Тёмный

DIVA kuzaa na VUNJA BEI? Ukweli wote huu, hivi ndivyo mchakato wa kupata mtoto wao utakavyokuwa 

Simulizi Na Sauti
Подписаться 1,4 млн
Просмотров 8 тыс.
50% 1

Bonyeza link hii kujiunga kwenye channel ya Telegram ya SnS - t.me/+uYTdRVvi...

Опубликовано:

 

13 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 30   
@Aishatheboss117
@Aishatheboss117 День назад
Izi chawa mbili zinachekesha sana 🤣🤣🤣
@Mariam-fm8vq
@Mariam-fm8vq День назад
Dotto na mwijaku nakupenda bure 😂😂😂
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 День назад
Fred business iko kwenye damu Nimesoma nao primary na kaka ake.... Wakati tunakua mkoani Iringa,baba yao ndo alikuwa kati ya watu Wachache wenye bness mjini ,those days ndo ana guest
@EnoqueJoaoMamba
@EnoqueJoaoMamba День назад
Wakwaza mimi weka like yako
@Mariam-fm8vq
@Mariam-fm8vq День назад
😂😂😂mwijaku lakin ww
@MabulaMaguta
@MabulaMaguta День назад
doto semaj mkuu hongera sana
@Sarah-e1o9k
@Sarah-e1o9k День назад
Ila kamkosea joketi sna 😂😂😂😂😂
@rashidisaidi8535
@rashidisaidi8535 День назад
Kivipi??
@GloryJohn-h7x
@GloryJohn-h7x День назад
Hili alina akili😂😂😂😂
@chikusangalala7759
@chikusangalala7759 День назад
Sasa huyu vunja bei kama hana akili
@IddiKhamis-u6c
@IddiKhamis-u6c День назад
Mambo ya hovyo kabisa. Kama anataka mtoto mwambie afanye mapenzi na wewe. Hayo mengine mambo ya hovyo kabisa kiutu.
@RehemaJustine-co2kp
@RehemaJustine-co2kp 23 часа назад
Ila watu wenye pesa! Huwa ni wavivu Hata kuongea 😂
@salmaalimusa6809
@salmaalimusa6809 День назад
Dooooo mume wangu ukifanya hv ulale hukohuko😅
@rumdeesonsoa1811
@rumdeesonsoa1811 День назад
Akifanyaje?
@DadyNteya
@DadyNteya День назад
Kum pidid
@3malis
@3malis День назад
Ila njaa 😂😂😂😂
@Sarah-e1o9k
@Sarah-e1o9k День назад
Hii ichi nyie😂 wanaume wa zamani hawakuwa hvi😢
@rumdeesonsoa1811
@rumdeesonsoa1811 День назад
Hao wa zamani uliwaona?
@Sarah-e1o9k
@Sarah-e1o9k День назад
@@rumdeesonsoa1811 babu yngu
@Sarah-e1o9k
@Sarah-e1o9k День назад
@@rumdeesonsoa1811 unajuwa kuna vitu kama mwanaume haswa na uko na fikra za mbali huwezi kuwa hvi unabwatukwa kama umezaliwa choon😏
@rumdeesonsoa1811
@rumdeesonsoa1811 День назад
@@Sarah-e1o9k Jibu swali hasira za nn? Hiyo ni dalili ya kutokuwa na hela na pia ni dalili ya msongo wa mawazo
@zahararamadhanisalmu395
@zahararamadhanisalmu395 19 часов назад
😂😂😂😂😂wanaume wa sikuhizi hamnazo kkabsa
@kasangagregory5747
@kasangagregory5747 День назад
sasa hapo vunja bei si itabidi apige nyeto mmmmmmmmmh
@salumsalum5712
@salumsalum5712 День назад
Maskini Diva kama vile mwehu sasa
@juliethhenrymasanja940
@juliethhenrymasanja940 День назад
Hao watu Wawili usipende kuwaweka kwenye interview wanaboa
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 День назад
😂wanachekesha
@Aziza-z4f
@Aziza-z4f День назад
😂😂😂😂
@Sharifa_Fashion_21
@Sharifa_Fashion_21 День назад
😂😂
@RamadhanAthuman-d4c
@RamadhanAthuman-d4c День назад
Uchawa ni kujizalilisha sana
@rumdeesonsoa1811
@rumdeesonsoa1811 День назад
Watu wanatafuta hela unasema wanajidhalilisha
Далее