Тёмный

DAH! KUMBE NI KWEL MAKONDA ALIEKEWA SUMU? MAWAZIRI HAWA WATAJWA NA MCHUNGAJI. 

Yetu News
Подписаться 35 тыс.
Просмотров 232 тыс.
50% 1

DAH! KUMBE NI KWEL MAKONDA ALIEKEWA SUMU? MAWAZIRI HAWA WATAJWA NA MCHUNGAJI.

Опубликовано:

 

7 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 338   
@josphenembunde5805
@josphenembunde5805 Месяц назад
Mungu akulinde makonda wetu we cover you with the blood of Jesus no weapon foamed against you will prosper 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@mulisammy970
@mulisammy970 Месяц назад
Pole sana makonda baba yetu huwa nakufollow kutoka🇰🇪 maadui waishe na waangamie
@mchungajiZachariatv
@mchungajiZachariatv Месяц назад
ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-X83K3nWdbZ8.htmlsi=rtuM55hCBs_72Len
@RosemaryShilla-dr6kp
@RosemaryShilla-dr6kp Месяц назад
E, mungu kwanini umeyaruhusu haya yawapate viongozi wema naakinafarao wanaendelea tu kuitafuna nchi. Nyie kinafarao nyie hakika mungu atafungua bahari mtamezwa tu ipo siku yenu
@user-sp4jr4vw6t
@user-sp4jr4vw6t Месяц назад
Jamani mtoto wetu apone amefanya kazi kubwa.juzi watu tumepat tiba bure Mungu wetu wa mbinguni ondoa nguvu za giza kwa mtumishi wako MAKONDA
@HappyHusky-wo5bs
@HappyHusky-wo5bs Месяц назад
Eee mungu,kwan hawa watu waliomfanyia ubaya baba yetu makonda,Tunaomba mungu ukawape adhabu kali hao watu ambayo hawatakuja kuisahau maisha yao yote,inasikitisha sanaaa duuuu.Tunamuombea sanaaa atapona kwa imani ya bwana wetu yesu kristu.Tunakupenda sanaaa baba yetu makonda tunasikitika sanaaaa duuuu! pole sanaaa baba
@sktanzania-u1r
@sktanzania-u1r Месяц назад
hivi kama hizosumu zipo mbona panya wanatusumbua mnazimalizia tu kwawatendaji bora pole sana makonda mungu yupo nawewe
@agnesspaul1866
@agnesspaul1866 Месяц назад
Kwa Mungu hakuna kinachoshindikana yatawarudi wao❤❤❤❤❤❤ Makonda anaendelea kipendwa na inchi nzima
@user-qp6zn2xf8w
@user-qp6zn2xf8w 25 дней назад
Mungu !! Hakuna Kama wewe mungu wetu sisi site Ni wanadamu tuu,, nakuomba mlinde mtumishi wako paul makonda hata baya lolote lisimpate maadui wote washindwe na kulegea katika jina la yesu Kristi,, ameen
@aminamikidadi1542
@aminamikidadi1542 Месяц назад
Mwenyezi Mungu Amfanyie Wepesi Apone Tunampenda Sana Makonda
@magdalenampanda1426
@magdalenampanda1426 Месяц назад
Tutakula vya kufisha lakini hatutakufa, tutakanyaga nge na nyoka lakini hawatatuuma. MUNGU angalia NENO LAKO Ili ulitimize kwa Mtumishi wako Paul
@elinamahenge4562
@elinamahenge4562 Месяц назад
Mungu amponye Paul
@MishaOkondo
@MishaOkondo 25 дней назад
Tanzania mnapenda sumu mbona mungu hua alali atawalipisha . Makonda we love you ❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@LawrenceMsuya
@LawrenceMsuya Месяц назад
Mungu akuepushe nakifo urudisalama undelee kumtukuza kwakufanya kazi yake vizuri nasema mungu akuinue wote semeni amina
@user-uo9tv6cb2z
@user-uo9tv6cb2z Месяц назад
Jamani watanzania acheni ujinga ya kuwaloga watu juweni kwamba mungu anawaona mungu wetu ashuulike na kiongozi wetu Paulo makonda
@songeza
@songeza Месяц назад
RC Mungu wa mbinguni akuponye kama kweli amelishwa sumu Mungu wewe ni Mungu usie shindwa na kitu mponye mtumishi wako.
@dicksonkilupa2258
@dicksonkilupa2258 Месяц назад
NASHAURI SERIKALI IKAE KIMYA HIVYO HIVYO HADI MWISHO WASIJE KUJITOKEZA KUTANGAZA CHOCHOTE KILE JUU YAKE.
