Тёмный

DIDA AMUUMBUA JUMA LOKOLE, ATAJA THAMANI YA KAVA LA NANDY "MILIONI 5" 

Wasafi Media
Подписаться 4,8 млн
Просмотров 24 тыс.
50% 1

DIDA AMUUMBUA JUMA LOKOLE, ATAJA THAMANI YA KAVA LA NANDY "MILIONI 5"
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 76   
@maymbeyu5458
@maymbeyu5458 Год назад
Uyu Juma mbona anamchukia Nandy??waaah wivu mbya
@doreenalexander6493
@doreenalexander6493 Год назад
Loooh juma umemkalia Koon mtoto wa watu duh😏😏😏😏
@nuruahmed7163
@nuruahmed7163 Год назад
Tena afanye yake aache wenzie wanywe maji yawashuke. Doh! Atakufa kinywa wazi huyo. Muone kwanza nahilolemba lake. Nakama ndoanafunga fungal yakebatilimfyuuuuu
@mwanajumamwinyi2665
@mwanajumamwinyi2665 Год назад
Zipo juma gold tena niliona boss wangu km hii
@aminaramdan3283
@aminaramdan3283 Год назад
Jumaa Zipoo hizo😅😅😅 Za kila Rangi unayo Taka na ya Gold zipo na mie nimezionaaaa
@tiffanyakramJr822
@tiffanyakramJr822 Год назад
Hata mi nnalo nimeletewa na Mr kutoka dubai, zimejaa Acha ushamba Juma lokole
@maryamhassan7000
@maryamhassan7000 Год назад
Kwel mm nipo Dubai zipo jmn iyo sio kava
@mwezzireen17
@mwezzireen17 Год назад
Juma atakufa ty na wivu🤣🤣🤣kufia na huko basi
@shejamy06
@shejamy06 Год назад
Yaaaaaan juma kibokoo😅😅😅😅😅
@lovely709
@lovely709 Год назад
Hizo simu zinakuaga hivyo hvyo na rafiki yngu anayo
@lovenessaron2669
@lovenessaron2669 Год назад
Mbona huyo Zuchu wenu mwenye sura km kikalagosi wenu
@ayshasalim-dv8dk
@ayshasalim-dv8dk Год назад
Kaingia vp zuchu apo acha ushamba
@Juke995
@Juke995 Год назад
Nenga aje atuambie ukweli kuna nn kinaendelea na juma 🙌haiwezekan mwanaume umchukie mwanamke ambae hata hamna mahusiano so kwel kuna kitu kati ya juma na nenga 🙌
@catherinedaniel2265
@catherinedaniel2265 Год назад
Si zuchuu
@salmaqueen4382
@salmaqueen4382 Год назад
​@@catherinedaniel2265zuchu kaingia vp hapa? kwanza sijui kwann wasafi wanampa promo huyu nandy wakati inajulikana kabisa anajitenga nao
@salmaalimusa6809
@salmaalimusa6809 Год назад
​@@salmaqueen4382 anajitenga au wanamtenga??
