Тёмный

HII NI KIBOKO YA WAHABI 

ZINJIBAR TV
Подписаться 142 тыс.
Просмотров 11 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

16 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 221   
@omarmohammad1528
@omarmohammad1528 3 дня назад
Dj vs Diamond Platnamz Soon Piano vs Guitar 😂
@omarmohammad1528
@omarmohammad1528 3 дня назад
Tuko Zanzibar na Dj Said Musician, Tafadhali tufanye mchango Wa Ma guitar 🎸 zimepungua na Piano zipo lkn Ikiongezwa na Gorido kutakua Vzry asanteni 😂
@kitosio
@kitosio 2 дня назад
Hahahaaaaa DJ. Saudi aaaa majanga waislamu waleo. Hatujui hata tulichoamrishwa na mtume WETU S.A.W
@MoodyOne-g5t
@MoodyOne-g5t 3 дня назад
Allah atuongoze n sisi tuitafute elim popote allauhmma ameen
@Mh_69rz
@Mh_69rz 8 дней назад
Mtangazaji hujielewi, chunga sana
@ramadhanyusuf2401
@ramadhanyusuf2401 8 дней назад
Mtangazi hajielewi😅😅
@kitosio
@kitosio 2 дня назад
ALLAH TUSAMEHE WAJA WAKO KWA KUTOFAHAMU TULIYOLETEWA NA MJUMBE WAKO MUHAMAD S.A.W
@NasibuJuma-e6u
@NasibuJuma-e6u 5 дней назад
Mtafia katika bidhaa
@user-lo5gg8jk8g
@user-lo5gg8jk8g 21 час назад
Nimeambiwa yupo tayari kwa mijadala usiropokWe
@SadaKassm
@SadaKassm 7 дней назад
Huyu mtangazaji mashaallwah anajitahidi sana ila watu wengine hupenda kutia wenzao ila tu lkn mtu huyo huyo ukimpa nafasi kama hii wallwahi thumma wallwahi atachemka sana.. kubwa tuombeane Dua na tuwache UBAYA wa nafsi .
@TwahirBurhan
@TwahirBurhan 7 дней назад
USTADH WA MUZIKI HUYO NA MPAMBANIA BI'DAA..HANA JIPYA
@darajanida
@darajanida 3 дня назад
hujamsikia kasema yupo hapa zanzibar anaetaka munakasha aende mbona unatowa vijneno pemben
@abuuzahra-fc2jg
@abuuzahra-fc2jg 3 дня назад
Jaahil wewe na mtabaki hivo hivo na upofu wenu mufsidiin nyiny
@abuuzahra-fc2jg
@abuuzahra-fc2jg 3 дня назад
Uwahabi na usalafi wenu ni sumu ukiinywa kupona sirahis Yaani umma umepata balaa kubwa Kwa mufsidiin hawa wahhaabiyya
@FahadMasoud-io4mb
@FahadMasoud-io4mb 2 дня назад
Sawasawa hilo ni poti la kiyahudi halijielewi
@FahadMasoud-io4mb
@FahadMasoud-io4mb 2 дня назад
Wagomvi wao ni waislam,km vile wao sio waislamu vile
@omanoman2044
@omanoman2044 4 дня назад
Dua inaobwa wengine wanabonyeza sim kumbe hata masheikhe wametawaliw nasim nikafikir ni sis tuy
@ali_ford
@ali_ford 7 дней назад
😂dj side
@balkisamisi2131
@balkisamisi2131 6 дней назад
Allah aku hifadhi Ustadh Said
@MohamedSaidi-lj9ei
@MohamedSaidi-lj9ei 7 дней назад
Ama kweli nibora uwe mjinga hujui haqqi kuliko mpumbavu anaejua haqqi na akaikanyaga Kwa kufata matamanio yake na kuwaridhisha wazee wake na watuwake ❌❌❌❌❌❌
@kitosio
@kitosio 2 дня назад
Mwamba ina maana Maswahaba hawakuyajuwa haya kuwa Yana muhimu, nyny ndio mnajuwa zaidi kutenda mema. Daah waislamu Sisi WA Leo kweli Mtihani. Yaani Kanzu nzuriiii mnavaa na Maswahaba walivokuwa. Ndio Sayyidna Umar kashafariki, angewakuta Watu sampuli yetu hii angecharaza Bakora mbiooooo!
