Тёмный
No video :(

DENNIS NKANE AFUNGUKA MAZITO, NMEPITIA MAGUMU SANA/ KIBWANA SHOMARI ANANIONEA SANA YANGA,MTU WA DINI 

SPOGA ONLINE
Подписаться 134 тыс.
Просмотров 34 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

26 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 31   
@naliakafatuma9870
@naliakafatuma9870 2 месяца назад
MUNGU ni mwema hongera Sana Dennis kila la kheri kazi njema barikiwa Sana nyote shalom
@user-np4om6hz4m
@user-np4om6hz4m Месяц назад
Nkane wananchi tupo pamoja nawe naamin ipo siku utarejea nyumbani jangwani❤❤❤🎉🎉🎉
@thadeusmarkiminja2282
@thadeusmarkiminja2282 2 месяца назад
Kijana usikate tamaa unapendwa na pande nyingi.mi nakukubali usijali nenda kusali nidhamu mazoezi utatoboa sio lazima Yanga
@imanikubwa2896
@imanikubwa2896 Месяц назад
Kiukweli nampenda huyu dogo,ana kipaji kikubwa Sana Cha mpira, namuombea kwa Mungu ili apate nafasi ya kucheza ni hazina ya nchi
@salimmalaka256
@salimmalaka256 Месяц назад
KATIKA MADOGO NILIKUWA NIFURAHI WAKI INGIZWA UWANJANI KUCHEZA NI HUYU NKANE NA BANDA WA SIMBA WANAJITAHIDI SANA ❤❤❤❤❤
@swahilifashion2206
@swahilifashion2206 Месяц назад
Mtoto muhuni sana huyu 😂😂😂 Mungu akuongoze sana na akusimamie kwenye kazi yako..
@leonardmabula9472
@leonardmabula9472 Месяц назад
Nakuona Ngassa ndani yako wakati wako unakuja ndugu
@KispanmeshiliMollel
@KispanmeshiliMollel Месяц назад
Kama aliondoka sijapenda Mimi Ka Mimi dogo namkubali Moto WA tz na inafaa tuwe na wachezaji WA nchi yetu wakitea taifa Star akuwe ndani ya kikosi
@edinamwanasenga1584
@edinamwanasenga1584 Месяц назад
Mungu mwema jamani Denis nkene jamani nimefurahi sanaa kubaki yanga
@MikidadiKambinda-tr6rl
@MikidadiKambinda-tr6rl 2 месяца назад
Eeeh. Mungu. Wangu. Wa. Mbinguni. Mpe. Nguvu. Kijana. Wako. Denis. Nkane. Denis. Nkane. Sisi. Tuko. Pamoja. Na. Wewe. Mungu. Akulinde. Akupe. Afya. Njema. Dogo. Kuwa. Na. Mungu. Sana. Pull. Up. Your. Sokis. I. Believe. That. God. Will. Be. With. You.
@nicholauswillson
@nicholauswillson Месяц назад
Nkane ile pasi yako kwa Eng.Hersi
@adamlubawa1281
@adamlubawa1281 2 месяца назад
Yaaaani huyu jamaa anaemuhoji Nkane Mungu Nisamehe
@selemanmcharazo
@selemanmcharazo 2 месяца назад
Mi ni miongoni mwa watu wanaokukubali Dogo pambana hata ukitoka jangwani.
@hamiskais2406
@hamiskais2406 2 месяца назад
Ata sisi wa Lindi na Mtwara tunamkubali mwenetu wakusin uyu
@NoelMoto-tf6cw
@NoelMoto-tf6cw 25 дней назад
Men's unajua kutuza misitari pia hongera kwa kuijua biblia
@amanilupembe9788
@amanilupembe9788 2 месяца назад
Denis wana yanga wa Iringa tunakupenda
@bwijoally758
@bwijoally758 Месяц назад
Mimi nam mind sana dogo hatakama alikua hapati nafasi.
@ngotosilasi2099
@ngotosilasi2099 Месяц назад
Nkane naomba jezi yako niko pamoja sana kila utakapo enda japo mimi niyanga
@AminaDuda
@AminaDuda 6 дней назад
hellow nkane
@user-iz3hs8jl5p
@user-iz3hs8jl5p Месяц назад
hahahahaha denice mkane
@hamudshabani7801
@hamudshabani7801 Месяц назад
Apewe nafasi ya kucheza maana tangu aondoke nabi
@malietamaliet
@malietamaliet 2 месяца назад
😂😂😂Umeyatimbaa leo
@selemanmcharazo
@selemanmcharazo 2 месяца назад
Dogo huyu Yuko vema ila ndo hivyo tu.
@user-jj1jy4sh8k
@user-jj1jy4sh8k Месяц назад
Nakukubari xana mkane
@user-hp5zf2fw4o
@user-hp5zf2fw4o 2 месяца назад
Agano la kale eti vitabu 7 mmmh makubwa
@ElewaJosia-jr8sq
@ElewaJosia-jr8sq 2 месяца назад
Mwandsh huna maswal ya msing kabsa umefeli
@kigura_jr
@kigura_jr 2 месяца назад
Huyo dogo nimhuni kiwango cha lami
@office2555
@office2555 2 месяца назад
Dogo rudi kanisani sasa na Mungu atakusaidia
@user-dq4qv4gl6w
@user-dq4qv4gl6w Месяц назад
Mila laher huko uendapo hauna bay
@MakameAliMussa
@MakameAliMussa Месяц назад
Mtangazaji acha fitna
Далее
Коротко о моей жизни:
01:00
Просмотров 312 тыс.