Тёмный

DIAMOND AZUIWA KUONDOKA NA ZUCHU HOTELINI BABA LEVO AMSHUSHA MWIJAKU KWENYE ROLLS ROYCE 

SamMisago
Подписаться 871 тыс.
Просмотров 37 тыс.
50% 1

DIAMOND AZUIWA KUONDOKA NA ZUCHU HOTELINI BABA LEVO AMSHUSHA MWIJAKU KWENYE ROLLS ROYCE

Развлечения

Опубликовано:

 

18 авг 2022

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 34   
@lucasmasesa8825
@lucasmasesa8825 Год назад
Huyu jamaa mungu amzidishie ana roho nzuri sana,anaroho ya kushea mafanikio yake na wenzie japo kama binadam hakos mapungufu ila anaroho pw
@selmesaid7405
@selmesaid7405 Год назад
Baba levo chawa ambae hajawai msaliti dimond wametoka mbali ila uyu mweusi kama chimvi nyingi uyu hee❤
@sashawambura
@sashawambura Год назад
Jamani jamani..Pesa ilimuuza Issa bin Mariam..
@mwanahkombo9496
@mwanahkombo9496 Год назад
nimeona Beyonce wa tz❤️
@hassnsalum6709
@hassnsalum6709 Год назад
Mwinjaku pamoja na mwambino
@Life_of_collin
@Life_of_collin Год назад
That callinun smooth Sheesh !
@muharrijdjemedari9693
@muharrijdjemedari9693 Год назад
Pesa shikamo🤣🤣
@adamwapiliadamwapili5698
@adamwapiliadamwapili5698 Год назад
Leo mwijaku amepanda Rolyroys Fake
@mwanaiddi9660
@mwanaiddi9660 Год назад
Mwanaume wake ndo anapenda avae hivyo
@rayanndizeyes3161
@rayanndizeyes3161 Год назад
Ila mwejaku
@pavillioncry5241
@pavillioncry5241 Год назад
Dah mtume s.a.w alisema miaka elfu nyuma kwamba "Itafika wakati maisha chini ya kaburi ni bora zaid kuliko ya duniani" Ndo haya dunia yote imejaa kamari
@annaalex9171
@annaalex9171 Год назад
Kashike msahafu achana na social media ndugu
@mwanaidimgonja3749
@mwanaidimgonja3749 Год назад
Dah umewaza Nini ?kweli lkn ...
@cosmasmasawe9875
@cosmasmasawe9875 Год назад
Acha umaskin ww
@zephaniazacharia519
@zephaniazacharia519 Год назад
Pesa hiii jaman
@MoiseJay
@MoiseJay 2 месяца назад
❤😂
@mwanaiddi9660
@mwanaiddi9660 Год назад
Da kumbe huyu jamaa ananjaa
@sadikimi6277
@sadikimi6277 Год назад
Chakula
@mssgaintoo4321
@mssgaintoo4321 Год назад
Mwijaka Yupo Upande gani Chawa Kotekote
@sahaleabeid6986
@sahaleabeid6986 Год назад
Chibuu,Chibudenga mob lov
@USDisdoomed
@USDisdoomed Год назад
hawa machawa wanafuraisha
@baldebalde8413
@baldebalde8413 Год назад
🇰🇲🔥🔥🙏🎂
@amemasudi5735
@amemasudi5735 6 месяцев назад
Leo haramu imekuwa ndo halali na Halali imekuwa ndo haramu Dunia imekwisha tumrudie Allah Mauti yanakuja Kubeti ni HARAMU kw herufi kubwa ukubali ukatae
@sharonkane8732
@sharonkane8732 Год назад
Nyinyi wasafi jamani si mumtaftie huyo zuchu fashionister anawaaibisha🤣🤣🤣
@mialiabdullah3315
@mialiabdullah3315 Год назад
Masikini ndio upapatikia mavazi wenye pesa awa jali bora aingize pesa mama upo🤣🤣🤣🤣🤣🤣 alafu bby wake ame ridika shida iko wapi
@nuruworldinsight2957
@nuruworldinsight2957 Год назад
Me nilitaka nione hawo mabaunsa wataendelea kuyafukuzia hayo magari mpk nyumbani kwa SIMBA 😁😁
@mialiabdullah3315
@mialiabdullah3315 Год назад
😁😁😁😁😁😁
@Official83640
@Official83640 Год назад
Zuchu kavaa nn jaman dah
@rayanndizeyes3161
@rayanndizeyes3161 Год назад
Nguo umeona nini wewe kinyangu na wivu na kwawa toto waweziyo
@nuruworldinsight2957
@nuruworldinsight2957 Год назад
Hivi huyo Mwijaku ni mwanaume gani asiyekua na msimamo kama mwanamke. Yaani YEYE na Haji Manara wana muonekano wa kiume lkn wana mioyo ya kike ya kutokua na msimamo, huku wanataka na kule wanataka. Yaani hawo hawafai kabisa kufanya nao kazi. Hawana ujasiri na uvumilivu wa kiume. Ni wanaume mavazi tu hawoo
@boxpoacher1072
@boxpoacher1072 Год назад
Sote twataka pesa broo, at the end of the day pesa inabadilisha maisha
@unclepwechnov1381
@unclepwechnov1381 Год назад
@@boxpoacher1072 Fact👍
@unclepwechnov1381
@unclepwechnov1381 Год назад
Ujasiri ni kupata pesa kuneemesha familia, kung'ang'ania sehemu za njaa kwa ajili tu ya kufurahisha na kuneemesha wasio na faida kwako ni uzoba.
@nuruworldinsight2957
@nuruworldinsight2957 Год назад
@@boxpoacher1072 aah boy sio kwa staili hiyo ya undumilakuwili mara kwa Harmonizer mara kwa Diamond, mara kwa akina Hersi mara kwa akina MO Dewji. Mbona akina Juma Lokole au Baba Levo hawana kieleele hicho na Pesa wanapata. Maana hiyo tabia ya hivyo baadae itamcosti ujue, ataonekana hana maana
Далее
MWIJAKU apewa gari na DIAMOND BABA LEVO amchana ahame
8:48
Symmetrical face⁉️🤔 #beauty
00:15
Просмотров 3,6 млн
PORTAL SPAMMER🤬🤬🤬| Doge Gaming
00:19
Просмотров 1,7 млн
ТЫ С ДРУГОМ В ДЕТСТВЕ😂#shorts
01:00
BABA LEVO amuonyesha dhalau HARMONIZE  mbele ya MWIJAKU
9:14
il caldo fa brutti scherzi #dog #fight #punch
0:18
Просмотров 26 млн