@faridalihondo3322
@faridalihondo3322 Год назад
😂😂ushamba tu ayo masim dubai kibao ya hivo yan uyu shoga uyu
@shejamy06
@shejamy06 Год назад
Anajuana na nandy huyuuuuu sio bureee mweeee😂😂😂😂😂
@readtanzania2023
@readtanzania2023 Год назад
Zipo niliziona Hong Kong 2016 juma Acha Ushamba
@cheiknamouna2058
@cheiknamouna2058 Год назад
Nandy kamnyima nini Juma jamani ama anamtaka bilinas ampe marescoco 🤣🤣🤔
@salma9390
@salma9390 Год назад
😂😂😂😂😂 haleweki 😂😂😂
@shejamy06
@shejamy06 Год назад
Yaaaaan huyuuu
@hajjihadhrajeee1523
@hajjihadhrajeee1523 Год назад
Zipo housing za simu za pure gold wanatoa housing ulilo nunua wanatao sacket ya simu alafu wanakuwekea housing la gold kama hauzing la simu ukinunua halivuki ni moja kwa moja acha ushamba juma kama kitu hujui au huna uwezo nacho acha kubishana
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly Год назад
Tanzania Kuna mengi😂😂😂😂😂
@shejamy06
@shejamy06 Год назад
Hakuna kuhama alafuu😅😅😅😅😅😅
@mariamibrahim6738
@mariamibrahim6738 Год назад
Juma uko sahihi amjamuelew juma anasema kuw nandy iyo kava aziko ni oda wakst zipo mpka Saudia arabia
@metrinekikete8329
@metrinekikete8329 Год назад
Yes ni kweli siko dubai mingi
@everrineanyango7410
@everrineanyango7410 Год назад
Kondoo kubwa huyu shoga JUMA kwani lazima ukuwe mtangazaji chura wewe
@judeisuzu
@judeisuzu Год назад
juma acha ushambaa.. waarabu wote wanafanya hivo simu zao zinatengenezewa na gold na walla sio cover nyooo😮
@morenalbian13
@morenalbian13 Год назад
Juma mke wa diamond acha wivu
@Noah-zt5zf
@Noah-zt5zf Год назад
Dida amezeeka aisee
@rayanndizeyes3161
@rayanndizeyes3161 Год назад
alikwabaya atabaki biti mubishi eepubafu wewe kamutizame biti wake
@makamekhalfan5968
@makamekhalfan5968 Год назад
kumbe huyu shoga mshamba sana
@lelaiddy6856
@lelaiddy6856 Год назад
JUMA ameshushuka aibu hata kubisha yake inaonekana ya aibu aibu kwa uongo wake😂😂
@serianjamal8254
@serianjamal8254 Год назад
😂😂😂😂😂😂😂😂
@verociousagnerus9793
@verociousagnerus9793 Год назад
Juma acha wivu hizo chuki
@leaherasto929
@leaherasto929 Год назад
Juma acha chuki inamaana Nandy Hawez au dolla elfu sichochote kwaNandy na Nenga acha umama
@selinatogolai3314
@selinatogolai3314 Год назад
Ipo mitandio ya gold itakuwa kava mbona juma una hasada una chuki binafsi juma ac heni umbea mnakuwa na chuki na watu sasa mnachobishana nini u jinga mtupu sasa kam a sio gold au ni gold mnapata faida gani y ani kusomea uandishi wa habari kumbe ni muhimu sana
@lovenessaron2669
@lovenessaron2669 Год назад
Yaani nyie kila kipindi chenu ni Nandy tuuu,Kweli Nandy ana washughulusha sanaaa
@nuruahmed7163
@nuruahmed7163 Год назад
Mkiona hivyo kunaki2amewazidi ndonamanakila uchwao mtoto wawatu haish midomon
@gladnesskombe1664
@gladnesskombe1664 Год назад
@@nuruahmed7163 hao hamja washtukia wanaficha aibu ya ushoga
@ritapiusnicolaus7068
@ritapiusnicolaus7068 Год назад
Lokole punguza roho mbaya acha kumsakama mtoto wa watu Nandy sio Levo yako
@lovenessaron2669
@lovenessaron2669 Год назад
Juma acha chuki Binafsi nyoko nyie
@ashuraomar4935
@ashuraomar4935 Год назад
Why Juma unamchukia Nandy why????