@josephinengunda4468
@josephinengunda4468 Месяц назад
Wee mungu mponye mtumishi wako makonda tetea Affya yake Kama kweli ndivyo ulivyo mponye naituma damu ya yesu ikayeyushe uovu huondani ya damu yake kwenye mishipa mifupa na ndani ya mwili wa mtumishi wako makonda, na hao waliofanya uovu huo ukaurudishe kwao na kizazi Chao Mara Saba ktk jina la yesu
@eliakazilo6078
@eliakazilo6078 Месяц назад
Wema hawana maisha.hata Kama wanaishi ,wanaishi kwa wasiwasi
@cyprianonesmo1832
@cyprianonesmo1832 Месяц назад
Mungu amponye Makonda awaummbue wanaofanya jambo hili
@namelockmollel-me3tx
@namelockmollel-me3tx Месяц назад
makonda wetu mungu akulinde ulipo utakufa bali utaishi mpaka utimize kusudi uliloitiwa duniani na mungu, na shimo lililochimbwa kwa ajili yako watadumbikia wenyewe amen.
@ChristinaFrank-yv9bd
@ChristinaFrank-yv9bd Месяц назад
Amina kifupa, aliyekufa kwa ajali yaerkopita mnajua jpia mnajua Wala kwa makonda huwezi shangaa anayefuata ni mpina
@malugukushaha6764
@malugukushaha6764 Месяц назад
Pole sana mh. Makonda, watanzania tunajua uzalendo wako, mwenyezi mungu akulinde kaka.
@jamesrockwellnaloka4145
@jamesrockwellnaloka4145 Месяц назад
Kwaheri sana nninakosa imani kuwa Makonda nimeoteshwa kuwa Makonda Ameshafariki hii ndio ndoto niliyooteshwa kuwa makonda ameshakufa ni wkt mgumu umewafika kutangaza kwa wale waliohusika
@JeanMuzaliwa-bs6qh
@JeanMuzaliwa-bs6qh Месяц назад
kbs ata mm nimeshaliona machoni mwangu bila ata kuota na majibu ya viongozi waserekali nimeyasikia nikaona makonda ayuko tena!
@user-dq3op3gs2d
@user-dq3op3gs2d Месяц назад
Mwenyezi Mungu amlinde kijana huyu Paul Makonda
@DEBORAHMASANJA-yz3go
@DEBORAHMASANJA-yz3go Месяц назад
Pole mtumishi wa Mungu ila Mungu yu upande wako hutafu bali utaishi mtoto wa Yehova hujamaliza kazi uliyo pewa na Mungu kufanya katik kanisa hili jipe moyo mkuu Mungu yu nawe usiogope
@leticiamakoye4871
@leticiamakoye4871 Месяц назад
BWANA YESU kiristo wa nazaleti akuponye makonda akumbuke neno lake na kulitimiza Marko 16:18
@mwanaishasaidi9760
@mwanaishasaidi9760 Месяц назад
Twamuombea M.Mungu amponye haraka na mitihani iliomfika ambayo cc hatuijui ila MOLA ndie ajuae. 🙏
@user-pg2wk7zi5q
@user-pg2wk7zi5q Месяц назад
Mungu akusaidie upone mdogo wangu.na sisi tunakuombea kwa mungu tutazidi kukuombea mungu atakusaidia
@HappinessAko-gu5dz
@HappinessAko-gu5dz Месяц назад
Mungu amponye kiongozi wetu mkuu Amen
@menyajoseph9729
@menyajoseph9729 Месяц назад
Nyinyi mashetani mshindwe we love makonda the next president of Tanzania
@RasuliZuberi-t8t
@RasuliZuberi-t8t 7 дней назад
Pole sana ndugu yeti mungu akusimamoe Kila upitapo
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 Месяц назад
Mungu awalaani waliomtilia sumu watanAniq wote tumuombee
@FaudhiaSeleman
@FaudhiaSeleman 22 дня назад
Mungu akutetee Makonda kila iitwapo leo.
@OmegaMwakikunga
@OmegaMwakikunga Месяц назад
Mungu baba na damu ya yesu ikashuke juu ya kiongozi Makonda na kumponya.Mungu usiruhusu nguvu kazi hii ya Taifa ipotee kiaibu namna hii Mungu baba tena jambo mpiganie kiongozi huyu Amen.
