
@seciliamchalo5627
@seciliamchalo5627 Час назад
​@@SaumuSaidi-z2vbado hamjasema
@rashidnzunda
@rashidnzunda Час назад
Of said gan japo wote mashabik
@mohdsaad2736
@mohdsaad2736 53 минуты назад
❤😊❤😊❤😊
@OsianaKibona-k1t
@OsianaKibona-k1t Час назад
Simba tusiangauke yanga wancheza na marefa tu
@AminaTanzania
@AminaTanzania Час назад
Yanga wazazi wenu ni baba na mama
@AminaTanzania
@AminaTanzania Час назад
Makolo mpo nyuma yetuu hata musemeje midomo niyenu sisi tunachanja mbugatuu ikibidi tuwapinge na supana mpaka myookee
@TeddyElisha
@TeddyElisha Час назад
Hamna maajabu nyie endeleeni kuhonga Marefa ili mshinde kila xiku kwakubebwa
@cristamelahashimu3679
@cristamelahashimu3679 47 минут назад
Kama wanahongeka si muhonge na nyie??!! Kwa tatizo liko wapi? Tuhonge wote 😂
@timothmwakakusyu4563
@timothmwakakusyu4563 27 минут назад
Ni kweli ni offside ni makosa ya kibendera. Ila gem yenu ni uongo hatukubebwa ninyi ndo mlibebwa na mkashindwa kutumia mbeleko mfano nafasi aliyopata ateba ilikuwa offside, dube alivutwa razak alistahili nyekundu, jana mmecheza na Namungo, Namungo wamenyimwa penalty kipindi cha kwanza. Makosa muwe mnaangalia na kwenu pia, dodoma mlibebwa penalty, musonda alifanyiwa faulo na camara ila mnaangalia diving za kibu na kusema penalty. 😂😂😂😂😂😂
@ShaabanHassan-p8m
@ShaabanHassan-p8m 49 минут назад
Wanayanga acheni shobwe Angelina yenu
@IreneMerchades
@IreneMerchades Час назад
Utoppole wanapoteana xanaaaa
@AZALIAMWAMBELA-t9f
@AZALIAMWAMBELA-t9f Час назад
Offside kabisa
@thehustlerafrica4368
@thehustlerafrica4368 3 часа назад
Offside za Hawa marainzimen hivi inakuwaje????😂😂😂
@GaudenciaMawallo-mm4gi
@GaudenciaMawallo-mm4gi 2 часа назад
Yanga bingwa💚💚👍
@emanuelimabula9887
@emanuelimabula9887 2 часа назад
Hapo kuna offside gani mbona wanabebwa hadi wanaboa sasa
@EdwardKyabon
@EdwardKyabon Час назад
Yaani me nasemea simba yetu ilinyimwa goli maana kibu alifunga kama baleke alivyofunga alaf baleke alizidi sana kibu alikuwa sawa na diara pamoja na jobu na pia aucho alikuwa golini
@seciliamchalo5627
@seciliamchalo5627 Час назад
Poleni maan mnateseka
@Ibrahimshaibu-b2q
@Ibrahimshaibu-b2q 2 часа назад
kwayanga hii mmmmh.. watasema
@AnnaJayden-k4m
@AnnaJayden-k4m Час назад
Hamuoni ata aibu kigori kimoja nyoo😂 anagalieni kwa kaka zenu mjifunze
@RuthDaffa
@RuthDaffa Час назад
Atushindi magoal mengi sisi tushakuwa mabingwa tofauti na nyiee
@seciliamchalo5627
@seciliamchalo5627 Час назад
Nyie mbona waliwatoa jasho mkaambulia point 1 tupishee tushachukua point 3 hayo mengine siyo shida zetu
@LucyChanga-e8c
@LucyChanga-e8c Час назад
Hawa nyie mlitoa droo,na mgefungwa sema refa alimaliza mpira chap
@PetroKibasa
@PetroKibasa 2 часа назад
Yanga mnabebwa sana hata marefa wabovu tuuu
@seciliamchalo5627
@seciliamchalo5627 Час назад
Hamjasema
@anordkimaro8200
@anordkimaro8200 2 часа назад
Yangaaaaaaaqq🎉🎉🎉🎉🎉
@NSHIMIYIMANAXXX-t3i
@NSHIMIYIMANAXXX-t3i 2 часа назад
💗💗💓💓🙆
@shallmolownicodem4734
@shallmolownicodem4734 2 часа назад
Yanga bingwa 🎉😂❤
@lingwamalagila3003
@lingwamalagila3003 42 минуты назад
Uchezaji wa hivi vilabu vidogo ninkukamia tu na kuumiza wachezaji tu
@anordkimaro8200
@anordkimaro8200 3 часа назад
Hahahahahahha watu wa simba mtalalamika sana, iombeeni timu yenu, ushabiki wa hvyo hakuna...kuweni wazalendo. Kubalini kuwa yanga is the best team...wenzenu wanaingia wakiomba Mungu, nyie mnategemea mvua inyeshe. Asiyekubal kushindwa si mshindani
@rexgodwill7353
@rexgodwill7353 2 часа назад
