Тёмный
No video :(

Dakika 10 Za Maangamizi - Maarifa TheBig Thinker | Planet Bongo 

EastAfricaRadio
Подписаться 508 тыс.
Просмотров 243 тыс.
50% 1

Maarifa 'The Big Thinker' Rapa kutoka Kibaha akizitumia Dakika zake 10 za maanganizi ndani ya Planet Bongo.
Planet Bongo kila siku ya Jumatatu hadi Ijumaa saa 7:00 maacha hapa East Africa Rario kupitia 88.1 fm.

Опубликовано:

 

5 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 414   
@maletz9660
@maletz9660 5 лет назад
huku kwetu mwizi hapigwi. anasemwa mpaka anakufa. gonga like kama unamkubali maarifa
@Maarifaa
@Maarifaa 7 лет назад
asante MUNGU sijafika niendako ila sipo nilipoanzia @maarifabigthinker
@fashionking4821
@fashionking4821 7 лет назад
Maarifa BigThinker @hahaha chafya ya mpishi haizimi moto
@comradehamimu2763
@comradehamimu2763 7 лет назад
tumeyapata maarifa vizuri kabisa
@nkingamarco658
@nkingamarco658 7 лет назад
Maarifa BigThinker hv ndo v2 ambavyo huwa tunahitaj mashabiki big up man daaaaa mauwezo
@jeremiahissayazeriana399
@jeremiahissayazeriana399 7 лет назад
Maarifa BigThinker respect 🙌🙌🙌
@musamoe2604
@musamoe2604 7 лет назад
wewe ni hatari hongera we unatisha kama mtu asiejulikana
@zablonnkya5651
@zablonnkya5651 5 лет назад
Kutokana na kufatilia dakika 10 za maangamizi wasanii wenye majina hawawezi flow freestyle wanachana nyimbo zao tena kwa kuzisoma Lakini Hawa underground Wanatoa moja kwa moja kichwani na wanazimaliza dakika vyema kwa kitu kinaeleweka.... Big up Sana maarifa
@milajishabani8909
@milajishabani8909 5 лет назад
yesuuu
@OchoaHomeDecor_
@OchoaHomeDecor_ 2 года назад
Kwani aliekwambia dk 10 za maangamiz ni kwaajil ya freestyle ni nani?😂
@derickdepota101
@derickdepota101 10 месяцев назад
​@@OchoaHomeDecor_watu wanachanganya saana😂
@chegaritofx
@chegaritofx 7 лет назад
Nasemajeeee!!! Hawa watu ndo wale wasiojulikana.....bado tunawatafuta....maarifa niii 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@teilencedevard9431
@teilencedevard9431 7 лет назад
Leonard chegarito maarfa on top ndio paku invest tajir wang
@tonkud2111
@tonkud2111 5 лет назад
du
@tirathegreat8839
@tirathegreat8839 21 день назад
Maarifa the big thinker the real Mc...umetisha mzee baba
@mnyembzeskipper4839
@mnyembzeskipper4839 7 лет назад
Maarifa anaenjoy mwenyewe, yuko vizuri hadi sio vizuri kazi imepata mchapaji.
@salminmwalile6172
@salminmwalile6172 7 лет назад
Umeangamiza kweli mzee baba, salute sana maarifa, utafika mbali in shaa allah
@Memes_Swahili
@Memes_Swahili 7 лет назад
Hallow! I'm Raiden from Canada, I don't understand Swahili but,,, Mamamamaeee Maarifa we ni mtu mbaya sana aiseee!!!
@jamesmushi4406
@jamesmushi4406 7 лет назад
maaarifaa kauuwaa qmmke baa Mdgo kaaujuaa kutufurahishaaaa aisee salute Sana maarifa
@cassanosniper6799
@cassanosniper6799 7 лет назад
Shida zinaweza kumyeyusha hata barafu wa moyo 🔥
@antonymwasi7854
@antonymwasi7854 3 года назад
Hata ukitembea juu ya maji watasema hauna nauli🔥🔥✔
@dadychaps7527
@dadychaps7527 7 лет назад
Anaweza. SALUTE Maarifa unachana kwa mapana zaidi ya Taarifa. #Irep254
@ibraahmapexah5418
@ibraahmapexah5418 7 лет назад
maarifaaaaa we ni big thinker ........keep it up mwambaaaaaaaa
@youngxhadah7951
@youngxhadah7951 6 лет назад
ebwanaaae! vipaji vya kweli vipomtaani... salut maarifa wape maarifa wenye maarifa yao.