@ابومعاذاحمدناصر
@ابومعاذاحمدناصر 7 дней назад
Yaa allah wanusuru waisalamu na balaa la kuzusha katika dini yako hakika shaitwan kawapambia sana jambo hili
@checkcheck5191
@checkcheck5191 7 дней назад
Kwan mnakuaga mnatumwa ku_coment au ni khiari zenu. ??
@saidmwakulika706
@saidmwakulika706 5 дней назад
Nashindwa wallah ​@@checkcheck5191
@omarmohammad1528
@omarmohammad1528 3 дня назад
​@@checkcheck5191ume comment kwani umetumwa wwe
@ZahorSuleyman
@ZahorSuleyman 6 дней назад
Huyu hamna kitu
@MohamedSaidi-lj9ei
@MohamedSaidi-lj9ei 7 дней назад
Na Allah akuongoze uijue haqqi
@lordenoughforme4417
@lordenoughforme4417 6 дней назад
Akuna cha kiboko habari zake zote tuko nazo.acha tumstiri tu
@Hud_hud_Salafiy
@Hud_hud_Salafiy 7 дней назад
Uyu mtangazaji ni chizi sana eti Aya hizo hajui Aya ni nini na HADITHI ni nini
@SaidAbdallah-sm1ft
@SaidAbdallah-sm1ft 7 дней назад
اذا أسند الأمر إلى غير أهلها فانتظر الساعة
@kitosio
@kitosio 2 дня назад
Kisha unasema wale ambao hawajafahamu. Basi na Maswahaba hawakufahamu hayo na wapo waliobashiriwa Pepo Duniani. Jee Nyny vipiiiii mnajijuwa mlipo mnafanya mliyokuwa hamukuamrishwa!
@SamhatPandu
@SamhatPandu 6 дней назад
Znz hakuna mtu atae Acha kazi zake akaeka munakash na ww dj na nyinyi nyote mutaenda kuulizwa na Allah na ww sheikh mudhihir mche Allah unaubeba uwo uzushi na Allah atakuhukumu kupitia ayo na ww kizito hujaona watu wa kutuletea mpk ulete wasanii mungu ndo atakuhukumu
@islamseyffden7723
@islamseyffden7723 7 дней назад
Aibu sanaa mtoto wa bachu anaaibishwa kwao zenji noma 😂😂sanaaa hii kitu
@omarmohammad1528
@omarmohammad1528 3 дня назад
Jifananishe na mwanaume katika maongezi yako braza
@MohamedSaidi-lj9ei
@MohamedSaidi-lj9ei 7 дней назад
Waumini tumeumbwa kupenda haqqi kutoka Kwa Allah na mtumewake ilo lenu limetoka wapi? Kwa Allah au mtume? Au maswahaba? Au maimamu wakubwa? Duh aisee watu ni wabishi sijapata Kuona he 😠🤔🤔🤔
@mohamedamiri4597
@mohamedamiri4597 6 дней назад
Haya yakudharauliana na kukosowana ndio tuluoachiwa wenzetu wanajua nini maana ya kuheshimiana
@mussaissa6796
@mussaissa6796 7 дней назад
MNAFANANA MAUMBILE SIO!! YAANI WEWE UNA DHAKAR AU YEYE ANA FARJI!! WEE MPUUZI KWELI KWELI.
