Тёмный

Diamond amvuta Dudu Baya 'Konki Master' na Alikiba Wasafi Festival 

Bongo5
Подписаться 1,2 млн
Просмотров 237 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

25 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 332   
@abdibakari641
@abdibakari641 6 лет назад
at least you've hit the point by remembering Alikiba & other legendaries.. big up diamond.. Overdoz from 254
@kipendarohotv2669
@kipendarohotv2669 6 лет назад
Nyiee ndio ma konk konk konk nakama nawewe ni konk gonga like
@innocentpreety2600
@innocentpreety2600 6 лет назад
Nimekupenda bure brow.... Skuizi unaga zarau Allah barik, afu umeongea vizuri sana na mwenye kupenda amani ndio mtu bora kwa familia.... Big up broo,.... 🇰🇪 n hop Early ata respond in a gud way, bifu ekeni mbali muimarishe nchi wallahy wengi watafraia
@laurinfred3575
@laurinfred3575 6 лет назад
Safi sana bro #diamondPlutinumz, kama utahudhulia wasafi festival gonga like twende pamoja
@lisalizzi8690
@lisalizzi8690 6 лет назад
WOW this Boy he is more like are president.I will tell you Way Diamond platnumz he is Wise emotionally und Physikalische.ln swahili ana Fikiria,ako na moyoni na ana Tenda.I Love you "DP" you Shows much Love this Show me that you dont habe Enemy or Bf with your bro Alikiba,This Show' s us we schould Show Love allover the World i like your speech bro Platinum welldone and Good work😍😙🤗🙌🙌🙌👌🙏🙏❤
@laucrizant4981
@laucrizant4981 6 лет назад
yaan hapo kwa #ibrah_Nation kwel kbx ni bonqe la artist, daah salute xnaa simba
@medysaid2704
@medysaid2704 6 лет назад
SIMBA TUNAKUKUBALI SANA ILA MZEE BABA VIKUKU ACHANA NAVYO UNATUTIA AIBU USIWAIGE WAZUNGU WASHAZOEA UCHOKO ANAEKUBALI MANENO YNGU AGONGE LIKE CONK CONK CONK WATANYOOKA TU
@georgedominick9405
@georgedominick9405 6 лет назад
Sio hiari yake kuvaa vikuku anapewa oders na madevils
@magretiderefa8524
@magretiderefa8524 5 лет назад
Diamond Mwanza
@bahathmoshi9379
@bahathmoshi9379 5 лет назад
Dudu baaya
@lucaskimogere8291
@lucaskimogere8291 6 лет назад
Naomba umpe ushauli dudu baya asinywe pombe mpaka amalize shoo, naomba sana
@mifumotv7485
@mifumotv7485 6 лет назад
Diamond plantumz Ana akikiii snaaaa huyu jamaaa na Naona namna gan anashauku kuupelekaaa mziki wa bongo mbele mungu am-barikiii..Kama na ww umemuelewa gongA like twenDe sawAaaa
@kadikmctv7578
@kadikmctv7578 6 лет назад
Ali kiba aseee.. aache uboya ...aingie tamashaniiii... one TZ ... one Lov
@beginemandela617
@beginemandela617 6 лет назад
Merci beaucoup Mr platnumz..vous êtes toujours le meilleur...du est Africa. ...Big-up 2 you my star...ukiwa na kiba kwenye festival itapendeza xana mimi kama shabiki nawaunga mkono🖒
@djb2kzer0
@djb2kzer0 6 лет назад
Alicho kisema ni kizuri sana Na ni wazo nzuri tu ila mashabiki kwa midomo yenu ninyi ndo mta kuwa mna ongelea mengine tofauti alafu ikaja kutokea #alikiba aka acha kukubaliana Na wazo la mdogo ake..... #DjB2kzer0 from #Canada 🇨🇦
@sophiamose1328
@sophiamose1328 6 лет назад
Nakwambia mashabiki Tuko na Tabia za Kijinga kweli
@MrEve1975
@MrEve1975 6 лет назад
Yani kaka km ulikuwa kwnyw mawazo yangu csi ndio tunaowatngenezea wasanii bifu sidhani km daimond angekuwa na chuki moyoni angemtaja jina tena kasema ningefurahi sana km kakaangu Ally atakuwepo nahisi bifu lao limetengnezwa na fans
@paulinasenyagwas8943
@paulinasenyagwas8943 6 лет назад
deamondi mbona tunduru aufiki ata kutaja ututendei aki
@muyasalo4880
@muyasalo4880 6 лет назад
Simbaa me huwaga nakuelewa sana aiseee haunaga choyo ndio maana unafaanikiwa mungu akubarik sana
@martinshitindi1902
@martinshitindi1902 6 лет назад
uko vzr Dogo,ila usirudie kuvaa vikuku!