@pharergyramson5918
@pharergyramson5918 7 лет назад
Chafya ya mpishi haizimi moto😂😂😂😂 #mwanangu sinaga neno ww ndo m2 wa kwanza ambaye umefanya utofaut kidogo👏👏👏
@daizolemmy621
@daizolemmy621 7 лет назад
for the first time na comments hapa dis men his freaking danger 🔥🔥
@kimolyjunior7978
@kimolyjunior7978 4 года назад
Maarifa umetishaaaa kweli nimeuamini uwezo wako
@pharergyramson5918
@pharergyramson5918 7 лет назад
Hukuwahi kuniangusha tunaposema best Emcees nadhan ww n among of them umekichafuaaaaaa yan mzee we si m2 mzur kabisaaaaaaa
@jameschanja8304
@jameschanja8304 7 лет назад
Waliotumwa wanitulize wamekutwa nimewatliza😂😂😂😂😂😂 kwenye hip hop inaitwa playwords salute bro maarifa the big thinker
@ToyTz
@ToyTz 7 лет назад
anakwambia ye ndo mwizi anaemwiba mwizi na mlinzi!! NoMa sAnA!! yupo frexh mwana!! kauwa kwa nafasi yakee! nampa bigup
@bahatiwilliam5618
@bahatiwilliam5618 5 лет назад
T.o.y Tz Bahati Bukuku
@justinechina5985
@justinechina5985 2 года назад
mtoto wa baba anaujua
@johnizoboy
@johnizoboy 6 лет назад
Babakeeeeeeeeeeeeeeeeee hizi vibes sio za nchi hii
@faridabaruthy7435
@faridabaruthy7435 5 лет назад
This is the best ever
@michaelmchome6862
@michaelmchome6862 7 лет назад
My brother 🙌🏻 ... You killing it...
@dego1087
@dego1087 Год назад
Kuhusu hii mitihan ya maisha wa kusahihisha ni mungu 🔥🔥🔥🔥🔥
@sillaskelly6135
@sillaskelly6135 5 лет назад
kuhusu wanafiki msijali kiboko yao kifo!! mnyama umetishaa
@jaffarmakalah9834
@jaffarmakalah9834 7 лет назад
ayeeeeeeee maarifa kweliiiii amekichafuaaa!!!!!!!
@kikomelikagere5757
@kikomelikagere5757 5 лет назад
Noma kwel maarifa umetixhaaaaaa
@ericklusaya4116
@ericklusaya4116 7 лет назад
You deserve to be THE BIG THINKER kaka Big Up!
@brisketkidari1623
@brisketkidari1623 7 лет назад
duh hii kweli noma kama umechepuka na mke wa mganga
@nsajigwamwakolo6379
@nsajigwamwakolo6379 7 лет назад
#maarifathebigthinker hataree mtoto wa fid
@nsajigwamwakolo6379
@nsajigwamwakolo6379 7 лет назад
huyudogo anajua sana kweli big thinkeR
@apolinaryprimus5542
@apolinaryprimus5542 5 лет назад
Am ur no 1 fan!!!!
