Тёмный

Idris Sultan: Nilitembea na wanawake zaidi ya 30 baada ya kuachana na Wema Sepetu 

Dizzim Online
Подписаться 765 тыс.
Просмотров 217 тыс.
50% 1

Hii ni sehemu ya tatu ya Chill na Sky ambapo Idris Sultan anazungumzia sababu za kuachana na Wema Sepetu na jinsi uhusiano wao ulivyokuwa..

Развлечения

Опубликовано:

 

10 сен 2017

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 169   
@patriciamassawe6496
@patriciamassawe6496 6 лет назад
kama unatamani Idrs na wema warudiane gonga like za kutosha hapa🙏🙏❤❤❤❤❤❤
@yustovideshayo7179
@yustovideshayo7179 6 лет назад
patricia Massawe
@saumuhassan1365
@saumuhassan1365 6 лет назад
patricia Massawe Mimi natamani warudiane na wasiachane, nawapenda sana tena sana.
@ashajuma5068
@ashajuma5068 6 лет назад
Nimecheka sana Idriss!!!
@khalidunited5978
@khalidunited5978 6 лет назад
patricia Massawe huna akili
@romanamatamwa5382
@romanamatamwa5382 5 лет назад
upo vzr sana
@TRAVELANDTASTETANZANIA
@TRAVELANDTASTETANZANIA 6 лет назад
Hiyo idadi mbona ndogo Idris.....ila nimejifunza mengi sana kuangalia hizi video zako...team ni marufuku kukata tamaaa.....kama wewe ni team never give up.....lets meet at the top....
@sanurahamad4578
@sanurahamad4578 6 лет назад
idris usizini oa ndoa ni nusu ya dini... Allah akupe mke mwema in Shaa Allah..
@mamaperona1220
@mamaperona1220 6 лет назад
Idris uko vizuri na hongera kwa kazi hizo ambazo umezipata mshukuru mungu kwa baraka hizo
@ramosstamina8130
@ramosstamina8130 6 лет назад
yaan namkubali sna huyu mkaka nikiona tu habar zake lazima niaze kucheka kwaza
@kokohammboy4898
@kokohammboy4898 6 лет назад
Daaah that is ma nigga namkubali sanaa broh uyoo ni role model naemuangalia sana yani na insparation wangu mkubwa
@nasraiddy8164
@nasraiddy8164 6 лет назад
Interview hii nimecheka sana daah nimejifunza kupitia ww idriss kumbe bado mdogo kweli urefu mwingine haufai
@devothamasawe307
@devothamasawe307 6 лет назад
idris na wema love uu
@azzaali7780
@azzaali7780 6 лет назад
Idris nakupenda bure kwa vituko vyako nafurahi
@omarybelima992
@omarybelima992 6 лет назад
Oh my goodness .hii story ni emotional wallah na imejaa ukwel .Idris uko waz hujajbu shortcut kama wasanii wengine. Hauna majisifu ya kimimi Mimi .I like it
@fillyfranko6295
@fillyfranko6295 6 лет назад
Congrats sana broo wangu isee becoming actor sio mchezo tena nje your the best keep up
@amratjuma222
@amratjuma222 6 лет назад
Idriss tafadhali rudiana na Wemà umuowe mñbahati kwa pamoja, Mungu akujaaliyeni mapacha, AMIN.
@happinessmwaipopo7426
@happinessmwaipopo7426 6 лет назад
Idris katika wanaume wa Wema wewe ni gentleman indeed. Angekuwa mwanaume mwingine angeanza kusema Wema Ndo sababu.mfano Diamond
@sheyopeter148
@sheyopeter148 6 лет назад
kuna sehemu ulikuwa unaruka... sikiliza tena
@zainabguthera7923
@zainabguthera7923 6 лет назад
Love u 4 free Idris kama kawa representing +254
@maryhenry606
@maryhenry606 6 лет назад
Since BBA ua my winner bro ua gud keep on, congrats 🍾
@ruditaboti3157
@ruditaboti3157 6 лет назад
Idris😗💪💪
@ellankunda6892
@ellankunda6892 6 лет назад
I’m proud n happy for you Idris 👏🏻
@salehkipooz9358
@salehkipooz9358 6 лет назад
Duh idrisa nakukubali sana
@abrazaqjamali881
@abrazaqjamali881 6 лет назад
hongera bro
@biashabiashawallahuislamra2020
mm namwambia idris amsamee wema na waishi maisha yao yote penda sana hawa watu .
@queenlatiphamushi9554
@queenlatiphamushi9554 6 лет назад