@theodosiamichael1777
@theodosiamichael1777 6 лет назад
Hongera San mungu akuongezee ulipo pungukiwa umoja ninguv utengano ni udhaifu
@husseinnyomi6120
@husseinnyomi6120 6 лет назад
Mkija kigoma msije bila konki masta tumemiss sana konk
@innocentkitundu6637
@innocentkitundu6637 6 лет назад
Msije mkamsahau Godzilla jamani pls tunamkubali sana jamaa please!!
@hamadysuleiman4225
@hamadysuleiman4225 6 лет назад
Kumamake make we msenge huna hila kweli we si mnafiki nimekulewa diamond kuanzia leo kwangu mweupeeeee
@aminachande3848
@aminachande3848 6 лет назад
Kweli simba ulicho sema uja kosea wote watazania shikaneni mungu ata kulipa ww mtazania kiba nae mtazania kwaiyo nyote ndugu ongela simba
@jumamenge5634
@jumamenge5634 6 лет назад
Hay ban
@paulmuhina1490
@paulmuhina1490 6 лет назад
sijawahi pata like kila napo comment kwa simbaaa ebu nipeni like
@lisalizzi8690
@lisalizzi8690 6 лет назад
Your looking for like,your not looking for Love shame on you
@ndamayapemakanda1338
@ndamayapemakanda1338 6 лет назад
Lizy come.down
@lisalizzi8690
@lisalizzi8690 6 лет назад
Am down alles ist ok,But Please Try to Motivat your bro and sis like you brother "DP"Chibu.he has are Point😍
@ramadhaniabdallah2079
@ramadhaniabdallah2079 6 лет назад
kiba acheumwinyi mdogowake kakunjua
@maicopascal7565
@maicopascal7565 6 лет назад
Pw
@rayaali7551
@rayaali7551 6 лет назад
Uko mtuu mzuuri sanaa maasha allaah mmungu akuzidishiee wallaahi una hurumaa , una mapenziii , na una ubinaadamm na binaadamm wenzioo jenginee huna choyoo walaa roho mbayaaa na kitu kikuubwa nilicho kupendeaa kwanzaa kumjali mamayakoo na kumuweka mbelee na mshauri wakwanza katika maisha na kazi zakoo kwahili alhamdulilaah yaaraby akuzidishieee na azidi kukumiminiaa baraka ilaaa mdogowanguuu nnasikitikaa kumtupa na kumzarauu baba yakoo kwaninii unatowa hukumuu ya kumuwadhibuu kwanii mwenye kubukumuu hayupooo auu kasahauu miee nnakuomba umuwachiee mwenyewe mmungu amuhukumiee ikiwaa kuna baya loloote alilo kukoseaa huwezi juwaa kulitokea ninii auu sheittaani kampitiaa mdogo wangu diamond jitahidi sanaa kumsamehee anaee kukoseaa na aliee kukoseaaa kwani na wewe ni kiumbee ushakosa mangapiii na hujafa bado hujakamilikaa you never know in future sameheee ili na wewee usamehewee soote ni binaadamm na binaadamm nidhaifuu kilaa mmojaa ana mapungufu yakee ndio maana mmungu akatuwekeaa milango wa tobaa diamond huna haki ya kumuhukumuu mzazi wakoo so plzz