Тёмный

DIAMOND AMPA SALUTI ALIKIBA, WIMBO wa 'MNYAMA' WAMKOSHA, AMSINDIKIZA NA KIJEMBE 

Wasafi Media
Подписаться 4,7 млн
Просмотров 206 тыс.
50% 1

DIAMOND AMPA SALUTI ALIKIBA, WIMBO wa 'MNYAMA' WAMKOSHA, AMSINDIKIZA NA KIJEMBE
www.youtube.co...
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Развлечения

Опубликовано:

 

6 авг 2023

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 88   
@abiaslimadyanse1842
@abiaslimadyanse1842 Год назад
Si MAKOLO walijifanya wajuaji Ila hapo Diamond platnumz kajibu Kwa Akili salute sana 🔨🔨🔨
@nomoboy152
@nomoboy152 Год назад
Sema Platinums amekua🎉
@user-yk5gm5qj4u
@user-yk5gm5qj4u 4 месяца назад
Uko vzr diamond
@abdulabdallah9688
@abdulabdallah9688 Год назад
Moja katika siku nimemkubali mond ni leo kajua kujibu mno
@MrTwoRocks
@MrTwoRocks Год назад
Amekua😊
@JoshuaMose-gq4qy
@JoshuaMose-gq4qy 7 месяцев назад
❤❤king for life
@user-dq6mh7cr5w
@user-dq6mh7cr5w 9 месяцев назад
Vizur🎉❤❤❤
@ZuwenaJuma-yo9qp
@ZuwenaJuma-yo9qp Год назад
Vizur
@DonPrince11
@DonPrince11 Год назад
Amazing
@calvinshirima2654
@calvinshirima2654 Год назад
Huyu mwamba ni mnafki Dunia ya saba
@calvinshirima2654
@calvinshirima2654 Год назад
@wisedupshop2731 kwani uongoo
@timothmwakakusyu4563
@timothmwakakusyu4563 Год назад
Wewe ndo mnafiki, Kuna watu mnawaza bifu tu kichwani
@Lunguya
@Lunguya Год назад
Sanaaaa
@Mrboom720
@Mrboom720 Год назад
Mr Boom was here
@shaviercharvinho18
@shaviercharvinho18 Год назад
mimi sikukibali ila kwa aya majibu ya mwisho nimekukubali leo tu😂😂😂
@abdullahkazungu4025
@abdullahkazungu4025 14 дней назад
Apo safi
@joojombi2341
@joojombi2341 Год назад
Umekera sana kwa kuvaa nguo za Uraia wa UAE not good kabisa
@fadhiligenda4646
@fadhiligenda4646 Год назад
Uko sahihi lakini hvy ndio shekhe mansouli anavyo vaa kwa hy hana uwakilisha umansouli wenyw
@user-qq6op6ll2e
@user-qq6op6ll2e Год назад
Niambie nguo zakiafrica unazo vaaag ww
@Kalssambabo-gv6uh
@Kalssambabo-gv6uh Год назад
​@@fadhiligenda4646😅😅😅😅
@aaa64sa13
@aaa64sa13 Год назад
Kwa sisi Waislam ni kawaida kuvaa mavazi haya.
@abdallahjuma6212
@abdallahjuma6212 Год назад
Umekerwa na vazi la uislam sio iyo nguo ww ni anti-islamic
@DoreenTesha-kk2kw
@DoreenTesha-kk2kw Год назад
Huna baya#platnumz
@user-fr2pf5eg2g
@user-fr2pf5eg2g Год назад
Mi najuwa we ni simba
@magomakabanja480
@magomakabanja480 Год назад
Mond Anapenda Sana Utani Lakini Sio Kwenye Levo yake Hapana
@TristanKevin
@TristanKevin Год назад
Simbaaa 🔥💯
@mbaroukrashid6201
@mbaroukrashid6201 Год назад
