Тёмный
No video :(

DAY 4. AZIZ KI AONGOZA KWENYE ZOEZI LA KUSUKUMA VYUMA/FURAHA YA WANANCHI INAANDALIWA IPASAVYO. 

Yanga TV
Подписаться 672 тыс.
Просмотров 55 тыс.
50% 1

#timuyawananchi #daimambelenyumamwiko

Опубликовано:

 

5 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 114   
@user-sz9om9ly4y
@user-sz9om9ly4y Месяц назад
Natokea mkoa wa songwe,naimani timu yangu yanga tutafika mbali mungu pigania timu yetu .
@BasuleBasule
@BasuleBasule Месяц назад
Weka 2 Weke Yanga Bingwa 💚
@DEBORAWILLIAM-m3n
@DEBORAWILLIAM-m3n Месяц назад
nimeipenda hihi weka tuweke
@ShabanPaschal
@ShabanPaschal Месяц назад
Kama unaamini yanga bingwa weka like yako mwananchi🔰🔰💚💛
@abubakaliyahaya2968
@abubakaliyahaya2968 Месяц назад
Kwel yanga bingwa
@jimmymungai522
@jimmymungai522 Месяц назад
Labda na sisi uwanja wetu utakuwa na miundombinu kama hii, Inshallah!
@SubiraMohammed-ks6qg
@SubiraMohammed-ks6qg Месяц назад
Tunawaombea dua tu muendelee kuwa na afya njema inshallah mungu atasaidia
@user-sq1pg2fe6l
@user-sq1pg2fe6l Месяц назад
Mungu awatangulie na kesho mungu atusaidie tupate ushindi wa goli tatu
@paulmasunga1754
@paulmasunga1754 Месяц назад
Weka tuweke Like nyingi Kwa yanga yetu💚💛💚💛
@saidmbarouk3553
@saidmbarouk3553 Месяц назад
THE BIG TIMU IN AFRICANS YANGA 💛💚🖤
@GraceMarine-vo9hu
@GraceMarine-vo9hu Месяц назад
Mzee Magoma kama unasoma hapa, nasema hivi utukome kabisa
@salmamlokela1987
@salmamlokela1987 Месяц назад
😢😢😢😢
@morningstarartproduction8436
@morningstarartproduction8436 Месяц назад
Daaah nakimbilia kuwa wakwanza kumbe wajeda wamesha tinga😂😂
@jaffjeff6912
@jaffjeff6912 Месяц назад
😂😂😂😂😂
@Shebe_traLove
@Shebe_traLove Месяц назад
Hakika nime penda morali ya wachezaji wetu kocha ana wambie wamalize wana endelea kujifuwa kazi kazi allah azidi kuwa simamia
@yosayocomedytz
@yosayocomedytz Месяц назад
Wa kwanza mm 🎉🎉
@nemamgona5886
@nemamgona5886 Месяц назад
Yanga mwenyez mungu atusimamie tubebe ubingwa kuanzia ndani mbaka kimataifa
@KarokiaNdirango-lj3wf
@KarokiaNdirango-lj3wf Месяц назад
Mwamba wa Lusaka 🎉🎉🎉🎉
@RozimeryPeter
@RozimeryPeter Месяц назад
Yanga Africa💯💯💯💯💯💯
@HijiliKhamissi-r2c
@HijiliKhamissi-r2c Месяц назад
Yanga bingwaaa
@omaryluambano3495
@omaryluambano3495 Месяц назад
💚💛💪
@atupelemwakyanjala4733
@atupelemwakyanjala4733 Месяц назад
💚
@kamenyaakwitanda989
@kamenyaakwitanda989 Месяц назад
Chama hoi,😂😂😂😂😂,alizoea mazoezi ya kurushiana mipira
@AmanaAmos-hv3yz
@AmanaAmos-hv3yz Месяц назад
😁😁😁😁😁😁mchokozo
@ngulathfundikira4205
@ngulathfundikira4205 Месяц назад
😂😂😂😂😂😂
@neemanyansuku
@neemanyansuku Месяц назад
😂😂😂
@khanafrica22
@khanafrica22 Месяц назад
Mzee Magoma we endelea na sisi kuna unachokitafuta....Hiyo kofia itawekwa sawa usijali
