Тёмный

Darasa la kujifunza Kichina la Juma Sharobaro 

juma sharobaro
Подписаться 13 тыс.
Просмотров 17 тыс.
50% 1

Mara ya kwanza kwa kujifunza kichina kwa Kiswahili

Опубликовано:

 

26 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 84   
@williamkiondo7914
@williamkiondo7914 5 лет назад
Tumekupata mzee baba Ila tufundishe hatua kwa hatua Kamma somo la kwanza nihili Alaf linafuata la pili Latatu Lanne na kadhalika
@mywater6796
@mywater6796 4 года назад
juma你没教学了它们声调,因为kiswahili没有声调所以他们会说不错还是不好的中文因为说中文的时候需要用声调。
@shufaaakida1146
@shufaaakida1146 3 года назад
Naomba ukifundisha somo la kwanza na lapili pia mimi natafuta somo la pili sipati mpendwa
@juliussanane1860
@juliussanane1860 5 лет назад
Wo hen gaoxing kuja Kwenye channel yako najifunza kichina Wo jiao Sanane Julius, Wo de laojia zai mabibo.Xie Xie wo de laoshi.
@yuvencepatrice8956
@yuvencepatrice8956 3 года назад
Tupe namb
@nimphacharles2201
@nimphacharles2201 3 года назад
Nataka kujufunza 0787013818
@williamkiondo7914
@williamkiondo7914 5 лет назад
Oy juma Naomba unifundishe kwa njia ya whatsapp hata kwa ada mi nitakulipa Please
@maulidmponjeka8377
@maulidmponjeka8377 3 года назад
Sasa mziki wanini hatukusikii vizuri
@DainessSamba
@DainessSamba 4 месяца назад
Naomba unitumie video za kujifunza kichina 🎉
@RichFeelingsForex
@RichFeelingsForex 5 лет назад
xie xie juma. Karibu ujifunze forex kwa kiswahili kwenye channel yetu pia
@denisluambano
@denisluambano 3 месяца назад
Naomba namba nitumie video za kujifunza kichina
@mwengatv3058
@mwengatv3058 5 лет назад
safi, Ila sauti iko chini kidogo
@mussamsabaha7064
@mussamsabaha7064 4 года назад
Y
@lucasmbillinyi565
@lucasmbillinyi565 3 года назад
Xie xie
@MwambaBoy-r2x
@MwambaBoy-r2x Год назад
Naomba tutumie namba yako ya whatsap juma shalobalo
@Salma-uz4gl
@Salma-uz4gl 5 месяцев назад
Nataman sana kujua kichina
@AbuuAli-jb9jj
@AbuuAli-jb9jj 2 месяца назад
Naomba Video zote
@zuwenahassan3461
@zuwenahassan3461 5 лет назад
Xie xie Juma sharobaro ,,darasa zuri
@bintymwaliwanga565
@bintymwaliwanga565 5 лет назад
Ni Bora kufunza kwa kuandika itakua vizuri sna
@yuvencepatrice8956
@yuvencepatrice8956 3 года назад
Jaman weka namba ya simu
@dellifestyle4961
@dellifestyle4961 5 лет назад
Ni Hao😀 Xie Xie😊
@noelitiv8650
@noelitiv8650 2 года назад
Naomba namba yako kaka
@michaelleonard7794
@michaelleonard7794 4 года назад
Namimi nifundishe kichina kupitia wasap
@ommygoldene3636
@ommygoldene3636 5 лет назад
Safiii JUMA!!!! I love it!
@jumaling287
@jumaling287 3 года назад
We Juma mwenza vp
@Kalidushi-c8x
@Kalidushi-c8x 3 месяца назад
M pia nifundishe kichina
@AllyFaraji-cn2bp
@AllyFaraji-cn2bp 2 месяца назад
Mm FARAJI najifunza kichina
@AllyFaraji-cn2bp
@AllyFaraji-cn2bp 2 месяца назад
Mm FARAJI kijana wa form 1 katika shule ya tarimba Abbas naomba unitajie herufi A-z
@walid.a.kazuba5033
@walid.a.kazuba5033 6 месяцев назад
您好
@walid.a.kazuba5033
@walid.a.kazuba5033 6 месяцев назад
我也需要学习中文
@AliyWaziri
@AliyWaziri 10 месяцев назад
Tuna shukur
@giftyjackson2461
@giftyjackson2461 Год назад
Safi juma
@abdallahbasilmarwanyambare9448
@abdallahbasilmarwanyambare9448 3 года назад
Upo wapi? Naomba namba yako ya WhatsApp
@hassanlikwenangu8471
@hassanlikwenangu8471 2 года назад
Sasa mziki wa nn mpk sauti ya mlengwa inapotea?
@joshuamsaki7734
@joshuamsaki7734 2 года назад
Juma tufundishe alfabet za maneno ya kichina
@salimuyohana2756
@salimuyohana2756 2 года назад
Uko wp Juma?
@twofivefive906
@twofivefive906 2 года назад
Pamoja sana boy
@justinkagenzi8108
@justinkagenzi8108 4 года назад
Jomba naomba unisadie nataka kujifunza kichina
@estareliya5818
@estareliya5818 4 года назад
Mm sijaelewa
@josephgadau8913
@josephgadau8913 4 года назад
Sauti husikiki
@yuvencepatrice8956
@yuvencepatrice8956 3 года назад
Umeonaee
@ramrashid7859
@ramrashid7859 5 лет назад
kama umesikia umechakula chakula like twenzetu😂😂😂😂😂
@suleimanseleman1324
@suleimanseleman1324 5 лет назад