Date wema one more time... i miss this couple thou love hurts
@sakinaomary8874
@sakinaomary8874 6 лет назад
Hangera sana Ammir Idris
@TheSalma1999
@TheSalma1999 6 лет назад
Your so funny I'm so glad you told the truth I wish Wema would forgive you and go back together
@bamambwilo6375
@bamambwilo6375 6 лет назад
jmn nampenda bure huyu kaka pamoja na wema wake
@siamollel9725
@siamollel9725 6 лет назад
Idrisa umenifurahisha,Maongezi yako yanatufundisha wengi
@mohdsayyid9619
@mohdsayyid9619 5 лет назад
mambo vp
@kuruthumomary3533
@kuruthumomary3533 6 лет назад
Idri umri tupo sawa ila Bonge la gentlemen .. nakupenda ujui tu vituko vyk mi khoiiiiiii.. ako Dem kamezimikaaa kaone
@atukuzwemungudaimaariseand6156
Idirisa unachekesha sana kikubwa ludi kwa wema mnaendana sana
@kassidkassim4840
@kassidkassim4840 6 лет назад
Atukuzwe mungu daima arise and shine .
@jackrinaman7521
@jackrinaman7521 6 лет назад
Kaa kweli broo sultan unayo ya sema .mm niliumizwa mpk nikaisi mungu hanion ...nilijua vita vya ribya nimeenda kupigana mwenyewe sitak kusikia kitu love
@lovebaby9305
@lovebaby9305 6 лет назад
Wow nice interview😍😍😍
@frezoomuna5687
@frezoomuna5687 6 лет назад
love girl nicee tooo
@jennybrightness2088
@jennybrightness2088 6 лет назад
I appreciate you kwakwel aisee......
@lusakomwalupani4849
@lusakomwalupani4849 6 лет назад
Can't wait to watch hizo movies..
@sadhiyaiman6038
@sadhiyaiman6038 4 года назад
My heart aches Idris MashaAllah you got your deen but all that I can warn you is don't let the Industry mislead u may Allah protect us all
@venushabuya7135
@venushabuya7135 6 лет назад
Wacha Wema na Idris wapendane kikweli. Mwenyezi Mungu awe nao
@bintiiddy7043
@bintiiddy7043 6 лет назад
Jaman hyu wema ni Tam Tam wallah kila alopta nae lazima aseme tu ni ngum ksahau shikamoo wema Haaahaaa
@mwanaidisaidi9638
@mwanaidisaidi9638 5 лет назад
arafa iddy hahahaha
@janethbitamba48
@janethbitamba48 5 лет назад
arafa iddy hahahahaaaaa arafa jaman
@kokohammboy4898
@kokohammboy4898 6 лет назад
Daaah sky naomba muwe mna muinterview kila siku bro idris namkubal sanaa na day takuwa kama yeye
@angelphanuely9172
@angelphanuely9172 6 лет назад
Idris na Wema nawaelewa Sana mnaendana hadi naona wivu zidisheni ma love basi
@saumuhassan1365
@saumuhassan1365 6 лет назад
Koko Hammboy Duh! Wallah
@meerahsuzan2879
@meerahsuzan2879 6 лет назад
Idriss loves wema hadi raha..get back together
@jessicargeofreybuninange3267
@jessicargeofreybuninange3267 6 лет назад
Ilove this guy
@nasramsami3410
@nasramsami3410 6 лет назад
hongera japo unavituko had basss
@kiravuonline5569
@kiravuonline5569 6 лет назад
Like you brother kaka UNAJIELE HADI RAHA
@kadiditracy6399
@kadiditracy6399 6 лет назад
more love
@naimarama5741
@naimarama5741 6 лет назад
😂😂😂😂😂idrisa that y lop you more 😍😙😍😙😍
@michyali8828
@michyali8828 5 лет назад
I've real learnt something
@AJ-yy5on
@AJ-yy5on 5 лет назад
I like it
@brandysatoki2624
@brandysatoki2624 6 лет назад
we idriss ww Mungu anakuona
@rachelireginald848
@rachelireginald848 6 лет назад
Good
@mwanaishajuma5613
@mwanaishajuma5613 6 лет назад
tena wanapendeza sanaaaaa
@nairahtamara3694
@nairahtamara3694 6 лет назад
Guy!! This guy z very funy
@prettyshemsanelly4374
@prettyshemsanelly4374 6 лет назад
NAPENDA SANAAAA WALLAHI UKWELI NI MUZURI
@ilovejesus9303
@ilovejesus9303 6 лет назад
Ali Alalawi u
@dinnahmtega9211
@dinnahmtega9211 6 лет назад
