Тёмный

DC ALIYEPIGWA MAWE NA WANANCHI LAMADI AFIKA KUMZIKA KIJANA ALIYEUAWA KWA KUPIGWA RISASI NA POLISI 

Wasafi Media
Подписаться 4,8 млн
Просмотров 8 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

27 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 48   
@EmmanuelNdahya-ud5nj
@EmmanuelNdahya-ud5nj 2 месяца назад
Yaaani mtoto wangu amekufa wewe unachangia msiba chukueni Sheria sitahiki Kwa wahalifu bila kujali ni nani .
@christinamselle4490
@christinamselle4490 Месяц назад
Polisi😭😭😭!!
@tumlakimwaitumule
@tumlakimwaitumule 2 месяца назад
Huyu si alisema hana taarifa za matukio,na aliekuepo wakati hayo yanaendelea,angeweza kuwaambia hao police wasitumie siraha za moto
@omarybakunda2554
@omarybakunda2554 2 месяца назад
Mungu anawaona.
@edwinstephan711
@edwinstephan711 2 месяца назад
MUNGU yupo acha tuone huko mbele
@JustineWangi-j2t
@JustineWangi-j2t 2 месяца назад
Kwani alikufa mwenyewe ama alipigwa?
@frankbrandan5127
@frankbrandan5127 2 месяца назад
Hivi vyeo vya ukuu wa wilaya inabid viangaliwe upya wawe ni viongozi wa kupigiwa kula sio teuzi
@Halidmohamed-n1d
@Halidmohamed-n1d 2 месяца назад
Kwani ameuwawa na nini uyo mkuu wa wilaya anaongea pumba gani
@SeifshabaniMhina
@SeifshabaniMhina 2 месяца назад
Alaf uyo DC kirahisi tu anaongea ujinga ivi ao mnaowaweka madarakani wamesomea wP shule gan yakitanzania yenye ujinga kama huu mtu kapigwa risasi na police nyie mnachukulia kawaida tu
@veronicathomas9422
@veronicathomas9422 2 месяца назад
Hizi damu zinazomwagwa na upotevu wa watu inathaman kuliko misaada au gharama mnazozitoa kufariji familia zenye maafa. Tz ni nchi ambayo haikupaswa kuwa hivi majesh yetu yapewe matumiz sahihi ya silaha wkt wa mikisanyiko ya kudai haki
@DeogratiusAndrew-zi7zv
@DeogratiusAndrew-zi7zv 2 месяца назад
Iko hivi amani haiondolewi na wananchi bali watawala mnaharibu ninyi na kama msingeenda nakutumia. Nguvu ya siraha ,jifunzeni ngorongoro Rc Makonda kaagiza polisi waende lakini wasimguse raia bali wawa linde ,nahakuna fujo yoyote iliyo tokea ,kwanini hamjifunzi kwa makonda
@femidayahaya9293
@femidayahaya9293 2 месяца назад
EE YESU WANG..kila cku naumia moyo wang kutokana na mauaji ya wapendwa wetu
@mataypanga5262
@mataypanga5262 2 месяца назад
Lakini iwe marufuku watu kutekwa na kupotezwa. Jeshi liko wapi?
@taylorkasitu3819
@taylorkasitu3819 2 месяца назад
kwanini haki mnaikwepa',haki uzaa amani kila siku amani acheni hizo
@SmilingCityMap-xb9md
@SmilingCityMap-xb9md 2 месяца назад
Jamani wewe police ulieuwa kijana huyu sijui wewe utaponaje na hiyo damu ya kijana mdogo namna hii hata wakuu wakulinde namna gani hutapona mungu aliepokea damu ya kijana kwa mkono wako atakunyatia atakulipa na sijui wewe una watoto au hutazaa na ikiwa utazaa sijui utawalelea wapi maana hayo mambo ni machukizo sana
@MwangaPhilbert
@MwangaPhilbert 2 месяца назад
Rais wetu pambana hii nchi yetu
@victorkisenha5933
@victorkisenha5933 2 месяца назад
AMAN WAKATI WANANCHI MNAWAONA WAJINGA,
@LamekiMichael-pz7rv
@LamekiMichael-pz7rv 2 месяца назад
Mengine siyaelewi elewi ila kwa kushiriki ktk msiba Mh DC nimekuelewa umenesha kujali na umeongea kwa busara na hekima kweli kweli
