Тёмный

DC Kheri James Akagua Miradi, Asikiliza na Kutatua Kero za Wananchi Pawaga Iringa 

Focus Digito TV
Подписаться 33 тыс.
Просмотров 91
50% 1

Ziara ya Mkuu wa Wilaya ya Iringa, Kheri James, kukagua hatua iliyofikiwa na hali ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo katika Tarafa ya Pawaga iliyopo ndani ya Wilaya ya Iringa pamoja na kufanya mkutano wa hadhara kuzungumza na wananchi, kusikiliza kero zao na kuzitafutia majibu, ufumbuzi na utatuzi kwa lengo la kuijenga Iringa Imara inayompa nafasi na fursa kila mwananchi kujiinua na kujiimarisha kiuchumi na kuleta maendeleo katika jamii na Taifa kwa ujumla.
Ziara hiyo imefanyika Agosti 13, 2024 katika Tarafa ya Pawaga wilaya ya Iringa Mkoani Iringa.
Subscribe (Focus Digito TV) ili usipitwe na Video mpya zinazotoka kila siku.
Focus Digito TV inakupa Maudhui Mazuri yanayohusu Habari, Elimu, Mitindo ya maisha, Michezo na Burudani.
Focus Digito TV is here to provide you with contents about News, Education, Lifestyles, Sports and Entertainments.
#FocusDigitoTV
..................
Tufuatilie Zaidi kupitia:
INSTAGRAM, TIKTOK, FACEBOOK, TWITTER (X), THREADS NA GOOGLE WEBSITE YETU YA FOCUS DIGITO TV
Focus Digito TV is one of the best info-edu-tainment Online Media conveying contents for the Public Interest.
Asante kwa kuchagua kutufuatilia | Thanks for Subscribing
We Love You | Tunakupenda
Regards
Team FocusDigitoTV

Опубликовано:

 

10 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии    
Далее
Ruaha Catholic University 2017 ( HD Video)
9:45
Просмотров 34 тыс.
гендер пати🩷🩵
00:21
Просмотров 113 тыс.
Introducing iPhone 16 | Apple
02:00
Просмотров 4,5 млн
HII NI KIBOKO YA WAHABI
19:33
Просмотров 7 тыс.
MJUKUU WA NYERERE AUTAMANI URAIS.
7:02
Просмотров 84 тыс.
Ip Man 2 | The Boxing Competition
15:57
Просмотров 7 млн
гендер пати🩷🩵
00:21
Просмотров 113 тыс.