there's no relationship which is very easy, pain are always there learn how to forgive always even if it's hard belive one day you two yo gona make it if its made to be it's will be
@umclthom1237
@umclthom1237 6 лет назад
KUJISOMEA VITABU N KUONGEA N WTT W KISHUA VIMELETA MANUFAA* funzo kwa vijana*
@zoeycole5927
@zoeycole5927 6 лет назад
I guess his so honest
@MegaOmbeni
@MegaOmbeni 6 лет назад
The blue Mauritius ? Can't wait
@halimkepa7766
@halimkepa7766 6 лет назад
Idris minakupend we san l am from Dubai huk nipo najihangaikia kutafut dirham ya kubadili maish yang
@kulwamwakagali24
@kulwamwakagali24 6 лет назад
Halom kepa pambana na hali yako acha kujisumbua na ujinga.
@christinematius6950
@christinematius6950 6 лет назад
Halim kepa mamb vp halim
@halimkepa7766
@halimkepa7766 6 лет назад
Pow tu mzm ww
@hawamakusi817
@hawamakusi817 4 года назад
Wallah Natamani amuowe wema 🙏
@barakajengela6340
@barakajengela6340 6 лет назад
Sky kazi yako nzuri. Massive salute kaka
@salimsaid5755
@salimsaid5755 6 лет назад
Hawafanani na wema
@saudashabani9100
@saudashabani9100 6 лет назад
wewe unafikiri ni shef
@saudashabani9100
@saudashabani9100 6 лет назад
wewe unafikiri ni sifa nzuri hiyo wakati unajipalilia moto unachotakiwa urejee kwa mola wako kabla umauti haujakufika
@mirajikassim1451
@mirajikassim1451 6 лет назад
eti wameachana wakati ni uongo
@justinetitus3676
@justinetitus3676 6 лет назад
Fantastic
@mamujally3814
@mamujally3814 6 лет назад
Idris una ubaguzi,ujue wamama pia tuna kusupport,Mbona hujatutolea viatu na vya wababa pekee?
@mryoungnino56mkakxy52
@mryoungnino56mkakxy52 5 лет назад
Dj tara on de beat
@tumajuma6917
@tumajuma6917 6 лет назад
😂😂😂hili jamaa fala sana.yani liko funny😂😂.tafuta mke uoe idris umchekeshe Kila siku.
@gracesaidamwanzia3631
@gracesaidamwanzia3631 6 лет назад
Idris ,wachekesha sana hta mtu haezi boeka akiwa na wewe.
@umclthom1237
@umclthom1237 6 лет назад
sema usiogope sema idriss
@cindymarvis4352
@cindymarvis4352 5 лет назад
Napenda mtangazaji wakiume anavouliza maswali
@maryamoman5926
@maryamoman5926 5 лет назад
Muhuni sana
@stellaheliezer6279
@stellaheliezer6279 5 лет назад
Here idris
@shekhahamed7625
@shekhahamed7625 6 лет назад
Iddrisa huna siri c vzr
@mamuiikumpuni3489
@mamuiikumpuni3489 6 лет назад
Big up Idris....Ni shabiki yako mkubwa
@jasminkinga2417
@jasminkinga2417 6 лет назад
Idd wewe Akili yko mmmh
@maryamoman5926
@maryamoman5926 6 лет назад
Muhuni sana idris hupendezi maradhi
@oopswouw756
@oopswouw756 6 лет назад
😂😂😂😂😂N akupenda bure
@elizabethmrope4435
@elizabethmrope4435 6 лет назад
nakupenda iddris
@wamoroboy8963
@wamoroboy8963 3 года назад
Nyege zitawaua🤣🤣🤣
@thomasroger9448
@thomasroger9448 6 лет назад
Wewe ni mwanaume wa kwanza unaye hendana naWema
@fatma2496
@fatma2496 6 лет назад
Mmepitia vitu vingi na wema wapi wakati hata mwaka hamjamaliza kama couple
@dullahmamu2165
@dullahmamu2165 6 лет назад
Fatma ni yako hyo au pia unataka kujua walipitia nn
@loyalkid414
@loyalkid414 6 лет назад
Ukiachia sahani ina oshwa ina liwa hatariii sana
@edwinakalio9443
@edwinakalio9443 6 лет назад
HE IS ONLY 24 N WEMA?
@therealomisa_facts1027
@therealomisa_facts1027 6 лет назад
Haka mademu kashazimika au?
@bahatimwagaro3410
@bahatimwagaro3410 6 лет назад
Omisa kulu mbona???
@Sally_me01
@Sally_me01 5 лет назад
