Mwanangu wazazi wengine tumezaa pia wavulana. Na tumewalelea vijana wetu vizuri kuliko Mamake Mondi. Si siku utampata mtu atakayekutreat kama Queen. Vumilia tu na umwombe MOLA.
Yani kiukweli daimondi c mwanaume wa kumuegemea mazima daaah zuchu amekupenda sana diamond leo hii usimuoe yeye jamani kweli. Ingekuwa wewe Diamondi ndounafanyiwa Ivo. We kuweza
This is the way it should be mkiambiwa baby daddy wa mtu n simu hamskii qwany hakuwa anajua atachezwa pia she knew he had several baby mama ama alidhani she got the taste than the others diamond wapee wanachotaka simba 😂😂😂
😂😂😂😂😂 oneni maringo ya bob eti 2bedroom na amevaa trouser ya 150 gikomba na sweater ya fyfte na nywele ziko freestyle na anaearn 40k per month😂😂😂 boy nayy anakaa venye anakaa😂😂watu na maringo...