@MohamefMullah
@MohamefMullah 6 дней назад
Nini uwahabi, uwahabi ni genge au kundi lilioanzishwa na Muhammad Abdul wahab kutoka katika mji wa Najid huko saudia yapata miaka 300 tu iliyopita, na hawa mawahabi ndio waulioungushs utawala halali wa saudia ya zaman kabla ya saudia ya sasa, Mawahabi ndio waliopindua uongozi halali wa kizazi cha mtume katika miji ya kale ya saudia Arabia, hii saudia ikiwa mawahabi hamuelewi ni jina la babu wa Fahdi bin Abdul azizi Al saudi, hawa mawahabi ambao wanaleta shida katika dunia ndio walipindua kizazi cha mtume kwa msaada wa Uingereza na Marekani, Hawa mawahabi ndio waeneza chuki katika uislam, Hawa mawahabi kila kheri hujaribu kuibadisha ili iwe shari, Uwahabi chimbuko lake ni mji wa Najid mji ambao mtume Muhammad S, a, w alikataa kuuombea dua, kumbe alikwisha jua kuwa muanzilishi wa uwahabi atatoka hapo na ndio sbb ya kuja kuutia dosari na kukosoa kila zuri la kiislam, Uwahabi ni kama chama, unaingizwa na kutolewa,
@Grataaaaa
@Grataaaaa 7 дней назад
Shekh maulidi
@TwalibHajj
@TwalibHajj 6 дней назад
Ugonjwa wenu mtafteni daktari wa maana
@fatmafatu1128
@fatmafatu1128 7 дней назад
Napenda sana mwanaume mwenye ndevu asokuwa na ndevu naona kama tunafanana
@jamalikatikiro6145
@jamalikatikiro6145 7 дней назад
Nenden gest ndo utajua nikama wewe au laa😅😅😅
@fatmafatu1128
@fatmafatu1128 7 дней назад
@@jamalikatikiro6145 sindano imekuingia cha kunyoa ndevu unakuwa kama tunafanana mkeo
@Rolemodel_wa_taifa
@Rolemodel_wa_taifa 7 дней назад
Tukisema tufunge ndevu na kuoa mnasema sunna nyingine hatuzioni tukizifata sunna nyingine mnasema mnataka ndevu sisi sio Nabii hatuwezi shika yote hayo sisi nyongo tunazo Nabii hakuwa na Nyongo hii ni tafauti yetu na yeye
@manhajsalafafrica
@manhajsalafafrica 7 дней назад
Anaenyoa ndevu anajifananisha na mwanamke
@YaziduIddy-u7p
@YaziduIddy-u7p 7 дней назад
​@@manhajsalafafricatao dalili ju ya hilo
@ATICKLUNKO
@ATICKLUNKO 7 дней назад
Nadhakar unayo nn au ni ndev tu,,,na je mtume kasem ukikosa ndevu unakua mwanamke ,,
@HajiMororo
@HajiMororo День назад
Hii nibidaa
@KhadijakhamisMasoud
@KhadijakhamisMasoud 7 дней назад
Vichwa vya habari vitagawanya kizazi cha sasa...
@RamadhanHabibuAmour
@RamadhanHabibuAmour 3 дня назад
Awo masufi wengi ni ....... 😅😅😅
@inamxmdsheekh1978
@inamxmdsheekh1978 2 дня назад
Hebu mtueleze kama mnampenda mtume SAW kuliko khulafaurrashidiin? Maana hawajawahi kuusherekea mawlid!
@user-qe8xp6ii1u
@user-qe8xp6ii1u 6 дней назад
Huwa mnashindwa Kutueleza nn Uwahabi kiistwilahi na kilugha??Je,Uwahabi ni nn Hili swali hamjaweza Jibu Masufi mpka sasa. Kwa sabab Hakuna Kundi/Madhehebu linaloitwa wahabi. Na hakuna Maana ya Mawlid inayomaanisha hiyo yenu Bali ni Ihtifaalat bil mawlid Nabiyy. na Hakuna Mwanachuoni yyte Asemaye Jambo hili ni sunna.
@user-bl4vy5bo4f
@user-bl4vy5bo4f 8 дней назад
Mtangazaji jitahid tulia na fikiria unachotak kuongea usikurupike utangazaji unaitajia fikra kubwa sio kilaakati eee aaaa, hem tulia na punguz papara katik kuongea. Na ukifanya hivyo utakua mtangazaji mzur sn
@salmaanfaqiih
@salmaanfaqiih 8 дней назад
Kwahiyo umemuongoza nini yaani kwa ufupi?! Maana kwa sura hii ni kwamba na wewe ni Mwenye papara pia, kwahiyo mnyooshee lengo lako
@suleali4915
@suleali4915 8 дней назад
Binaadam kwa kuongea tu
@bashirusalumbigapsana673
@bashirusalumbigapsana673 8 дней назад
Mchaji Mungu sana uyu kijana
@user-bx5cn5no5e
@user-bx5cn5no5e 7 дней назад
Wee itakuw ni Wahabi piy
@MohamedSaidi-lj9ei
@MohamedSaidi-lj9ei 7 дней назад
Umesikia? Wanaendeleza mifumo ya wazee
@AbdulMohamedWario
@AbdulMohamedWario 6 дней назад
Maulid ni nuru ya Allah cio 😅😅😅😅😅😅😅 makhurafi hamjielewi
@funnysmile8666
@funnysmile8666 7 дней назад
jamaa hana tofaitii na qadiriaa wapiga vinanda na magomaaa tunazo clip zake nyingii tuu ana pigaa mananda na magoma
@checkcheck5191
@checkcheck5191 7 дней назад
Kwan mnakuaga mnatumwa au ni khiari zenu??
