Тёмный

CHIDI BENZ amnyea DIAMOND unaroho mbaya sana ,unaharibu maisha ya watu, HARMONIZE ndio msanii mkubwa 

Bongo Touch
Подписаться 742 тыс.
Просмотров 76 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

3 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 103   
@dorothmsuya1686
@dorothmsuya1686 7 месяцев назад
Na nyie bila kumtaja vibaya Mondi hamuuzi! Mwacheni mtoto wa watu afurahie mafanikio yake!❤❤❤
@henrychiriba9354
@henrychiriba9354 7 месяцев назад
We nawe uko na ujinga kwani unadhani watu wakaiongea kuhusu diamond ndio wanapata chati si hao wenyewe wanajua wanchosema
@dorothmsuya1686
@dorothmsuya1686 7 месяцев назад
@@henrychiriba9354 nadhani wewe ni mjinga zaidi! Sasa makasiriko ya nini??
@robertktembah3090
@robertktembah3090 5 месяцев назад
Ndug yako nini
@WaziriRamadhan-ML
@WaziriRamadhan-ML 7 месяцев назад
Sikia chid,siyo tu kilasiku diamond bali jiulize ww je muda wako wew aliuchezea nani?😂😂
@andrewmmassy5204
@andrewmmassy5204 7 месяцев назад
Jamaa Fulani ivi anaitwa "dawa ya kulevya" alitumia muda wake.
@WaziriRamadhan-ML
@WaziriRamadhan-ML 7 месяцев назад
@@andrewmmassy5204 ah kbs😅😅
@fatumajeneby5449
@fatumajeneby5449 7 месяцев назад
TUSI-RUDISHENI- YALIYOPITA TUJENGENI YAJAYO YAKISHA MWAGIKA 😂HAYAZOLEKI 😂MSI-MTONESHE KIDONDA🙏
@savageemperor2569
@savageemperor2569 7 месяцев назад
​@@fatumajeneby5449😅😅😅Mbona yeye anachokoza wengine
@Rufusmaore
@Rufusmaore 7 месяцев назад
chid anajulikana Africa nzima,wewe unajulikana wapi?Bado yuko hai mungu ndio huleta baraka
@nixonchaboka
@nixonchaboka 7 месяцев назад
He literally said “msitumie title mbaya kwenye hii video” na hicho ndio mmefanya sio frsh mnamfanya chidibenz aonekane miyayusho wkt kaongea tu kawaida
@VENANCEAUGUSTINO
@VENANCEAUGUSTINO 5 месяцев назад
Nakukubari sana broo
@deogratiusnjau1744
@deogratiusnjau1744 7 месяцев назад
Uchezee maisha halafu uje kulaumu watu.
@fikirimbugani956
@fikirimbugani956 7 месяцев назад
We unayajua maisha ni nn
@deogratiusnjau1744
@deogratiusnjau1744 7 месяцев назад
Ukikua utayajua. Endelea kula raha kwa wazazi wako
@PaulNdauka
@PaulNdauka 7 месяцев назад
Kila siku Mond....bro vp kwani.....maisha ni kujitambua ww hukujitambua zimebaki ngonjera ....hata ww Kuna watu walikusaidia lakin hawalii kiiivyo!
@luciafabiannjuu1988
@luciafabiannjuu1988 6 месяцев назад
Yeye anajibu anavyoulizwa
@hassanbakari4525
@hassanbakari4525 7 месяцев назад
CHIDI ACHA KUPAYUKA, WE ULIKUWA MKUBWA TENA KUZIDI....USHAMBA WAKO NDO ULOKUFANYA UKAIGE WAMAREKANI...TULIA WENZIO WALIKIAMINI WALICHOKIFANYA,,,UMEFANYA NA WASANII KIBAO,,ILA WE KILA SIKU,,DAI DAI..AH KHH.
@FaridaKizenga
@FaridaKizenga 7 месяцев назад
Ila chidy umenenepa now❤
@EmanueljrHamady
@EmanueljrHamady 2 месяца назад
Chid benz no 1like him.
@shabzismail2747
@shabzismail2747 7 месяцев назад
Level za chidi ni kina roma ...bora uendelee kuvuta unga braza chidi...
