Тёмный

DOCTA ALIE SHIRIKI OPARATION YA MAIKO AFIKA MSIBANI, AELEZA DK ZA MWISHO ZA MARCO 

Coast Media Plus
Подписаться 74 тыс.
Просмотров 119 тыс.
0% 0

#kenya #kenyadigitalnews #ktnnews DOCTA ALIE SHIRIKI OPARATION YA MAIKO AFIKA MSIBANI, AELEZA DK ZA MWISHO ZA MARCO

Опубликовано:

 

12 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 177   
@user-jk1ve1iv5l
@user-jk1ve1iv5l 17 дней назад
Mungu alimpa Markos muda wa kuzima gari. Malaika aliwalinda . Kama alikuwa anaendesha ngari na akaweza kulizima, Mungu anapenda familia yake. Angefanya accident na kufa jamii nzima. Lakini Mungu alimpa neema marehemu Markos kuzima gari. Ingekuwa huzuni kubwa kupiteza jamii nzima. Tushukuru Mungu kwa huu muujiza . Wa Markos kuzima gari. Kweli alikuwa na maumivu tele. Pumzika kwa amani kaka yetu.Asante daktari kwa kueleza vizuri.Asante kwa kazi zuri. Maisha yetu iko mikinoni mwa Mungu.
@deborahmgedzi632
@deborahmgedzi632 18 дней назад
Asante kwa kazi njema kujaribu kuokoa maisha ya Marcus. Acheni maneno ya wasiojua kitu. Endelea na kazi ya kutusaidia. Mungu Baba Mwenyezi Awatunze na kuwapa hekima zaidi.
@leonardyona1462
@leonardyona1462 18 дней назад
Prof, nakushauri ungeingia kwenye siasa tu naona huku unapawezea vizuri sana..
@pili4758
@pili4758 18 дней назад
Waaah marco alipitia magumu kwel mungu ailaze roho yake pema peponi
@JacquelineKinyonge
@JacquelineKinyonge 10 дней назад
Siku ikifika imefika, Mungu awabariki madaktar kwa kupambania maisha ya kaka marco, rest in peace bro
@lulu-xt5gs
@lulu-xt5gs 17 дней назад
This explanation was heartfelt, thank you. Now rest easy Marco.
@shicjeanpierre6852
@shicjeanpierre6852 День назад
Vraiment nous sommes touchés par la mort de Marc car il était l'un de meilleurs chantre de zabron singers et je l'aimait beaucoup jusqu'à maintenant. Quand je commence suivre les chansons sur RU-vid, immédiatement je suis stupéfait de sa mort.😢 nous disons mercie à Dieu, car son amour est grand pour nous, il a aimé Marc plus-que nous. Asante sana.
@herrybethnziku
@herrybethnziku 16 дней назад
Telling how possible became impossible... Let's worship God our creater. he can make impossible into possible 🙏🙏🙏🙏
@machakuroger7068
@machakuroger7068 17 дней назад
Mwendo ameumaliza, imani ameilinda, Mungu akimuhitaji mja wake humtwaa kwa wakati wake, RIEP mtumishi wa Mungu
@simonkaaya1220
@simonkaaya1220 5 дней назад
Hongereni Sanaa Madaktari kwa kazi nzuri ya kuokoa maisha ya Watanzania.
@Marryjohn-t2s
@Marryjohn-t2s 11 дней назад
Ikumbukwe Dunia sio yetu jamani tumshukuruni tu Mungu jamani ndugu mke mzazi Mungu awape imani na uvumilivu
@tuyamargret2637
@tuyamargret2637 3 дня назад
RiP Marcos, ur gospel shall remain in our hearts forever, till we meet n may u receive eternity n the Lord forgive all ur sins
@holydaykitomary9298
@holydaykitomary9298 16 дней назад
Asante sana Professor nimepata historia nakujifunza kitu.
@stn4873
@stn4873 13 дней назад
Hii kitu ndio ambayo ilikua inamsumbua Uncle pia, sema hatujaelezwa tu.
@jonaskabe9549
@jonaskabe9549 16 дней назад
Bado hatujakuelewa mwanzo maelezo yako ukiwa muhimbili ulieleza kupona ni 50/50 leo unaeleza kupona ni asilimia 87/13 we uonini kama mmemuua Bora mngemuacha afe kwa siku zake.
@jeremiahkituku4255
@jeremiahkituku4255 18 дней назад
Mara nyingi huku Kenya hakuna maelezo kama hayo
@stn4873
@stn4873 13 дней назад
Huko kuna tear gas tu.
