Daaaah,Hadi machozi yamenitoka,chidbenz huyu mtu ni balaaaa,bonge la kipaji,diamond mungu akulinde,hii Ngoma inaenda kumpa pesa nyingi sana chid.thanks diamond.
Tukipata nafasi katika maisha tusizichezee kwa hanasa ambazo zina madhara badae pombe na mihadarati sio nzur zinauwa ndoto za vijana wengi nchini Mungu atupe hekima ya utambuzi kupamban na hivi vitu yan ukiingia huku heshima inashuka unaonekan si wamaan tena yan unadhalilika Chidi umejifunza na umekua miongon mwa masomo mazur from your status to your downfall nataman ukapate nafasi nyingine ukasimame kama dada yet Rayc inshallah utainuka tana kupigania ugali wako wa daily amen 🙏 nimeandika haya kwauchungu mkubwa mno vijana wenzang stareh bila mihadarati inawezekana ninae andika hapa ni bint tu wa miak 23 bora ujinga wenye faida kulikonujanja wenye hasara
Simba mwenyezi mungu akuweke nimefurai Sana kumkumbu Kaka kila kitu kinawakati wake Sasa hv chid anavyoonekana afya yake imekaa vizuri Aya akifanya kazi itakuwa bomba msimamie huyo broo anajua kwakweli tunaomba asirudie Tena makosa maana hayo madawa ukiyatumia usaminiki unakimbiwa na kila mtu big up diamond usikwamishwe na waja allaah akulinde
Kila nikimuangalia chid benz ni Kama namwona lil Wayne. Hivi ni viumbe vilivyojaaliwa IQ kubwa ya uandishi kwa upande wa hiphop japo hadi sasa bado dunia haijawapa heshima wanayostahili
Baada ya Chid kulia sana kwenye Media akihusisha Diamond kumwona hafai tena kufanya mziki kwasababu ya Bangi zake,,leo ndo kaona aizime ki dizaini hii..kama ndo mnazaliwa juzi basi hamtoweza kumwelewa Diamond ni mtu wa aina gani linapokuja swala la Biashara na Kutunza Brand yake.. #SemaHiloGomaNiHatariAisee
@@bensonpeter4692Hapa kati jamaaa alikua na hali mbaya sana.Sema mwamba amerudi mwili upo.Huyu mwamba akiwa fit hakuna mwanahiphop nchi hii anamfunika kwa perfomance
Huyu jamaaaa @diamond platnum na team yake hawaoti mipango ila wanapanga mipango na ndo maaana inapangikaaa …. Asante sana Chidy kwa hicho chumaaaaaa , it’s a right time with a right place
Dah maniner hii nyimbo hivi hivi ilivyo naweka ringtone yangu. Mistari imepata chorus mamae kabisa! Beat iwe ya hiphop sio amapiano aisee tafadhali sana
Ohooooo ..mama weeeee!🙊🙊!kwisha habari Chid is back in a full force hakika Nasib we mwanaharamu unaweza kuua mtu kwa surprise..🤣🤣🤣🤣..umejua kumshika mkono kijana mwenzio..Na kama vile Dar stand up..ilivyoishi..na hii nyimbo inakwenda kung'ang'ania nafasi za juu kwa muda mrefu sana..