Тёмный

DAKIKA 40 ZA MAANGAMIZI | SHEIKH MZIWANDA KAAMUA KUJIBU | KUHUSU SAFARI YA YAKE YA IRANI KWA MASHIA 

MASJID MTORO ONLINE TV
Подписаться 429 тыс.
Просмотров 25 тыс.
50% 1

Created by InShot:inshotapp.page...

Опубликовано:

 

21 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 81   
@jeanmusamba3253
@jeanmusamba3253 Год назад
HILI JAMAA HUWA GENIUS SANA,HUWA NAPENDA SANA KUMUONA AKITUPIGA DARASA,KAZI NZURI SANA SHEKHE MZIWANDA,ALIMBANA KWA POINT HAMZA ISA HAKUTOBOA HAHAHAH
@kijitamfyomi5598
@kijitamfyomi5598 Год назад
Afanye mdahalo na mashia kama atachukua 15minits hamza yule ambae hajitambui
@abdulgadiralahdal901
@abdulgadiralahdal901 Год назад
@@kijitamfyomi5598 Una uhakika ?. Mashiahawawezi kufika popote ndugu
@abasadidal7
@abasadidal7 Год назад
Shukrani sana sheikh Mziwanda
@salumahmadasalum1556
@salumahmadasalum1556 Год назад
Mziwanda wewe ni mzungumzaji mzuri sana punguza maneno mengi zungumza kwa dalili zaidi ili tuweze kufaidika
@swahibulfalak4378
@swahibulfalak4378 Год назад
Shia we kafiri muachie mxiwanda
@juniorndago8488
@juniorndago8488 Год назад
Mpe hiyo dalili aizungumze!
@MB-yq3ty
@MB-yq3ty Год назад
Huwa hapakuchi paaapu Mara moja lakini kidogo kidogo hadi jua linachomoza mambo mazuri yanakuja mbele inshaallah.
@rwechunguraissa1394
@rwechunguraissa1394 Год назад
Wewe Mziwanda Ni sawa na Mwanasiasa, Ni porojo tu. Halafu ujue kuwa Ni kweli wajibu wajibu wetu ni kutafuta elimu. Lakini sio kila elimu ni ELIMU. Baadhi ya Elimu Ni za upotoshaji.Upotoshaji nao Ni elimu. Mwenye uwezo wa kupambanua hoja ndiye msomi wa kitaaluma. Acha porojo.
@mxy7699
@mxy7699 Год назад
usiumize kichwa chako some mambo muhimu sana katika dini yetu hii
@muhiddinmlawa6418
@muhiddinmlawa6418 Год назад
Allah akuweke uendelelee kuutetea uislam (Mtume na Maswahaba wake)
@nyotafcusewepwani5811
@nyotafcusewepwani5811 Год назад
mashia laaana
@athmanidi7388
@athmanidi7388 Год назад
Kwanza Natalia uwelewe katika uislamu hakina Madhehebu kila anadai NI muislamu NI SHIA tumuhammad just hivyo
@athmanidi7388
@athmanidi7388 Год назад
Hata wewe NI SHIA unamfata Mtume
@asiakheir8684
@asiakheir8684 Год назад
Shia hawakuelewi
@ramiyawetutv
@ramiyawetutv Год назад
Allah
@abdalamakajula3883
@abdalamakajula3883 Год назад
...mziwanda ulivyoalikwa kwenda Iran mbona umekaa muda mrefu kukiri ulipewa mzigo? Hukuona ubaya wa Mashia hapo Kabla!?
@abdalamakajula3883
@abdalamakajula3883 Год назад
...mziwanda mzigo umepewa na Mashia wala hukujiona kuwa una njaa na hukuona ubaya wao... Kweli Wewe juha...
@adhinlema6023
@adhinlema6023 Год назад
Niatari sana akika wewe juha zaidi Mziwanda
@khalifakombo8525
@khalifakombo8525 Год назад
Mm naona hapa kilicho fanywa ni ghushi wameandika kawajibu mashia kumbe anazungumza maulidi dah
@alternativeislamicmedicine8396
HII NDIO AGENDA YA KINA MZIWANDA NA GENGE LAKE ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-BlYRBBONGRY.html
@ahmedshkeli85
@ahmedshkeli85 Год назад
Yataka akili na ufahamu kufahamu alichosema shekh, usipo muelewa utasema anatafuta kiki. Waislam tusome huwez kumuelewa huyu sheikh kma hujasoma.
@ramadhanikileo4615
@ramadhanikileo4615 Год назад
Hivi kinachoendelea huku mtaan mnakijua mnaharib dini kila mtu anasema lake na dalili zake Sasa tunasoma lkn hatuelew
@khidmatulquran
@khidmatulquran Год назад
Tuendelee kusoma tutafute elimu tusomeni tusiache kusoma tukaeni darasani
@hamzayusuf1894
@hamzayusuf1894 Год назад
Ni makafiri mimi na sema mim
