Тёмный

Juma Sharobaro: Bosi Mchina wa Startimes anayekipiga Kiswahili kama amezaliwa Bongo 

Simulizi Na Sauti
Подписаться 1,4 млн
Просмотров 15 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

27 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 65   
@kimkimmie3435
@kimkimmie3435 6 лет назад
😂😂😂😂oh wow I can’t help but appreciate this guy “Juma”..well done👏🏼 ..mandarin is soo hard though..
@irenenody4881
@irenenody4881 6 лет назад
Aaah wowoooo inye salute kwako juma sharubaro
@njileannualdotto
@njileannualdotto Год назад
Kwakweli juma Sharobalo nime pende zwa sana na elimu yako kwakweli mimi natamani kujifunza kichina kwayo nami nataka unifundishe kichina mimi naitwa NjileannualiDotto iborogelo
@mwanajumaomahundumla6504
@mwanajumaomahundumla6504 6 лет назад
Mtangazaji usafi muhimu Huo mkono na pua lako viiipi uwe unatembea na kitambaa bwana ukitoka hapo hunawi unaendelea na mengine ndio maana magonjwa ya kuambukiza hayaishi ni sahihi Kabisa kumnyima mtu Salam ya mkono maana hujui alipotoka kafanyaje, Nimemuona Juma sharobaro Anaongea kiswahili vzr tu
@daimavlog
@daimavlog 6 лет назад
Karate 🥋 ilimuokoa mume wangu Kariakoo. Juma umetisha
@annaupendo4768
@annaupendo4768 6 лет назад
Niko Marekani chuo kipindi tuko shule turiambiwa kila mtu ataje uzuri wa inchi yake wachima wakasema kwamba uzuri wa inchi yao ukipoteza pochi inapesa au haina au simu kitu chochote kina Address yako utakipata tu kwamba wezi ni wachache aise tumeshangaa sana😳mimi nikasema sifa ya inchi yetu ukipoteza kitu yani sahau kukipata na huo mtu umempunguzia dhambi maana hajaiba🤣🤣
@kibomastertz343
@kibomastertz343 6 лет назад
Mtangazaji mbna kama kafanana na yule jamaa wa kwenye mark angel comedy😁😁😁
@richthekid1168
@richthekid1168 6 лет назад
ni kwel kabsa
@marinamooh4055
@marinamooh4055 6 лет назад
tobaaa 🤣🤣🤣🤣🤣hili jina lake la kichina tu mi hoi Big Up kwa mzaramo Juma 🤣🤣🤣🤣
@_sitima7781
@_sitima7781 6 лет назад
MBNA anarafudhi ya kisukuma😂😂😂😂kana jua mpka INYE, WOWOWO, KHAAAA
@bkassimidarous2076
@bkassimidarous2076 6 лет назад
Jamani huyu mtangazaji si uncle wake Emanuela wa Nigeria?
@nohatredbutlove5786
@nohatredbutlove5786 6 лет назад
Salma Kassim Idarous hahahaha kweli kafanana na Mark Angel
@fredrickmathias6478
@fredrickmathias6478 6 лет назад
Salma Kassim Idarous hyohyo mark angel kaamia dar nw kapata dili sns,😝😝😝😛😛😃😄😁
@husseinmkakile9206
@husseinmkakile9206 6 лет назад
Salma Kassim Idarous hahhah kafanana na mark angel
@salhaak.amgeni8908
@salhaak.amgeni8908 6 лет назад
Salma Kassim Idarous ndioo😂😂😂
@Mariam-ez4qw
@Mariam-ez4qw 6 лет назад
Juma sharobaro uko juu
@izacksbalzack1854
@izacksbalzack1854 6 лет назад
Wow perfect laguage
@khadijaaziza7586
@khadijaaziza7586 6 лет назад
Huyu juma ana chekesha kweri
@nurudinnamtapika462
@nurudinnamtapika462 6 лет назад
juma suluku sharobaro
@lailmeeea4908
@lailmeeea4908 6 лет назад
Ongela sana kaka
@youngbreezy6615
@youngbreezy6615 5 лет назад
Mm natang jina lake liandikwe jmn 😄😄😁😁😁😁
@becca7tv393
@becca7tv393 6 лет назад
Jaaamaaa napenda inyeeeee
@valentinamussa4212
@valentinamussa4212 6 лет назад
mtangazaji umenyoa vizuri,unauriza maswari vizuri tatizo unajishika shika sana pua,nakuomba uwe unajiamini au kabla hujaenda interview muone doctor, pili mavazi hayavutii kama mtangazaji hivyo badirika,
@becca7tv393
@becca7tv393 6 лет назад
Juma acha hizo kijana
@mathmapunda430
@mathmapunda430 6 лет назад
😁😁😁😁😁mwambie anirudishie mb zangu mana mbavu sina
@saumuhassan1365
@saumuhassan1365 6 лет назад
Math Mapunda 😂😂😂 *Wi-Fi* kwani haifanyi kazi
