Тёмный
Daily News Digital
Daily News Digital
Daily News Digital
Подписаться
Channel hii inaendeshwa na Kampuni ya Magazeti ya Serikali Tanzania (TSN), Wachapishaji wa magazeti ya DAILY NEWS, HABARILEO NA SPORTILEO. Karibu na usiache KU- SUBSCRIBE katika Channel hii kwa habari za kweli na uhakika.
WA-SIERRA LEONE WAKOSHWA NA UJENZI WA MAWE
0:54
11 часов назад
SASA WAZEE KULIPA NUSU NAULI Z'BAR
1:41
17 часов назад
RUNGWE AMPOKEA LUKUVI CHAUMMA
4:03
18 часов назад
HALI ILIVYO SIKU YA LEO
1:18
22 часа назад
KUPITIA: THE ROYAL TOUR
6:49
23 часа назад
MADAKTARI BINGWA 20 WATUA TANZANIA
2:31
2 часа назад
MABINTI KUISAKA SH MIL 5 KAITABA
7:15
2 часа назад
BILIONI 17 REA KUWASHA UMEME MORO
4:24
7 часов назад
MIKOPO CHECHEFU YAPUNGUA
1:38
9 часов назад
MFUMUKO WA BEI WASHUKA
1:11
9 часов назад
Комментарии
@ZitoRamadhan
@ZitoRamadhan 6 минут назад
Hii ndo elimiu tunayo itaka. Elimu maarifa sio elimu taarifa tuliyo nayo eti binaadam wa kwanza alikuwa nyani nasisi tunakubali
@MaxCharles-wj5dg
@MaxCharles-wj5dg 2 часа назад
safi Hawa wakufungwa kbs
@simonkipondo1453
@simonkipondo1453 2 часа назад
Safi kabisa mhe DC kilindi MUNGU akubariki
@jayzeem14
@jayzeem14 2 часа назад
Kwa hiyo huko TAMISEMI wizarani fedha kama hizo zimepelekwa Halmashauri ngapi? Hiyo siyo Kigamboni tu ni nchi nzima!! Mheshimiwa Waziri Mkuu una kazi kubwa sana ya kufatilia hivi vichaka ni vingi kila halmashauri! Mungu akutie nguvu!
@jayzeem14
@jayzeem14 3 часа назад
Asante Mheshimiwa Waziri Mkuu Kwa kuibua hayo! Wizi huo unatukosesha huduma za jamii! Kigamboni tuko nyuma sana kimaendeleo, Barabara, maji, umeme, usafi nk wilaya zote wana barabara za lami kila kona Kigamboni hakuna hata watu waliojenga wanashindwa kuhamia na wengine waliohamia wakaondoka.
@jayjay4313
@jayjay4313 10 часов назад
Tatizo hatujawahi kuona mtu analipishwa, Wala kufungwa. Wanaishia kufukuzwa ama kuamishwa na fweza zao zinawatosha mpaka wanakufa.
@BagramenshZuma
@BagramenshZuma 12 часов назад
Vionhoz wa kigambon wapig hela kwa matumbo yao barabara hamn kila mwaka wanaziba vilaka tu
@BagramenshZuma
@BagramenshZuma 12 часов назад
Wapeleken mahakaman
@BagramenshZuma
@BagramenshZuma 12 часов назад
Hongera waziri mkuu kikukwel viongozi wa kigambon wanazinhua sana kigambon haina barabara ya mtaan hata moja wafatikieni ntaona madudu mengi
@muftihassan5634
@muftihassan5634 12 часов назад
Nitapataje dawa
@alphoncewilliam4325
@alphoncewilliam4325 16 часов назад
Hingera sana tanzania
@TrustElbashil
@TrustElbashil 17 часов назад
Hamna upendo wowote mbona vijana wenu wanaua wenzao mnakaa kimya?