@MohamedSaidi-lj9ei
@MohamedSaidi-lj9ei 7 дней назад
Majaahil nguli
@abbaspaziaog2188
@abbaspaziaog2188 2 дня назад
Kipindi hicho nipo zanzibar 😂kabla yakujua misikiti ya masalafi uhl sunna waljamaa wenyew as nilikua naswal kwenye sikiti hill lakisufi😂
@MohamedSaidi-lj9ei
@MohamedSaidi-lj9ei 7 дней назад
Kumbe ulitumia akili ulonayo usitumie akiliyako katkadini
@AbdallahJchubi
@AbdallahJchubi 4 дня назад
nyie masufi acheni kuendekeza matamanio haq Iko wazi
@mfalmenajjash2128
@mfalmenajjash2128 7 дней назад
Hii tv niliiyona niyamaana sana kumbe niyahovyo kumbe hii tv ni tv ya misufi na unfollow hii mijamaa ikombali na sunna
@sabrimtumweni5633
@sabrimtumweni5633 7 дней назад
Huyu mtangazaji ni Chale anashabikia akipotoka Bure hata ukauze samaki malindi Uandishi wa habari haukufai kabisa Na huyo unaemuhoji ajijua hayumo ndio maana amekimbia Mombasa
@checkcheck5191
@checkcheck5191 7 дней назад
Kwan mnakuaga mnatumwa au ni khiari zenu??
@hassanmzandy1421
@hassanmzandy1421 7 дней назад
Sio محجورا ni مأجورا
@abdul_azeez_almaamir
@abdul_azeez_almaamir 8 дней назад
Mtangazaji kama shabiki ,,, aibu
@ahmadiibrahim7906
@ahmadiibrahim7906 5 дней назад
Hii kiboko ya wajinga wavivu mazundiki na watu wa batwil
@abdoumadiousseni4835
@abdoumadiousseni4835 7 дней назад
Huyu ni mwanamuke tu sio mwanaume 😅
@jamalikatikiro6145
@jamalikatikiro6145 7 дней назад
Mpe dadako akusimulie😅😅😅
@SWAAHIB
@SWAAHIB 7 дней назад
ما ليس فيه
@ATICKLUNKO
@ATICKLUNKO 7 дней назад
Maulid ni uvundo pamoj na ile qur,an,,isomwayo,,na mtume anaetajwa,,ni uvundo,,,sir ya mtume ni uvundo,,,au umeropka,,tu,,
@swalehseifmuhammed8289
@swalehseifmuhammed8289 7 дней назад
Inamana qur an ni uvundo ww chukia maulidu ila usiseme qur an na kutajwa mtume ni uvundo wa chakibur
@abdoumadiousseni4835
@abdoumadiousseni4835 7 дней назад
Kwahiyo maswahaba hawako soma ndomana hakofanya maulidi nyinyi ndo mulio soma mpaka munafanya maulidi
@jamalikatikiro6145
@jamalikatikiro6145 7 дней назад
Wewe umesoma wapi?
@Harunery
@Harunery 7 дней назад
Vimbeni kwa hiyo pumzi ya ALLAH,jueni marejeo ni kwake nyinyi wapuuzi msokua na akili
@Rolemodel_wa_taifa
@Rolemodel_wa_taifa 7 дней назад
Na wewe pia mwenye akili uvimbe na ukijua pumzi ni ya Allah muda wowote ataichukua usifikili ukiwa na akili utaishi milele
@funnysmile8666
@funnysmile8666 7 дней назад
MAULIDI NI UVUNDOO
@checkcheck5191
@checkcheck5191 7 дней назад
Kwan mnakuaga mnatumwa au ni khiari zenu??