@lailmeeea4908
@lailmeeea4908 6 лет назад
Math Mapunda 😂😂😂😂😂
@latb2747
@latb2747 6 лет назад
写中文有点儿难。
@restymlale6003
@restymlale6003 6 лет назад
Doh! Huyu mchina anafahamu kiswahili. Well done!
@njileannualdotto
@njileannualdotto Год назад
Ukitaka kusema nataka kwenda nyumbani kwakichina. Unasemaje
@princedoni6410
@princedoni6410 6 лет назад
chaupepo au kipotabo😹😹😹😹
@intynuru9529
@intynuru9529 6 лет назад
Sijaelewa hilo jina labda typing.... plz here 👇
@IAMPHILIPPOL.
@IAMPHILIPPOL. 6 лет назад
Ako poa
@mathmapunda430
@mathmapunda430 6 лет назад
😃mara dhania mashe sewie
@safiaothman1098
@safiaothman1098 3 года назад
Ndiye wewe Juma Sharobaro uliyeingiza sauti yako kwa Mikoy katika Tamthlia ya The Heiress au?
@husseinlysa7254
@husseinlysa7254 6 лет назад
😀😀😀😀 mbavuzangu miyeee
@khadijaomar3299
@khadijaomar3299 6 лет назад
Nani😂😂😂😘
@lastboytz8990
@lastboytz8990 5 лет назад
Mzee naitaji no yako nataka tufanye biashara
@kiluwasalum5002
@kiluwasalum5002 6 лет назад
We mchina mpaka jina la khadija uliambiwa uchague
@johnbend119
@johnbend119 6 лет назад
Nasikia kitu kama hewa narudia lakini wapi ilo jina nibalaaa
@saumuhassan1365
@saumuhassan1365 6 лет назад
Mashallah, sharobaro kajitahidi sana kuongea kiswahili👊😂😂
@francischiko3752
@francischiko3752 6 лет назад
Saumu Hassan ww dada kila video ukosi ku comment duuh.
@Msonjo
@Msonjo 6 лет назад
Huna kazi ww
@saumuhassan1365
@saumuhassan1365 6 лет назад
MK Tv Ninayo bila kazi usawa huu, labda niwe na mume anajitambua kulea familia yake vizuri.
@Msonjo
@Msonjo 6 лет назад
Saumu Hassan mashaallah ni kher but huwaga nko happy nikiona comments zako
@francischiko3752
@francischiko3752 6 лет назад
Saumu Hassan bac dada uko vzr sana nimekubali ila ingekuwa vyema na ww ungekuwa na Tv online yako ingekuwa poa sana mana ushakuwa popural humu yutube so inafaa na ww ukiwa youtuber upige pesa..mana uwezi kukosa viawer 1000 ww sasa ukiwa unauwezo wa kuwa na viawer 1000 ukosi dollar 300 kwa mwezi hela nyingi sana hii you tune imeokoa watu wengi sana now day.
@jovinabunyomyo3993
@jovinabunyomyo3993 6 лет назад
😂😂😂😂😂😂eti muongo sijh uliskia Wapi hahahahahaha mbavu zangu dah uyu mchina rangi tu 😂😂😂😂😂
@shemelaruhinda6113
@shemelaruhinda6113 6 лет назад
Penda juma
@claudiokelly8944
@claudiokelly8944 6 лет назад
Wowowo au inyeeee 😂😂😂😂
@hashimabdalah3161
@hashimabdalah3161 6 лет назад
Mzalamo mwenzangu ila yy wa kichina duuuh
@asinathasinath5090
@asinathasinath5090 6 лет назад
😁😁😁😁😍👌
@chunatv7282
@chunatv7282 6 лет назад
asinath asinath nn
@michaelemanuel2403
@michaelemanuel2403 6 лет назад
Tanz uyue
@ssafricancreator9151
@ssafricancreator9151 6 лет назад
Oyo muandishi mbona afatisha ilo jina
@thelifestyle6077
@thelifestyle6077 6 лет назад
hilo jina unahitaji kuto tumia Mrenda milele. maana
@jamilahiddy1050
@jamilahiddy1050 5 лет назад
Kuwa mstaarabu na pua lako
@wanjamawanjiku735
@wanjamawanjiku735 6 лет назад
Hahahahaa wow
@mathmapunda430
@mathmapunda430 6 лет назад
😁😁😁😁asijesema matusi basata wamnyake
@sadaabdallah1641
@sadaabdallah1641 6 лет назад
Math Mapunda hahahahaaa
@praxedadominic2386
@praxedadominic2386 6 лет назад
😁😁😁😁😁
@sumuyaodawayao8866
@sumuyaodawayao8866 6 лет назад
😁😁😁😁
@robbemanase9051
@robbemanase9051 6 лет назад
Mtangazaji tafadhali next time usiwe una pick ur nose , sio jambo zuri.
@kassimrajabu7805
@kassimrajabu7805 6 лет назад
Robbe Manase 😀😀😀😀 sure
@gracemsanjila327
@gracemsanjila327 6 лет назад
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Далее
Vituko vya Mchina kwa Shishi, Keki yamtoa nishai
2:12