@JobnManase-gh2fp
@JobnManase-gh2fp 18 дней назад
Poleni sana ,Dr Nyangasa my teacher,Pole zabrons
@teddymutani856
@teddymutani856 18 дней назад
Daah maelezo haya yameniumiza sana
@MariamSekwao
@MariamSekwao 4 дня назад
Mimi pia yani mgonjwa anaambiwa kuna kupona na kuna kufa
@AchiengMakunge-vr4sc
@AchiengMakunge-vr4sc День назад
Eejamani niuchungu Sana Nawombea mungu awasaidiye
@neemasiwakwi6528
@neemasiwakwi6528 17 дней назад
Mungu awabariki madkitari, mengine tumwachiye Mungu ndiye anayejua hatima ya Kila mtu
@marylema8937
@marylema8937 17 дней назад
My God……..doctors salute kiukwelii hata kusikiliza tu inataka moyo Mungu awasaidi kazi yenu ningumu mimi sayansi ilinishinda ikifika kipindi cha kuingia mahabara tu kichwa kinaniumaa na nikafika mahali nikasema jmn mimi team arts adi leo am business woman by profession kwahiyo kwakweli kazi yenu ni ngumu mpewe tu maua yenu mkipambana hata kwa maelezo tuu inaonekana jinsi mlivyotamani kuokoa maisha yake lkn pia Mungu aliona shida itakayomkuta akimwacha hai hivyo akaona mtoto wake apumuzike let him rest in peace kazi ya Mungu haina makosa sisi tuliobaki tutumie ushauri wa doctor tuepuke mengine na Mungu atupe mwisho mwema Ameniii😔
@lusiana474
@lusiana474 13 дней назад
Asante dokta,hio ilikuwa kazi ya Mola ,,pole kwa familia yake kwa jumla.
@peterpatel8582
@peterpatel8582 16 дней назад
God's will..... thanks Dr.
@JimmySon-k5d
@JimmySon-k5d 15 часов назад
May his soul R.I.P ,Poleni sana familia na marafiki.
@dorisondieki5490
@dorisondieki5490 17 дней назад
Pongezi madaktari wa Tanzania kwa kazi nzuri, Mungu aliona ikuwe hivyo
@mariakibwana3700
@mariakibwana3700 14 дней назад
Mungu amempenda zaidi.Tushukuru Mungu.
@duncanwandati2111
@duncanwandati2111 16 дней назад
Ecclesiastes <a href="#" class="seekto" data-time="488">8:8</a> "... no one has power over life at the time of his/her death..." May he rest easy. Tutaonana baadaye😭😭😭
@MusaLuke-q6n
@MusaLuke-q6n 10 дней назад
Pole kwa Familia ya maiko na waimbaji wa zabron kwa kupoteza kijana muimbaji shubavu. Mungu amulaze mahali pema, tutakuna siku moja. Sisi zote ni marehemu watarajiwa.
@abelmabanda5402
@abelmabanda5402 15 дней назад
Mungu ailaze mahara pema pasp peponi awe kiongozi wa imani yake
@possiepondie6538
@possiepondie6538 16 дней назад
Udaktar jaman, RIP marco
@Magret-yt8kd
@Magret-yt8kd 17 дней назад
Jamani inauma sana poleni sana
@evelinekivuyo9713
@evelinekivuyo9713 14 дней назад
Tunamshukuru Mungu kwa ajili ya Madaktari ambao Mungu amewapa kibali cha kuokoa Maisha ya Marcus.Mungu ampumzishe kwa Amani 🙏
@TumainiMapoma
@TumainiMapoma 14 дней назад
Dah madktari mungu awatunze sana
@user-li4ce3ge3d
@user-li4ce3ge3d День назад
Mungu ndo anajuwa yote haya😢
@gladyspeter9770
@gladyspeter9770 13 дней назад
You really tried your best doctors. Pongezi kwenu. May Marco Rest in peace.
@NeemaCollemans
@NeemaCollemans 17 дней назад
Pumzika kwa amani mungu awe mfariji kwa mke na watoto
@agnestemu8382
@agnestemu8382 12 дней назад
Hiyo hospital ebu ibadilishwe jina
@JoyceRukas
@JoyceRukas 5 дней назад
Polen sana mungu awatie nguvu
@ColethaJoseph-k3h
@ColethaJoseph-k3h 14 дней назад
Madoctor mpewe pongez kwa jitihada zenuu, apangalo mungu mwanadamu hawezi kulipanguaa.