@yusraluqman6773
@yusraluqman6773 Год назад
juma mshamba😂aibu mbn hzi simu ziko tu
@kngshassan5202
@kngshassan5202 Год назад
Hili senge halipendi maendeleo ya watu
@salamaabdallah3048
@salamaabdallah3048 Год назад
Kwani huyo juma shida nini au ulimtaka bilinasi akakataliwa basi si atulie tu nahuyo daimond wake ache chuki binafsi maana amezidi kumkalia kooni mtoto wa watu malaya mkubwa hao mabosi wote wa usafini hawmtoshi kumkuna ndomana nandi na bilinas wanamuona mjinga wameamua kunyamaza anazidi kuumia choko huyo
@aishaaisha5466
@aishaaisha5466 Год назад
Ww juma unakiherehere sana mwanaume hasifiwi umbea ww mmbea sana ww
@nuruahmed7163
@nuruahmed7163 Год назад
Hahahahahaha. Cjui hajickii. Vibaya kwamaneno kama haya anayo pewa!! Mtoto wakiume anaciwa kutafuta nacio kutafutana
@nuruahmed7163
@nuruahmed7163 Год назад
Anacifiwa
@peninashungu6633
@peninashungu6633 Год назад
Juma lishambaaa jaman
@aishaaisha5466
@aishaaisha5466 Год назад
Ww unaroho mbaya sana ww hizo cm zipo hata Dubai omani zipo huyo anaroho mbaya sana hutu
@mwajumakweli
@mwajumakweli Год назад
Juma atakufa kioro
@catherinedaniel2265
@catherinedaniel2265 Год назад
Ila me juma nmpenda hivy hivy yne anabishaa na anjua kbc ni ukwel Ila anabishaa kbc😂 Alf bwan asipokuwep kipind akinog buanaaa😒
@nasrakhamis9480
@nasrakhamis9480 Год назад
Zipo dubai mall tele bwana
@jenipheraron3566
@jenipheraron3566 Год назад
Kaz kumjadili mpare wetu wasafi wote washamba nyieee mbwa nyie hasa uyo lokole ka shoga
@sky-wz5zi
@sky-wz5zi Год назад
Yaan nyie hapo hamjamuelewa Juma😅 juma anatakiwa aendelee kubisha tu ili kuficha aibu, yaan kifupi kaaibika sanaaa.... Juma aibuuu😢 Loool! Unajifanya hamnazo, kubisha bila vielelezo, yaan hata maelezo yake hayaeleweki😮 juma aibu imekufika hata kujitetea huna hoja inabidi ukomae kubisha tu😢
@nuruahmed7163
@nuruahmed7163 Год назад
Hahahahahaha. Habar ndohiyo hatacura yake imemshuka nakawadogo kama kidonge cha pirton
@gladnesskombe1664
@gladnesskombe1664 Год назад
Analeta skendo ya kava kuzima ushoga maji ya kimwagika hayazoleki
@nasrahusseinaeshi6396
@nasrahusseinaeshi6396 Год назад
Kumbe ni shoga
@murtan5027
@murtan5027 Год назад
Mbona mambo ya kawaida tu juma hayo wacha ubishi bwana
@kngshassan5202
@kngshassan5202 Год назад
Liangalie hili punga
@Teddy-fq5oc
@Teddy-fq5oc Год назад
Yaan Juma auna unacho msaidia Nandy ila inakuuma vitu vyake
@hamisaally968
@hamisaally968 Год назад
Anabisha nini juzii tu hapa messi amewapa wachezaji wenzie wa argetina zawadi ya simu zenye kava la gold
@dignakanje4508
@dignakanje4508 Год назад
Yaani juma hta hya hun
@vailethaboubakar1884
@vailethaboubakar1884 Год назад
Lokele aibu😁😁😁
@saummohamedm435
@saummohamedm435 Год назад
Huyu jumalokole kwan anakataa nini km bwege
@SelinaMdoe-jv1pu
@SelinaMdoe-jv1pu 10 месяцев назад
Unajua nyie wambe a sana hivi kipindi chenu kina maana gani au kinatufundi sha nini au kinatufu nza nini manake naona nikuwasema watu tu
@wardadanda6322
@wardadanda6322 Год назад
Uyu shoga nae anawivu ambao hata wanawake Awana roho mbaya tu imemjaa .
@JP-lx1le
@JP-lx1le Год назад
Sasa kilo au gram bhana. sasa yeye anataka simu iwe na kilo ngapi sasa !??
@jeturdasimon4851
@jeturdasimon4851 Год назад
Eti nenga huyu huyu
@ManzabaySalim
@ManzabaySalim Год назад
Mshamba eti kilo hio ndio tabu mnyama pori kuingia mjini
@ManzabaySalim
@ManzabaySalim Год назад
Bwabwa
@charlesayubu6449
@charlesayubu6449 Год назад
acha chuki kubali
@azizamohamed7692
@azizamohamed7692 Год назад
Acha ushamba na Roho mbaya chuki mwazo wa uchawi
@nasrahusseinaeshi6396
@nasrahusseinaeshi6396 Год назад
Jmn we juma lokle acha kuwa na mambo ya kike wewe fanya kazi acha umbea mwanaume kazi ht kama ni ya bei ya chini haikuhusu
Далее
PUBG Mobile СТАЛ ПЛАТНЫМ! 😳
00:31
Просмотров 95 тыс.
Слушали бы такое на повторе?
01:00
Cook with Wema Sepetu - S05E05 Didah Shaibu
8:07
Просмотров 141 тыс.