Тёмный
No video :(

KISA NDOA YAKE! DIDA AMKASIRIKIA JUMA LOKOLE KATIKATI YA KIPINDI, TAZAMA KILICHOTOKEA... 

Wasafi Media
Подписаться 4,7 млн
Просмотров 119 тыс.
50% 1

MTANGAZAI wa MashamSham ya Wasafi FM, Dida, amejikuta kwenye wakati mgumu kuzuia hasira zake baada ya Watangazaji wenzake, Juma Lokole na Idris Kitaa, kumkalia kooni kuhusu ukweli wa ndoa yake kuvunjika.
KISA NDOA YAKE! DIDA AMKASIRIKIA JUMA LOKOLE KATIKATI YA KIPINDI, TAZAMA KILICHOTOKEA...
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Опубликовано:

 

22 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 254   
@MrNdanguza
@MrNdanguza 2 года назад
Asilimia kubwa ya wabongo wanachezea ndoa kama.kiitu cha kawaida ,ndoa sio sherehe ndoa ni mix mvua na jua inabidi ukomae kibishi ,sio kuchezea maisha .
@saumuimeda5181
@saumuimeda5181 2 года назад
Mwafula🤣🤣🤣🤣jamn dida leo umepatikan😅Juma shikamo tena shikamo kwa umbea🙌
@arafakiloli749
@arafakiloli749 2 года назад
Kabisa hahahaha 🤣🤣🤣🤣
@HappynessJose
@HappynessJose 2 года назад
😁😁😁😁Juma hatari Sana
@noxlosingida2369
@noxlosingida2369 2 года назад
Juma na Babu Iddy ni mewapenda bure 🤣🤣🤣🤣🤣lakini kwanini Dida hapendi kuongelewa?
@mouwanahamisi8216
@mouwanahamisi8216 2 года назад
Hataki kwasabab anaambiw ukwel kazoea kudanga huyo
@HansBwoi
@HansBwoi 2 года назад
Nyani halioni ku...😂
@noxlosingida2369
@noxlosingida2369 2 года назад
@@HansBwoi 😆😆😆😆😆harusi ilikuwa na mashatiti kibao michango inafuatwa kwa gari na matarumbeta baada ya miezi 3 ndoa hakuna jamani!
@-cv4qk
@-cv4qk Год назад
😅
@AshuraSimwanza-fm5sd
@AshuraSimwanza-fm5sd Год назад
Ndo inavokuwaga anaesema wenzie hapendi hasemwe yeye ndo Ile kunya anye tembo
@franciscaaugustino4305
@franciscaaugustino4305 2 года назад
Sijawahi kucoment ila naombeni leo nitie neno! Kikulacho ki nguoni mwako
@mereyamhomesmariamhomes3464
@mereyamhomesmariamhomes3464 2 года назад
Juma kazoea kusema vibaya Hamo Leo kayakajaga kwa Dida safi sana Dida mana Juma anakera kera sana kufatilia maisha ya watu
@vincentmushi1247
@vincentmushi1247 2 года назад
😄🤣😂ila Juma na babu Idd Ni wambea wa kutupwa,yaani Dida leo kapatikana
@salehkhamis3000
@salehkhamis3000 2 года назад
Kaozea uzinifu miaka 7 zinaa mikubwa mizima ndoa miezi 3 inakushinda ila umri wako ushaenda dada badilika.
@aminaamiri7684
@aminaamiri7684 2 года назад
😀😀😀😀mthan Allah amnusuru
@rahmarajab3688
@rahmarajab3688 2 года назад
Nature has no medicine, Dida kazoea kubadili wanaume, Yawezekana hatoshelezwije? Hata useme wajisumbua, Atatoa kila kisingizio tu,"oooh Ana hiki ooh Ana kile,ndoa zote sita?