MONDI ASIDANGANYE WATU NI SIMBA KINDAKINDAKI KAMA SIMBA BASI AFUTE JINA LA SIMBA wewe umeachana na mumeo wa zamani umepata mume mpya mjaaliwa mtoto unampa jina la mumeo wa zamani duh huyo mume mpya atakuelewa kweli?
@isaacnzai8202
@isaacnzai8202 Год назад
😂😂😂😂 huyu ni Diamond kweli ama ni mchongo? Daaaah!! Amekua na busara leo ❤❤❤😂😂😂😂 platnum
@mgenisalum3721
@mgenisalum3721 Год назад
Kapigwa na kitu kizito lazima akubali
@MeghanWanjiru-tp3zr
@MeghanWanjiru-tp3zr 11 месяцев назад
Diamond simba jameni
@AlbaSnepa-lr4bp
@AlbaSnepa-lr4bp 22 дня назад
💥
@emmalabile2340
@emmalabile2340 Год назад
Kumbe unajifanyaga MJINGA kumbe akili unazoo uemjibu vzr snaa
@amoji126
@amoji126 Год назад
😂😂😂 kwa sasa hivi.
@angelishika6054
@angelishika6054 Год назад
Upo Uto kimwili😂 ila kiroho upo Simba
@naimasbuguza2395
@naimasbuguza2395 Год назад
Mondi anajua kusocialize
@vanessa-vavandikumwenayo2757
😂😂😂😂
@thomasdominick8604
@thomasdominick8604 Год назад
Mondi anajiita Simba hivyo kachukulia wimbo Wa kiba umempa heshima mondi kama Simba,yaani kiba kamkubali mondi
@muhammadjamady-zx1jy
@muhammadjamady-zx1jy Год назад
Kajua kujibu mno sasa kajibu nn maaan kesho ndo kuna kazi za kujibuu mbele ya alllah
@gunbizzo1970
@gunbizzo1970 Год назад
Wenzio wako Madrasa wewe sijui unatafuta nini huku kujifanya kujua dini kumbe hamna kitu hata juzuu moja mtihan😂
@timothmwakakusyu4563
@timothmwakakusyu4563 Год назад
​@@gunbizzo1970😂😂😂😂😂😂😂😂
@golden_eye_tz
@golden_eye_tz 11 месяцев назад
​@@gunbizzo1970😂😂😂
@denisimaliyaweni9183
@denisimaliyaweni9183 Год назад
Huyu jamaa ni muongooo sana Yan alafu ni mnafiki sna
@kingcostaking516
@kingcostaking516 Год назад
Alikuahdi kukukaza akazngua ama
@golden_eye_tz
@golden_eye_tz 11 месяцев назад
​@@kingcostaking516😂😂😂😂😂
@DONALDYOWAS-rr7tz
@DONALDYOWAS-rr7tz Месяц назад
Umezingua sna mondi apo simba ndo unyama
@erikimeshakibuteme265
@erikimeshakibuteme265 Год назад
Erick
@mbaroukrashid6201
@mbaroukrashid6201 11 месяцев назад
WEWE NI SIMBA NA SIO UTOPOLO USITUHANGAISHE UNGEKUWA UTOPOLO USINGEJIITA SIMBA TENA MNYAMA , AAAAAAAA!!!!! TUACHE BWANAAA
@user-yj5on8cz3e
@user-yj5on8cz3e 2 месяца назад
Mavazi yanakupendeza xana naseeb Sasa ungekuwa unaujuwa hata msikiti uliko ingekufaa lakini wa vaa hivyo Ila makanisani kuimba kwaya na wakristu muige Ally mwenzio pamoja na ufirauni wake msikiti anaujuwa ww Ila ww upo kuangalia dunia tuu!! 😂😂
@rbayoub1181
@rbayoub1181 Год назад
"Kwa sasa hvi ni Yanga"
@SuzyChars
@SuzyChars Год назад
kaka umekuwa mkubwa majibu ya kisomi . simba kama simba
@maisarahally5913
@maisarahally5913 Год назад
Nguo za kiislam zikoje bro
@kingcostaking516
@kingcostaking516 Год назад
Unataka zweje
