Тёмный

DHAMBI YA KUVAA PETE, HERENI, MIKUFU, BANGILI, VIKUKU, KUZIMU INAWASUBIRI. 

KANISA TAKATIFU LA YESU KRISTO-CHAMAZI
Подписаться 9 тыс.
Просмотров 9 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

5 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 83   
@PastorPeter00
@PastorPeter00 14 дней назад
MUNGU AMEUMBA MADINI ILI TUYATUMIE KWENYE MATUMIZI MBALI MBALI NA BIASHARA YA MADINI SIO DHAMBI,BALI MUNGU AMETUZUIA KUVAA MWILINI HIVYO VITO.
@therezapetro5725
@therezapetro5725 11 дней назад
Kama ni dhambi dhahabu au madin yoyote kuyaweka mwilini naomba unieelezee na wazee 24 nao wana dhambi? Maana wamevaa taji za dhahabu kichwani mwao. Ufunuo 4:4 Pia ktk maono ya yohana Yesu alionekana amevaa vazi jeupe na mshipi wa dhahabu kifuani Ufunuo1:13 .Je hapo pamekaaje naomba unielezee.
@PastorPeter00
@PastorPeter00 10 дней назад
​@therezapetro5725 wazee 24 ni roho na mataji wamevikwa baada ya kuingia Mbinguni, pia lazima ujue kuna uchafu wa Mwili na roho sasa uchafu wa mwili unakuzuilia kuingia mbinguni ndio maana Mungu anakutaka ujisafishe, 2 Wakorintho 7:1 Basi, wapenzi wangu, kwa kuwa tuna ahadi hizo, na tujitakase nafsi zetu na uchafu wote wa mwili na roho, huku tukitimiza utakatifu katika kumcha Mungu.
@rogersjoseph7363
@rogersjoseph7363 15 дней назад
Ubarikiwe sana kazi yako ni njema sana Bwana akutumie zaidi ya hapo ili kanisa lizidi kutakasika na kuwa tofauti na mataifa wasioamini. Amen
@mrsdeborahurio
@mrsdeborahurio 19 дней назад
Mungu akubariki sana! Njia ya Uzimani ni nyembamba!
@RubaR-nr5wz
@RubaR-nr5wz 17 дней назад
Ubarikiwe sana mtumishi hakika umenifundisha jambo hapa mungu akufunike na mbawa zake
@TumainiMbbise
@TumainiMbbise 19 дней назад
Amina Mtumishi wa Mungu. Mungu azidi kukupa mafunuo. Roho wa uzima atufundishe maneno ya uzima katika Dunia hii iliyoharibika.AMINA.
@jonassafari7619
@jonassafari7619 8 дней назад
Vema kabisa. Mungu aliumba vyote,lakini si vyote vifaavyo.
@BerylSeer1
@BerylSeer1 19 дней назад
Amen.
@MamaCynthia-oo6wg
@MamaCynthia-oo6wg 13 дней назад
Hiyo ni kweli sana
@SalomeRenatusi
@SalomeRenatusi 19 дней назад
Kweli kabsa mtumishi Mungu akubariki 🎉🎉🎉🎉🎉
@AlafsaKisinda
@AlafsaKisinda 16 дней назад
Amina baba Asante kwa somo hili dunia ijue, ila kuna watumishi wengine ukifundisha watu wasijipambe et anasema kanisa litakua lakishamba, Mungu atusaidie niliwahi fundisha somo hili kanisani kwangu chungaji akajaiumalizia kuwa watu mjipambe tu kanisa nisije likawa lakishamba nilichoka kiukweli , Mungu anikumbuke tena amina
@angelitapaulo
@angelitapaulo 10 часов назад
Inabidi utoke hapo kwenye hizo madhabahu, usichezee muda wako BWANA atuongoze tuzidi kumtumikia yeye
@marysanga5310
@marysanga5310 17 дней назад
Asante kwe mtumishi kwainjli nzuri na yawazi
@MamaCynthia-oo6wg
@MamaCynthia-oo6wg 13 дней назад
Ok amen
@akothchristine4752
@akothchristine4752 20 дней назад
Amen glory thanks for the wonderful massage Amiina
@gordonomondi7161
@gordonomondi7161 8 дней назад
NA SISI JAMI YA WAMASAI TUNAPENDA UTAMADUNI YETU YA KUVAA BANGILI MA SHANGA NA UREMBO MINGI SHINGONI. na Wahubiri wetu hawatukatazi. Hata wanakwaya wetu wanavaa sana urembo shingoni. Mungu fungua macho za kiroho za wahubiri wetu. AMEN 🙏.