@baimarrajahbuayan6237
@baimarrajahbuayan6237 2 года назад
Hodar kusema ya wenzie 😂😂😂 Yake yeye Leo tako alikai kitin khaaaaa😏😏😏😏 tatizo wanawake weng tukifanikiwa ni majeur kwa waume zetu tunataka kuwapeleka tutakavyo ndio Maan dida akai ndoan sababu ya kipaji pesa lkn sio vzr!!!! Ndoa I nahitaji heshima
@fatumakassim64
@fatumakassim64 2 года назад
😂😂😂😂😂😂yani kawa mkali balaaa
@arafakiloli749
@arafakiloli749 2 года назад
Swadakta
@fathiyaomar9009
@fathiyaomar9009 2 года назад
Nimecheka kwa sauti dakika moja nzima ,mwafula 😄 🤣 😂 😆 😄 🤣 😂 😆 😄 🤣 😂 😆
@kennyrogers4734
@kennyrogers4734 2 года назад
Ila huyu Dida mdomo tatizo sana atabadili ndoa kama nguo
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 2 года назад
🤣🤣🤣🤣 Eti we Dida toka tuu nje hii Mada inahusu wanaume
@rukyiakimolo4564
@rukyiakimolo4564 2 года назад
Hahaha didaaaa Leo kwako
@cheiknamouna2058
@cheiknamouna2058 2 года назад
Kyekye kye hawa masupa women wamenitoa jasho mh walivyogeuza mada chap👌👌👌
@yassinmuhode9604
@yassinmuhode9604 2 года назад
😂😂😂 awa wanaume kiboko
@mwigaramadhani3687
@mwigaramadhani3687 2 года назад
Hawa wanatumia maigizo kutengeneza pesa Au kuleta mvuto wa hicho kipindi lkn hakuna u Siriusly wowote ule ni mchongo tu huo 🙌😃🙆🏃
@edinaleonidace5523
@edinaleonidace5523 2 года назад
Yes ,sahih kabsa
@issakamangila4143
@issakamangila4143 2 года назад
Ss ww unaona raha kusema wenzio kumbe inauma
@rahimalewe2835
@rahimalewe2835 2 года назад
tena huwa ana mdomo sanaa
@esterkiyongo2316
@esterkiyongo2316 2 года назад
Mnyoaji kanyolewaaa 🤣🤣🤣🤣🤣
@Frank-gv8lt
@Frank-gv8lt 2 года назад
Michango yote ile shenzi sana, nione mtu ananiomba mchango
@nilynily5311
@nilynily5311 2 года назад
🤣🤣🤣🤣
@mariammkwabi7101
@mariammkwabi7101 2 года назад
😂😂😂😂😂😂
@arafakiloli749
@arafakiloli749 2 года назад
Hahahahaha 🤣🤣🤣🤣🤣
@miriammuthoka8721
@miriammuthoka8721 2 года назад
Utanichangia mimi
@antybabybintrashid2333
@antybabybintrashid2333 2 года назад
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@sophiahmedza929
@sophiahmedza929 2 года назад
Dida akisema Esma. Haikuwa issue. Sai kapigwa na kitu kizito kichwani 😂😂😂😂
@rahimalewe2835
@rahimalewe2835 2 года назад
dida ukisema wenzio huwa una furaha sana mbona mishipa ya shingo imekutoka😂😂😂
@antybabybintrashid2333
@antybabybintrashid2333 2 года назад
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@mwajumalubunga1534
@mwajumalubunga1534 2 года назад
🤣🤣🤣🤣🤣 dida leo kapatikana kama alikuwa nakwambia juma lokole habari zake yamemtoka puani 🤣🤣🤣😅
@mwajumalubunga1534
@mwajumalubunga1534 2 года назад
🤣🤣🤣🤣🥰💋😛
@sandraechiveraya8570
@sandraechiveraya8570 2 года назад
Ulikuepo,, juma was like aaaaa 🤣🤣🤣🤣😅what do u mean
@Habibtyjojo
@Habibtyjojo 9 месяцев назад
Akunyee kuku to akikunya bata kaharisha dida leo umelikoroga😂😂😂😂
@jacksontura504
@jacksontura504 2 года назад
Mnapenda kusema wenzennu nyinyi mkisemwa shida
@sanyajuutv2679
@sanyajuutv2679 2 года назад
Kweli nimeamini juma ni mmbeya
@husnahassan2124
@husnahassan2124 2 года назад
🤣🤣🤣🤣🤣
@saumuimeda5181
@saumuimeda5181 2 года назад
🤣🤣😅😅
@benhanclove5997
@benhanclove5997 2 года назад
Dida amepigwa changa la macho😂😂👀
@mwajumahamisi2006
@mwajumahamisi2006 2 года назад
😂😂😂😂😂 Hii ya leo kali
@khadijaqatar9080
@khadijaqatar9080 2 года назад
Lokole na babu idd saaalekuuuuu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@rahmarajab3688
@rahmarajab3688 2 года назад
JUMA lokole Ni SHOGA la Nguvu mjini, Juma,, you're a real super woman.