@TrustElbashil
@TrustElbashil 17 часов назад
Anatembelea vyama dhaifu ambavyo havina ueledi
@raheemsaleh14
@raheemsaleh14 18 часов назад
Alokuwa ana shoot cjui ata alikuwa ana shoot nini maana camera haitulii wala haionyeshi pale sehemu husika anaonyesha tumbo la uyo afisa 😂
@ndaimtambo8845
@ndaimtambo8845 19 часов назад
Tushachoka kila siku pesa zetu kuliwa na mafisadi😮 mpaka leo hamjapata dawa hii inaonyesha ni kiasi gani hamuwezi tena kuongoza nchi hii 😮 you must vanish and don't look back
@AbuuRamadhani-o7k
@AbuuRamadhani-o7k 19 часов назад
Waiten wa Russia na waarabu waje kuwekeza hapo ndo mabingwa wa gas dunian
@salumally-jz5lj
@salumally-jz5lj 20 часов назад
Mimi ni fundi swala la kusema rivertgun,compressar vinapatkana apa tz je
@mariagrayson5414
@mariagrayson5414 21 час назад
Asante cn❤❤
@shukranimugasa3521
@shukranimugasa3521 22 часа назад
WAZIRI MKUU ANAANGAIKIA MILLION 100 WAKATI SERIKALI YOTE NI WEZI WATUPU NA WAMEPEWA RUKHUSA
@hawaelymaricca7602
@hawaelymaricca7602 22 часа назад
Daaah watu hata hawaogopi pesa ya serikali , watu wapo kwa akili ya kupiga pesa na kuendelea kuishi.
@nassorowaziri3076
@nassorowaziri3076 День назад
Pole sana Mh Waziri mkuu na Hongera Kwa kazi nzuri lkn naishauri serikali kwamba Fedha zote inazotoa au kulipa kupitia wizara husika ni vzr zikachapishwa kwenye gazeti la serikali au Halmashauri husika na ikiwa hv kutaepusha utoroshwaji wa Fedha kama huuu.asante
@afropanorama4730
@afropanorama4730 День назад
bado hamjawa serious na wezi,dawa yao ni kifo tuone kama nchi haitonyooka
@husseinmassawa7186
@husseinmassawa7186 День назад
Gesi hiyo, nchi imejaa utajiri hii sema ndo hivyo tu sijui tupewe nini tena
@EliyaMWAIJUMBA-i1n
@EliyaMWAIJUMBA-i1n День назад
Ungekuwa rais ungewachapa fimbo upendi ujinga mweshimiwa tuna Imani nawe chapa kazi kigamboni tuna hali mbaya
@suzanamkundi8249
@suzanamkundi8249 День назад
Asante
@KingMswati-i8e
@KingMswati-i8e День назад
Kwa nini INATUMIA petroli?
@IsraeliHaule
@IsraeliHaule День назад
Ziauzwa shngapi
@alfoncejohn2104
@alfoncejohn2104 День назад
Wafukuzwe haraka SANA na washitakiwe
@abdulkarimharsheems3187
@abdulkarimharsheems3187 День назад
Shida kubwa mnaishia kujiridhisha tu na wahusika hawapelekwi mahakamani kuhukumiwa dhambi zao
@frankbuliro9183
@frankbuliro9183 День назад
🎉🎉
@SaidSeif-d4y
@SaidSeif-d4y День назад
Wahujumu uchumi wauliwe😮😮😮😮😮 mnacheka nao sana 😢😢😢
@ndaimtambo8845
@ndaimtambo8845 18 часов назад
Hicho ndio nilikuwa natafuta kwenye comment👊🏿
@mufaddalmoawalla8522
@mufaddalmoawalla8522 День назад
Njoo na kariakoo napo kuna kutakatisha hela za jiji zinazoliwa wazi.wazi
@HajiKlein-so1rk
@HajiKlein-so1rk День назад
🇹🇿🇹🇿🇹🇿💯
@vaskosamweli3556
@vaskosamweli3556 День назад
Mafta yakiosha angan inakuaj,
@ewaldambrose6136
@ewaldambrose6136 День назад
Viva Tanzania
@TripleHustle
@TripleHustle День назад
How much do they cost?
