Тёмный

Dhambi mpya sehemu ya pili 

Mch. Abiud Misholi
Подписаться 75 тыс.
Просмотров 4,4 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

18 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 42   
@ajuwazaglodim7645
@ajuwazaglodim7645 20 дней назад
Kutoka Congo 🇨🇩. Nimesikia kubarikiwa nakuona mabaki ya Mungu bado wapo! Nimeisikia sauti ya Mungu ikizungumuza kwa kizazi hiki kilicho haribika! Mungu akubariki mchungaji!
@fridahtears8619
@fridahtears8619 15 дней назад
Praise GOD man of GOD.i love the way you rebuke sin, it's very rare in this generation to see a preacher rebuking sin.most of them pamper sin and the sinner be blessed man of GOD...
@pracksedachrispine5504
@pracksedachrispine5504 20 дней назад
Amina Amina,Mungu amekuinua kwa makusudi yake maana wakristo wanaotembea na madhehebu yao hawataki kusikia jumbe za utakatifu wa ndani na nje kutoka kwenye ministries ambazo Mungu amezitenga pia kuhubir kweli katika siku hizi za mwisho,EAGT ni miongoni mwa wasiopenda kusikia kweli ya Mungu kutoka kwenye ministries,,,,,pia jiandae kupingwa na wakuu wa dini kaza moyo MUNGU yu upande wako.
@GuyKafunga
@GuyKafunga 21 день назад
Amen ! Pasteur Mafundisho ya lazima kabisa !
@uwezawamungumkuu.amaniafrika
@uwezawamungumkuu.amaniafrika 21 день назад
Ni hatari kubwa sana. Wananyolewa,wanaoegesha na mengine tusiyo yajua. Mimi siendi saluni kwa yale siku moja nilikutana nayo kwenye saluni moja. Sikuamini. Dunia ipo pabaya.
@trecyadam2175
@trecyadam2175 21 день назад
Mda wa uponyaj wa moyo wang 🙏
@ZakiaKarisa-iv8ss
@ZakiaKarisa-iv8ss 21 день назад
Tufundishe baba Amen ubalikiwe
@kasmilponela5526
@kasmilponela5526 11 дней назад
Nauona uwamsho mkubwa katika nyakati hizi za hatari! MARANATHA
@mosesduguda5917
@mosesduguda5917 13 дней назад
nakuombea mungu akuongexee miaka ili uzidi kuyafunua haya
@stephanosospeter1709
@stephanosospeter1709 15 дней назад
Ameen
@alex_vincent
@alex_vincent 14 дней назад
Hallelujah
@LylianeBauma
@LylianeBauma 16 дней назад
Amen
@FrenkMushi-i7f
@FrenkMushi-i7f 8 дней назад
Ubarikiwaaa
@SmilingBubbleTea-vm3nz
@SmilingBubbleTea-vm3nz 5 дней назад
Aminaaa Baba
@jacksonlucas2064
@jacksonlucas2064 19 дней назад
Amen.. Duh mkuu uko sawa kabisa. Mungu akutunze zaidi..
@healingclinic698
@healingclinic698 16 дней назад
barikiwaaa
@BrDavidMasao
@BrDavidMasao 21 день назад
Amen baba
@happyalbert5089
@happyalbert5089 21 день назад
Amen amen
@justinmulagala1296
@justinmulagala1296 21 день назад
Amen pasta tuko pamoja
@kingsonkambey1436
@kingsonkambey1436 19 дней назад
Hakika nimebarikiwa sana mtumishi wa Mungu aliye Hai hii ndio injili isogoshiwa asante sana naomba endelea kuhubiri maana tutapona
@eneaurio3835
@eneaurio3835 20 дней назад
BWANA YESU AKUBARIKI.
@MariamSenga-xn2dc
@MariamSenga-xn2dc 21 день назад
Amen 🙏
@jacquelinebyaombe9729
@jacquelinebyaombe9729 21 день назад
Hiyo kweli kabisa tumeze ata kama nichungu
@MariaMwasyila-mq6yc
@MariaMwasyila-mq6yc 20 дней назад
Injili ya kweli kabisa iliyonyooka
@denisbongore3098
@denisbongore3098 21 день назад
Ameeen mchungaji
@hebronijaluomahuvi1025
@hebronijaluomahuvi1025 21 день назад
Amina Baba
@bahatishitindi
@bahatishitindi 20 дней назад
Mungu akufunulie zaidi ili uzidi kutufundisha kweli ya Mungu
@mwambakibucheche1119
@mwambakibucheche1119 13 дней назад
Hakika
@CalixtedésireNibaruta
@CalixtedésireNibaruta 21 день назад
Mungu atusayidiye😢
@Visionofeagle9689
@Visionofeagle9689 21 день назад
Ukweli mtupu 💯
@denisbongore3098
@denisbongore3098 21 день назад
Nitapata wap mwendelezo
@paulmathias810
@paulmathias810 6 дней назад
Yaani mimi naitaji makanisa kama haya, napenda saana ukweli.
@fridahtears8619
@fridahtears8619 15 дней назад
Ukweli mtupu,nilipita karibu ya nyumba ya mchungaji,nikapitia kusalimia.nilibisha hodi,mchungaji akasema karibu,kuingia nikashtuka nikatoka mbio nje.maana mchungaji alikuwa na towel,tumbo nje,vischana vya praise and worship viko apo vinacheka na pastor wala havioni aibu.nikaenda zangu nyumbani...
@johnmwalongo8936
@johnmwalongo8936 12 дней назад
💯AMEN, MUNGU AZIDI KUKUTUMIA KATIKA KIZAZI HIKI. NAMI NIMEJIFUNZA MENGI KUTOKA KWAKO, NAKUTAKIA HERI NA ROHO MTAKATIFU AZIDI KUONGEA NDANI YAKO
@ivonaevarista4654
@ivonaevarista4654 21 день назад
Kwakweli Mungu akubariki Sana kwaujumbe,leo ndo najua kuna watu wananyolewa saloon sehem za siri?daah nahiiyo ya wamama kupanda boda kwa kuwasugulisha matiti boda ata km hawawaz ngono hakika nimejifunza na Mungu anisamehe sanaa acha niendelee kujifunza,
@Fredy_masangala
@Fredy_masangala 18 дней назад
Aminaaaa Sana baba
@stephanongindo-zi4sx
@stephanongindo-zi4sx 18 дней назад
Amina
@christinaisanguisangu2974
@christinaisanguisangu2974 20 дней назад
Moyo wangu unadai mchungaji nataka kupita hiyo njia
@IluminataMatuta
@IluminataMatuta 20 дней назад
Endelea kupiga kelele
@NadiaLucas-g1j
@NadiaLucas-g1j 20 дней назад
Yesu atusaidie
@ukumbushoadam5691
@ukumbushoadam5691 20 дней назад
Amen
Далее
Dhambi mpya  Hiihapa :  Mch Abiud Misholi
34:25
Просмотров 94 тыс.
Rev. Abiudi Misholi
41:20
Просмотров 2,1 тыс.
Maneno Mabaya Yanavyoweza Kuharibu Maisha Yako
14:55
Просмотров 30 тыс.
SILAHA KUBWA YA KUVUNJA MADHABAHU || PR DAVID MMBAGA
56:10
SOMO: NINI MAANA YA UNYAKUO BY MCH ABIUD MISHOLI
1:10:41