@peteveprosper7186
@peteveprosper7186 2 года назад
😅😅😅😅😅
@chikupeter697
@chikupeter697 2 года назад
Kachukia mbona yawengine
@faridadondo2103
@faridadondo2103 2 года назад
😂😂😂😂😂😂😂 uwiiiii mwafulaaaaa
@ashuramhando5285
@ashuramhando5285 2 года назад
Msemeni huyo changu kazidi🤓🤓🤓🤓🤓🤓🤓
@gladyswanjiri9292
@gladyswanjiri9292 2 года назад
Hizi ndoa za hawa maselembu zinamambo,usless kabisa
@beatricenguyu2888
@beatricenguyu2888 2 года назад
Didaaa mdomo wote umenasa kwenye kumi na nane za lokole😂😂😂😂
@gosbertmuta5421
@gosbertmuta5421 2 года назад
Kiukweli jaman Hawa majamaa wawili Ni wasengenyaji wakubwa😅😅😅😅😅😅😅😅🤣
@ashooraashoora1180
@ashooraashoora1180 2 года назад
Hahaaaha Dida mdomo ww ndio unakuponzaa
@antybabybintrashid2333
@antybabybintrashid2333 2 года назад
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@rahmasaid762
@rahmasaid762 2 года назад
Juma na mwenzio 😄😄😄😄
@aminanamoyo83
@aminanamoyo83 2 года назад
Dida 🤣🤣🤣🤣 ati sijawahi kuona ndio uone sasa what goes aroud turn around hasira za nini mwafulani?mnavyosema watu leo zamu yako lokole hanaga ubest 🤣🤣🤣🤣 mkuki kwa nguruwe kwa binaadam mchungu 🤣🤣🤣🤣.