@georgepewa9624
@georgepewa9624 Месяц назад
Well done guys
@maliadii4829
@maliadii4829 Месяц назад
Jamani Jamani viongozi wa yanga Kama ni kweli niyaonayo mitandaoni eti mukwena na timu yake mpya anakuja Yanga Day hivi hamjui Kama ana makasiriko tena mazito? Hamfikiri kuwa kuna uwrzekano akaumiza wachezaji wetu muhimu Kama walivyofanya Azam? Hebu kuweni serious mfikirie tena sijui lakini mi mwanachama mdogo sana kulinganisha na uwezo wenu wa kufukiria best of Lucky
@user-mo1ql3sv2n
@user-mo1ql3sv2n Месяц назад
all the best
@proisolution7166
@proisolution7166 Месяц назад
GMNNG BRAVOOO TECHNICAL BENCH,WEL NOTED WE MISSED WAT U ARE EXCUTING THIS IS WAT SOME OF US OBSERVED OUR TEAM LUCKED WHEN WE PLAYED AUSB......-CONGRATURATION .AMINAAA.
@aishabakari8040
@aishabakari8040 Месяц назад
Sema haya mazoezi nimagumu 🥺
@MomadeMudimoz70-cs2ud
@MomadeMudimoz70-cs2ud Месяц назад
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔰🔰🔰🔰
@prince783
@prince783 Месяц назад
Kaz kaz
@athumanishabani1143
@athumanishabani1143 Месяц назад
Mashaallah
@Aviwamwadin-so3vy
@Aviwamwadin-so3vy Месяц назад
Ibrahim bacca
@ntanilanjema04
@ntanilanjema04 Месяц назад
🔥🔥🔥🔥
@IsmailAli-u2r
@IsmailAli-u2r Месяц назад
Jaman pacome yup wap
@user-qm5un9yc8r
@user-qm5un9yc8r Месяц назад
Nice
@proisolution7166
@proisolution7166 Месяц назад
THE SIGN THAT U PEOPLE ARE SERIOUS AND FOCUSED TO ACHIEVE SOMETHING.I AM CONVINCED AND PLAY GOD FOR THE BEST TO COME.,.
@nicodemusmemba1402
@nicodemusmemba1402 Месяц назад
Kweli kabisa tuwapongeze viongozi wote wa Young Africans Kwa kuifanya League ya Tz kuwa bora
@bm4tv602
@bm4tv602 Месяц назад
Leo nimekua wakwanza bhn
@mwajumampokileomckapela7541
@mwajumampokileomckapela7541 Месяц назад
Champion 💪💪✅✅💛💚
@AgenesMugema
@AgenesMugema Месяц назад
Ni bingwa Tena.👍👍👍👍
@OthmanAlmas
@OthmanAlmas Месяц назад
Was was wangu chama
@omaraonasir4361
@omaraonasir4361 Месяц назад
Jamaa mnasemaje kwa huyu daktari wetu wa viungo anafaa kuongezewa mshahara huyu mwamba
@SephaniaPaul
@SephaniaPaul Месяц назад
Uyu kocha wa viongo ana ana faaa hadi elif mbili 30
@FridaManga-i8q
@FridaManga-i8q Месяц назад
Macho yamekufa au, simwoni Pacome...mwenye taarifa jamani
@jumashedafa
@jumashedafa Месяц назад
Upande wa pili wao wapo uwanjan kila cku na kufanya mazoez ya kimazoe..Hawajal san fitness but time wll tell
@danielbenard9053
@danielbenard9053 Месяц назад
Yanga❤❤❤
@SussankhanKhan
@SussankhanKhan Месяц назад
👏👏👏👏💛
@Tunually
@Tunually Месяц назад
Warefu wanapata shida kuinama
@shabanialfani5394
@shabanialfani5394 Месяц назад
Watatuuwa Chama😂😂
@EmmanuelChrispian
@EmmanuelChrispian Месяц назад
Pacome Professor wa Mpira where are You????