Mbona hata ilo goli clear offside 😂😂... Baleke anatokea nyuma kwa golikipa kwenda kugombea mpira unaogombewa na nyuma yake nakupeleka wavuni 😂... YANGA mtashinda Sana ligi ya Tanzania 🤦‍♂️🤦‍♂️.. Timu ya serikali
@goldmansun5859
@goldmansun5859 2 часа назад
​@@rexgodwill7353mbona mliifunga azam offside zote,na dodoma jiji mbeleko,na yanga ngao ilikuwa mle nne, na coast mbeleko ilikuwa mle tatu, mechi saba moja au mbili tu mmetoka kihalal
@OmarSuleiman-o8o
@OmarSuleiman-o8o 2 часа назад
​@@goldmansun5859at ww n simb ulitakiw juz ufungw 2
@goldmansun5859
@goldmansun5859 2 часа назад
​@@rexgodwill7353kibu kafunga goal kama hilo hilo 😂
@abdillahhamisi3289
@abdillahhamisi3289 2 часа назад
Nyie yanga hamna kitu mnashinda kwa upendeleo
@stanastana3199
@stanastana3199 2 часа назад
Yanga inachukua bingwa mapema msimu huu
@emmanuellupiga
@emmanuellupiga 2 часа назад
Huu uwanja sio poa wanautumia wa nn
@AminaTanzania
@AminaTanzania Час назад
Makolo
@saliminyusuph6122
@saliminyusuph6122 2 часа назад
Huu uwanja wa Shekh Amri Abed ni uwanja m bovu sana. Yanga akichezaga huu uwanja anashindwa kutandaza ule mpira kampa kampa tena.
@emmanuellupiga
@emmanuellupiga 2 часа назад
Libaya liuwanja
@JoakimMarko
@JoakimMarko 2 часа назад
Yanga mpila unaisha kila mechi kuna bahasha
@AthmaniBamvua-e9v
@AthmaniBamvua-e9v 2 часа назад
Na bahashaa mwenyewe ni Young Africans 😳😳kubabaabakee
@GoodluckLesilwa-kq2ln
@GoodluckLesilwa-kq2ln Час назад
Mpira unaisha ila point zinaongezeka
@fidelfidel-jz4iw
@fidelfidel-jz4iw Час назад
Offside kabisa hiyo
@OnaryYohana
@OnaryYohana 26 минут назад
Unajua mpira kweli wewe
@karingtonisimwinga122
@karingtonisimwinga122 2 часа назад
upumbavu tu
@amanizo96
@amanizo96 2 часа назад
Watu wame sakwa Leo nyuma mwiko wali tepet
@seciliamchalo5627
@seciliamchalo5627 Час назад
Baada ya hapo walipoteza si ndio 😂😂😂
@sultanmsolon8428
@sultanmsolon8428 3 часа назад
Ni mwendo wa jamo jamo tu kikubwa nukta tuta
@BashirAhmed-zb1zq
@BashirAhmed-zb1zq 3 часа назад
Ilkuwa off
@Chikophehussein
@Chikophehussein Час назад
Hpo hkna league tna ytu macho2 mtabebwa mkifka kmataifa aibu
@sophyodago5062
@sophyodago5062 47 минут назад
Tusubirini CAF LEAGUES ndo mtajua yanga hawana team
@lingwamalagila3003
@lingwamalagila3003 41 минуту назад
Utasubiri sana Simba wana Timu ndo timu imeingia makundi na magoli 17 Utashangaa
@rashidmaulid7312
@rashidmaulid7312 3 часа назад
Offside
@goldmansun5859
@goldmansun5859 2 часа назад
Sio offside jifunze mpira
@OmarSuleiman-o8o
@OmarSuleiman-o8o 2 часа назад
​@@goldmansun5859offside kwan hatuon unaon pek yko
@matrida.lunyilija5196
@matrida.lunyilija5196 2 часа назад
Kama hujui mpira kaa kimya wewe
@OmarSuleiman-o8o
@OmarSuleiman-o8o 2 часа назад
@@matrida.lunyilija5196 ach ushabik maandaz kwa sabab n yang wamept wao il wangepat coast sijui ungesemaj
@AnnaJayden-k4m
@AnnaJayden-k4m Час назад
@@goldmansun5859haha Poleni mpaka huruma jifunzeni kwa kaka zenu baadae mtanishukuru
@rukaiyakondo5265
@rukaiyakondo5265 15 минут назад
Kila mech mnafung kagol kamoja, na hata hako kamoja mnakoshinda kila mechi kana utata😂😂 laki timu inazungk mtandaoni ikijiita bingwa🤦eeh muwe mnaanglia na mechi z nje mjue maana halis y bingw
@elizabethvucentkabwa
@elizabethvucentkabwa 3 минуты назад
Kwakweli
@tatitati-h5r
@tatitati-h5r Минуту назад
za nje hazituhusu tunataka mechi na nyie panya road
@mahadshekh398
@mahadshekh398 3 часа назад
Ya Kibu na hili ni baba moja mama moja.Offside
@elishakayagwa9371
@elishakayagwa9371 2 часа назад
Mbona mwaka jana ilikuwa chini ya mo na haijaifanya kitu yanga? Au napo walikuwa wanalinda udhamini wa nani?
