Kafafa nae kiukweli au n pacha wapotevu waliopoteana siku , kwan uyo bba levo hii pombe ndoyamfanyisha aongeee sana au n hulka yke ,coz hafau kuwa mume wa mtu yuachamba mwanzo mwisho
Mwanaume hapigi mkewe.kamuacha mke wake walio kuwa wametoka mbali wanalala chini akamuoa shishi na yule mwanamke kamlaani akamuombe msamaha hakuna awali mbovu
Eti huyu mzee mapua nae ni msanii au mtumwa wa msanii? Leo kakosa shukran kwa Shilole ambae amemfikisha hapo alipo leo amestirika na makombo ya Shilole sasa ana mdomo mchafu kumsanif. Huyu Mungu atamuhukumu siku moja. Mchumia tumbo mkosa fadhila.