@RehemaMtono
@RehemaMtono 20 дней назад
Amen amen nikweli kabisa mchungaji
@MariaMwasyila-mq6yc
@MariaMwasyila-mq6yc 17 дней назад
Ameni ubarikiwe sana Mtumishi wa MUNGU
@TumsifuJoseph
@TumsifuJoseph 21 день назад
Amina pasit ukweli usemwe
@TabizaAa
@TabizaAa 19 дней назад
u gained a new subscriber thanks alot babaa God bless you 🙏🙏🙏
@samuelnthia8858
@samuelnthia8858 19 дней назад
Amen,Yesu asifiwe sana.
@CiprianDDeusSimbasten
@CiprianDDeusSimbasten 13 дней назад
Mtumishi mungu akuinue saana Asante. Sasa Mimi Nina swali nje inatupasa tuvae Saa? Na pili Mimi Nina swali tena kuna kipengele ya bibilia ,kinasema .kujipamba kwenu kusie Kwa kusuka nyoele ,Sasa Natália kujuwa apo bíblia inakataza ama una turekebisha? Asante naomba muniele ivyo ivyo sijue sana Swahili.I fr. Mozambiqui.
@SamsonMwita-m8g
@SamsonMwita-m8g 20 дней назад
Ameeeen
@lindankurikiye9881
@lindankurikiye9881 14 дней назад
Asante sana mutumishi wa MUNGU MUNGU aendereye kukubalikiya
@MamaCynthia-oo6wg
@MamaCynthia-oo6wg 13 дней назад
Siku kuwa nabijuwa sawa
@PetroMussasabuni
@PetroMussasabuni 13 дней назад
Wew Kuna jambo ndogo mbele zamungu
@sarahmdindile4301
@sarahmdindile4301 20 дней назад
Uzidi kubarikiwa ,na Mungu azidi kukutumia.
@AlimachusAdoph
@AlimachusAdoph 18 дней назад
Wanadamu wana shindwa kuelewa Neno la Mungu kwasababu ya uvivu wa kusoma Neno na kulielewa Wana waisraeli walikuwa wanavaa vito vya thamani kwasababu ya miungu yao ukisoma habar za yule mfanyakazi wa lbraim alienda kutoa posa kwa rabani Biblia inaendelea kusema mtu yule kati ya zawadi alizompa rebeka vilikuwemo na vikuku NB: wana wa Israel walikuwa wanatumia vitu kulingana na miungu yao,mf; kama unaenda kuoa kwa wasukuma wazee wanakwambia tunataka pombe huwezi wabishia kwa maana unafuata wanachosema wao, kwahiyo husivae vikuku kwa sababu vilipelekwa kwa Rebecca
@claudinandonde3835
@claudinandonde3835 19 дней назад
Waenda mbinguni watakusikia kabisa
@MjakaziUngwa
@MjakaziUngwa 13 дней назад
Watu waMungu hii ni kweli kweli
@NuruWilson-u8p
@NuruWilson-u8p 19 дней назад
Wakristo Wanaoendekeza mapambo hawataingia Mbinguni, ni roho ya Yezebel, na ni ukahaba kwa namna ya rohoni.
@hellen9056
@hellen9056 17 дней назад
Kabisaaa mtoto wa Mungu
@SweetStanford-jo8xj
@SweetStanford-jo8xj 2 дня назад
kuvaa mapambo ni dhambi abisa mbingu huioni
@joycerwabanu5961
@joycerwabanu5961 17 дней назад
Mungu akubariki sana.