@abdulseif4093
@abdulseif4093 6 месяцев назад
Me naacha bangi leo km bangi inakufanya unakuwa hivi😂
@joshuason557
@joshuason557 5 месяцев назад
Shida yake hatowe mbegu 😂😂😂😂
@shadiwaigwa9230
@shadiwaigwa9230 7 месяцев назад
Kila siku Diamond Diamond, kama hutaki kitu kutoka kwake siuache kumuongelea basi
@AmaniMwankili
@AmaniMwankili 7 месяцев назад
Shida sio yeye waandishi wanamuulizia sana kuhusu mond
@sylvestermatinde1005
@sylvestermatinde1005 7 месяцев назад
Acheni nyinyi Jamaa anasema FACT In Bongo Fleva King Of Hip hop.
@serndaynjumbo6912
@serndaynjumbo6912 7 месяцев назад
tatizo hujui huyo mondi kaenda kurekod wimbo wa chidi na umekuf kaupoteza kimfia achen kushabikia ujinga
@johnwolf2449
@johnwolf2449 7 месяцев назад
Ww nn mbn una mtetea mond mme wako au
@AbubakarJuma-f2w
@AbubakarJuma-f2w 6 месяцев назад
Weak people talk of others...He should maintain and work on himself.
@sniperboi257
@sniperboi257 7 месяцев назад
Tittle iyo iyo ameomba msiandike mabaya The same People Mnaandika eti Kany*ea!! duh This world jamani. Anyway King ChidiBenz May Allah Bless you yOur Love For The culture is Priceless.
@nixonchaboka
@nixonchaboka 7 месяцев назад
Eti mwng hadi imeniuma
@sylvestermatinde1005
@sylvestermatinde1005 7 месяцев назад
Namwitaga Tupac wa Bongo. GENIUS#
@MJ-rr6dy
@MJ-rr6dy 7 месяцев назад
kakojoe ulala umeshakwisha habarinyako tuachie diamond wetu shwain
@GraaaTandu
@GraaaTandu Месяц назад
Ww na diamond wenu achaneni na hicho kichwa bana,hatingishi kiuno uyo baba ilo jembe baba,eti diamond😂😂😂😂akaee apaa🖕ama aruke kwa black yonda Rick rozeee www bch
@Marjeby
@Marjeby 7 месяцев назад
Huyu anavua nguo ndani ya mwaka huu
@serndaynjumbo6912
@serndaynjumbo6912 7 месяцев назад
hujielew hujakamilika jamaang
@matolasalumu2625
@matolasalumu2625 7 месяцев назад
Kweli bange sio powa
@bittersweet1683
@bittersweet1683 6 месяцев назад
Bange ni yako
@dogogazadogogaza111
@dogogazadogogaza111 6 месяцев назад
we ulikula vitu zako sana kua mpole
@salimhussein5708
@salimhussein5708 7 месяцев назад
Wa kwanza naombeni likes zenu
@Daniel_kimambo
@Daniel_kimambo 7 месяцев назад
Huyu ndio mwamba
@dorothmsuya1686
@dorothmsuya1686 7 месяцев назад
Mondi ndio aliyekulisha ngada? Pambana na hali yako Acha kulaumu wenzio! Ukichimba shimo ujue utatumbukia mwenyewe!😂😂
@RayPaul-w9s
@RayPaul-w9s 5 месяцев назад
Du noma
@Obertan_coolkid-04_
@Obertan_coolkid-04_ 7 месяцев назад
Waaandishi huwa wanamaswali ya kichonganishi sana
@AtanásioVirgílioNkala
@AtanásioVirgílioNkala 6 месяцев назад
Yeah
@KonvictIbra
@KonvictIbra 6 месяцев назад
Njaah najuwa kali bongo lazma awewakuoayuka😂
@kondeboyke7512
@kondeboyke7512 7 месяцев назад
Diamond ni jina kubwa braza haulijui njoo kenya uone level yako ni kina nani chidi,humfiki hata simple boy😂
@kobefiredady
@kobefiredady 7 месяцев назад
Hahah we uta Dead
@halfanijuma7646
@halfanijuma7646 7 месяцев назад
Chidi endelea kufuta dona😂, maana kila siku Yeye tu
@williamkeita1519
@williamkeita1519 7 месяцев назад
We ulishafeli mwenyewe daimond hana uwezo wa kukubeba misaada kibao unanunulia madawa then ukishika maik Diamond 😮
