Тёмный

DC: WATIENI NDANI MTENDAJI, M/KITI KWENKWEMBE 

Подписаться
Просмотров 101
% 2

KILINDI: MKUU wa Wilaya ya Kilindi, Hashimu Mgandilwa ametoa siku 14 kwa wananchi waliovamia eneo la ushoroba kwaajili ya mapito ya wanyama katika pori tengefu la Handeni kuhama.
Huku akiligiza Jeshi la polisi kuwakamata Mwenyekiti na Mtendaji wa Kijiji cha Kwenkwembe kwa kuuza maeneo kiholela na kusababisha migogoro ya ardhi.
Kauli hiyo ameitoa baada ya ziara ya kutembelea eneo hilo na kujionea uvamizi wa ujenzi wa nyumba za makazi pamoja na utayarishaji wa mashamba ulivyofanywa katika eneo hilo.
Follow us on:
FACEBOOK;
SpotiLeo: Spotileo-176...
HabariLeo: habarileo/
DailyNews: dailynewstz/
INSTAGRAM;
HabariLeo: habarileo_tz?ig...
SpotiLeo: spotileo?igshid...
TWITTER;
Twitter HabariLeo: HabariLeo?s=09

Опубликовано:

 

7 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 1   
@simonkipondo1453
@simonkipondo1453 6 часов назад
Safi kabisa mhe DC kilindi MUNGU akubariki