@nurdinmfamau3493
@nurdinmfamau3493 Год назад
Hatari Yakumtia Mtu Katika Ukafiri Akiwa Sio Kafiri Basi Ukafiri Huenda Ukakurudi Wewe. MOLA Wetu Nimjuzi Wayale Tusiyoyajuwa.
@samxx411
@samxx411 Год назад
@@nurdinmfamau3493 inategemea na maneno yako utakayosema, ukimpinga mtume unakuwa nani, ukiwapinga maswahaba, ukimpinga Mungu..
@sheriffntaru2337
@sheriffntaru2337 Год назад
Wacha kuwatukana waislamu wenzako makafiri.kabla ya matusi unganisha family yako uhakikishe wanaswali swala tano Kila siku waamrishe mema na uwakataze mabaya huo ndo uislamu
@iddydawood2020
@iddydawood2020 Год назад
@@samxx411 kwani katika Nguzo za dini maswahaba Ni ya ngapi??? Hata katika atahiyatu salaatu alaa nnabi mbona maswahaba Hawamo ?????
@samxx411
@samxx411 Год назад
@@iddydawood2020 ukiwa na elimu hiyo utakufuru sana mana katika hiyo nguzo za kiislamu hata mitume hawamo wala malaika wake wala qurani haipo ukiwa na uislamu huo utakosea sana ila M/Mungu kawataja maswahaba wake wakiwa hai kuwa tayari amewapa pepo maana yake kuwa tayari aliwaridhia na Mungu akisha ridhia ikisha wewe mwenzangu ukisema wametajwa wapi sijui unakuwa umejiweka kundi gani..labda uislamu wako una mashaka mana siku hizi hata ndugu zetu wasio waislamu huweka majina ya kiislamu ikisha hutuma meseji za kupinga uislamu
@ibrahimaziz7158
@ibrahimaziz7158 Год назад
Linafiki moja kubwa tz
@shaabanadam2336
@shaabanadam2336 Год назад
Huyu husema ukweli wacha unafiki wako
@lilianmakwati5228
@lilianmakwati5228 Год назад
Mbona unamtukana muislamu mwenzako
@masoudrashidmohammed4124
@masoudrashidmohammed4124 Год назад
Hujamaliza kuumbwa na hujielewi bado
@asiakheir8684
@asiakheir8684 Год назад
Tunakukubali
@kijitamfyomi5598
@kijitamfyomi5598 Год назад
Mziwanda unatakiwa kuwa na hekima na kuyapima yale unayoyaongea maana huko unakoelekea unakwenda kuharibu Hilo tusi unalosema mashia wanamtukana swahaba mtukufu Omari wewe unapolirudia tusi lilelile ni sawa na kumvunjia heshima Omary kwa mara nyingine,tazama sifa na kuongea sana zinampoteza mtu iga mfano kwa masheikh kama kina Kundecha,kina Walidi tazama wanavyoengea,
@moanamohammed1406
@moanamohammed1406 Год назад
Swadakta
@mxy7699
@mxy7699 Год назад
hakuna kitu mawlid la kwanza kwanza tusome hili isipokuwa tunafuta tu kama mazoeya
@samxx411
@samxx411 Год назад
Lakini hapingwi mtume
@kijitamfyomi5598
@kijitamfyomi5598 Год назад
Chuki zako na bakwata unazipitishia kwa Mashia
@Gamba177
@Gamba177 Год назад
Hakuna Shia mweusi, huyo Jalala akienda Iran anaitwa Nyani wa Kimakonde kaja kutoka Africa, maana Mashia hawaamini nyani wa kimakonde kuitwa Shia eti Shehe hakuna kwao Iran.
@abubakarisalimu4262
@abubakarisalimu4262 Год назад
Ingia tu kwenye suna shekh mziwanda
@salmaabdallah1362
@salmaabdallah1362 Год назад
Shekh unatafutaa kiki wee jamani dini siku iz watu wanazipelekaa vibayaa ndio maana sikuiz madhambi yamekuw mengi
@abunajreenELSESANY
@abunajreenELSESANY Год назад
Ndio DINI ILIVYO MASHIA LAZIMA WASEMWE
@isaliisu3408
@isaliisu3408 Год назад
Wewe salma acha kumdhihaki shekh mziwanda uwe heshima
@salmaabdallah1362
@salmaabdallah1362 Год назад
@@isaliisu3408 mimi nikajuaa nadhihakii kitabu cha mungu ivi leo mwanangu anazariwa my 2023 anakutana na kitu kama hichi mara shogaaa mara ving'olaa ataelewaa nini kuna vitu vingi vya kuvifundishaa sasa ajee uku uswahilinii aonee vitukoo vya watoto wa kiislamuu vitu wanavyovifanyaaa yeye anaongeaa na watu ambao wap wanaaminii kama anavyoaminii yeye ataweza kubadilishaa nini sasa acha akahukumu mungu keshoo ww iyo cyo kaz yakooo angaika na hawa vijana wadogoo ambao wameshapoteza awapo kwenye dhehebu lolote lkn wanaitwa hamisi ally, shabani nk