@AnithaRiwa
@AnithaRiwa 11 дней назад
Hivyo tusivaeeeee
@AGATHACLAVERYMAKANTA
@AGATHACLAVERYMAKANTA 16 дней назад
Amina
@claudinandonde3835
@claudinandonde3835 19 дней назад
Hiyo ni kweli
@maryhakofa
@maryhakofa 17 дней назад
Mwanamke asijipambe kwa kusuka nywele, kuvaa bali uwe wa rohoni. Tusome maandiko. Tusiviabudu vitu hizo
@GraceWanjiruNganga
@GraceWanjiruNganga 15 дней назад
Sahii hakuna vire uta jua Nini Zuri ama baya atahio Guo umevaa nyingi zinatoka kuzimu, sahii nikutakaza kupita damu Yesu ? Na unavaa
@rosemerycharles
@rosemerycharles 7 дней назад
Hivyo vingine sawa, sasa kwa Pete ya ndoa hapo mbona tatizo, Sasa utambulisho wa ndoa ni upi?
@SofiaSofi-q6r
@SofiaSofi-q6r 14 дней назад
Mchungaji nakosea Sana au nimekuelewa tofautu Sana vitu hivyo Nani aliviumba mbaona watu Wana chimba dhaabu na kutajirika hii nini Mungu ameweka hivi vitu ili viwe dhambi kweli mbona unatumia Sana agano lakale..sema twaweza kutumia vyote ispokuwa kuviabudu.
@TeloAwor
@TeloAwor 19 дней назад
Waaambieni watu waruke kwa Yesu
@GambasonLuselegasi
@GambasonLuselegasi 11 дней назад
Ndo mjue kuwa kwa nini wasabato hawavai pete wakati wa kufunga ndoa ukiona kavaa ujue ni yeye
@FlorenceKainda-zo8ny
@FlorenceKainda-zo8ny 16 дней назад
Kweli kabisa
@mwambakibucheche1119
@mwambakibucheche1119 18 дней назад
Imeandikwa uombe kwa jina la Yesu. Nasio kwa jina la bikra Maria Kwasababu Yesu alifufuka peke yake na Maria bado anasubiri kufufuliwa ile siku ya mwisho
@CatherineZakayo-m4o
@CatherineZakayo-m4o 16 дней назад
Nikweli mchungaji
@roselinemosha
@roselinemosha 19 дней назад
Roho wa Mungu atufunulie haya mioyoni mwetu.
@frereezechielsong5282
@frereezechielsong5282 19 дней назад
Mungu akubariki
@امزكرياالجابري-ه7ق
Mm nilitoboaga pua na kipini kilikuwaga hakitoki lkn kuna sku nmelala nilikuta hakipo nikaona maajab
@TabizaAa
@TabizaAa 19 дней назад
dear me adi nkivaa izo vtu ata dakika Tano ni mingi naanza kuwashwa😢😢😢😢😢aki Mungu alinikataza automatically wallah thanks Lord 🙏🙏🙏
@florencemuya
@florencemuya 18 дней назад
❤😢😢U​@@TabizaAa
@RehemaMtono
@RehemaMtono 20 дней назад
Nikweli tupu uyasemayo
@GraceKiwelu
@GraceKiwelu 19 дней назад
Grace Kiwelu was himo barikiwa mtumishi wa Mungu ni ukwel mtupu wanawake wamezidi kuvaa mapambo , na hawajui maana yake Barikiwa sanaaa
@jumahili8121
@jumahili8121 19 дней назад
Hamna kitu hapa. Hovyo kabisa.
@hellen9056
@hellen9056 17 дней назад
Hamna kitu andika tar usipo tubu na kuacha Siku yaja hivyo ndo vinyago
@yakobomkristo872
@yakobomkristo872 14 дней назад
Pinga Kwa Hoja, Usiropoke😂
@BilhaElisha-h6f
@BilhaElisha-h6f 17 дней назад
nikweli jamani tubadilike jamani yesu uponjiani anakuja
@bettymuhonja9967
@bettymuhonja9967 12 дней назад
Ameni ameni and ameni
@marthambarikiwa7811
@marthambarikiwa7811 20 дней назад
Amen Amen
@fatumaminyeko1875
@fatumaminyeko1875 19 дней назад
Nidhambi tubuni wanadamu
@robertkijanga3177
@robertkijanga3177 17 дней назад
Upofu ni tatizo kubwa sana , umaskini wa kiroho ni mwanga wa Giza.
