Тёмный

Diamond Platnumz akiri imemchukua muda mrefu kumsahau Wema Sepetu 

Dizzim Online
Подписаться 766 тыс.
Просмотров 217 тыс.
50% 1

Nenda hadi dakika ya 18:50 ndipo anaanza kumzungumzia Wema Sepetu. Lakini katika sehemu hii ya kipindi cha Chill na Sky, Diamond anatukumbusha jinsi alivyoteseka kufika hapo alipo. Mwaka 2010, anaelezea mkasa ambao hatokuja kuusahau pindi alipoenda kwa mara ya kwanza kwenye tuzo za MTV MAMA, Lagos Nigeria na kufedheheka vibaya kutokana na unyonge aliokuwa nao ikiwa pamoja na kutokujua Kiingereza. Anasimulia pia mkasa wa kuachwa na mpenzi wake Sara ambaye alimfanya aandikie wimbo Kamwambie.

Опубликовано:

 

12 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 92   
Далее
Wema Sepetu "IN MY SHOES" S02EP01 Mapokezi ya Diamond
19:37