@duniawadunia4824
@duniawadunia4824 2 года назад
Diamond platnumz pole sana
@kambiyusufu7709
@kambiyusufu7709 2 года назад
Mwafula ni Nani😝😝😝😝😝
@miriammuthoka8721
@miriammuthoka8721 2 года назад
Ata hamwezi nyamaza hahahaha
@pelusiemanueli6926
@pelusiemanueli6926 2 года назад
Mkuki kwa guluwe kwa bina damu mchungu🤣🤣🤣
@jumannemfaume
@jumannemfaume 2 года назад
Hizi ndoa siku hiz vijana tuwe makini sana maana hazidumu sijui shida nini Yani
@marysellawanza2315
@marysellawanza2315 2 года назад
Ahaaa
@anordgerison8639
@anordgerison8639 2 года назад
Yy Ana penda kusema wengine Ila yy ety hataki huo n ujinga ndio maana serikali haiwataki kukaa hqpo kwenye media maana mna ongea ujinga mwingi Sion maadili yeyote
@aminataamina9438
@aminataamina9438 2 года назад
Safi sana....juma
@Chrisscherry
@Chrisscherry 2 года назад
Mwafula ndio nani Ila Juma nyie🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@alshabje7185
@alshabje7185 2 года назад
Jamani mbavu zangu 😀😀😀😀😀😀
@allahakujazekheriwowww5694
@allahakujazekheriwowww5694 2 года назад
Hahahaha nimejikuta na ceka kwasauti
@mozasaid3869
@mozasaid3869 2 года назад
Mwafula ndiyo Dida😆😆😆😆😆😆😆😆
@alshabje7185
@alshabje7185 2 года назад
Kiranga koma dawa yenu 😀😀
@mariamomary7124
@mariamomary7124 2 года назад
Hadija mzee wawasaf😁😁😁😁😁
@loswitaloswita9273
@loswitaloswita9273 2 года назад
Hahahaha no unafki 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 kusema wenzio na wewe unasemwa apo apo🤣🤣
@nzeyimanamwavita1904
@nzeyimanamwavita1904 2 года назад
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@aminahhuawei1133
@aminahhuawei1133 2 года назад
Hahahahaha🤣🤣🤣🤣🤣🤣nimecheka mpaka basi
@phiner907
@phiner907 2 года назад
😂😂😂😂😂😂😂JUMA ni mnafik pro max😂😂😂😂😂wanamsema yupo hapo hapo
@gosbertmuta5421
@gosbertmuta5421 2 года назад
Ndoa za wasafi zooooote zina laana ndo maana hazdumu na haziwez dumu
@veroniquejean2212
@veroniquejean2212 2 года назад
Lokole wewe roporopo kweli 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂
@Madogodigital
@Madogodigital 2 года назад
😂😂😂😂 daah
@mozaummy327
@mozaummy327 2 года назад
Nampenda dida
@chibandamwende3676
@chibandamwende3676 2 года назад
😜 Nawapenda Bureee🇩🇪🇰🇪💪❤️😆😆😆
@chimpayachimpaya5644
@chimpayachimpaya5644 2 года назад
Mwamfulaa au Khadija Mzee, hii tamu kwa kwel
@rehemacharles6159
@rehemacharles6159 2 года назад
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Duh Juma kiboko Dida we kubali tu kuzungumziwa mana duh huu mchezo hautaki hasira
@rizikiruwa7116
@rizikiruwa7116 2 года назад
Nyote tushamjua hakuna mada hapo Dida bado ako na mumewe hii mumeitengeneza tuu
@brigidmua9558
@brigidmua9558 2 года назад
Umbea. University....iko Tanzania mji mkuu. Mwalim. Mkuu. juma
@marysellawanza2315
@marysellawanza2315 2 года назад
Nyinyi wote ni comedians
@joycehaule9717
@joycehaule9717 2 года назад
Mimi nimewastukia wanawaambia wananchi wajue Dida anamaisha yake hatishi mm nimewastukia Hawa hahahahhaahhahaa.........wajanja sana
@safiasaleh669
@safiasaleh669 2 года назад
Hahaha.....Nani amekwambia? Nimechekaaa
@rahemaissa9867
@rahemaissa9867 Год назад
🤣🤣🤣🤣Dida weeeeeee! Kumbe mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu😆
@zainabmkwepu5498
@zainabmkwepu5498 2 года назад
Nimecheka leooo
@khadijaabdullah6328
@khadijaabdullah6328 2 года назад
Mwafula kawa mbogo🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@hugoburuda7334
@hugoburuda7334 2 года назад
Hawa ndio wataosababisha hii wasafi ifungiwe..Wanaume hovyo Kabisa
@fatumakassim64
@fatumakassim64 2 года назад
Wala sio ovyoo kazidi umbea
@rahmarajab3688
@rahmarajab3688 2 года назад
Dida, uko single kivipi? Juzi tuu mashoga zetu walichanga kila mtu sh.5000000,Ili uolewe, Usitutanie bhana!!!!! Wafeli wapi Dida,,,huwezi kukaa na waume,!? Huyu Ni watano au wa sita?