@DicksonLuckas
@DicksonLuckas 7 месяцев назад
4:50
@MovieNzuri
@MovieNzuri 6 месяцев назад
😂😂😂 huyu jamaa ameshakuwa kichaa
@Hussein-gx4qu
@Hussein-gx4qu 7 месяцев назад
huyu unga ndio shida
@Justin3Joseph-uq3tf
@Justin3Joseph-uq3tf 7 месяцев назад
Kaka fanya kazi bahn acha maneno
@msafiriives6244
@msafiriives6244 6 месяцев назад
Chidi benz wacha bangi nyingi na dawa za kurevya wewe enzi zenu kwisha kitambo diamond msani mkubwa duniani wew wakati wenu nakumbuka mziki wenu umeisha kenya na Uganda Burundi Rwanda simba wacha nayeye ako juu nyota iko juu😂
@DicksonLuckas
@DicksonLuckas 7 месяцев назад
Diamond ni jini kaka Acha kupayuka fanya kazi wajina
@MaldyMaldwex
@MaldyMaldwex 6 месяцев назад
Ukiingia RU-vid diamond kajaa aisee mpunguzeni..mtu anaweza sema ata ni sheetani au mfalme..
@johnmichaellukindo21
@johnmichaellukindo21 7 месяцев назад
Hapo ndio ulisema humuongelei 😂
@dismaslalubare4196
@dismaslalubare4196 6 месяцев назад
Hii bangi aliovuta hajatoa matetere. Shida ndo ipo hapo.. .TOA MATETERE CHDI
@EmmmaTembo
@EmmmaTembo 7 месяцев назад
Sijuwi kwanini kwa chid mumeona maneno ya upuuzi tu ila katika maneno yake 10 kulikuwemo maneno 8 ya busara
@saidirakozi1809
@saidirakozi1809 7 месяцев назад
Uswahilin ukiwa huna pesa wanakuona mjinga..thamani ya mtu iko mfukoni
@franklinmganga736
@franklinmganga736 7 месяцев назад
Kichwa cha habari sio sahihi
@collinskwanga5147
@collinskwanga5147 7 месяцев назад
Chidi atabaki kua juuuuuuu
@JosephKiratu
@JosephKiratu 6 месяцев назад
Uyu msanii ako tu sawa wacheni wivu
@savageemperor2569
@savageemperor2569 7 месяцев назад
Yaani kila takataka anataka kusikika mjini kupitia Diamond😂
@WembaNdio-rs6zj
@WembaNdio-rs6zj 7 месяцев назад
Rashidi
@VitusEmmanuel-pe3yi
@VitusEmmanuel-pe3yi 7 месяцев назад
Nakubali chid
@svt3
@svt3 7 месяцев назад
@VitusEmmanuel-pe3yi huyu unae mkubali tuambie mda wake aliutumia vipi? kipaji chake kilimunufaisha nini ? Faida ya kazi zake iko wapi tuambie
@mohamedchenge-b6k
@mohamedchenge-b6k 7 месяцев назад
Yaani huyu jamaa kunamuda sasa anazingua, yeye kilasiku akiulizwa ana diss sasa kweli hata huyomtu atakua na moyo wa kumsaidia
@taylorkasitu3819
@taylorkasitu3819 7 месяцев назад
Kujugu siyo jambo geni kulaumu binadamu wengine kwa kuharibu maisha yao wenyewe
@shabzismail2747
@shabzismail2747 7 месяцев назад
Diamond alimuona hana uwezo...chidi atakula mdomo wake
@vardanmsigwa8595
@vardanmsigwa8595 7 месяцев назад
Yr time is off his time is nw
@denyo_rasmi
@denyo_rasmi 7 месяцев назад
Achana nao, wewe huitaji kuomba mtu akupost, usiwape nafasi yakuongea. Chidi kila unachokifanya ni HABARI hilo ulijue kabisa, hata ukianzisha Podcast utasumbua sana. Achana nao hao ukiwatajataja wanakiuta ombaomba. Fanya yako
@Mr.wao8111
@Mr.wao8111 6 месяцев назад
KWANI CHIDI KATOBOA PUA
@MunirDaniford
@MunirDaniford 7 месяцев назад
Sio kwamba hakuoni sema mtasema nn saiv bro
@MrEricdraco
@MrEricdraco 7 месяцев назад
Body language ya huyu msee inakaa aje? 😑😑😑
@geoffreymandela6096
@geoffreymandela6096 6 месяцев назад
Poleni majamaa ,but Uyu ni Nani.