@mbuguswambuguswa4318
@mbuguswambuguswa4318 7 лет назад
w noma zaidi ya sana una zidi hadi marapa wengine
@missmakusudi7237
@missmakusudi7237 7 лет назад
walotumwa kunituliza wamekutwa wametulia✌
@stevenkaria6
@stevenkaria6 7 лет назад
nakuona mdau, vip mumeo nchama mzima?? 😂 😂
@missmakusudi7237
@missmakusudi7237 7 лет назад
Steven Karia 😂😂nampango Wa kumuibukia Dom😂😂
@stevenkaria6
@stevenkaria6 7 лет назад
+miss makusudi 😂 😂 😂 usijemmaliza mistar
@missmakusudi7237
@missmakusudi7237 7 лет назад
Steven Karia na nilivyo sasa tofaut na hiphop😂😂😂atanichana bila kunimaliza akiishiwa nahamia kwa nchma then selementally😄hlf ntatua kwa wenye movement yao(lunduno)
@majidimakinywa6168
@majidimakinywa6168 3 года назад
Chura me simpig teke bali namdondoshea tofari.., gonga laik apo kama umemwelewa kwa kina
@barakamichael673
@barakamichael673 7 лет назад
unalitendea haki jina lako mzee kweli wew maarifa
@dominickadogo11
@dominickadogo11 7 лет назад
safi sana yupo poa.....big up
@jorammasinga3786
@jorammasinga3786 7 лет назад
jamaaaa uko vizuri unaweza usile ukoko hata kama umepikia jungu kuu
@maskinijeuri9447
@maskinijeuri9447 7 лет назад
hatari sana Presented Mwenzangu
@malulujr
@malulujr 7 лет назад
yupo fresh. safi kaza sana
@kshayofurniture2941
@kshayofurniture2941 2 месяца назад
Tunaoingalia tena 2024 tujuane hapa
@djsulumusicanalyst
@djsulumusicanalyst 3 года назад
Hatari San one of the finest mapezi ugonjwa n usipo kaza utafas
@tysonkitumbika5548
@tysonkitumbika5548 6 лет назад
umekomaa mzee ni tofauti na kitambo naona hatua nzuri, big up home boy.
@pj4087
@pj4087 7 лет назад
Naamin huu ni muda sahihi wa kupata kile tulichokimiss mda mref kwenye hiphop bongo ,Ni mtu sahihi na umekuja kwa wakati sahihi .Ipo siku utaishi ndoto zako .HATAREEEEE........Maarifa ya Maarifa haikuwa rahisi na kwawanafki TUPILIAKULEEEEEE
@francismorris4092
@francismorris4092 7 лет назад
One of the BEST so far
@artistkilongola422
@artistkilongola422 6 лет назад
Jamaaa umetisha Sanaa ", killer atasubiri Sanaa, ww ni shida brother,
@mlwanikamchizi3507
@mlwanikamchizi3507 7 лет назад
Umeangamiza Dunia nzima.@maarifabigThinker..
@mnyakitz2007
@mnyakitz2007 7 лет назад
maarifa mtu mbayaaa najivunia ww kwenye music rap....
@faudhiafundi8348
@faudhiafundi8348 7 лет назад
dah kanishawishi sanaaa... cpendagi hip pop ila maarifa kama ananishawishi vileeeeee😅
@kisinzankwabi2384
@kisinzankwabi2384 5 лет назад
Nakukubali sana kijana ....#anthony messu tokea #picha ya ndege kibaha
@kyternjunie2835
@kyternjunie2835 7 лет назад
Big up umetisha sana mzazi.....kama vipi arud tena mjengoni
@dr.abdinassir6807
@dr.abdinassir6807 7 лет назад
Yani kilichotokea apo nikua *umefanya kitu ambacho watu awakuwaza itakua ivo* #Maarifa 😷 kweli *unaweza tembea juu ya maji wakasema umepoteza nauli* 😂😀😂😀💪
@hassanzubeir7350
@hassanzubeir7350 5 лет назад
😁
@nestorysylivester3780
@nestorysylivester3780 4 года назад
Hatar mzee n zaidi y lunya
@vicentpasco1024
@vicentpasco1024 7 лет назад
Maarifa we noma big thinker
@joohcloudy738
@joohcloudy738 7 лет назад
jamaa mbaya serious you know how to rap and creating hard punch lines...achia dude BA's support IPO
@Maarifaa
@Maarifaa 6 лет назад
jooh cloudy madude yapo Maarifa ft Bright - Maarifa Ya Maarifa Maarifa ft DudySound - HaikuwaRahisi Maarifa - TupiliaKule Maarifa ft Kenny & BrownPunch - SioMjadala ZisakaeHizo
@karathajunior6675
@karathajunior6675 5 лет назад
Real..maarifa..shigdaaa..!