@Stelaelias-i8o
@Stelaelias-i8o 19 дней назад
Wewe acha ujinga imeandikwa wapi kutumia lozari au imeandikwa wapi kumuomba bikira maria acha upuuzi mtapigwa nyie Mungu hazihakiwi
@mwambakibucheche1119
@mwambakibucheche1119 18 дней назад
Wewe unaukataa ukwel kwakuwa kanisan kwenu imejaa midori
@HariytAsd
@HariytAsd 2 дня назад
Kumbuka yesu alisema yeye pekee ndo njia ya kwenda mbinguni mbona hakuseam Mariam nde njia ya kwenda mbinguni funguka macho
@VenerandaKundi-ph4hg
@VenerandaKundi-ph4hg 19 дней назад
Acha uongo tumeambiwa tukipambe Kwa vikuku heleni rozari ni sala kamili ya kumwabundu mungu aliye hai pia tunaomba mama bikra maria atuombee Kwa mwanaye kama alivyoomba kwenye harusi ya kana miujiza wa kwanza wa yesu kristo wahubiri watu wamjue mungu wa kweli usitishe watu mambo ya mapambo mavazi hayatupeleki mbinguni
@mesamale
@mesamale 19 дней назад
Kuna vitu huwezi kuelewa mpaka uchukue gharama ya kumuomba roho mtakatifu akujulishe wewe binafsi,mi nilikuwa siamini lakini nilipoamua kumtafuta Mungu nilipata majibu . Ushauri wangu sio kwa mapambo tu hata jambo jingine ukiona utata nenda mbele za Mungu atakuambia
@DeusdeditMichael
@DeusdeditMichael 19 дней назад
KUMUOMBA maria NI MAFUNDISHO YALIYO MAAGIZO YA WANADAMU. Bali Bwana Yesu anasema tumuombe yeye:- YOHANA 14:13-14 13 Nanyi mkiomba lo lote kwa jina langu, hilo nitalifanya, ili Baba atukuzwe ndani ya Mwana. 14 Mkiniomba neno lo lote kwa jina langu, nitalifanya. Na pia Bwana Yesu asema, tumuombe Baba yake kwa jina lake YOHANA 16:23 23 Tena siku ile hamtaniuliza neno lo lote. Amin, amin, nawaambia, Mkimwomba Baba neno lo lote atawapa kwa jina langu. WALA SIYO MAPENZI YA MUNGU WATU KUMKIMBILIA maria BALI MWANAWE YESU KRISTO YOHANA 6:40 40 Kwa kuwa mapenzi yake Baba yangu ni haya, ya kwamba kila amtazamaye Mwana na kumwamini yeye, awe na uzima wa milele; nami nitamfufua siku ya mwisho. KUMBE MAPENZI YA MUNGU NI WOTE WAMWELEKEE MWANAWE. NA KWA WALE WASIYO YATII MAPENZI YA MUNGU (HAO WAOMBAO KWA maria) YESU KRISTO AWAAMBIA KAMA ILIVYOANDIKWA KTK :- MATHAYO 7:21 21 Si kila mtu aniambiaye, Bwana, Bwana, atakayeingia katika ufalme wa mbinguni; bali ni yeye afanyaye mapenzi ya Baba yangu aliye mbinguni. Mathayo 7:21 KWAMBA HAWATAINGIA KTK UFALME WA MBINGUNI KWASABABU HAWAKUYAFANYA YALIYO MAPENZI YA BABA YAKE, BALI YA WANADAMU.
@HappynessmafuruMafuru
@HappynessmafuruMafuru 18 дней назад
Kweli kabisa pasta
@rosemerycharles
@rosemerycharles 7 дней назад
Sio kweli biblia inasema tunaomba kwa jina la YESU peke yake sio kwa bikra maria ni fundisho potofu hilo soma biblia vizuri na MUNGU akusaidie kuelewa
@wickymbugunde9298
@wickymbugunde9298 19 дней назад
Hivyo ni vitu vidogo sana la msingi fundisheni kusudi lililomleta Mfalme Yesu duniani .nalo ni Ufalme wa Mbinguni na huko vitu vyote vitaeleweka.unachofundisha ni mambo ya dini na madhehebu ambalo sio kusudi la MFALME ELOHIM.mmedanganywa nama wa makahaba
@fatumaminyeko1875
@fatumaminyeko1875 19 дней назад
Akuna dhambi dongo mtu wa MUNGU zote nisawa. ni watakatifu wata igia katika ufalme wa MUNGU
@AgathaHaule
@AgathaHaule 17 дней назад
Kanisa lako hawavai epete wakifunga ndoa? Jamani basi watu wot waliokwisha kufa wako motoni mbona hukufundishavtoka mwanzo kuokoa watu wengi? We Mungu anajua.