@PaulMutua-b7v
@PaulMutua-b7v 18 дней назад
Kazi njema daktari, Rest in peace bro Maiko
@JamesSanguyan
@JamesSanguyan 11 дней назад
I'm so excited
@blandinamwarabu5025
@blandinamwarabu5025 8 дней назад
Tumshukuru Mungu kwa mapenzi yake
@mukatukundorosine1745
@mukatukundorosine1745 15 дней назад
Poleni wa ndugu zetu nasi watu warwanda tunauzi kwa kupoteza muimbaji Marc kiriyo kubwa kwa kanisa
@EsendiMizlet-e9x
@EsendiMizlet-e9x 3 дня назад
Mliua maraco nyinyi pia mtakufa tu ata prezo hufa 😢😢😢😢😢😢
@LeahFabian
@LeahFabian 12 дней назад
,mungu awatie. ,nguvu poren wana. ,famiillia
@MariamSekwao
@MariamSekwao 4 дня назад
Kumbe mlimwambia mgonjwa ukweli yani daah mngewaambia ukweli ndugu zake
@mwitajoseph5003
@mwitajoseph5003 11 дней назад
Prof kwa maelezo uliyoyatoa Napenda kukushkr kwa kupambania afya ya marco
@teddymutani856
@teddymutani856 18 дней назад
Kifo ni mipango ya Mungu mngempeleka tu jamn maana Mungu ndo anajua siku zetu
@happykaaya756
@happykaaya756 4 дня назад
Pumzika kwa amani Marcus
@benjaminsanare-ug6ge
@benjaminsanare-ug6ge 14 дней назад
Duuh!aya mambo yanatisha kwakweli😭😭
@joycekaganga6924
@joycekaganga6924 18 дней назад
Basi tena dokta jitihada mlifanya kuokoa maisha yake siku zetu za kuishi ni chache zimehesabiwa tunaomba warudishiwe gharama zao iwasaidie watoto
@user-mj6oe7ur7t
@user-mj6oe7ur7t 17 дней назад
R. I. P Mtumishi wa Mungu. Pumzika kwa amani.
@AbelaPaulo
@AbelaPaulo 6 дней назад
It is pain
@honorathampemba5392
@honorathampemba5392 13 дней назад
RIP MARCUS.Siri za MUNGU hazichunguzi.Hongera madaktari wetu mnajitahidi sana.Saa ikifika hakuna wa kupinga.
@joycekaganga6924
@joycekaganga6924 18 дней назад
Mungu awape faraja familia
@leutnatmisana5164
@leutnatmisana5164 18 дней назад
Poleni Sana! YESU KRISTO awatie nguvu Na ustahimilivu Kwa Neema yake MUNGU BABA
@Tupena-ov7xq
@Tupena-ov7xq 17 дней назад
Ndugu kuna smell fishy, fanyeni uchunguzi something haika sawa. Kwa nini mmezika haraka mlifanya autopsy
@berneysebastian9337
@berneysebastian9337 14 дней назад
Washasema alikua na kidonda kikubwa kifuani ndo mana hakuna haja ya kumchelewesha
@directorabiero340
@directorabiero340 18 дней назад
Mungu tujalie mwisho mwema.. hapo angekuwa masikini tyu..... Hapa alikuwa anakufa kabla yakufika hata jakaya
@JoyceJoshua-i6h
@JoyceJoshua-i6h 13 дней назад
Kwanini amukureta madacetali kutoka idia
@HELLENSYDNEY-z4j
@HELLENSYDNEY-z4j 8 дней назад
Bwana ametwaa bwana ametoa. Jina lake lihimidiwe Mungu amrehemu Marco zabron
@MusaLuke-q6n
@MusaLuke-q6n 10 дней назад
Asante madaktari kwa kazi njema mlioifanya kwa maiko, mungu amusitishie maishi muendelee kusaidia engine wengi. Kwa mimi ni na uchungu mwingi 😂 kupoteza maiko aliye kama ndugu, rafiki na muimbaji aliye na kipawa cha uimbaji wa nyimbo za mungu. Musa juma na famia yangu twasema pole kwa Familia na Wana Tanzania kwa kupoteza maiko. Mungu awarehemu, ampe nguvu kwa wakati huu mgumu. Maiko amemaliza safari yake nawe mungu akikuita saa hizi utakuwa wapi?
@user-vl9pl7zb8v
@user-vl9pl7zb8v 8 дней назад
😭😭😭
@user-vl9pl7zb8v
@user-vl9pl7zb8v 8 дней назад
Sio😂😂
@JenniferOpondo
@JenniferOpondo День назад
Afadhali hangefanyiwa opsresheni lbda angekua hai
@rosemoriasi4764
@rosemoriasi4764 10 дней назад
😭😭😭😭Rip bro
@brightoesisso1590
@brightoesisso1590 4 дня назад
Tumwamin mung kwa kila jamb tunalopitia tusitumie njia zisizofaa kwa ajil ya kutatua shid zetu
@YusuphNyuri
@YusuphNyuri 18 дней назад
Alipta kwenye matesoo sanaa huyu mtumishi ila vita umevipga vema mwendo umemalixa salama lala mdogo wangu mwanga wa bwana ukuangziee milele daima kila nafsi itaonja mauti
@DorcasChesanai
@DorcasChesanai 7 дней назад
Pole waja mola amlaze mahali pema peponi
@JamesSanguyan
@JamesSanguyan 11 дней назад
I feel disappointed 😔😢
@pili4758
@pili4758 18 дней назад
Yote ni mipango ya mungu mungu akipanga mwanadamu hawezi pinga
@FridaDavid-u7w
@FridaDavid-u7w 14 дней назад
Sorry pili for interaction Mungu hapangi mtu kufa na ndiomaana anatuumba tunakosea sana kusema hivi omba Mungu akurehemu sana yy hataki ss tufe anapenda tuishi milele
@thethirdangelsmessage7025
@thethirdangelsmessage7025 18 дней назад
Tumrudieni Mungu vinginevyo tutaangamiza maisha ya watu hivyo kutenda kazi ya shetani! Ole ni wa ulimwengu! Shetani anajua ana wakati mchache tu na hivyo anaghadhabu nyingi.
