Тёмный

Ni Mrembo, video zake zinaleta usingizi (ASMR), anapata views kibao TikTok! Fahamu anachokifanya 

Simulizi Na Sauti
Подписаться 1,4 млн
Просмотров 9 тыс.
50% 1

Bonyeza link hii kujiunga kwenye channel ya Telegram ya SnS - t.me/+uYTdRVvi...

Опубликовано:

 

13 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 48   
@saluuhans
@saluuhans 4 часа назад
Nimejifunza kwenye hii Dunia hutokuwa na chakufanya pale tu usipokuwa Mbunifu, Na ikumbukwe tu ubunifu ndio umeleta maendeleo makubwa duniani. Video nzuri na Kuna mingi ya kujifunza kupitia huyu binti ila wajinga tu ndio wasioelewa. #SnS 🔥🔥❤
@suleimanh1826
@suleimanh1826 9 часов назад
Iko poa. Imenifunza namna wenzetu wanatengeneza pesa kwa ubunifu mwepesi tu. Karibuni sana Zanzibar
@nanyangahustler4305
@nanyangahustler4305 21 час назад
Wanangu siku hizi mnafeli sanaa sasa hao warembo wa nini sisi😮😮
@JosephAlakonya
@JosephAlakonya 21 час назад
Usisahau P Diddy ameandikisha mahali zake zote kwa mamake na kwa watoto wake kile ambacho ako nayo ni mafuta tu
@Anthonyzombie-d2s
@Anthonyzombie-d2s 21 час назад
Nenda kafilw
@Zainab_salat
@Zainab_salat 20 часов назад
Acha matusi​@@Anthonyzombie-d2s
@subrynerysegerow1323
@subrynerysegerow1323 14 часов назад
😂😂😂😂
@MaishanaDavid-ej1ic
@MaishanaDavid-ej1ic 20 часов назад
Mnazingua
@jamilajamal1584
@jamilajamal1584 19 часов назад
Mmh SNS Media kubwa lakini hii mmh 🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️
@emmanuelheshima4985
@emmanuelheshima4985 21 час назад
sijaelewa
@peteremmanuelymatwimatwiem3258
@peteremmanuelymatwimatwiem3258 21 час назад
😅😅😅😅😅 Twende sawa
@ELIZABETH-uz6dv
@ELIZABETH-uz6dv 18 часов назад
Me too 😂😂😂😂😂😂🇨🇳
@JamalMbuvi
@JamalMbuvi 6 часов назад
Ukiona aujaelewa juwa apakuusu😅😅😅
@mackysuphian
@mackysuphian 16 часов назад
Yaan wengi hamjavutiwa hata jmn ni wa Tanzania wengi tuna stress sana au vip😂😂😂..mbona inavutia sna jmn
@MungoPessa
@MungoPessa 16 часов назад
Dah apa kusema za ukweli kijana wa mzee BUNDARA umefer... hizo video zinaleta vp usingizi.. Sion maana ya hii makala.. jmn SNS inshakuwa kubwa hii makala haiendani na quality ya sns.. hivi kweli sky hii inamaana gani sasa umekaaa makala ya hivi kweli😢😢... any way tusamehe tu kama alivyo semaga kristo
@bestfactsever9039
@bestfactsever9039 11 часов назад
Dah SNS tumetoka mbali ila siku hizi mnazingua
@NailaMickey
@NailaMickey 11 часов назад
Hiyo app inaitwaje jaman na mimi nidownload nianze kuona tanzania yangu nmeimiss nna miaka 5 niko mbali nayo kaka 🙏🙏🙏
@millesexpmusicrecord9154
@millesexpmusicrecord9154 4 часа назад
Google earth
@abdillahchikota4303
@abdillahchikota4303 20 часов назад
Broh Sasa unatuwekea vitugani hivi😔
@tahiyasaidi6532
@tahiyasaidi6532 15 часов назад
bro hapa kama kachemka hv😁
@TabiaMwangaya
@TabiaMwangaya 14 часов назад
Mlikuwa mnataka atoe tahalifa ya Palestina tuanze kibishana
@AbdulrahmanYussuf-xb4jj
@AbdulrahmanYussuf-xb4jj 2 часа назад
😂😂😂​@@TabiaMwangaya
@hidayahidaya-vd3ze
@hidayahidaya-vd3ze 8 часов назад
Wanaleta ujinga baadae ya mambo ya muhimu SS hatumuelewii huyo achana naurembo wake
@paulhema5713
@paulhema5713 15 часов назад
Nikajua ni mtanzania ,mna mleta wa nn..sns mekosa Cha kuleta au😂