@LucyKapinga-fg4dk
@LucyKapinga-fg4dk 17 дней назад
Nihivi Ukiwa Karibu Sana Na MUNGU anakuelekeza Nakukuambia ​@@AgathaHaule
@Ruiru11Batian
@Ruiru11Batian 17 дней назад
Fanya unachoona ni sawa kwako... Lakini andiko liko wazi hakuna kichafu , wala kufuru kitaingia mbinguni
@YuenPonsiano
@YuenPonsiano 13 дней назад
Shida Yako ww uliecoment hivi ndio hutaki kuelewa .kama upo sawa,tofautisha YESU NA MUNGU na kama agano la kale unasema halina maana,je walioliunganisha na agano jipya tuwaite wajinga!kumbuka neno la MUNGU haliwi la kale au kuku
@AlimachusAdoph
@AlimachusAdoph 18 дней назад
Wanadamu wana shindwa kuelewa Neno la Mungu kwasababu ya uvivu wa kusoma Neno na kulielewa Wana waisraeli walikuwa wanavaa vito vya thamani kwasababu ya miungu yao ukisoma habar za yule mfanyakazi wa lbraim alienda kutoa posa kwa rabani Biblia inaendelea kusema mtu yule kati ya zawadi alizompa rebeka vilikuwemo na vikuku NB: wana wa Israel walikuwa wanatumia vitu kulingana na miungu yao,mf; kama unaenda kuoa kwa wasukuma wazee wanakwambia tunataka pombe huwezi wabishia kwa maana unafuata wanachosema wao, kwahiyo husivae vikuku kwa sababu vilipelekwa kwa Rebecca
@AlimachusAdoph
@AlimachusAdoph 18 дней назад
Wanadamu wana shindwa kuelewa Neno la Mungu kwasababu ya uvivu wa kusoma Neno na kulielewa Wana waisraeli walikuwa wanavaa vito vya thamani kwasababu ya miungu yao ukisoma habar za yule mfanyakazi wa lbraim alienda kutoa posa kwa rabani Biblia inaendelea kusema mtu yule kati ya zawadi alizompa rebeka vilikuwemo na vikuku NB: wana wa Israel walikuwa wanatumia vitu kulingana na miungu yao,mf; kama unaenda kuoa kwa wasukuma wazee wanakwambia tunataka pombe huwezi wabishia kwa maana unafuata wanachosema wao, kwahiyo husivae vikuku kwa sababu vilipelekwa kwa Rebecca
@AlimachusAdoph
@AlimachusAdoph 18 дней назад
Wanadamu wana shindwa kuelewa Neno la Mungu kwasababu ya uvivu wa kusoma Neno na kulielewa Wana waisraeli walikuwa wanavaa vito vya thamani kwasababu ya miungu yao ukisoma habar za yule mfanyakazi wa lbraim alienda kutoa posa kwa rabani Biblia inaendelea kusema mtu yule kati ya zawadi alizompa rebeka vilikuwemo na vikuku NB: wana wa Israel walikuwa wanatumia vitu kulingana na miungu yao,mf; kama unaenda kuoa kwa wasukuma wazee wanakwambia tunataka pombe huwezi wabishia kwa maana unafuata wanachosema wao, kwahiyo husivae vikuku kwa sababu vilipelekwa kwa Rebecca
@hellen9056
@hellen9056 17 дней назад
Hiyo ni miungu migeni kumbuka dhahabu ili watu waipate lazima ifanyiwe manunga sasa huoni apo ukivaa unavaa mashetani Watu wana sema tutatakasa Mali ya shetani haitakasiki Na Mungu awi radhi na wapumbvu
Далее
ЭТО НАСТОЯЩАЯ МАГИЯ😬😬😬
00:19
DHAMBI YA KUNYONYANA, KUJICHUA, UFIRAJI.
39:10
Просмотров 1,1 тыс.
NGUVU YA MSALABA WA KRISTO MAISHANI || PR. DAVID MBAGA
51:52
SIMU AINA HIZI ZINAKUUA TARATIBU ZIEPUKE!!
12:04
Просмотров 201 тыс.
SOMO LA PILI JIPYA  LA FARAJA KWAKO.
13:30
Просмотров 133