@mahengomwenyewe4204
@mahengomwenyewe4204 Год назад
@@salmaabdallah1362 Duh ujinga ni mzigo mzito sana . Huoni kua hawa mashia ndio wa kwanza watu waelimishwe nao tazama walivyokuvuruga akili unasema wao wanaamini kama yeye wewe unaijua imani ya mziwanda na mashia ni moja ? Unaelewa kweli unachokisema wewe ? Hao wa mtaani unowasema hawana imani yoyote myoyoni mwao zaidi ni ujinga tu lkn shia ni imani fulani tena inanasibishwa na dini ndio maana had wewe umeona wasemwe wa mtaani huko hapo ndio inapokuja tofaut ya elim na mawazo matupu kuwasema mashia ni jambo la kwanza kabla ya walevi na wazinzi na wala unga kwavile wewe wajua wanakosea hao walevi na hujui wanakosea shia basi kuna haja ufundishwe ubaya na kuna haja watu wawaseme shia hadi wajulikane Kama wanavojulikana walevi kua wanakosea.
@ahmadmadaai1357
@ahmadmadaai1357 Год назад
Yy anaongelea kiujumla
@issambamba9236
@issambamba9236 Год назад
Huyu mziwanda ni chizi,kwani ni mlopokajitu.
@kijitamfyomi5598
@kijitamfyomi5598 Год назад
We kaa chini ufundishe watu wacha kuwananga hizo nahau zako na swarfa na balagha hazikuwepo hata wakati wa mtume na maswahaba, Hiyo Allahumma swallii tunavuta ni kwa kua hizo beti ziko kwenye mfumo wa mashairi sasa we ikate uone inakua haina ladha tena, Masheikh wakubwa wamesoma hivyo hata Mziwanda hajafikiria kuzaliwa kwani unafikiri walikua wajinga.
@ahmadmadaai1357
@ahmadmadaai1357 Год назад
Km hmn kaleta nani kamyangalie sayyidn Aliy utaelewa
@mahengomwenyewe4204
@mahengomwenyewe4204 Год назад
Mziwanda umewagonga mashia utawaweza vita hiyo mwachie Abu Lfadhwili au unataka wakutafute wakupe pesa kama kweli kwa ajili ya Dini utarudia tena kama kiki hautarudia tena ndio imetoka hiyo ushauza jina watakutafuta wakupe pesa zako hutowataja tena ngoja tusikilizie
@nyotafcusewepwani5811
@nyotafcusewepwani5811 Год назад
kwaio unamkataza asifanye hvo
@mahengomwenyewe4204
@mahengomwenyewe4204 Год назад
@@nyotafcusewepwani5811 Namuhimiza simkatazi
@abalfadhilabdulqahari3018
@abalfadhilabdulqahari3018 Год назад
@@mahengomwenyewe4204 Mie nimekuelewa sana Akhy
@mahengomwenyewe4204
@mahengomwenyewe4204 Год назад
@@abalfadhilabdulqahari3018 Ndio hivyo Akhiy sio kua mashekhe zetu hawajui ubaya na kupinda kwa hawa jamaa lkn wamekaa kimya kama hawajui vile kumbe midomo imeshonwa wapo baadhi ya watu wakitaka pesa kwavile wanajua mashia wanatoa sana pesa ili kununua watu hua anajifanya kuwagusa ili wamfate wampe chochote na wapo wakweli hawabadili msimamo wakianza mwanzo mwisho kila wakipata munasaba wa kuwabainisha wanawabainisha. Pia wengine hushindwa kuwafichua mashia kwasababu ukiwagusa tu kuna vitoto kama kumi vitakushambulia sasa usipojipanga utakuta unashindwa umjibu nani ndio unaingia mitini jiii.
@harunashemsa1459
@harunashemsa1459 Год назад
Kwahio kasim mafuta pekee ndie alietakasika akiwarad mashia hawezi kukubali pesa ila muharamu umechungulia ndani ya nafsi yake ukaona kua anaweza kurubuniwa kwa pesa. Yani pongwe kuna balaa
@sajjadally9248
@sajjadally9248 Год назад
Kutafuta kick kunakuponza
Далее
UGANGA NI IBADA | SHEIKH MZIWANDA
3:59
Просмотров 343
HUU NDIO USIKU MWANANA // SHEIKH OTHMAN MAALIM
16:49
Просмотров 1,6 тыс.
JUA KU ISHI NA MARAFIKI NA MA ADUI... OTHMAN MAALIM
34:54
Kinachofuata baada ya Kufa - Sheikh Mselem Bin Ally
22:40