duniaa ni mapitoo na atujuwii linii auu saangapii tutaondoka na kwenda kukutana na mwenye kuhukumu so plzz , plzz ,plzzz mswamehee mzazi yaani babayakoo ili na wewrr usamehewe na mola wakoo palee ulipo koseaa na utapo koseaa Hayaaa sasaa nakupa nasahaa sasa kaa utulizeeee akiliyakoo wacha kudanga dangaa fikiriaa kuwa wewr ni baba wa watotoo unatakiwaa ujiheshimuu ilii uheshimikeee uje kuwajengeaa heshima watoto wakoo sasa tafuta auu fikiriaa kurudi kwa mama watoto wakoo uyamalizee kwa kusawazisha yaliyo ya kharaam na kutengeneza yaliyo ya halaalii kubwa ni kumuomba radhi mola wakoo na mama watoto wakoo yaani ZARRY umuoweeee tenaaa umuowee muwe mke na mumeee ilii mutuliee muilee familiyaa yenuu kwa njiaa ya halaali na furraakha SHUKRAAN kwaleoo maoni yanguu ni hayooo
@directormimialien8395
@directormimialien8395 6 лет назад
Kama umemuelewa chibu gonga like apa
@wilbrodyteophano1408
@wilbrodyteophano1408 6 лет назад
Simba ww kwel, mzarendo 👍👍👍👍
@modesterdavid8500
@modesterdavid8500 6 лет назад
Uko vizuri jaman ubarikiwe embu mkumbukeni asilimia 20 jamani bushoke Mr nice yaani kama nawaona
@mligombuma2287
@mligombuma2287 6 лет назад
Akili....nguvu.....na nia vinakusaidiaaaaa ww kakaaa looooooh,barikiwa saanaaa
@wolframkombo7917
@wolframkombo7917 6 лет назад
Kama unaona kuzimwa Kwa fiesta na wasafi festival gonga like
@isackbaton3682
@isackbaton3682 6 лет назад
Mr admin TV fiesta imekufa
@fadhilimartin9466
@fadhilimartin9466 6 лет назад
Dudu Baya njoo Arusha Mwanaa
@rhozeymunyali2387
@rhozeymunyali2387 6 лет назад
Waaau umendo ulioje.mond uko n roho nzuri kweli.mungu akubariki kutoa kidonda kilicho rohoni mwako.
@paschalcharles632
@paschalcharles632 6 лет назад
Huwa nakuelewa xana simbaaaaaa ngoja tusubir wenye midomo waseme
@queenrollsroyce4508
@queenrollsroyce4508 6 лет назад
Vizur sanaa kaka🌹🌹🔥🔥🔥
@mlamar8478
@mlamar8478 6 лет назад
Daaah unaongea vzuri mpakaraha yani #WCB4life🔥🔥
@michaelmika3844
@michaelmika3844 6 лет назад
Natamani stageni chibu alivamie na kiba clouds wabaki wana kufa mmoja mmoja
@chemaulomi5049
@chemaulomi5049 6 лет назад
safiiiiiii sana mbabaaa umemwaga point saanaaaa
@maryamathman8917
@maryamathman8917 6 лет назад
Very true simba nakupendea hapo yani huwa huna kiki na mtu roho safi mungu akupe umri mrefu kakangu.
@dangotesam9845
@dangotesam9845 6 лет назад
IBRAH NATION anaimba vizuri sana, fanya naye wimbo Simba umsaidie kutoka, namkubali sana kwa kweli!!