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 7 дней назад
​@@checkcheck5191 kwa kafiri MAULID (MAZAZI YA MTUME SAW) NI UVUNDO. LKN KWA WAISLAMU MAZAZI YA MTUME WETU NI FURAHA TU. CHUKI ZENU MAKAFIRI HAZIWEZI KUTUTUDISHA NYUMA WAISLAMU
@funnysmile8666
@funnysmile8666 7 дней назад
sasa hivii hamtupatii tushashtukaa wano yapiga maulidii wanahojaa zenye misingii ya haq juzi naangaliaa clip watuwamaulidi wameambiwa maulidi nibidaa mtume wala maswahaba hawaku fanyaa wakaja na hojaa wakasema bc na mashindano ya quran nibidaa maana mtume hakufanyaaa 😅😅😅duuh
@darajanida
@darajanida 4 дня назад
ndio tusaidie wewe kuwa mtume kafanya mashindani ya kur ani
@YusufuMustafa-c5m
@YusufuMustafa-c5m 7 дней назад
Nyie masufi acheni mchezo na dini jumba na kupiga magitaa mmetoa kwa nani?
@aminaabdullahi-tp5kn
@aminaabdullahi-tp5kn 6 дней назад
Ndio Lao kubwa kibri Na dharau...ALLAH ATAWATOSHA
@KhamisiMulusi
@KhamisiMulusi 7 дней назад
Huyu ni tapeli wa akili ndogo za masufi na khuraafiyuun
@jamalikatikiro6145
@jamalikatikiro6145 7 дней назад
Bin Abdul wahabi ndo kawatapeli
@KhamisiMulusi
@KhamisiMulusi 7 дней назад
@@jamalikatikiro6145 ebu eleza kidogo tu ibun Abdulwaab ni nani? Na nina uhakika tena asilimia mia moja hujui na hujui....humjui ni nani ila ni fikra tu za kizembe mmelishwa...na kwa sababu wallahi nina uhakika ungalikuwa wamjua ni nani hungethubutu kutapika hayo matapishi yako
@darajanida
@darajanida 4 дня назад
​@@KhamisiMulusinawewe elezes kidogo tu historia ya taswauf na nasi tutakuleza historia ya shekh muhammad abdul wahhab
@DiudaKozi-qu8sl
@DiudaKozi-qu8sl 7 дней назад
Dj said Zanzibar unashoo Kwa bakasir
@hythamhashiem4458
@hythamhashiem4458 7 дней назад
Wewe waongea lugha gani
@mzeerajab9154
@mzeerajab9154 7 дней назад
????? Wenzio wanasoma wewe shabikia.
@jamalikatikiro6145
@jamalikatikiro6145 7 дней назад
Wewe ndo densa wa iyo shoo😅😅😅
@yusuphhamisi504
@yusuphhamisi504 8 дней назад
Dj kapigwa kitu kizto na abuu khawla kapotea Mtume amatumia ما ليس فيه Kwenye sunan abyy daud
@SWAAHIB
@SWAAHIB 7 дней назад
Hapo alikaa kimya kama hakusikia vile
@yusuphhamisi504
@yusuphhamisi504 7 дней назад
@@SWAAHIB kajizima data
@abubakaromar6101
@abubakaromar6101 7 дней назад
​@@yusuphhamisi504abuu khawla aliambiwa ajitokeze kwa Niqash kama yule kikojozi akakimbia lkni mpaka leo hajajibu amenyamaza wala hajasikika tena kama vile huyo kikojozi kutoka baada ya Niqash mpaka leo hajasikika tena na zile kelele zake za kama mwaka jana kutukana wanazuoni na Masharifu juu ya Mamimbar na kutupa kitabu bali sasa twaona mambo yamebadilika yamekuwa tafauti alienda kuwasifu Masharifu na kuweka mijadala na mawahabi wenzake kila siku imekuwa kama musalsal yakuendeleya wanalimana wao kwa wao
@abubakaromar6101
@abubakaromar6101 7 дней назад
​@@yusuphhamisi504wewe huyo abuu khawla ushamsikiya tena alitwa mpaka leo amenyamaza
@darajanida
@darajanida 4 дня назад
uyo abuu khaula nae kamkimbi shekh muharram mziwanda mbona hamsemi
@user-ql2om7qj3v
@user-ql2om7qj3v 7 дней назад
Zuzu lakisufi amabye anawapoteza wajinga wenzake
@mussaissa6796
@mussaissa6796 7 дней назад
KWA NINI HUMTAFUTI ILI UMUONYESHE HIYO ELIMU UNAYOJIFANYA UNAYO, ILI TUJUE KATI YA WEWE NA YEYE NI NANI AMBAYE HANA ELIMU!! AU UNABWEKA TU.