@bcozhenry2698
@bcozhenry2698 2 месяца назад
Ujinga tu kujali maiti haiwezi kuwa Bora kuliko kujali uhai wa watu wanaopotezwa kipumbavu kila mahali sasa
@tumlakimwaitumule
@tumlakimwaitumule 2 месяца назад
Ngoja siku yakukute alafu waje msibani kukupa pole
@AlAl-sd9pl
@AlAl-sd9pl 2 месяца назад
Kwa nini wapige Rosa's
@victorkisenha5933
@victorkisenha5933 2 месяца назад
Si waue polis mmoja pìa?
@ramadhanishabani807
@ramadhanishabani807 2 месяца назад
Sasa polisi ni wake waliopiga risasi hii nchi bana
@cheiknamouna2058
@cheiknamouna2058 2 месяца назад
Huyo hapo Bado anajileta kanyageni Na yéyé wananchi tutachanga tugaramie Mazishi ubaya Ubwela😭🏃🤸
@SeifshabaniMhina
@SeifshabaniMhina 2 месяца назад
Police niwaoga sana alaf hawajiamini yan kitu kidogo mnapiga watu risasi mikono hamna tupigane kwangumi kama mtachukua raund
@shijandobehe4953
@shijandobehe4953 2 месяца назад
Serikali ijipange sana matukio yanazidi kila siku mara ngorongoro mara usega itafikia hatua nchi nzima watu wachoke kwa matukio haya,,, poleni wana familia kwa kupoteza mkombozi wafamilia 😢
@ramadhanishabani807
@ramadhanishabani807 2 месяца назад
Kama mezani imeshimdikana watu wafanyeje
@rithaurassa
@rithaurassa 2 месяца назад
Huyo alipaswa apigwe na yeye mawe. Siy MWANAMKE mwenye machungu na watoto wawenzake
@FatumaSaid-t4r
@FatumaSaid-t4r 2 месяца назад
Chanzo ni kuwashika wazazi.
@andrewmaiga4331
@andrewmaiga4331 2 месяца назад
Hongera sana mkuu wa wilaya, kujitokeza kwako ni kwenye msiba huu ni jambo jema .Lakini jambo jema zaidi, wote walio kamatwa waachiwe huru na mrudi kwenye meza ya mazungumuzo.
@karimjuma4019
@karimjuma4019 2 месяца назад
Hongera ya nn wakat yy ndio kaamuru wauwe polis na aliulizwa akasema hakuna mauaji katka maandamano yele
@tumlakimwaitumule
@tumlakimwaitumule 2 месяца назад
Hongera wakati alikuepo wakat hayo yanatokea
@TrustElbashil
@TrustElbashil 2 месяца назад
Wewe sio wananchi ni nyie mmesababisha kifo cha huyo kijana mtawajibika kwa mungu
@AgnessJohn-v8p
@AgnessJohn-v8p 2 месяца назад
Nanyie viongozi ndo chanzo
@TrustElbashil
@TrustElbashil 2 месяца назад
Kwanini mghalamie msiba kama sio nyie upuuzi huo wachieni watu tokeni uko
@femidayahaya9293
@femidayahaya9293 2 месяца назад
vijana wenzangu tuckubal kutolewa vyambo eti tuandamane huoni sasa tunavyopata madhara..me nackia uchungu sana
@taylorkasitu3819
@taylorkasitu3819 2 месяца назад
kwa kuwa ujapotelewa na ndugu ngoja yakukute
@femidayahaya9293
@femidayahaya9293 2 месяца назад
@@taylorkasitu3819 cjaona kibaya nilichokisema..rudia tena sms yangu so wee unafurahia watu kuuliwauliwa hovyo?
@stevensoso7506
@stevensoso7506 2 месяца назад
Ukitaka haki lazima uumie
@femidayahaya9293
@femidayahaya9293 2 месяца назад
@@stevensoso7506 mungu atusaidie sana
@bcozhenry2698
@bcozhenry2698 2 месяца назад
Eti nasikia uchungu sana, ukiwa na akili jiulize kwanza hao wananchi waliandamana kwa sababu gani?
@florencejohn6427
@florencejohn6427 2 месяца назад
Fala wewe
@hamissomary6869
@hamissomary6869 2 месяца назад
Ujinga ujinga tuuu"
Далее
Думайте сами блин
18:15
Просмотров 663 тыс.