nilifikili this tv channel...ingeongezeka kitu flan iviii... aiseeee ingepanua sana wigo wa entertainment tanzania na pia kuongeza kipato pamojaa na employment opportunity kwa vijana wengine ili kuifanya iwe big company zaid ya apo ilipo..
Niko Tofauti kidogo ni Kweli Simba ametuwakilisha vizuri na ni sifa kwetu Watanzania na East africa kwa ujumla, lakni naomba Millard Umshauri DIamond Kutokana na Show zingine ninavyo zitazama hapa YOUTRUBE ni wakati sasa Diamond kuanza kutumia Live band kuliko haya Ma playback ambayo uongeza makelele na kufanya watu wasisikie anaimba nini, Tizama show ya Diamond na show ya MR. FLAVER ndio Utajua nasema nini, so kwa level yake Anatakiwa kuhama hapo alipo, Ni ushauri tu