@mrafm7285
@mrafm7285 День назад
Gas kila Kona ila bei Iko juu
@giftmusa6543
@giftmusa6543 День назад
Kwahyo inabeba mtu mmoja? ,maana ruban lazima awepo.mngeongeza at least iwe inabeba watu wanne
@mkulimatanzania
@mkulimatanzania День назад
Hii ndio nchi ya ahadi. Ukweli ni kuwa akuna nchi yenye resources nyingi kama Tanzania angalia madini, gas, uranium, oils nadhani ifike pahala vijana tujiongeze tuwekeze sana kwenye fursa kama izi kufanya makusudi tuwe na maviwanda hii nchi ukiachia serekali tutabaki lalama tuu.
@egdldm4981
@egdldm4981 День назад
Nchi hii ina watu waliolaza bongo hadi kero! ... Hivi watalaam wetu hawajawahi kusikia uwepo wa gesi ya kutosha kaskazini mwa Mocambique na kusini mwa Tanzania unapoingilia mto Ruvuma bahari ya hindi?😮
@MkundeMtui
@MkundeMtui День назад
Mwenyezi Mungu akupe maisha marefu Umetusaidia wengi kwaushauri wako
@EricMhongole
@EricMhongole 2 дня назад
Safi Sana, Mwambie huyooooooo! Awe na adabu kabisa
@hamidamussa-sy4fm
@hamidamussa-sy4fm 2 дня назад
Kazi yake ni ipi
@selemanimopei7063
@selemanimopei7063 2 дня назад
Naipenda nchi yangu tanzania
@jumadinya3796
@jumadinya3796 2 дня назад
LATR mnampango gani juu ya mativ kwenye mabasi kukomesha tv na miziki humo miziki hiyo ni wasanii wanacheza uchi wamevaa vichupi kwenye mabasi hayo wasafiri wanasafiri humo kuna mama baba na watoto au mama mkwe dada yeke mnaonaje kutoa hizo tv na miziki kwani niaibu tupu hapo kwenye mabasi hayo makelele.makelele yametawala kwenye mabasi mnaona hapo sio utovu wa umomonyoko wa maadili yetu sisi watanzania mbona tunakosa kutambua hili serekali ingilieni hili mnapiga kelele umomonyo wa. Jamii na chanzo cheke ni hawa wasanii waovyo wanaecheza uchi usilaumu jamii inapoteza maadili na kumbe hawa wasanii wanachangia sehemu kubwa sana hamoni hayo mamiziki yaovyo MKUU chukua maamuzi mazito kufufuta mamiziki hayo ilitupate jamii nzuri na ALLAH asituangamize jee halali ipo tuu kwenye nyama tuu halali ipo sehemu kubwa sana kuvaa nguo ukajisiti isionyeshe maungo yako ni halali hiyo tusiwe kama wanyama ndio wanatembea uchi katazeni tunusurike tujitafakari haraka na kujua hili na Latra uchueni hatua ya kufungia mativ kwenye mabasi
@Niika870
@Niika870 2 дня назад
Acheni ubwege hiyo ni Ges na mafuta
@ngabospilian4996
@ngabospilian4996 2 дня назад
Kibongo hiyo imeisha hakuna ufatiliaji tena
@erickwanjarajr5707
@erickwanjarajr5707 2 дня назад
Inch ihi tajiri sana ila basi tu
@mwalimumstaafu8529
@mwalimumstaafu8529 2 дня назад
Mama nakuomba sana tumechoka na hao wizi wa mali ya umma, wachukulie hatua kali iwe fundisho kwa wengine. Imefikia wakati wafanyakazi hawaogopi mwajiri ambao ni serikali yako.
@JumaLamia-h6s
@JumaLamia-h6s 2 дня назад
Koo na wale naofanya kazi car wash wabebe mashine zao wapeleke xheer uo co uungwana mkitaka kuzuia vidum leten mbadala wake kama ilivyo kuwa upande wa mifuko ya nailon