@NeemaMeshaki-qm4ew
@NeemaMeshaki-qm4ew Месяц назад
Mungu ashughulike na kina nafsi inayofanya vita nae maana YEYE MUNGU ANAHUKUMU KWA HAKI NA IKAWE IVO KWA JINA LA YESU
@isaacmaufi7701
@isaacmaufi7701 Месяц назад
Amen
@YohanaNkali
@YohanaNkali Месяц назад
Mungu anajibu maombi,wale wote waliodiriki kufanya hivyo mungu atajibu
@farhannahkulishwaburekunam5360
@farhannahkulishwaburekunam5360 Месяц назад
Kizuri siku zote huonewa si kama magu alikuwa ak7sema ukweli al8kuwa mbaya mungu atamponya na wabaya wataj8tokeza wenyewe
@RebekaMatayo
@RebekaMatayo 29 дней назад
Pole sana pol
@user-ki5pc2eq1t
@user-ki5pc2eq1t Месяц назад
Pole sana Mungu amponye
@user-dy5fn6qj1q
@user-dy5fn6qj1q Месяц назад
Mungu ni mwema atmjalia TU kwa uwezo wake mkuuuu tupo safarini tuu Duniani tunapita tuu Kila jambo lolote mungu huwa maamuzi
@mchungajiZachariatv
@mchungajiZachariatv Месяц назад
ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-X83K3nWdbZ8.htmlsi=rtuM55hCBs_72Len
@jumazamoyoni3745
@jumazamoyoni3745 Месяц назад
Mungu msaidie makonda Mungu mponye
@sisifaty9183
@sisifaty9183 Месяц назад
Pole baba Mungu Atawaonyesha
@user-im3nb1ed2e
@user-im3nb1ed2e Месяц назад
Mungu Yuko na wewe makonda mima nakukubali sana mungu hakulinde sana amém
@Tatu-mb9nl
@Tatu-mb9nl Месяц назад
Kama nikweli jmn Tumuombee Sana MAKONDA kwani lisemwalo lipo nakama jalipo laja MUNGU akawasambalitishe kundi lote la ubaya kuhusu MAKONDA.
@zelladima
@zelladima Месяц назад
Mungu aingilie kati awaaibishe maadui wote wanaowinda maisha ya baba yetu kaka yetu, makonda apone haraka katika jina la Yesu kristo, amen
@HappyDolphin-ku9sh
@HappyDolphin-ku9sh Месяц назад
Get well soon MALUME
@awadhonlinetv9827
@awadhonlinetv9827 Месяц назад
Mungu amlinde Makonda tunakutegemea na tunakuombea upone urudi ktk majukumu Yako🙏🏿🙏🏿🙏🏿
@adrianomichael4038
@adrianomichael4038 Месяц назад
Pole makonda kiongozi wa mikoa yote , hakika mungu atakuponya kwa kila maovu yote yaliyopangwa juu yako na mashetani na Mungu atashughurika nao
@AgnesMatumba-v5e
@AgnesMatumba-v5e Месяц назад
Mungu mponye na kumpa nguvu Makonda wetu.
@goodlucksizya
@goodlucksizya Месяц назад
Mungu Ampe Afya njema makonda alejee kwenye kazi yake aliopewa namama , Mama nakupenda sana naomba kama nikweli ametendewa udhalimu huu makonda nahao watu wapo naomba waadhibiwe iwe fundisho kwawengine, naumia sana mtu anaesaidia wanyonge , duh Bas tu , Ee Mungu nakuomba uwape maisha malefu Rais Watanzania pamoja natendajiwake ambao wanajitoa kikamilifu kuitenda kazi yawananchi Watanzania wape nguvu na Afya njema, Amina.
@ZENAMPUMILWA
@ZENAMPUMILWA Месяц назад
Pole sana Mungu akuponye
@AMINAJUMA-l4z
@AMINAJUMA-l4z Месяц назад
NKuombea.mungu akuponye na akulinde kwa ajili ya wanyonge
@VailetMwakajinga
@VailetMwakajinga Месяц назад
Mungu aingilie katii akuponyee pole sana kaka
@irenejoh1242
@irenejoh1242 Месяц назад
Pole kaka yetu upone haraka watanzania tuko pamoja nawewe ❤tunakupenda sana sana,,,get well soon,,,serikali ya Tanzania imejaa chuki na fitna
@user-vt4je9eb5r
@user-vt4je9eb5r Месяц назад
Tunaomba kujua huyu kiongozi mchapakazi yuko wapi ghafla haonekani
@zeramtedzi4115
@zeramtedzi4115 Месяц назад
Nafsi yangu ilisononeka sana niliposikia anaenda kiongoza Arisha, nilikuwa naoma goza mbele yangu, nafsi yangu haikupokea kabisa uteuzi huu. Hatutoboi.