@christopherjoseph8330
@christopherjoseph8330 Год назад
Mondi moyo wake uko Simba sema hataki kuweka wazi huwez kuhama tumu.
@abiaslimadyanse1842
@abiaslimadyanse1842 Год назад
Mbona unahangaika kijana ndo kakwambia
@salamasaidi6620
@salamasaidi6620 Год назад
@@abiaslimadyanse1842 ww unafanyaje km huhangaiki 😆😆😆😆
@abiaslimadyanse1842
@abiaslimadyanse1842 Год назад
@@salamasaidi6620 kuna kuongea kumuongelea mtu na mtu kuongelea yake
@yahyayazidi6767
@yahyayazidi6767 Год назад
Mbona unavaanguo za kislam katika maswala ya miziki na mziki ni haramu
@madmax6757
@madmax6757 Год назад
Uislamu sio nguo uislam ni dini tusiadaike na nguo
@dianamonyo1960
@dianamonyo1960 Год назад
Hio ni nguo kama nguo nyingine
@aaa64sa13
@aaa64sa13 Год назад
Ni vazi la hisma ambalo Waarab wanatumia. Usilete mambo ya dini hapa.
@samirshaban1663
@samirshaban1663 Год назад
Kavae wewe
@AthmanYahya
@AthmanYahya Год назад
Huyu aliendika anajuwa kweli hili vazi ni la watu gani.....safiri middle east utajuwa wenye hili vazi acha umwehu
@jovithaezron5205
@jovithaezron5205 11 месяцев назад
Diamond amekua Sasa amejitambua
@user-vr6pw2wk2e
@user-vr6pw2wk2e 10 месяцев назад
Mkumbafu tu daimond Malaya sana
@MrTwoRocks
@MrTwoRocks Год назад
Weeee 'yeeeenga ka Carpoza😅😅
@tomasjilundumo865
@tomasjilundumo865 Год назад
Sijapata mwona mond anaonea point kama leo
@MbaliNdahizaNashale-vz2pl
@MbaliNdahizaNashale-vz2pl 11 месяцев назад
nilazima tu mkubali
@mwanjumajongette8187
@mwanjumajongette8187 Год назад
Ni mrpenda majibu yako leo simba
@luckygmdegela8477
@luckygmdegela8477 Год назад
hata wewe simba bwana sema sasa utafanyaje na pesa uliitaka kule😅😂
@user-fr2pf5eg2g
@user-fr2pf5eg2g Год назад
Uko utopolo bosheni
@sevystaronedancer1785
@sevystaronedancer1785 Год назад
😂😂😂😂
@Mordekai_Chiswanu
@Mordekai_Chiswanu Год назад
Kuna jambo la kisiasa la kuzima mambo flani
@kingcostaking516
@kingcostaking516 Год назад
Ukwel mtupu
@neemamangushi8187
@neemamangushi8187 Год назад
Upumbavu
@hamidangitu227
@hamidangitu227 Год назад
Mnafiki tu uyu
@mbaroukrashid6201
@mbaroukrashid6201 Год назад
NYOKO WEWE MONDI😂😂😂😂😂😂😂😂
@Stanley.kapumbira
@Stanley.kapumbira Год назад
Nilicho gundua diamond ni simba dam 😅😅
@victoriakapele8682
@victoriakapele8682 Год назад
Muda mwingine ndomo unakuwa na akili
Далее
Муж на час 😂
00:37
Просмотров 1 млн
Qora Gelik
00:26
Просмотров 460 тыс.
Alikiba - Mnyama (Simba SC Anthem)
2:59
Просмотров 3,7 млн
Maua Sama: NAWEZA KULALA NA ALIKIBA namuamini
3:37
Просмотров 20 тыс.
ПРИЕХАЛ В РОДНОЙ ГОРОД
0:31
Просмотров 4,8 млн
Маленький Воришка 😂
0:31
Просмотров 13 млн