Тёмный

DAWA NZURI YA MAFUA MATONSES TONSILITIS NA KOO KUWASHA SORE THROAT 

PDK Generation
Подписаться 8 тыс.
Просмотров 12 тыс.
50% 1

Dawa nzuri ya mafua, tonsilitis ama matonses pamoja na koo kuwasha ama sore throat unaweza kabisa kujitengenezea mwenyewe kwa kutumia vitu vinavyopatikana kirahisi kabisa hapo nyumbani.
Dawa hii nzuri haina maudhi kama zilivo dawa nyingi na hutumia chumvi na maji tuu. Imekua ikitumika kwa miaka mingi sana.
Dawa hii ni nzuri lakini pia inasaidi sana watu kutokimbilia kwenye kutumia antibiotics moja kwa moja kujitibia mafua jambo ambalo sio sawa.
fuatilia makala hii upate kufahamu namna ya kutengeneza na kuitumia dawa hii.
‪@millardayoTZA‬ ‪@SimuliziNaSauti‬ ‪@bananafmtz‬

Опубликовано:

 

16 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 51   
@michaelfrenkline3429
@michaelfrenkline3429 25 дней назад
THANKS. Nilitumia dawa hazikunisaidia. Nimefanya hivyo ulivoeleza nanimepona kabisa. Ubarikiwe Sana 🎉🎉🎉
@pdkgeneration
@pdkgeneration 25 дней назад
Amina🙏 Asante sana Kwa mrejesho 🤝
@rehemamandi3151
@rehemamandi3151 Год назад
Asante sana pharmacist..🙏 Naomba utufanyie video pia ya namna ya kutibu vidonda vya kwenye ulimi"tongue" wengi husema ni fungal infections...Je hii pia inaweza kutibika easily at home, over the counter au hadi medical therapy ...plz coz hii ni changamoto kubwa pia
@pdkgeneration
@pdkgeneration Год назад
Sawasawa. Tutaitafutia segment 🤝🤝🤝
@Neema-fh1wp
@Neema-fh1wp Месяц назад
Ubarikiwe ndugu yetu
@pdkgeneration
@pdkgeneration Месяц назад
Amina Ndugu 🙏
@WinfridaMushi-b2n
@WinfridaMushi-b2n 27 дней назад
Ubarikiwe doctor nimetumia nimepona
@pdkgeneration
@pdkgeneration 26 дней назад
Amina🙏
@SalomeGunda
@SalomeGunda 2 месяца назад
Ahsante kwa ushauri mzuri mara ngapi kwa siku
@pdkgeneration
@pdkgeneration 2 месяца назад
Kusukutua mara mbili au tatu kwa siku inatosha kabisa.
@rehemamandi3151
@rehemamandi3151 Год назад
Lakini pia pharmacist...wengi husema maji yenye chumvi huaribu meno ....when gargling hii haiwezi affect na kubadili physical appearance ya meno yetu?
@pdkgeneration
@pdkgeneration Год назад
Hapana, labda kama ukitumia very Concentrated na Kwa muda mrefu ndio inaezaleta effect kwenye fizi/mdomoni. Ila hii ya kawaida kwa siku 2-3 hakuna shida
@MarietaKavishe
@MarietaKavishe 25 дней назад
Thanks doctor
@pdkgeneration
@pdkgeneration 25 дней назад
Karibu🤝
@mohamedmomo1866
@mohamedmomo1866 4 месяца назад
Asantesana
@pdkgeneration
@pdkgeneration 4 месяца назад
Karibu sana🤝
@YohanaAbayo
@YohanaAbayo 6 часов назад
Vip doctor ugonjwa wa matonsee inaletwa na kula vitu vya baridi kama ice cream barafu 🎉😢😮😅😊
@MonaJuma-cp3jg
@MonaJuma-cp3jg 2 месяца назад
Asant doctor
@pdkgeneration
@pdkgeneration 2 месяца назад
Karibu Ndugu🤝
@EvarineYenzela
@EvarineYenzela 3 дня назад
Nasumbuliwa na makoz mazito kooni nifanye nn, ili niwe natema hayo makoozi nisaidi
@pdkgeneration
@pdkgeneration 3 дня назад
Pole, tembelea vituo vya Afya, utapatiwa expectorant itakayokusaidia na pia watachunguza sababu hasa ya hali hiyo na kuitibu
@KhadijaRashidi-q1q
@KhadijaRashidi-q1q 27 дней назад
Doctor kwa watt unatusaidiaje na tutajuaj4 kama wana tonsis
@elizabethgideon-ln3fx
@elizabethgideon-ln3fx 5 месяцев назад
asante kwa somo zuri, unafanya mara ngapi kwa siku?
@pdkgeneration
@pdkgeneration 5 месяцев назад
Mara Moja au mara mbili (kulingana na ukali wa tatizo) na pia isizidi siku 5
@elizabethgideon-ln3fx
@elizabethgideon-ln3fx 5 месяцев назад
@@pdkgeneration 🙏🙏
@MkoaRobby
@MkoaRobby Месяц назад
Doct sasa kwawatoto itakuwaje kama hajui kutema hayo maji
@bahatishitindi
@bahatishitindi 5 месяцев назад
Asante san daktari ila tatizo la kubanja na kukolima ina saidia
@pdkgeneration
@pdkgeneration 5 месяцев назад
Karibu. Kwa tatizo Hilo haisaidii ndugu!