@JuliethMathias
@JuliethMathias Месяц назад
Mungu Baba mwenyezi tunaomba mponye kiongozi wetu makonda uko aliko atoke salama. Amina
@user-gf3mm7ek8d
@user-gf3mm7ek8d 18 дней назад
Pole Sana makonda utapona mungu ndie Kila kitu,
@MoshiChacha
@MoshiChacha Месяц назад
Pole sana mheshiwa
@gorgonusshayo920
@gorgonusshayo920 Месяц назад
Hii nchi inaviongoz wasenge sana . MUNGU AKULINDE BRO . NAKUKUBALI SANA😢😊
@samwa9496
@samwa9496 Месяц назад
Sasa unatukana nini
@user-dt7ec3tr2v
@user-dt7ec3tr2v Месяц назад
Pole sana kaka watanzania ndivyo walivyo hawapendi maendlea mungu akufanyie wepsi upone uendelee na majukumu yako
@jamesbayo1910
@jamesbayo1910 Месяц назад
@JacklineMasawe
@JacklineMasawe Месяц назад
Ewe mwenyezi mungu mlinde makonda na kumwepusha na umauti🙏🙏🙏
@rahabnkya8276
@rahabnkya8276 Месяц назад
Mungu anaona yote. Yona 1 2 3 4! Utapata majawabu mengi. Tumuombee baba huyu, na mungu akisikia kuomba kwa mzigo juu ya Makonda, basi jibu chanya litapatikana lazm.
@user-fk1fd8on6e
@user-fk1fd8on6e Месяц назад
Makonda akifa lazma tuwaonyeshe
@khadjamhozya
@khadjamhozya Месяц назад
Kumbuka sisi Ni washika makari wenyewe ndio washika mipini
@fridaminja7191
@fridaminja7191 Месяц назад
Kweli aisee, nassi tuwe na ujasiri kama wakenya. Yan naumia sana jaman axha tuu
@gracejulius6913
@gracejulius6913 Месяц назад
Inabid tufanye kama kenya asee tusiogope tuwakatae ngaz yajuu CCM 😢
@SesiliaYustini
@SesiliaYustini Месяц назад
Mungu naomba tenda miujiza hidunia sijui hata Ina elekea wap?🙏🙏🙏
@khadejarajab844
@khadejarajab844 Месяц назад
Eeallah mfanyie wepesi apone
@FridaLaizer-mu2kz
@FridaLaizer-mu2kz Месяц назад
MUNGU akulinde mtumishi wa ke asikuache uingie kwenye matarajio yao,akufiche Kama alivyomficha Musa.
@lemalema3613
@lemalema3613 Месяц назад
Hakika roho yangu inauma sana juu ya mambo haya. Watanzania tujitafakari mno, kwani hali ya wasiwasi imekithiri si tu kwa viongozi bali hata kwa yeyote aliye msema kweli. UNAFIKI, CHUKI, WIVU, TAMAA na mengine ya giza vimeshamiri mno. MUNGU ATUREHEMU WOTE.
@NoelMussa-r5i
@NoelMussa-r5i Месяц назад
Maomba viongozi wadini wakuu kama kena mwambosa mmfate muheshimiwa makonda mkamuombe apote haraka sana naombatu 🙏🙏🙏
@VoiletMazon
@VoiletMazon Месяц назад
Nikweli watu wazuri Dunia anawaonea uwivu Kwa hiyo anapita mateso nyinji lakikini, mungu anakhaa Kwa pande yao
@janemushi850
@janemushi850 Месяц назад
Ee Mungu uliye hai naomba usiruhusu lolote baya kwa mwanao ikiwa ni kwa mapenzi ya mwanadam, nabatilisha mauti kwa jina la Yesu
@ndorobocarworks-dx4pf
@ndorobocarworks-dx4pf Месяц назад
Hii nchi sijui ipoje yan kiongozi bora wanamuua
@KuhanMartins
@KuhanMartins Месяц назад
Hivi hii serikali iko seriously kwel...yani kiongoz anazungumza hivi jeshi la polisi limenyamaza...tuliliona hili kwa JPM leo kwa mkuu wa mkoa ila mm niseme Siku moja ataumbuka afanyae haya
@DEBORAHMASANJA-yz3go
@DEBORAHMASANJA-yz3go Месяц назад
Neema ya Mungu ingali juu ya makonda
@AnnaMsigwa-oi8do
@AnnaMsigwa-oi8do Месяц назад
Uwiiiiiiiii, kakaangu makonda, mungu mnusuru makonda
@restutarhamis4609
@restutarhamis4609 Месяц назад
Mwekeen sumu kisa chuki kisa MTU anatenda haki mlimchukiaga magufuli Leo tunateseka aliye Fanya hayo mungu atasema naye