@mohdkhatib223
@mohdkhatib223 7 дней назад
Wewe mtangazaji ni punda wa shia na nyinyi masufi ni wapumbavu na upumbavu wenu unaonekana
@jamalikatikiro6145
@jamalikatikiro6145 7 дней назад
Wewe pia nimbwa wa wazungu unajulikana😅😅😅
@darajanida
@darajanida 4 дня назад
nanyinyi mawahabi ni mbwa wa mayahud
@DiudaKozi-qu8sl
@DiudaKozi-qu8sl 7 дней назад
Vipi naona dj said kaja diamond pla.....,shoo ya mziki itakuwa wapi mahurafi
@abdallahissa5736
@abdallahissa5736 7 дней назад
Ittakillah, huyo ni muislam kama ww haifai kumkejeli hata kama kuna tofauti flani kati yenu, tunalazmika kua kitu kimoja waislamu pamoja na tofauti zetu tulokua nazo coz hizi haziwezi kuondoka. Samahani kama ntakua nmekukosea kwa nasaha yangu.
@mzeerajab9154
@mzeerajab9154 7 дней назад
Ndugu yangu tumekatazwa kujitakasa,hivyo si vyema kujitakasa ukaona watu hawakuongoka na kuwaita majina mabaya na yasiyo yao.
@jamalikatikiro6145
@jamalikatikiro6145 7 дней назад
Madensa pia mnakaribishwa kwa shoo😅😅😅😅
@FahdIbnyussuf
@FahdIbnyussuf 7 дней назад
Shetan inapendeza zaid bidaa kuliko maasi sas cjui mnangoja nn msoacha hayo maulidi
@abubakaromar6101
@abubakaromar6101 7 дней назад
user-zr1dv2tb5k Shetwani zaidi wale waloigawanya Tauhid kwa sababu Shetwani alimuahidi atawapoteza ktk waja wake ndio akawapata nynyi mawahabi akawafundisha kuigawanya Tauhid ya Mwenye Ezi Mungu
@FahdIbnyussuf
@FahdIbnyussuf 7 дней назад
Nyie hamuelewi mambo ndo man kila cku zikenda mnazidi kupotea kila bidaaa ni upotevu hata mkiiona ni nzuri mnawapi pakukimbilia makhurafi
@FahdIbnyussuf
@FahdIbnyussuf 7 дней назад
Nyie tunawaelewa km alivosema imamu shafee huwez kumumuona sufi asubuhi ispokua akifika mchan utamkuta mwendaazimu hamna akili ndo man imam shafee aliwajua fikaa
@FahdIbnyussuf
@FahdIbnyussuf 7 дней назад
@@abubakaromar6101 hlf nyinyi hamsomi akida ety mbona mnafanya tawasulli kwenye makaburi ya masharifu wenu
@abubakaromar6101
@abubakaromar6101 7 дней назад
@@FahdIbnyussuf nyinyi ndio mwajuwa Akida ndio mukaigawanya Tauhid? Kutawasal kwa Mwenye Ezi Mungu kupitia kwa watu WEMA au kitu CHEMA haijakatazwa hata Nabii Yusuf A.S alitawasal kwa KANZU na babake akaponya upofu kwani ilikuwa hawezi kumuomba Mwenye Ezi Mungu moja kwa moja na Dua za Manabii zajibiwa hapo hapo,ilokatazwa mukifanya kile kitu ndie Mwenye Ezi Mungu, sasa hiyo Akida yako au yenu ya kumgawanya Mwenye Ezi Mungu ينقسم توحيدإلى ثلاثة أقسم muliitowa wapi?
