Nataman sana kukuona Baba unisheke Mkono nikiu yangu ya mda mrefu nataman uniongoze sala ya toba nitembee katka misingi ya Mungu unayopita ww ni kiu yangu Baba
Preys lord Jesus Christ hakika neno la kiristo ni tamu na ni upanga kwa wale waovu.hakika naendelea kubadilishwa kila kuchapo mungu akutie nguvu mtumishi kwa jina la yesu kiristo
Barikiwa sana mtumishi umehibiri mambo makuu na ukweli dhahiri sio wachungaji wengi wanao hubiri ijili hii ni neema kubwa iko ndani yako tusaidie tujue kweli ituweke huru much love from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪♥️
Mungu wa mbinguni akubariki sana Baba kwa kuihubiri injili ya kweli. Ulindwe siku zote, na mataifa yapate kusikia mafundisho haya wapate kumrudia Muumba wao kwa toba ya kweli. Amina 🙏
Asante Mungu kwa kuzidi kufunulia watumishi wako siri za kuzimu, big up man of God. Hakika sisi wanaume tunaenda må salons naamini kwa injili hii tumepona. Nimepona kweli.
@@mch.abiudmisholi niliwai kupata muhijiza kupitia wimbo wako wa tenda muhijiza mimba ilikuwa imepitilizza baada ya siku mbili Nika jifunguaa baada yakupitiliza wiki 3😢😢😢nakumbuka ilikuwa 210
Balikiwa Sana mtumishi mungu akujalie huo moyo wa kusema ukweli bili kujali ya watu.watumishi wengi wanachumia tumbo hawasemi ukweli wanahofia kuwapoteza waumi.
mungu akubarik sana mchungaj wetu kik nikisikiliz mahubir yako nakuwa na amani najifunz mengi, nikikusikiliza mahubir yako hadi vinyweleo vinasisimka unaguna maish yang
Ahsante Yesu kwa maonyo yako kupitia Mtumishi wako. Ila huku Ulaya watu wanahitaji haya mahubiri, maana watu wamepotoka sana! Kuonyesha miili yao kwa watoto wao ilishakua ni sehemu ya maisha ya @ siku licha ya kuvaa nusu uchi huko mitaani! Nguo zao za ndani zinatupwa tupwa hovyo hadi watoto wanazichezea!! Mungu aturehemu kwakweli!