@user-qu1mq2ik2e
@user-qu1mq2ik2e Месяц назад
Wema wako unaowafanyia wananchi ukufuate popote ulipo hata kama ni hiyo sumu haitakudhuru kwa jina la yesu tunakuombea mema waja maadui yako waishi ili waone mema mungu atakayokutendea
@user-bd1zr4vn1b
@user-bd1zr4vn1b Месяц назад
Kwani mtu wa mwisho kuwa ile siku ya mashindano ya pikipik si huyo mchungaji tumuulize vizuri Mwamposa
@AmenMushi-j2j
@AmenMushi-j2j Месяц назад
Mungu wa mbinguni mtee
@user-km5gy6mr1f
@user-km5gy6mr1f Месяц назад
Emwenyezimungu shuhulika na makonda emungu teta na wanaoteta nawe pigana na wanaopigana na we ishike ngao na vigao usimame ima umsaydye ❤❤❤❤❤❤❤❤
@NaomiZacharia-n2k
@NaomiZacharia-n2k 23 дня назад
Mungu akulinde daima
@athumanirashidi-b3z
@athumanirashidi-b3z Месяц назад
Kama kweli wamefanya mabaya Kwa kiongozi wetu mpendwa wakae wakijua hakuna maisha ya milele hapa duniani
@JakcsonJakcson
@JakcsonJakcson Месяц назад
Kuwa makini sana jembe letu bado tunakuhitaj sana 😅😢😂
@AnnoyedHarp-tg7ur
@AnnoyedHarp-tg7ur Месяц назад
Mungu Atume malaika wake Akuponye
@amermakeny5505
@amermakeny5505 Месяц назад
Mungu amwinue Mtumishi wake
@RidhiwanKyella
@RidhiwanKyella 16 дней назад
Amen
@jacksonpriva7664
@jacksonpriva7664 Месяц назад
Daaaa aya bwana, ngoja tuone
@user-lh8oo4tw7q
@user-lh8oo4tw7q Месяц назад
Wishing you quick recovery
@user-lt1bi5nr1x
@user-lt1bi5nr1x Месяц назад
TBC hamtangazi vipi mitambo mibovu😮
@AploniaJohn-pc7du
@AploniaJohn-pc7du 25 дней назад
Kiongozi wetu mungu akuponye kabisa🙏🙏
@MahdouMomba
@MahdouMomba Месяц назад
Muda ndio msema kweli, muda ukifika tutajua tuu ni nani mwema kwetu na ni nani mbaya kwetu, acha tuendelee kusubiri muda ndio kila kitu
@mankamushi4588
@mankamushi4588 Месяц назад
Kabisaa jamani uwii wasifanye hivyo huyu baba Bado tunamwitaji watanzania tumwonbee
@mankamushi4588
@mankamushi4588 Месяц назад
Jamani watanzania wenzangu tuungane kumwombea makonda.mimi Toka Jana Niko kwenye mfungo wa maombi namwombea lazima apone kwa jina labyesu
@NaomiZacharia-n2k
@NaomiZacharia-n2k 23 дня назад
Mungu akulinde daima ❤
@MariamLwimo-vm8mm
@MariamLwimo-vm8mm Месяц назад
Nyie viongozi mnashida gani mtuakisema ukweri mnaona nawaharibi tutaanda mana kwari tunajua mmemfanya njama ni mnyororo mrefu nakuombea makonda popote uripo mungu afungue mirango eemwanyezi mungu msaidie makonda
@FatumaMadule
@FatumaMadule Месяц назад
Makonda mtoto wetu mungu akulinde popote hapa duniani akuepushe na magumu yote mbele yako inshaallah
@isaacmaufi7701
@isaacmaufi7701 Месяц назад
Mungu awe pamoja na Makonda.
@EliethaKisetu
@EliethaKisetu Месяц назад
Mungu amponye kiongozi wetu,amkumbuke katika mazuri aliofanya
@user-oo1vz3zi1t
@user-oo1vz3zi1t Месяц назад
Kama kweli kapewa smu naAkifarki kwastaili hii hvi tutaelewana kweli
@SleepyFloatingIceberg-nd6kl
@SleepyFloatingIceberg-nd6kl Месяц назад
Mungu atamrejesha tena akiwa salama
@AyubuMsindo
@AyubuMsindo Месяц назад
Nchiinaenda pabaya sana kamanikwelk
Далее
Bike Challenge
00:20
Просмотров 19 млн
Butch REACT to Creative way to fix damaged tile!
00:46
🛑 ты за кого?
00:11
Просмотров 48 тыс.
Bike Challenge
00:20
Просмотров 19 млн