@mahadshekh398
@mahadshekh398 2 часа назад
@@elishakayagwa9371 Haijawahi kuwa chini ya Mo get your facts right.Coastal walianza kudhaminiwa na GSM tokea msimu uliopita.
@ViraNgulula
@ViraNgulula 2 часа назад
Nyie mademu wa yanga vp na nyie mnadhamiwa na Gsm ....maana kila siku yanga anawafunga wenye nembo ya gsm na nyie vichwa maji mnayo nembo iyo ya mme wenu
@estervumilia7974
@estervumilia7974 2 часа назад
Kumbe na Simba ana nembo hiyo
@seciliamchalo5627
@seciliamchalo5627 Час назад
Hata Simba mademu wa Yanga au unajisahaulisha tulichowafanyia
@DEVISMOMO
@DEVISMOMO 3 часа назад
Mwaka huu mpk waseme.
@EdwardKyabon
@EdwardKyabon 3 часа назад
Sasa ili goli la baleke na la kibu utofauti ni nni hapo
@abdulmohd6880
@abdulmohd6880 3 часа назад
Kibu n mchezaji wa klabu ya Shirikisho na Baleke n mchezaji wa klabu ya mabingwa, goli la Kibu n sawa na goli aliloshinda mchezaji wa coastal apo, Wale Kenge tushawashona mechi 4 mfululizo na bado hawajasema😅
@edwardmwacha
@edwardmwacha 2 часа назад
Tofauti alie toa assist n mpinzan na sio mchezaj wa yanga simle and clear 😅😅
@seciliamchalo5627
@seciliamchalo5627 Час назад
​@@abdulmohd6880😂😂😂
@Dullah_tz
@Dullah_tz 2 часа назад
Yanga bingwa
@anthonymilinga8696
@anthonymilinga8696 2 часа назад
Yanga haina mpira wowote tutaijua vizuri club bingwa maana kule Kayoko hayupo.
@vedastusjimmy5158
@vedastusjimmy5158 2 часа назад
Kwani klabu bingwa hatukuwepo mkawaita mamelodi wabovu😅
@econmirajifacts5411
@econmirajifacts5411 2 часа назад
Yanga haina mpira mwenye mpira ni simba utabaki hivyo hivyo bwege wewe.
@greysonkisinda7390
@greysonkisinda7390 2 часа назад
​@@vedastusjimmy5158panya road wanahangaika kutafta excuse ,na watatumia sehem zote kuongea😂
@econmirajifacts5411
@econmirajifacts5411 2 часа назад
@@vedastusjimmy5158 ukamulize mamelody yanga nani atakwambiya
@AnnaJayden-k4m
@AnnaJayden-k4m Час назад
@@econmirajifacts5411pokea maua yako baba🎉
@andrewpaul8147
@andrewpaul8147 2 часа назад
Mwendowa kichapo tu
@iddihamisiharuna8261
@iddihamisiharuna8261 3 часа назад
COAST UNION Watapiga nje ili kulinda udhamini wa GSM. Lakin wangefunga magoli mengi😅😅
@vedastusjimmy5158
@vedastusjimmy5158 2 часа назад
Cry moreeee😂
@Yassin-z6o
@Yassin-z6o 2 часа назад
Tunashinda mpaka kwenye viwanja vibovu. Hiyo ndiyo yanga. Nyie mbumbumbu endeleeni kulalamika.
@Joe-tr2vk
@Joe-tr2vk 2 часа назад
Una ubovu gani uwanja? Pitch? Majukwaa?
@AnnaJayden-k4m
@AnnaJayden-k4m Час назад
Pole sana 😂
@official_mr_bery
@official_mr_bery 2 часа назад
𝚆𝚊𝚓𝚒𝚗𝚐𝚊 𝚗𝚢𝚒𝚎𝚎 .. 𝚖𝚗𝚊𝚋𝚞𝚝𝚞𝚞 𝚋𝚞𝚝𝚞𝚊𝚊 𝚝𝚞𝚞 𝚋𝚒𝚕𝚊 𝚑𝚊𝚝𝚊 𝚢𝚊 𝚔𝚞𝚝𝚞𝚕𝚒𝚊𝚊
@OsianaKibona-k1t
@OsianaKibona-k1t Час назад
Simba tusiangauke yanga wancheza na marefa tu
@OnaryYohana
@OnaryYohana 27 минут назад
😅😅😅😅mtajuta
Далее
NAH UH
00:17
Просмотров 2,2 млн
Исповедь / Мася
2:47:10
Просмотров 135 тыс.
NAH UH
00:17
Просмотров 2,2 млн