@josephmussa406
@josephmussa406 Месяц назад
Kuhusu ubigwa Hilo halina kupigwa ni uhakika
@chacha-255
@chacha-255 Месяц назад
Haya mazoezi kwa Aucho ni kama kusukuma mlevi
@user-jq7is1hp7w
@user-jq7is1hp7w Месяц назад
Kwann jmn😂😂😂😂
@athumaninyituki7011
@athumaninyituki7011 Месяц назад
Yanga
@songombingo108
@songombingo108 Месяц назад
Madunduka wamejificha. Wachezaji wao hawajulikani wanafanya mazoezi gani.
@user-iz3hs8jl5p
@user-iz3hs8jl5p Месяц назад
tabu iko pale pale😢😢😢😢😢
@Dula707
@Dula707 Месяц назад
Hili zoezi Lina faida gani wananchi wenzangu
@user-oo2nz6fl8d
@user-oo2nz6fl8d Месяц назад
Hili halina faida yoyote
@sevarinijrchitandachitanda138
@sevarinijrchitandachitanda138 Месяц назад
🔥👍
@user-zu9gk8il3p
@user-zu9gk8il3p Месяц назад
Yanga bingwa
@user-ee2bn9ot5f
@user-ee2bn9ot5f Месяц назад
Unyama sana
@SurprisedCircuitBoard-os6er
@SurprisedCircuitBoard-os6er Месяц назад
Pacome yup wap
@mussaayubu7085
@mussaayubu7085 Месяц назад
Yanga bigwa🎉🎉🎉🎉
@FortiMtolela-xl2nb
@FortiMtolela-xl2nb Месяц назад
We need champions League trophy
@mwansasujonny3536
@mwansasujonny3536 Месяц назад
Kwa nzigo huu ubingwa mapema sana
@MaikoKapelo
@MaikoKapelo Месяц назад
Kweri.yanga.tamu.wape.saramu
@shaibujuma6618
@shaibujuma6618 Месяц назад
Hiii kubwa
@Peterngalula-xo1el
@Peterngalula-xo1el Месяц назад
😂😂😂😂 Max mpaka mazoezini kuchomoka dadeki
@NurudinZuberi
@NurudinZuberi Месяц назад
Sio poa 🎉
@sengiyumvarusaku3647
@sengiyumvarusaku3647 Месяц назад
Eeee chama tumemaliza kaka,chama anajibu bado kidogo harafu mnadani chama mvivu DU binadamu bwana
@babuumaeda7671
@babuumaeda7671 Месяц назад
Like❤❤ MUSONDA 🎉🎉
@DoiKamata-y6l
@DoiKamata-y6l Месяц назад
Kacholile kachola😂😂
@dvjkelly8449
@dvjkelly8449 Месяц назад
KUNA VILE SIMUONI PACOME MAZOEZINI, KUNANI
@user-nm1jh3dy9n
@user-nm1jh3dy9n Месяц назад
Gamond anategea mazoez 😂😂
@mostarwb
@mostarwb Месяц назад
Waje waangalie Mambo huku makolo
@danielmsafiri1632
@danielmsafiri1632 Месяц назад
Rigi ianze tu tumemic kuona chama letu kila wiki
@DEBORAWILLIAM-m3n
@DEBORAWILLIAM-m3n Месяц назад
max nimependa mkimbio wako wapili uo
@ismailmasoud6001
@ismailmasoud6001 Месяц назад
Kwa mziki huu MAKOLO kazi wanayo..!
@emiryfaida2437
@emiryfaida2437 Месяц назад
Jamn Mimi nipo rukwa nasemaje Kwa yanga hii kombe la CAF musimu huu linakuja yanga lisipo Kuja basi tena .