@wizydeko1496
@wizydeko1496 6 лет назад
Like zangu nipeni jamani mi nachekwaa uku
@davidwambura5915
@davidwambura5915 6 лет назад
konki konki konki master oil chafu ndani ya wasafi festive, oyoooooo 😀😀😀
@fahadsalum1801
@fahadsalum1801 6 лет назад
😂😂😂
@davidmwengwa1302
@davidmwengwa1302 6 лет назад
Simba iringa rini
@paulinasenyagwas8943
@paulinasenyagwas8943 6 лет назад
simba njoo tunduru
@happinesmaduka4170
@happinesmaduka4170 6 лет назад
xaft UK fit
@filbertmassawe3742
@filbertmassawe3742 6 лет назад
Konki*3 the master , usishoboke na usafi Broo, nipe list ya mipunga tuwakimbize wasi2zoee,🛐 hapend🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿 vibak ukooo🇹🇯🇹🇭🇹🇬🇹🇩🇹🇨🇹🇦🇸🇿🇹🇰🇹🇲🇹🇱🇹🇳🇹🇴🇹🇷🇹🇹🇺🇸🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇦🇹🇻🇻🇳🇺🇿🇻🇺🇼🇸🇻🇦🇾🇪🇻🇨🇿🇦🇿🇲🇻🇬🇻🇮🇿🇼. Sio 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿. Konki konk konk, sey master
@saumuhassan6365
@saumuhassan6365 6 лет назад
Simba mbona uso umekuwa mgumu hivi, au ndio majukumu, anyway naku suport *Baba Dylan* good job my brother. 🙏 Simba tunamtaka *Q JAY* *MAKAMUA* WAKALI KWANZAA tunawataka.
@bajunihilali95
@bajunihilali95 6 лет назад
Umenena mzee
@mosesfelix3517
@mosesfelix3517 6 лет назад
makamua voice undeniable
@sarafutatu5946
@sarafutatu5946 6 лет назад
Either we like it or not, this guy is the most succesful artist in eastafrica.
@superherotv1750
@superherotv1750 6 лет назад
Dah asee kwel apoo gud baba la baba Kama unamkubalii Simba gonga like apa
@البراءالقصابي
@البراءالقصابي 6 лет назад
Mm nakupend mond hunag majigambo😘😘
@msafirnyau5471
@msafirnyau5471 6 лет назад
saf simba uzuri wako unajua kusuport mungu ukuongeze zaidi
@ipmanpina7112
@ipmanpina7112 6 лет назад
Big up much brother
@sayronmapunda1692
@sayronmapunda1692 6 лет назад
diamond ni mtu ambae ana akili ya kuifikisha tasinia yetu ya muziki mbali,habagui kabisa conglate
@sophiamose1328
@sophiamose1328 6 лет назад
Hongera kakangu umeongea vizuri nimefurahi sana
@subiraomar4771
@subiraomar4771 6 лет назад
Simba unaongea point sana mungu aendelee kukupa ubunifu zaidi
@yaredmdonondo8042
@yaredmdonondo8042 6 лет назад
Mond unajitambua vizur sana braza komaaaaaaa mpk kieleweke
@piterndanamba6287
@piterndanamba6287 6 лет назад
Wefanya festval kwasababu hauna nafasi fiester na ndomaana umeanza kujirudi .ilabado huwezi kumualika kizembe ivo king music
@khamisisimbah4885
@khamisisimbah4885 6 лет назад
nipeni ata. like moja
@athumanomary1438
@athumanomary1438 6 лет назад
Mwenyez MUNGU yupo pamoja nanyi
@ibrahimkanuto3514
@ibrahimkanuto3514 6 лет назад
b gup bro ww kweli simbaaaaaaaaa
@jacobamani8418
@jacobamani8418 6 лет назад
huyu dudu bhaya....aaaaaaaaaahhhhhhh!!!!! shikamooo konk konk konk master
@saidmwakugula613
@saidmwakugula613 6 лет назад
Poa Tu,,kazi nzuri
@josephmatimbwi1670
@josephmatimbwi1670 6 лет назад
Ubarikiwe bro
@katolankingbinnah8632
@katolankingbinnah8632 6 лет назад
Kinaniuma kitu kimoja watu wa reggae awapewi nafasi kabisa ktk matamasha ya Tanzania yote imefika atua hata vipindi wamevitoa kwenye TV na radio zao da!!