@amanithomas-xz2do
@amanithomas-xz2do 4 месяца назад
Je kusukutua tunasukutua maji yote robo lita au kdgo kdgo?
@pdkgeneration
@pdkgeneration 2 месяца назад
ni kidogo kidogo. sio yote kwa wakati mmoja.
@DAILEJIMICHAEL
@DAILEJIMICHAEL Месяц назад
Sorry doctor, habari ya kwako,mm nilianza kutumia dawa za hospitali wala hazija nitibu maana haya matoses yamevimba na hayapungui,je nikitumia hiyo njia yanaweza yakapungua yakawa sawa maana yanani disturble sana doctor!
@pdkgeneration
@pdkgeneration Месяц назад
Pole sana. Yes hii inaweza kukusaidia, ila ukiona inaendelea Rudi hospitalini wakuangalie kiundani zaidi
@StellaGerald-o6v
@StellaGerald-o6v 25 дней назад
😊pp
@miriamfelix5596
@miriamfelix5596 18 дней назад
​@@pdkgenerationdoctor mm nko na shida ya tonsils side moja mpka shingo yauma side moja ndani mpka uchungu unaingia adi kichwa lkn Sina uchungu wa Koo Wala kuashwa na Koo na cjui shida nn na sai ni wiki mbili na nko Saudi Arabia naeza tumia dawa gani doctor coz kupelekwa hospital imekua shda
@ExcitedDancers-ms8qq
@ExcitedDancers-ms8qq 13 дней назад
Mm nina changamoto ya vidonda vya koo nishatumia dawa nyingi 2
@AdelineMassamu
@AdelineMassamu 11 часов назад
Ook​@@miriamfelix5596
@RamadhanHusein-n1m
@RamadhanHusein-n1m 25 дней назад
Vp kuhusu na kutoka na vichembe vichembe vyenye haruf
@Oman-z4q
@Oman-z4q 3 месяца назад
Kama mafua ya areji inasaidia maana daw nikitumia zikiisha tu hali inarud upya koo linawasha chafya
@pdkgeneration
@pdkgeneration 3 месяца назад
Yes, inasaidia. Ila kama mafua yanajirudiarudia, inabidi kuangalia kinachosababisha hasa! Inawezakuwa nguo fulani unayovaa au mashuka au hata Hali Fulani ya hewa, au mafuta unayotumia. Ni vizuri kuchunguza kisababishi Cha hiyo aleji na kukiacha kama inawezekana.
@Oman-z4q
@Oman-z4q 3 месяца назад
@@pdkgeneration tatizo kubwa ni hali ya hew seem nilipo joto kali alafu fen na ic ndo shida na bila ivo pia shida joto
@marylinegoodluck-fj1zc
@marylinegoodluck-fj1zc Месяц назад
Uwiii upo kama Mimi niko kwenye Hali ya hela ya joto nawasha Hadi sikio pua na koo ​@@Oman-z4q
@happinessmediac3183
@happinessmediac3183 4 месяца назад
Vip kwa mtoto 2yrs
@pdkgeneration
@pdkgeneration 2 месяца назад
Kwa huyo haishauriwi. kuna namna tofauti ya kumtibu ila sio gargling na maji chumvi
@MarianaJoseph-k4z
@MarianaJoseph-k4z 2 месяца назад
Asante kwa ushauri na tiba pia, samahan naomba kupata ushauri wa dawa pia kwa mtoto wa 2
@RamadhanHusein-n1m
@RamadhanHusein-n1m 25 дней назад
Vp koo kutoka vichembe chembe vyenye harufu mbay
@MaishaBesilwengo
@MaishaBesilwengo 5 месяцев назад
What about 16 year old
@pdkgeneration
@pdkgeneration 2 месяца назад
A 16 year old can gargle salty water as well, provided that there is no any other condition hindering the process.
@Halimajumbe
@Halimajumbe 4 месяца назад
Mimi tonses yangu zimevimba je zitanisaidia ayo maji
@pdkgeneration
@pdkgeneration 4 месяца назад
Yes, ila ukiona inaendelea baada ya siku mbili hivi, tembelea vituo vya kutolea huduma za Afya. Hiyo inaweza pia kuwa dalili ya kitu kingine
@RamadhanHusein-n1m
@RamadhanHusein-n1m 25 дней назад
Vp koo kutoka vichembe chembe vyenye harufu mbay
@pdkgeneration
@pdkgeneration 25 дней назад
Hizo zinawezakuwa tonsils stones au tonsilloliths, (hizi ni moja ya vyanzo vya kutokwa harufu mbaya kinywani) hizo pia unaweza kuzitibu kwa njia iliyoelezwa katika makala hii, zikiendelea tembelea kituo cha Afya kilicho karibu na wewe.
Далее
Kikohozi kwa watoto (Cough in Children)
11:29
Просмотров 36 тыс.
ОТПРАВЬ СВОЕЙ ЛП/ЛД
00:10
Просмотров 139 тыс.
Mafua::Dalili,Sababu,Matibabu
5:47
Просмотров 2 тыс.
The Athos Diet with Dr. Peter Patitsas
1:41:31
Просмотров 13 тыс.
FAHAMU  DAWA BORA ZA KUTIBU MAFUA NA TUMBO KWA KUKU
12:30
ОТПРАВЬ СВОЕЙ ЛП/ЛД
00:10
Просмотров 139 тыс.