@Americabeautifulland
@Americabeautifulland 3 часа назад
Kweni iki kitu kinakuwa na umuhimu gani maana hata picha anazo angalia ni picha mgando azichezi so kawaida tu hiii ila kujifunza ni muhimu
@DicksonKalla
@DicksonKalla 21 час назад
Sorry brother @Sky🙏🏾kwa makara aijakaa vizur kwa meengwa wa Chombo chako najua mtengeneza content nyingi za udaku lakini hazinaga maana sana kutokana na haina ya chombo chenu kilivyo jengwa na haminika kwa habari za Humana na zamweli na hizi udaku zimekua nyingi sna kila tv mtandao Ndio mlango wao endeleeni na mambo ya nayogusa Jamii hasa jamii iliyo wazunguka🙏🏾
@SimuliziNaSauti
@SimuliziNaSauti 21 час назад
Bwana Dickson, Kwanini tusianze na hii 'On My Father's Wing: Kitabu cha Mwanzilishi wa Precision Air, Kifo cha mkewe kilimvunja moyo vibaya' ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-tpr_NYMx7AY.html Hii ni moja ya content bora na yenye elimu ya muhimu sana lakini ndio iliyoongoza kwa kutoangaliwa zaidi wiki hii. Content kama hizi tunazo nyingi mno, na tena zimeshiba kweli kweli na zote hazipati muitikio wa maana. Kama zingekuwa zinapata reaction ya kutosha tungezifanya nyingi zaidi ya sasa. Kwahiyo, sisi tunachujua tunachokifanya. Kama upo hapa, maana yake ni kuwa umevutia nayo. Tungefurahi kuona comments zako kwenye content zetu za kujenga kama hiim pia.
@walidsultan7486
@walidsultan7486 18 часов назад
Kwani unawalipa 😅😅
@mansooraziz7966
@mansooraziz7966 15 часов назад
Acha ujuaji, kuandika vizuri tu hujui afu unataka content za maana 😂
@nancyg8664
@nancyg8664 14 часов назад
😂😂ndo umendika vidudu gan hv
@gonga94dotcom
@gonga94dotcom 13 часов назад
​@@SimuliziNaSautiagree
@mariamnur1036
@mariamnur1036 17 часов назад
Sielewi 😂😂
@House_of_wonders_905
@House_of_wonders_905 13 часов назад
Sasa iki ndo nini mmeishiwa au
@EMMANUELCHOMO
@EMMANUELCHOMO 20 часов назад
🚮
@Goshi-ov2wy
@Goshi-ov2wy 21 час назад
Semeni mambo ya tanzania, yako mengi, nyie hao warembo wanawasaidia nini, matatizo tanzania yako mengi sana, nyie mnadili na stalehe tu na habari za nje
@IvanBenjamin-i8g
@IvanBenjamin-i8g 21 час назад
Acha ushamba tengeneza zako
@ChalomeJunior
@ChalomeJunior 11 часов назад
mitandao ipo mingi achana na SNS..malaya
@Kibaadvocate
@Kibaadvocate 9 часов назад
Kwani ww kusema unashindwa nini au ww sio mtanzania fyuuu
@Adrext
@Adrext 6 часов назад
😂za bongo nenda kwa mange kimambi na ayo Tanu
@JamalMbuvi
@JamalMbuvi 6 часов назад
Funguwa Chanel yko utangaze ww mwenye unajuwa 2 kukosoa sio kusifia
@GucciJackson-sw6pg
@GucciJackson-sw6pg 21 час назад
Ivi nyie wenzangu hua mnawaambia nini wanawake adi wanakubali kua wapenzi wenu 🤔
@saudamwinyipembe5749
@saudamwinyipembe5749 21 час назад
Kukubaliwa na mwanamke ni baazi ya chemistry kuendana
@ELIZABETH-uz6dv
@ELIZABETH-uz6dv 18 часов назад
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂mh
@nancyg8664
@nancyg8664 14 часов назад
wanatuambia "not ugly "
@JulesDior-zl6rq
@JulesDior-zl6rq 19 часов назад
Ujinga tu
@gracelema2374
@gracelema2374 21 час назад
🚮
Далее
DEREVA MWANAMKE ALIVYOWAKIMBIA MAJAMBAZI MBUGANI
1:43
Просмотров 287 тыс.
ЧТО ВЫРОСЛО ОТ КОКА КОЛЫ😱#shorts
00:26