@kobajumakuziwa9976
@kobajumakuziwa9976 7 месяцев назад
Wewe kuma endelea kuvuta unga na donda lako muda wako hukutumia vizuri wenzako walisoma toka kwako wamewekeza endelea na uchizi wako
@SalmaAthuman-hp3en
@SalmaAthuman-hp3en 7 месяцев назад
😂😂😂ched jaman
@zahir374
@zahir374 6 месяцев назад
Hili teja tumelichoka
@Mbingu77
@Mbingu77 7 месяцев назад
😂 hyu cheka tu wamchukue
@GaramaSheni
@GaramaSheni 5 месяцев назад
Philosophy....😂
@nakalikyumile3234
@nakalikyumile3234 7 месяцев назад
Tafuta hela,
@JosephSimbeye-h9x
@JosephSimbeye-h9x 7 месяцев назад
Wewe mudawako Nani alikuoba ulichezea muda wako
@kilimanbaboss8597
@kilimanbaboss8597 7 месяцев назад
Kumamayake dangote
@MasterJay-vr6dc
@MasterJay-vr6dc 7 месяцев назад
huyu mtu kila siku malalamiko,hata apewe support ya vp bdo anamlaumu mondi...achana na madawa uwe msafi
@Odegwa-ke254
@Odegwa-ke254 6 месяцев назад
Babu acha sifa wewe umeishiwa
@Pbozztheartist
@Pbozztheartist 5 месяцев назад
😂😂😂
@DavidLingwa-v8r
@DavidLingwa-v8r 7 месяцев назад
Uyo kajitomba kauvuta unga anaanza kumchukia mondi atoe mkundu ampe mondi aone kama ata kuwa kama zuchu😅😅😅😅😅
@SalumManondo
@SalumManondo 6 месяцев назад
Unagongwa.wewe
@saidisalum-v2r
@saidisalum-v2r 2 месяца назад
MCHELE TENA
@mrrajjy
@mrrajjy 7 месяцев назад
Diamond sio msanii mkubwa imeishaiyoo kondeboy ndo msanii mkubwa kwasasa
@svt3
@svt3 7 месяцев назад
@mrrajjy: kapuku huyo Harmonize
@svt3
@svt3 7 месяцев назад
@King66204 yaani huwa nashangaa wanaojiita wasanii wakubwa tz na kuponda Diamond japo kuwa Diamond anawazidi kila kitu unajiuliza wanafaidika nini na usanii wao ukibwa nakosa jibu,
@savageemperor2569
@savageemperor2569 7 месяцев назад
Ukubwa hauforciwi ndio maana kila takataka nataka kumuongelea huyo msanii..Msanii mkubwa lazima uwe tisho hadi wanakuongelea kila siku sasa wewe huyo unaemuita mkubwa nae lazima apite na upepo wa platnumz ndio watu wajue uwepo wake mara nyingi pia anamdiss huyo unaemdogosha ili apate kusikika mjini
@williamkeita1519
@williamkeita1519 7 месяцев назад
Mkubwa huko tandahimba but tz mond,kiba
@tomsijohni
@tomsijohni 7 месяцев назад
Chid umeongea point brother mondi anapoteza wasanii wenzake 😂
@svt3
@svt3 7 месяцев назад
@tomsijohni Diamond mmoja ana poteza aje walio wengi nao wampoteze chidi simunamona anajuwa basi achukuwe nafasi ya Diamond aache kupiga kelele
@tomsijohni
@tomsijohni 7 месяцев назад
Shida yako ni moja uko na utimu ila auna ukweli wa Music
Далее
diamond ft chidi BENZ  nalia na mengi
4:34
Просмотров 45 тыс.
Mkasi - SO7E02 With Chidi Beenz
29:55
Просмотров 263 тыс.