@majosamalundi4016
@majosamalundi4016 6 лет назад
Bangi sana wale
@emmanuelnyakatai7311
@emmanuelnyakatai7311 6 лет назад
100% they dislike reggae now days which is not Fair
@Aaa-nh7gw
@Aaa-nh7gw 6 лет назад
Nakukubari sana simbaaa
@samsonkadinda8676
@samsonkadinda8676 6 лет назад
Napenda unacho kifanya simba ubagui uchagui inua sanaa yetu ipande
@Nufaila442
@Nufaila442 6 лет назад
Domokaya na mandojo .. Usiwasahau mzee na kitu cha Ding
@adoniamaseneje5669
@adoniamaseneje5669 6 лет назад
nouma sanaa kazi kazi. yaani weka tu weke
@ibrayomapenzi1743
@ibrayomapenzi1743 6 лет назад
Hiyo ndo platnums mapenzi kwa wote mashallah
@kingayo999
@kingayo999 6 лет назад
subir mm nitaongea na alikiba
@idenayoub3352
@idenayoub3352 6 лет назад
Kweli kaka,, ibueni na wale waliokuwepo na mziki mzr but now dayz hawasikiki kama akina 20% na wengine
@skm1345
@skm1345 6 лет назад
Iringaa niadjeee.....wasaniii kutoka U.S.A
@ibrayomapenzi1743
@ibrayomapenzi1743 6 лет назад
Yeaaah zanzibar oyee
@mtafutajihachoki5937
@mtafutajihachoki5937 6 лет назад
iko powa Dudu baya tukimuona
@annajemsi3552
@annajemsi3552 6 лет назад
Ntafrahi Sana Kama alikiba na diamond wakiwa pamoja
@barakajpilly6900
@barakajpilly6900 6 лет назад
Naunga mkono kuwa pamoja na kiba nawakubal wote,gonga like kama unamuunga mkono simba
@norahrajab8164
@norahrajab8164 6 лет назад
#alkiba kaka uje 2 tofaut tuweke pemben
@gadchy_boytalent1097
@gadchy_boytalent1097 6 лет назад
Wasanii wote ata wa singeri au b frv tuu
@dotomohd9156
@dotomohd9156 6 лет назад
Unafiucha yambali unaakilisana wewe mungu akuweke undeleze music mbele
@nousmudyigi7727
@nousmudyigi7727 6 лет назад
Upo vizuri saaana lakini vip bro home Land Kigoma town
@georgewamel8358
@georgewamel8358 6 лет назад
Diamond umeingea kikubwa na kwa heshima kubwa itokanayo na busara. ubarikiwe...
@dioanatory1059
@dioanatory1059 6 лет назад
konk! konk! konk! konk! aina kulemba hii ni yetu sote wanatubaguwa ( f ) tunakuja kivingine tisha sana wasafi
@stevewanga957
@stevewanga957 6 лет назад
You have a point
@fejam9223
@fejam9223 6 лет назад
hatar sana kweli nyumbani kwanza....
@paulostanley6934
@paulostanley6934 6 лет назад
Diamond anamkubali sana Alli Kiba,ila Kiba ana jilas na Mond ukweli ni huo
@brunomtweve8073
@brunomtweve8073 6 лет назад
Paulo Stanley 😂
@irakundazawadi2021
@irakundazawadi2021 6 лет назад
Allah awaraisishiyeni nimewapenda bure muungane mpelek mziki wenu mbele ongereni Sana kaka yangu
@sir_leem_marlian1166
@sir_leem_marlian1166 6 лет назад
KONKI KONKI KONKI MASTER IN THE BUILDING....MAMBA AKA OIL CHAFU.
