Othman Maalimu hakika uko bora sana MUNGU akupe maisha marefu utupe darasa na Sisi tuwe miongoni mwa watakaokuwa peponi.... tuyaelew mafunzo yako Amiiin
Nakupenda sana sheh othman maalim..mm sijasoma sana vitabu ila darsa zako nazihifadh zote kisha nazifikisha kwa watu...nakushkuru sana maalim othman najihis kama ni mwanafunzi nilosoma kwako kwa mda mrefu..allah akusimamie
Maasha Allah one of the knowledgeable imaam of our time and may Allah bless him l love him for Allah's sake. May Allah grant him jannatul Firdausi Aala.
Alhamdulillah kwa mawaida mazuri alhamdulillah Allah akujaze her na akuegeze umr mrefu utuelimishe zaid napenda San mawaida yako mungu awajaliye her wano cikiliza mambo ya her awaogezi umri mrefu na awape sbr kwenye ndowa zao
Alhamdulillah,tushukuruni kupata masheikh kama Sh.Athman Maalim,Huyu sheikh ameshiba ilmu akakinai na ALLAH amzidishie,na hajafanya khiyana iwaitoa bila kifundo na ALLAH ampe pepo na radhi amridhie.....AMIIN
Nashukuru mungu muweza,ninaumia sana moyoooooooo,nataman kusema kitu kikamuuumiza alienitenda,mwisho najishusha nakunywea kwaajil ya hofu ya mungu,nakumuonyesha tabasam kutoka moyon alieniudhi, mana hata Mimi cimkamilifu
Maasha Allah shukraan jazzakah Allahu kheir sheikh Othman kwa madarsa nimechelewa lakini nimewahi pia,Mwenyezi Mgu awalipe kwa kila kheir na hizi darsa munazo tukumbusha mambo ya Dini na Dunia🤲🏽🤲🏽🤲🏽
Inna Lilah wa Inna ilayhi Raji'un 😭😭😭😭😭😭😭😭😭kweli Ninakosa Raha kwa kuwa siko Burundi 🇧🇮 Aysee ninge fanya iwezekanavyo nikapata huo utukufu wakukuona Lakin Alhamdulillahi RabilaAlamina najapo cku jalwa kuwepo bahati yao wote wamekuona na Mmie pia nafurahi kwa hii neema ya Allah kwa kukuona nakuku sikia hapa nlipo Alhamdulillahi na Allah atujalye tufanyie kazi hayo umetufuhamisha shukran Jazeelan jazak Allah khayri Mola akupe umli mrefu wenye khayri na barka karibu tena na tena natena 🇧🇮 ❤️NAKUPENDA SANA KWA AJILI YA ALLAH GHAZ'WAJALLAH 💖💖💖💖💖💞
@@user-dg8qe9rf9h nikweli Kbisa lakini sikati Tama kwasa babu naamini sku ya mwisho yipo bilasha kila mtu atakuwa pamja na ampendae basi nafasi hio ntayipata by Llahi taufiqi ln shaa Allah Shukran Jazeeran jazak Allah khayri ya Hareem💕
Mimi naitwa Nourah,mtanzania wakuishi Rwanda,rafiki yagu niliempenda kuzidi wote aliniroga akanifanya nijiskie kuchukia wislam na waislam,nimefika atua yakuona uchawi ndani ya kila mama wa kislam.lakini nashkuru Allah,katika siku za mwisho za mwezi mtukufu wa ramathan mwaka huuu,Allah kanipa bahati ya kuona lailatul qadir,sasa naamini matatizo yangu yote,Allah kayatatua.Allahu akbaru,Allahu akbaru....
NAMI mukristo lakini napenda ma waiza ya kislamu Kuna ukweli mwingi sana na mengine yananipa kujitambu vizuri . Allah subhana wataal awazidishiye nduguzangu .Tena zawadi zake alizo zipa mtume Muhammad swalaalalah Ali wa salaam ziendeleye ku miminika juu ya vichwa vya wa islamu wote duniani .
Namuomba Allah akujalie sheikh othman maalim. Ukuepushe na mitihani ya dunia na akheira. Allah akujalie akuingize kwenye pepo yenye daraja la juu. Kiukweli najifunza mambo mengi kutoka kwako. Hakika Allah ame kupa elimu na hekma. In shaa Allah Allah akuongoze hapa duniani na akheira ktk njia ilio nyooka.
Mashallah tabarakallah jazzaka Allah kheri shekhe wetu nakpenda sana mawaitha yako hayachoshi kabisa yani mashallah tabarakallah Mwenyezi Mungu akuifadha hapa dunia na kesho akhera