I like that point about going in love is easy but getting out it like bringing hell on earth also the point you say you can't replace what you loose and what happens, happens for a reason so my point is idris going out with even 100 millions women isn't a solution just open your eyes and am sure you will see someone who truly loves you and adore you
@anjelinakasembe845
@anjelinakasembe845 4 года назад
Ulivaa. Condoom ldriss
@saumuhassan1365
@saumuhassan1365 6 лет назад
Shemela unanichekesha 😂😂😂😂, yani mmmmh! Uwiii
@rahelchelango1799
@rahelchelango1799 6 лет назад
Penda sana idris
@mariyaal5366
@mariyaal5366 6 лет назад
Wema ndoo anastaili kuwa mke wako
@hyldanicolemathias9236
@hyldanicolemathias9236 6 лет назад
insparation
@barmudatriangles6654
@barmudatriangles6654 6 лет назад
Ushenzi tu
@dianabenjaminmwaipaja1212
@dianabenjaminmwaipaja1212 6 лет назад
Idriss We Huna Akillii😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🙌
@mariyaal5366
@mariyaal5366 6 лет назад
Wewe noma kiboko ya wanawake sasa utaoa lini
@christinahaule9726
@christinahaule9726 6 лет назад
Hahaha adriss unanivunja mbavu
@aphsamaulid4736
@aphsamaulid4736 6 лет назад
😂😂😂😂jamani we idris
@angelamwende9721
@angelamwende9721 6 лет назад
Idris naeza tamani kukuona sana
@noelinanassoro3036
@noelinanassoro3036 6 лет назад
😂😂😂 idris jmn
@katarinawilliam9960
@katarinawilliam9960 6 лет назад
Wema hakumpenda Idrissa.Ila Idrissa alimpenda sana wema na kutaka kumcontrol.Mtakumbuka Wakati Wema ana achana na Dai,Idrissa alijifanya ku-cover up.So Lazima penzi life tyuuu hayo mengine ni pwagu.
@congratskendy1845
@congratskendy1845 5 лет назад
Heri mrudiane..alf interview yake iko poa
@sheilabushirsheilabushir9929
@sheilabushirsheilabushir9929 6 лет назад
jaman mrudie wema sngalau apate tunda tena na yeye ajskie kama ya kwanza ilikuwa bahat mbaya
@marthagathoni503
@marthagathoni503 6 лет назад
Uko poa ..rdia wema
@MightyLumber
@MightyLumber 6 лет назад
Wabongo bwana, yaani huyu naye ni star? Kwa kweli tutapata sana taabu mwaka huu.
@patriciamassawe6496
@patriciamassawe6496 6 лет назад
😂😂😂😂😂duh eti wanawake 6
@angelbenward4244
@angelbenward4244 6 лет назад
😀😁😂😀😁 idrisi noma sio kwa hao wanawake
@rosemaryanaely3168
@rosemaryanaely3168 6 лет назад
chizi
@RamazaniMulongeca
@RamazaniMulongeca 6 лет назад
Kuhusu caption; #Idris alikua very #Traumatized kuachana na #WemaSepetu
@priscamlyuka5531
@priscamlyuka5531 6 лет назад
Ramazani Mulongeca anaonekana tu maana aliumia sanaaaa kweliii inaonekana
@salehabdallah4114
@salehabdallah4114 6 лет назад
Hapa ndo tunaona uchafu wa masuper star and then mnaona kawaida sana
@winskitchen.602
@winskitchen.602 5 лет назад
Correct
@winskitchen.602
@winskitchen.602 5 лет назад
Sio vizuri mtu kusema kuwa ametembea na wanawake wengi hivo,sio kuwa a hero
@salumchande2702
@salumchande2702 6 лет назад
Doh
@jenivavedasto636
@jenivavedasto636 6 лет назад
good
@TheSalma1999
@TheSalma1999 6 лет назад
Omg your hilarious
@jabirawadh5593
@jabirawadh5593 6 лет назад
Weeee jamaa we
@feiz3180
@feiz3180 6 лет назад
kwani ni fahari kuzini????
@leslienakara9890
@leslienakara9890 6 лет назад
HAHAHAHAHAHAH HUYU JAMAA KOMEDIAN HAHAHAHAHAAH NAFURAH YUPO REAL SANA
@everadakayumba7516
@everadakayumba7516 6 лет назад
hahahaaa idris bana
Далее
Документы для озокомления😂
00:24
Wema Sepetu "IN MY SHOES" SO2EP03 Mama Diamond
20:40
Просмотров 247 тыс.
Cook with Wema Sepetu - S07E11 Asha Baraka
8:48
Просмотров 5 тыс.
Good job hero. #shorts #fyp
0:20
Просмотров 57 млн
İnside out Balloon game
0:18
Просмотров 20 млн