Тёмный

GB 64 AWAKA KWA HASIRA YANGA WAMEBEBWA, COASTAL UNION WAMENYIMWA GOLI 

Ngwale Sports HD
Подписаться 44 тыс.
Просмотров 8 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

25 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 45   
@RajabuNgingite
@RajabuNgingite Час назад
Utopolo 🎉 bila mbeleko hamna kitu
@bernardndemba2253
@bernardndemba2253 2 часа назад
Safi sana GB 64 waambia hawa vilaza
@StanslausFilbert
@StanslausFilbert Час назад
Marefa wengne wa Bongo bhna daaaah
@Sophia-y6f
@Sophia-y6f Час назад
Makolo mnateseka sababu ninyi mlidroo tena Kwa mbinde🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣💚💛💚💛💚💚💚
@JosephKulwa-rc7en
@JosephKulwa-rc7en 23 минуты назад
Yanga saivi wakawaida sana kachoka wanambebatu abebe ubingwa
@BabilibabiliBabilibabili
@BabilibabiliBabilibabili 53 минуты назад
Kiukwer tz hatuna wamzi kwamtu yeyote anaefahamu mpira kama mwamuzi Waleo Kazingua sana baka alipewakadi kwalipi Aya mudasir
@IssaAusi-s6h
@IssaAusi-s6h 23 минуты назад
Shida mishaala yamalefalii inalipwa na GSM syo TFF sasa apo 2
@EstherMulinga
@EstherMulinga 39 минут назад
Mtakufa mwaka huu kolo.bingwa yanga tena bd hamjasema
@JohnJoseph-qq7ow
@JohnJoseph-qq7ow Час назад
Eee ila yanga mnabebwa sana hamna timu hapo ni msaada wa refa kwa kwenda mbele MUNGU atawalipa
@MchungajiNzelani
@MchungajiNzelani 31 минуту назад
Waamzi wanarogwa ninyi fuatilieni ohoo
@SurprisedFullMoon-gg9vu
@SurprisedFullMoon-gg9vu 2 часа назад
Hawa wameshaishiwa imebaki kudili na marefa tuu""
@emmanuelymeresta-si4ur
@emmanuelymeresta-si4ur Час назад
Acha ushabiki ile offside tatzo marefa
@abdallahmzee4335
@abdallahmzee4335 19 минут назад
Jibu swali ni offside au cyo offiside
@Johnhamad-bz7go
@Johnhamad-bz7go 39 минут назад
marefa wanazingua mm nilikua uwanjani nilikua uwanjani lile goli la yanga ilikua ni hofsaid ya wazi balked alizidi wakati beki anaokoa baleke alizidi kabisa
@timothymbughuni1356
@timothymbughuni1356 Час назад
Ongea Kiswahili tu ndugu yangu,Kimalkia kinakusumbua sana
@SalvatoryMtunga
@SalvatoryMtunga 56 минут назад
Wazee wa maandamano & na malalamiko fc
@kudrashenikambi607
@kudrashenikambi607 Час назад
Hamnazo hyooo kdg hta ya simba ilikuwa droo
@abediabdalla5783
@abediabdalla5783 59 минут назад
Kwani simba na Azam amani complex
@Ballakaisa
@Ballakaisa 5 минут назад
64gb hutumi akili za mpira unatumiahasira pambana
@qarmamabrouk4770
@qarmamabrouk4770 2 часа назад
Ata nyinyi mnaona team zinanyimwa matokeo zinakatiliwa lazima asa unahis nn Kama sio yanga wapewe ubingwa mpira ni mchezo wa wazi zulma inaonekana wazi
@SalvatoryMtunga
@SalvatoryMtunga 52 минуты назад
Mechi ya simba na jiji, mechi ya simba natz prison, mechi ya simba coastal hamkumbuki nyie makolo?. Sasa hivi kila mtu ni mzalamo?.
@mariammariam-m6k
@mariammariam-m6k Час назад
Yani yanga niwezi sana kwa System GSM ndio yanga
@kiluwaselemani4246
@kiluwaselemani4246 Час назад