@emilianajob8499
@emilianajob8499 2 года назад
Hahahahaha uwiii
@ruqayaruqaya4283
@ruqayaruqaya4283 2 года назад
Wameyapanga hawa tumeshtuka kwenden zenuni huko 😏😏
@munirashughuli7224
@munirashughuli7224 2 года назад
Dida karudi mdogo kma periton😄😄🔥
@fatumakassim64
@fatumakassim64 2 года назад
😂😂😂😂😂😂😂
@elibarikiyohana4870
@elibarikiyohana4870 2 года назад
Juma mbea nyie🤣🤣🤣🤣💔💔
@barakakusa7606
@barakakusa7606 2 года назад
Juma lokole ni Super woman kwa mujibu wake.
@saumusalimuhassan2499
@saumusalimuhassan2499 2 года назад
Lokole wewe kiboko 😀😀
@stevenkapugi4209
@stevenkapugi4209 2 года назад
Kimeumana
@zamzamtwaliby802
@zamzamtwaliby802 2 года назад
Majanga juma
@kambiyusufu7709
@kambiyusufu7709 2 года назад
😂😂😂😂😂 wambea wa taifa
@paulinesengasu5779
@paulinesengasu5779 2 года назад
Yani wenzio wambea 🤣🤣🤣🤣🤣🙌🙌🙌
@MS.independent8934
@MS.independent8934 2 года назад
Daaaaaa 🙌🙌🤣🤣🤣
@wangonamuhange8218
@wangonamuhange8218 2 года назад
Huyu dida kuma lake bovu ndo maana anaachika kila ndoa
@mariammuscat4300
@mariammuscat4300 2 года назад
JumA hatari
@Mamatonny2065
@Mamatonny2065 2 года назад
Dida kaachwa atulie asilete kelele za chura hapo studio !
@brianmhone5261
@brianmhone5261 2 года назад
Madanga ayataki kubanwa.
@aishachambo8663
@aishachambo8663 2 года назад
Mweshimiwa kayataka acha nangwe sasa
@aishandwata2207
@aishandwata2207 2 года назад
Juma mwanangu🤣🤣🤣
@fatmamnati6053
@fatmamnati6053 2 года назад
Jamami nimecheka 😂😂😂😂didah unatetwa nawewe uko apo apo juman shikamoo wambee
@salumdihenga4020
@salumdihenga4020 2 года назад
Kumbe inauma yaweziyo unataka kujuwa
@official_neemamlay180tz
@official_neemamlay180tz 2 года назад
Aaash, kulaleki
@bitibootybootcampcomlaly4647
@bitibootybootcampcomlaly4647 2 года назад
Hata sio mzuri na hujiringa
@patricktegea1430
@patricktegea1430 2 года назад
Zandaaan haha hahaha lokole
@pilishazycounterog8200
@pilishazycounterog8200 2 года назад
Dida umepatikana
@luisojr3480
@luisojr3480 2 года назад
Watu walijitoa kweli kwenye michango cha ajabu ndoa hata miezi sita chaliiiii Shikamoo ndoa🙌🏾
@sabrinasabrina8395
@sabrinasabrina8395 2 года назад
Wehu tu haoo
@alshabje7185
@alshabje7185 2 года назад
Dida wape vidonge vyao Hao
@ladsonmshana9920
@ladsonmshana9920 2 года назад
Dida Leo imekula kwako
@cheiknamouna2058
@cheiknamouna2058 2 года назад
Dida mashavu yamemshuka shuuuuu🤓🤓🤓 amezoea kuchokonoa ya wenzao
@ismaildavid6970
@ismaildavid6970 2 года назад
huyu dada mshenzi tu anauza story,she is not wife material
Далее
SHEKH ATOA NENO KUHUSU NDOA YA DIDA KUVUNJIKA!
5:13
Просмотров 78 тыс.