Тёмный

DIAMOND - "ALIKIBA NAMPA HESHIMA YAKE, UGOMVI WETU CHANZO NI HIKI" 

Wasafi Media
Подписаться 4,7 млн
Просмотров 491 тыс.
50% 1

DIAMOND - "ALIKIBA NAMPA HESHIMA YAKE, UGOMVI WETU CHANZO NI HIKI"
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #Diamondplatnumz #FOA

Опубликовано:

 

13 мар 2022

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 767   
@rubbymusa1971
@rubbymusa1971 2 года назад
Album ya Kiba ni kali kwa kweli nyimbo nyingi zitadumu kwa muda mrefu, japo zuri kwa Ali hajisifu kokote kuhusu mauzo kuhusu pesa, na huo ndo utu wenyewe
@mwajitajunior7633
@mwajitajunior7633 2 года назад
Ali kibaa ni legend kwnye mziki Tanzaniaaa...si kumzidii diamond Tu Bali wengi Kati ya wasaniii alipoanza mziki alikiba walikuwa hawatambuliki wala hawakuwa wanatarajiwa
@K25795
@K25795 2 года назад
SASA DOMO ANATAKA KUSEMA KWENYE ALBUM YA KIBA NI UTU TUU NDO ILIYO HIT SI UKOROFI UYOO ALBUM YA KING KIBA NI HIT 🔥
@khanifakhalfan9500
@khanifakhalfan9500 2 года назад
Mm sina ushabiki wa timu yyte lkn kwa hili mond tuache maaan unajiproud sana na hakuna cha maana unchofanya mm ninachoamn kiba na harmo wanaimba mziki mzur tena wenye mafunzo ila wew uNatoa nyimb sizizo eleweka all in all kinachokusaidia wew au tofaut yenu nyny ni kwamba wew unajua kupromot kitu japo kwa fos ilimrad kiende wao wakitoa wanaacha fans zao ndio waendeshe acha mambo ayo fanya mziki km ulokua unafanaya zman si sasa bro
@guzomc255
@guzomc255 2 года назад
Simba kwenye Ep.yako umejitaidi sana ila kuhusu album ya king ni fire ilekinoma. ..mule nyimbo zote zimenyooka yote kwa yote mnastaili sifa 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@yusuphbotea2951
@yusuphbotea2951 2 года назад
ila uyu jamaa mbele ya camera unaweza sema mtakatif kumbe hit zoteee za dogo ujasikia kwel unaonekana una chuk kweny moyo wako
@worldstartz
@worldstartz 2 года назад
Album ya King Kiba ni classic nyimbo zote Aache ujinga huyo boya
@chripinejodo3379
@chripinejodo3379 2 года назад
Wacha majivuno kaka....the songs in Ali's album are all heat songs...ww sai Hadi utumie wasani wenye nyota Yao inangaa kama Zuchu na Mbosso....
@kirangipaul816
@kirangipaul816 9 часов назад
Alikiba ana shida ya akili,ukisikiliza pande zote mbili...mwanaume huwez kununa kuongea na mtu kwa sababu ya kijinga kama hii..apimwe jaman😂😂😂
@peterkerenge9207
@peterkerenge9207 2 года назад
"siku nikifaa bado mtabaki na umoja?" strongest line ever,kama mna boss anawawazia wafanyakazi wake mambo haya basi is da best place to be.
@robertsimba5081
@robertsimba5081 2 года назад
Ali kiba is a generational singer....since he came out 2007 he has still maintained....much respect from Kenya 🇰🇪 2022
@nehzreal7445
@nehzreal7445 2 года назад
Umenipendeza kwa kumpa heshma the king of bongo flavour
@Waminala-id6kr
King kiba100 mungu akulinde napenda song zako zote
@sunshinemusic9327
@sunshinemusic9327 2 года назад
I always respect this guy by the name diamond if you also love him just like my comment.
@davidluangisa4515
@davidluangisa4515 Год назад
Alikiba is a world class artist,,,and ever shall be,,Much respect
@benjaminimisuwi1883
@benjaminimisuwi1883 2 года назад
Alikiba atabk 👑 king t na n mwanamuziki sio msanii wa muziki km diamond ngoma moko inakonga myoyo kila kukicha utadhani verse mpya respect for king kiba
@ayshamohamed8208
@ayshamohamed8208 2 года назад
Kiba NI musician
@alhajiFashions7563
@alhajiFashions7563 2 года назад
King 👑 Must be Respected!!!! If you can't Beat him Join Him
@manasseninteretse8510
@manasseninteretse8510 2 года назад
Hapo sawa kwakuona kwamba Alikiba ndo mtu mukubwa kimziki, tena, ndio anaheshima yake, but I like all you guys. Hongereni sana nawapongeza kwenye kazi zenu nzuli, Alikiba ni mtu mkuu katika mziki! 🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@paulebby1552
@paulebby1552 2 года назад
King is to be respected by everyone 👑 Kiba
Далее