Mvie 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@EdithaHasani
@EdithaHasani Час назад
Yako uyaoni
@ElizabethWamcha
@ElizabethWamcha Час назад
Bado amjqsema na mtasema sana umbwa nyie😅
@abediabdalla5783
@abediabdalla5783 58 минут назад
Zungumzia timu yako simba
@ManaserichDudshemtawa
@ManaserichDudshemtawa 2 часа назад
Gb leo kaamua kuongea kisambaa eka ni mbui mghoshi gb 128
@TheresiaFransic
@TheresiaFransic 2 часа назад
Xaw muach aijeng yang lkn kiukwel yang wamechk ten kwny xaf ya uxhambuliaj hamn kit
@Zaynabahmed-ey4zu
@Zaynabahmed-ey4zu 2 часа назад
Sasa GB ongelea timu yetu unawaamsha hao utoo
@ramadhanimambya6569
@ramadhanimambya6569 Час назад
Hebu jiheshimu GB,UNA ROHO MBAYA SANA WEWE.
@mjanthony4864
@mjanthony4864 54 минуты назад
ila kweli jamani. Goal la offside kabisa linawekwa kati, la alali linakataliwa mchana kweupee.. haki ya Mungu 🙌🏽🙌🏽😅
@kunsule9261
@kunsule9261 Час назад
Hawa vichaa wataendelea kutesska hadi yanga achukue ubingwa. Ndipo wapate nafuu.
@timothyberege2594
@timothyberege2594 Час назад
😂😂😂😂😂 GB 64 kuvurugwa msimu huu walisema ubaya ubwela wataongea mpaka ligi inaisha YANGA BINGWA
@JosephChrisant
@JosephChrisant Час назад
Yani unatupangia wachezaji wa kusajili?. Subiri shirikisho mtanyolewa bila maji mtaishia robo fainali kama kawaida yenu.
@jerrychiswa2494
@jerrychiswa2494 Час назад
mwambieni uyu jamaa awe anazungumzia mpila aache kuongea ujinga anaaribu rigi yetu
@PendoagaiAgai
@PendoagaiAgai 2 часа назад
Acha ushabiki wew tengeneza timu yenu mbovu na bdo utalia mno boya ww
@medimajogoo
@medimajogoo 2 часа назад
kichwa kibovu mawazo mgando
@HABIBHASSAN-wf5mr
@HABIBHASSAN-wf5mr 2 часа назад
YANGA SI MMESHACHEZA NAYO ?
@noelmakere1381
@noelmakere1381 2 часа назад
Kwendaaaa kolo wewe akili fupi
@salamSalehhhhh
@salamSalehhhhh Час назад
Anakutesa unamfatilia chura 🐸
@EmanuelMuna-w2q
@EmanuelMuna-w2q 2 часа назад
Haya makosa makubwa sana wanayofanya waamuzi wa michezo ni kweli kabisa kuwa awa marefarii wanaharibu michezo ya ligi. Tafadhali waambieni TFF na Bodi ya Ligi waanze haraka sana kutumia VAR kwenye michezo mingi mikubwa ya Tanzania Premier League. Kuendelea kujadiliana mitandaoni haisaidii kabisa. Kinachohitajika hapa tu ni serious action plan ya TFF na bodi ya ligi kutekelezwa haraka. Msipofanya hivyo, basi ni kuwa hii timu inayobebwa siku zote na marefarii itapenda sana kuendelea kuzidharau timu nyingine katika ligi.
@JosephChrisant
@JosephChrisant Час назад
Hujui mpira wewe mihemko tu. Mchezaji wa Coastal kabla hajapiga mpira raiseman alikuwa ameisha nyanyua kibendera kitambo.
@MakoyeHabariKadashi
@MakoyeHabariKadashi Час назад
Uyu nae kenge tu kama kenge wengine maviiiiioii
@MathayoRajabu
@MathayoRajabu 3 часа назад
Ukisema ivyo ndo waijenga sana Yanga tengeneza Simba yetu tuu
Далее
На самом деле, все не просто 😂
00:45
UFC 308: Пресс-конференция
35:18
Просмотров 557 тыс.