@sultanhamis9292
@sultanhamis9292 Месяц назад
🔰🔰🔰🔰💛💚💛💛💚💛💪💪💪💪💪
@user-cp4fx3qz1f
@user-cp4fx3qz1f Месяц назад
mwaka huu wakula nyingi makolo
@nabiimgongolwa8728
@nabiimgongolwa8728 Месяц назад
YANGA INABIDI KUPONGEZWA SANA (a.k viongozi) INAUNYANYUA MPIRA WA AFRIKA .
@OmarySekembuke
@OmarySekembuke Месяц назад
Yanga wanaixhi km familia vile
@abdurashidinasorodini
@abdurashidinasorodini Месяц назад
jamani professional pacome mbona sikunyingi hatumuoni twambieni basi yuwapi
@DevidMwakajila
@DevidMwakajila Месяц назад
Yaani Hawa mpka wasemee maana wameyataka wenyewe walifikiri ukifika yanga ni bata tuu hiki kinacho onekana ndio uhalisia wa club yetuu wananchi hii ndio yenyewe😂😂
@kolosii4351
@kolosii4351 Месяц назад
Pamba jimu yao ya mbao na magogo. Mwaka huu mpaka uishe tutaona mengi.😂😂
@aproniamasatu5810
@aproniamasatu5810 Месяц назад
subir kwanza kwaio haya mazoezi ni ya kukutana na simba😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@swamadujumanne795
@swamadujumanne795 Месяц назад
Kikosi chamauwaji
@daudianselmo2956
@daudianselmo2956 Месяц назад
Adi gamondi ndani 😂😂😂
@MysarahMohamed
@MysarahMohamed Месяц назад
Inaonekana ni lizito😅😅😅
@RashidiMkongewa
@RashidiMkongewa Месяц назад
Mtu akila 5 wanasema tumenunua harafu hawaoni tizi tunalokula
@frankcryk3241
@frankcryk3241 Месяц назад
alafu badae semeni tuna nunua mechi
@Paris_onlineTv
@Paris_onlineTv Месяц назад
Ni humu tu
@user-li7pg6qh1z
@user-li7pg6qh1z Месяц назад
Pacome yupo wapi??????
@jumamarco-mh1hg
@jumamarco-mh1hg Месяц назад
chama ni mzembe mazoezi
@zakariazakaria3853
@zakariazakaria3853 Месяц назад
Pacome ako wapi ?
@abdulhakimhaji
@abdulhakimhaji Месяц назад
pacome hatumuoni
@swamadujumanne795
@swamadujumanne795 Месяц назад
Makolo wataisoma hio tarehe 8 watakunya kenyis kikavu
@EliasMathayo-s9m
@EliasMathayo-s9m Месяц назад
🔰💚💚💚💚💚💚💚💛💛💛💛💛💛
@TifuKichupa-od6ct
@TifuKichupa-od6ct Месяц назад
Vp pakome
@iddyabdallah4630
@iddyabdallah4630 Месяц назад
mbona pacome hayupo
@babuumaeda7671
@babuumaeda7671 Месяц назад
Utimamu wa MWILI 😅😅😅😅
@malick_jrzramadhan7298
@malick_jrzramadhan7298 Месяц назад
Nani kamuona gamondi
@prince783
@prince783 Месяц назад
Kibwana 😂😂😂
@user-er1dk6zj6u
@user-er1dk6zj6u Месяц назад
Mabingwa
Далее
Cute kitty gadget 💛💕
00:23
Просмотров 6 млн
Throwing Swords From My Blue Cybertruck
00:32
Просмотров 11 млн
ДО ВСТРЕЧИ НА РАЗГОНЕ
52:11
Просмотров 453 тыс.
Ip Man 2 | The Boxing Competition
15:57
Просмотров 7 млн
ALICHOKISEMA OZUAMAKA IGWE BAADA KUTAMBULISHA YANGA.
9:11