Juma naomba unifundishe kichina kwa njia ya WhatsApp 0767072729
@KelvinMussa-k3b
@KelvinMussa-k3b 10 месяцев назад
Sijaelewa et
@ramrashid7859
@ramrashid7859 5 лет назад
waliolewa jaman kama hujalewa uliza😂😂😂
@professorleee2155
@professorleee2155 5 лет назад
Kichina sharo hapo kabugi
@assenganews9435
@assenganews9435 5 лет назад
Ni hao
@EdwardPhilpo
@EdwardPhilpo 2 месяца назад
Thanks
@vennymaxmillian9505
@vennymaxmillian9505 5 лет назад
Ni hao , shang yue wo kaishi xuexi hanyu, qing lãoshī naomba nifanye majaribio ya kuongea nawewe
@HindaRashid-j9e
@HindaRashid-j9e Месяц назад
Ni how ma
@henrymnyapaluhengo3529
@henrymnyapaluhengo3529 5 лет назад
safi sana kaka
@ommyommy8696
@ommyommy8696 4 года назад
Darasa zur juma xharobaro
@neemalkiswaga6126
@neemalkiswaga6126 5 лет назад
Asanteh juma
@furahaabraham4625
@furahaabraham4625 5 лет назад
Asantee sana juma
@njileannualdotto
@njileannualdotto Год назад
Nataka kujifunza kichina
@marrypeter-bf6zu
@marrypeter-bf6zu Год назад
Careen Kwa kichina inaitwaje
@saidalumuli4938
@saidalumuli4938 5 лет назад
Kichina bongo mmh! Kiswahili hatujui itakua kichina
@mercyken9710
@mercyken9710 5 лет назад
Thumbs up Juma
@jumaling287
@jumaling287 3 года назад
Sijakuelewa
@PeterKisenambuga
@PeterKisenambuga 8 месяцев назад
Naitaji kua mwana fundi wako
@princeadolph729
@princeadolph729 3 года назад
Me nataka kujifunza je darasa lako lip wap
@sumamaarif4790
@sumamaarif4790 2 года назад
Juma naomb unifuze kichin Ila naomb bomber yako unifundishe tukiwa free
@emilynmwaihomba3327
@emilynmwaihomba3327 5 лет назад
Sauti dear
@assenganews9435
@assenganews9435 5 лет назад
Nipo kujifunza kichina
@DainessSamba
@DainessSamba 4 месяца назад
Tufundishe arfabet za china
@jifunzelughanapatrice5966
@jifunzelughanapatrice5966 5 лет назад
Wo jiao Patrice,xuexi Dodoma UDOM. Wo xiwang ni de tong xue ma?. Hao ma?/
@vennymaxmillian9505
@vennymaxmillian9505 5 лет назад
Ni hao Patrice , ni jiao vmax shang ge yue wo kaishi xuexi hanyu, je naweza wasiliana na wew kwajli ya mazoez ya kuongea
@talentboytzdiafrican4640
@talentboytzdiafrican4640 4 года назад
Poah jaa, sem njisi kukiandika
@elisantemrita9894
@elisantemrita9894 3 года назад
Mm namarafiki zangu 4 tunataka utufundishe kichina 0714146267 tafazali nipo siriasi
@assenganews9435
@assenganews9435 5 лет назад
Wan Shan hao
@zachariagwimba8344
@zachariagwimba8344 3 года назад
Poa unaeleweka, ila salamu ya mchana vipi hujaitaja
@bintinasseb8527
@bintinasseb8527 5 лет назад
Plz 🙏 Juma nitafute 👉+96891157487
@ommyommy8696
@ommyommy8696 4 года назад
Xie xie
@farajirashid9249
@farajirashid9249 Год назад
xie xie
@jifunzelughanapatrice5966
@jifunzelughanapatrice5966 5 лет назад
Naomba unisaidie kaka,mimi nafundisha lugha ya kiingereza na kichina.....nisaidie kwa 0652489338
@zuberihassan2450
@zuberihassan2450 5 лет назад
Mmh ngumu kumeza man
@ngaleku
@ngaleku 5 лет назад
Darasa zuri sana sema sasa. Wakati wa kutamka mamneno ya kichina ungekua unatamka pole pole. Mie naona kama unatamka haraka sana
@gwandumimwangosi5659
@gwandumimwangosi5659 5 лет назад
Tafadhal juma kiduku mimi napenda kujifunza kichina kwa heruf za kawaida jinsi ya kutamka 0656906729
@dastanijohnjohn3090
@dastanijohnjohn3090 5 лет назад
tumekuelewa
@neemammary5985
@neemammary5985 5 лет назад
Eti umeshalewa haha
@mchnikodemasjumaa1577
@mchnikodemasjumaa1577 5 лет назад
Mimi kichwa cha dafu ata nikielewa kesho tu nishasahau
@yuvencepatrice8956
@yuvencepatrice8956 3 года назад
Ni kigumu😁😁
@assenganews9435
@assenganews9435 5 лет назад
Xie xie
Далее
MAGIC TIME ​⁠@Whoispelagheya
00:28
Просмотров 3,7 млн
Страшная Тайна Светы Кемер !
33:04
Darasa la kwanza ( Salamu)
5:13
Просмотров 10 тыс.
Juma Sharobaro - Cha Upepo (Offiicial Video)
2:26
Просмотров 114 тыс.
TUJIFUNZE KICHINA KWA KISWAHILI
14:46
Просмотров 15 тыс.
Jiko la Jumasharobaro (1)
8:22
Просмотров 17 тыс.
#TBC: FAHAMU JINSI YA KUJIFUNZA KICHINA KWA URAHISI
9:03
MAGIC TIME ​⁠@Whoispelagheya
00:28
Просмотров 3,7 млн