@ToyTz
@ToyTz 7 лет назад
ebana bro dulla! nexttym kama ikiwezekana tumckie na KADGO hapo'' by mr.T.O.Y
@tumaindaniel7907
@tumaindaniel7907 6 лет назад
Nimekuelewa sana maarifa endelea tu kumwaga tenzi
@stanleyludovick8803
@stanleyludovick8803 7 лет назад
Noma sana, 100% nampa. Kama vp muandae tuzo za dk 10 za maangamizi sisi tutapiga kura. Maarifa yupo vzuri sana
@yoscomcvevo3961
@yoscomcvevo3961 7 лет назад
Good job mzee!
@kalingajnr9560
@kalingajnr9560 7 лет назад
Noma sana mzee baba, Maarifa anauwezo aiseee
@mnyakitz2007
@mnyakitz2007 7 лет назад
maarifa kibaha finest..... kunamitari tata humu unatakuwa uturiee sana kama kuna tuzo basi top 3 ...1 scoda 2 boshoo 3maarifa wagombeee tuzo maana wameuwaa nazani ingekuwa pow mwisho wa mwaka kukawa na show ya dk10za maangamiz tutalipa kiingilio fanyeni ivo ili kuwapa motisha wasani kama maarifa.... #0714988885
@edwardenglibert9158
@edwardenglibert9158 5 лет назад
Mbeya boi chuma anawakarisha wote hao
@seifsuleiman846
@seifsuleiman846 3 года назад
@@edwardenglibert9158 wee kuna BANDO MC , kuna Toxic ,
@seifsuleiman846
@seifsuleiman846 3 года назад
Jamaa anajua ile kinoma sio poa yani ila hajulikani tyu fanya juhudi sana mwanangu ufike in the highest stage MAARIFA BIG THINKER
@rodgerspembe6663
@rodgerspembe6663 Год назад
Boshoo hatoboi hapa….
@myriamshafii897
@myriamshafii897 7 лет назад
uwezo A+🔥🔥🔥🔥 maarifaaa
@austinekabisama5895
@austinekabisama5895 5 лет назад
Dogo huko vizuri sanaaaaaaaaaa kaza support kwako
@husseingwanone7825
@husseingwanone7825 5 лет назад
Big Thinker
@ericklibaba1198
@ericklibaba1198 5 лет назад
Daaah Haya kweli Maarifa...
@ipyanamsomba8026
@ipyanamsomba8026 7 лет назад
utamu upo palipozibwa ndo maana wahuni tunapenda bikra😀😀, nomah sana mwanangu big thinker
@abdulsaidi4084
@abdulsaidi4084 5 лет назад
maarifa huyo jamaa anabalaaaaa, keep up bro, wana wachaa iwe
@illushadahkid3400
@illushadahkid3400 7 лет назад
Noma juu ya noma @maarifa mwaga tenzi
@sylvanusmrekoni6463
@sylvanusmrekoni6463 7 лет назад
Umetisha jamaa!!!!