@SHAMADAVISUAL
@SHAMADAVISUAL 6 лет назад
Diamond kaja kukombowa mziki
@shabanimussa1788
@shabanimussa1788 6 лет назад
Nguvu moja SIMBA🐯
@amiriramadhan7753
@amiriramadhan7753 6 лет назад
Oi mondi mcheki Darassa SMG mwana ame lost long time namuelewa niga
@fatmahchambo2037
@fatmahchambo2037 6 лет назад
Sawa boss kubwa...umeeleweka baba
@zainabumtubwi263
@zainabumtubwi263 6 лет назад
Kweli ummoja ni nguvu unajitahidi sanakutaka kaka yako awepo mungu atampa nafasi alli kiba awepo jamani.kwa nia safi Inshallah mungu akufungueni na akuwekeeni wepesi
@ibrayomapenzi1743
@ibrayomapenzi1743 6 лет назад
Wazanzibar gonga like
@sashashaibu6821
@sashashaibu6821 2 года назад
Nakukubari Sana wewe daimondi 🦁🎶🎤🌍
@davidwambura5915
@davidwambura5915 6 лет назад
ukicheki huku simba, ukigeuka kulia konde boy, ukicheki kushoto van boy na mboso kan, hujakaa sawa unamcheki konki konki konk master oil chafu spati picha patakuaje
@denisnyerere8508
@denisnyerere8508 6 лет назад
Na mwanza VP #simbaaa
@richardhaule3744
@richardhaule3744 6 лет назад
Dudubaya 😁😁😁 labda aimbe nymbo zake za zaman
@georgedominick9405
@georgedominick9405 6 лет назад
😊😊😊😊😊😂😂😂😂😂
@husseinc
@husseinc 6 лет назад
Wasafifestival 24/11/2018 inanza mtwara
@jacksonrichard6639
@jacksonrichard6639 6 лет назад
Umetisha bro ibranation bonge la msanii lakin Kila siku anaonekana wakawaida
@blessjustus2356
@blessjustus2356 6 лет назад
#mond ni fireeee
@emmyyahya8358
@emmyyahya8358 6 лет назад
Chidi Benz jamani msimsahau
@abdulvuai586
@abdulvuai586 6 лет назад
Amina Yahya naomba urafiki naww kamahutojali
@hashimumtamike3607
@hashimumtamike3607 6 лет назад
Dah Diamond ww kweli auna kinyongo mungu hawa nawe
@stanfordkifaru6257
@stanfordkifaru6257 6 лет назад
Okeeee safiii
@kingbidder
@kingbidder 6 лет назад
Konki Konki Konki master ndani ya wasafi festival.. Itapendeza
@ayshaaysha9650
@ayshaaysha9650 6 лет назад
CHIBU NI MDOGO LAKINI SURA YAKIKUBWA SABABU YAKU LIKE K HAHAH WATAPATA TAABU SANA
@nasoromohamed3131
@nasoromohamed3131 6 лет назад
Kama unamkubali konki ndani ya wasafi festival nipeni like
@stanfordkifaru6257
@stanfordkifaru6257 6 лет назад
Karibu mtwara kk nimekumic Simba ww ndo simbaaaaa
@MrEve1975
@MrEve1975 6 лет назад
Diamond "SIMBAA" ktk siku umenifurahisha ni hii siku kumuomba kakaako Ally ajumuike nimekupenda bureeee hapa ndio pale wanaopenda uchochezi kwenye kutengeneza bifu wanapoumbukaaaaaa dadeq
@godfreyrimoyclassic4041
@godfreyrimoyclassic4041 6 лет назад
umeongea ukwli mkuu ibranation anaimba vizuri sana ila ndio hvyo
@dingimtoto352
@dingimtoto352 6 лет назад
Nakubali🔥🔥🔥
@johnnyirenda15
@johnnyirenda15 6 лет назад
Goooooooood
@burhanimahmoud8985
@burhanimahmoud8985 6 лет назад
Kama wamkubali simba tupia like yako hapa
@daudimaniseli759
@daudimaniseli759 6 лет назад
weka mbari nawatoto simbaaaaa upo vizur xana brow
Далее
Скинь той самой ❤️‍🔥
00:15
Просмотров 17 тыс.
Каха понты
00:40
Просмотров 356 тыс.
EXCLUSIVE: "HATA NIKIFA LEO SINA CHA KUJUTIA" - MR NICE
11:00
Скинь той самой ❤️‍🔥
00:15
Просмотров 17 тыс.