@pavillioncry5241
@pavillioncry5241 8 дней назад
Hatuna haja ya kusoma maulidi Sie tunajuwa ni uharamu sababu mtume hajafanya Kama kafanya lete salili
@abdallahissa5736
@abdallahissa5736 7 дней назад
Hata kuharamisha asichokiharamisha mtume pia ni haram
@hythamhashiem4458
@hythamhashiem4458 7 дней назад
Sisi pia hatujawaambia someni maulidi lakini mjue tu dini ya uislamu ima letwa na masufi kasome tarikhi ya East Africa lao siwao hata kukoga janaba na kutawadha mungejuwa nyie mawahabi
@abubakaromar6101
@abubakaromar6101 7 дней назад
Salili ndio nini au mtu gani? hata hiyo simu unayotumia wewe Mtume SAW na Maswahaba pia hawatumia
@jamalikatikiro6145
@jamalikatikiro6145 7 дней назад
Hata kupanda magari Haram vilevile
@jumamwarabu9307
@jumamwarabu9307 6 дней назад
Hata MTUME MUHAMMAD hakufanya mashindano ya kuhifadhi Qur an::JE NI bidaa;::
@MohamefMullah
@MohamefMullah 6 дней назад
Mtangazaji hajielewi vip ana kosa gani,kulaumulaumu ni dalili za Uwahabi,
@omaribrahim1547
@omaribrahim1547 8 дней назад
dj
@jamalikatikiro6145
@jamalikatikiro6145 7 дней назад
Densa wewe😂😂
@aminiahmad-i9q
@aminiahmad-i9q 7 дней назад
Kofia unavyo vaa unasujudu vipi kwenye swala shekhe
@mussaissa6796
@mussaissa6796 7 дней назад
MUULIZE MUHAMMAD BACHU
@darajanida
@darajanida 4 дня назад
wewe huna lakusema bora ungenyamaza ndugu yangu kwani hapo saiv yupo kwrnye swala
@mahfoudhcalender2747
@mahfoudhcalender2747 7 дней назад
leteni dalili ya maulid basi
@hythamhashiem4458
@hythamhashiem4458 7 дней назад
Mwajichokesha
@abubakaromar6101
@abubakaromar6101 7 дней назад
Dalili ipo kwa mwanachuoni mkubwa munaemtegea Sheikh Islam IBN Taymiyah ktk kitabu chake IQTIDHAAU SWIRATWAL MUSTAQEEM kasome عن شيخ الإسلام ابن تيمية هو القول بأن: الاحتفال بمولد النبي صلى الله عليه وسلم؛في كتابه اقتضاء الصراط المستقيم:وإنما يفعل مثل هذا النصارى الذين يتخذون أمثال أيام حوادث عيسى عليه السلام أعيادا، أو اليهود، وإنما العيد شريعة، فما شرعه الله اتبع؛ وإلا لم يحدث في الدين ما ليس منه. كذلك ما يحدثه بعض الناس إما مضاهاة للنصارى في ميلاد عيسى عليه السلام، وإما محبة للنبي صلى الله عليه وسلم وتعظيما له، والله قد يثيبهم على هذه المحبة والاجتهاد وقال رحمه الله: " فتعظيم المولد، واتخاذه موسمًا، قد يفعله بعض الناس، ويكون له فيه أجر عظيم؛ لحسن قصده، وتعظيمه لرسول الله صلى الله عليه وسلم،لا على البدع من اتخاذ مولد النبي صلى الله عليه وسلم عيدا. hapo mwisho mwisho asema ktk kuyatukuza Maulid لا على البدع sio ktk Bid'aa
@abubakaromar6101
@abubakaromar6101 7 дней назад
Sasa wewe lete Dalili Maulid hayafai
@KhamisiMulusi
@KhamisiMulusi 7 дней назад
@@mahfoudhcalender2747 hawawezi na hawana isipokuwa ni njaa tu za birian soda kachumbari pilau n.k zinawafanya akili zao kuwaambia maulid ni dini
@KhamisiMulusi
@KhamisiMulusi 7 дней назад
@@abubakaromar6101 mwenye kudai jambo ndo juu yake kuleta dalili/ushahidi... Mlalamishi akidai kaibiwa bas ni juu yake kuleta ushahidi c yule aliye iba
Далее
KIJANA ANAEFUATA VYEMA NYAYO ZA SHK OTHMAN MAALIM
22:21