@erickdioniz3197
@erickdioniz3197 6 лет назад
Sana mwenetu maarifa unajua
@cevo9920
@cevo9920 3 года назад
Maarifa🔥🔥
@momax_tv
@momax_tv 5 лет назад
Babaee from+254 maaarica ni saitani chura simpigi teke namdondoshea jiwe
@mwikaabas2763
@mwikaabas2763 7 лет назад
Wosaaa Maarifa bonge ya talent babu nimekubali
@onesmochafumbwe7541
@onesmochafumbwe7541 6 лет назад
Yapyap umetisha
@saimmabula3442
@saimmabula3442 7 лет назад
Maarifa bigthinker
@lenkbizzy30
@lenkbizzy30 7 лет назад
Maarifa kweli kweli aseee big up #NGUMUBLACK
@winfridawibfruda2012
@winfridawibfruda2012 7 лет назад
Unaweza maarifaa
@mudhihiliabdulkarim9698
@mudhihiliabdulkarim9698 7 лет назад
maarifa umetisha sana
@djb2kzer0
@djb2kzer0 6 лет назад
Yeah u the best mr maarif
@sarehemohamed9482
@sarehemohamed9482 4 года назад
Mnaweza msiupate ukoko na mmepikia jungu kuu
@zombem2mbaysmpock385
@zombem2mbaysmpock385 4 года назад
Mkali kinoma
@hamimuadisababa5471
@hamimuadisababa5471 7 лет назад
Salue homie! you killed it
@maimonatalal8994
@maimonatalal8994 3 года назад
♥️♥️😍💃💃
@benjaminlambert3657
@benjaminlambert3657 7 лет назад
Oyoo mchawi wa lugha the bigthinker himself
@geophreyjoseph8737
@geophreyjoseph8737 7 лет назад
wanataka wakunje ngumi wakati awana ata vidole @MAARIFA
@princekassim4089
@princekassim4089 5 лет назад
#Leo na jana
@nackdree2248
@nackdree2248 6 лет назад
daaa uyu kaka namuelewa
@sharifajanqabari4731
@sharifajanqabari4731 7 лет назад
watu 😱😱🙌🙌🙋🙆🙆oooooooooooooyooooo ntaaaaaaaaaaariiiii tenzi
@kennyruben684
@kennyruben684 5 лет назад
Huyu Kweli MAARIFA
@Offroad.k
@Offroad.k 3 года назад
Flow Kali sana
@estandetere6653
@estandetere6653 3 года назад
Maarifa sio poa big hip pop in Tanzania
@saidihamidy6838
@saidihamidy6838 5 лет назад
Daa, anajua ad anakela
@pascalmusyoki7491
@pascalmusyoki7491 3 года назад
Natiiii from kenya
@rumibarton2359
@rumibarton2359 4 года назад
Anaitwa maarifa
@REVOLUTIONARYLYRICS
@REVOLUTIONARYLYRICS Год назад
Noma🔥🇰🇪
@maxmilianmariceli6708
@maxmilianmariceli6708 7 лет назад
Toka kitambo nakukubali sana Maarifa
@johnmulungu9821
@johnmulungu9821 7 лет назад
Genius uyo dogo cyo uongo kapiga Non_stop,big up
@dissartv4806
@dissartv4806 7 лет назад
Maarifaa umeuwaaa mbaba
@tobiasbeda2022
@tobiasbeda2022 6 лет назад
Ni motooooo nakubali
@frankjokonea5653
@frankjokonea5653 7 лет назад
shida zinaweza kumyeyusha barafu wa moyo
@nmasoud8921
@nmasoud8921 4 года назад
Maarifaaaaa
@kalingajnr9560
@kalingajnr9560 7 лет назад
Umesikika mzee baba, Tenzi kali mzee
@timothmwakakusyu4563
@timothmwakakusyu4563 7 лет назад
mi nakuita critical thinker uko vizuri MC
@kastomalila4298
@kastomalila4298 6 лет назад
Umeua sana mzee maarifa
Далее
Dakika 10 Za Maangamizi-  Dizasta Vina | Planet Bongo I
12:06
Dakika kumi za maangamizi Bassat Waboe
12:44
Просмотров 1,2 тыс.
Sitaki kua tajiri, nataka kufanikiwa
55:54
Просмотров 61 тыс.
PLANET BONGO - DAKIKA 10 ZA MAANGAMIZI NA FID Q
10:50
Просмотров 277 тыс.
Dakika 10 za Maangamizi - Nyenza | Planet Bongo
12:29
Просмотров 187 тыс.
Dakika 10 Za Maangamizi   Boshoo vs WaKiafrika
13:58
Просмотров 388 тыс.
DAKIKA 10 ZA MAANGAMIZI : BOSHOO
12:13
Просмотров 506 тыс.