@rammsokunnambi2643
@rammsokunnambi2643 18 дней назад
Rip kaka marko
@penninah6826
@penninah6826 18 дней назад
Kenya madaktari n wajeuri.. hawajali
@AnastaciaNjoroge-cl3jz
@AnastaciaNjoroge-cl3jz 15 дней назад
May he rest easy
@rosiemalley2399
@rosiemalley2399 17 дней назад
Madaktari walijitahidi sana lkn huyu ibilisi ni mwerevu sana na aliweza kunyakuwa maisha ya Marcus haijalishi alikuwa na hela nyingi za kuweza kumuokoa maisha yake......tumrudishi Mungu sifa Nina imani nafasi yake ya uimbaji itakuwa covered na Marcus mwingine
@rahabnkya8276
@rahabnkya8276 13 дней назад
Rip Marcos. Ameen
@duncan6157
@duncan6157 16 дней назад
Apa kwetu wagesema walipwe billion kabla kuigia kwa chuba cha upasuaji
@shalinchelandot751
@shalinchelandot751 16 дней назад
Mamangu ako na iyo shida ametumie dawa for long sai tunambiwa anafaa aende oparetion ati mzizi ya moyo aipeleki damu vizuri woi mungu tukumbuke juu sisi tuna uwezo ya pesa nasikia uchungu moyoni vle daktari anaeleza nikikumbuka mamangu😭
@lilianmbwambo3042
@lilianmbwambo3042 14 дней назад
Polen Mungu awasaidie
@mbarikiwambarikiwa6479
@mbarikiwambarikiwa6479 18 дней назад
Poleni sn jamani😢😢 ila Madactari walijitahidi sn kwa maelezo tu anayotoa Dr, MUNGU alimpenda zaidi.
@fanuellingson
@fanuellingson 14 дней назад
Sector ya afya ni sector haipasw isimamiwe na mtu asiye ijua
@bbclondonulimwenguwasoka6126
@bbclondonulimwenguwasoka6126 17 дней назад
Yn risk ya Operation huko nchi za mbali ni ndege kwenye kuruka na kutua halafu kwetu uwezekano wa kipona ukiwa hospital Kwa ajili ya Operation ni 13% kupona du! tujitafakari sana
@mariakibwana3700
@mariakibwana3700 14 дней назад
Kuna maneno yananichanganya hivi ni Aje au Haje,alikuwa na alikua.
@lulu-xt5gs
@lulu-xt5gs 17 дней назад
Hungesema kaswende😮
@dariarichard1185
@dariarichard1185 18 дней назад
Udishe hata nusu za pesa jamani
@mariakibwana3700
@mariakibwana3700 14 дней назад
Jamani nauliza profesa Janabi kastaafu?
@user-ov8xp3zq9u
@user-ov8xp3zq9u 12 дней назад
Waa huwa na dungwa kwa moyo tena uchungu snaa kama sindano
@user-qy6cq9os7e
@user-qy6cq9os7e 9 дней назад
Ni acid
@charitymtuks811
@charitymtuks811 9 дней назад
Hakukuwa na mgogoro wowote wa familia? Mbona hivi lakini, familia ya Marco ilikuwa bado changa.....imeniua sana, ghafla tu na ikawa hivo!
@JobnManase-gh2fp
@JobnManase-gh2fp 18 дней назад
No siasa kitu gani bana? Watekwe? Tutibuni watanzania hiyo ni karama yetu
@emjohtrader
@emjohtrader 18 дней назад
Covi d jab matokeo yake ndo hayo
@felixmuvengei4472
@felixmuvengei4472 10 дней назад
Kwa kweli prof,umeogea kweli mlijaribu mlioweza lakini maisha yote ni ya Mungu 😢
@kennitohnyash8201
@kennitohnyash8201 16 дней назад
Tz kueleza mambo mengi
@GeofreySemadinga
@GeofreySemadinga 18 дней назад
Dah kweli jaman mmepambana sana atamimi nilifikilia mmezembea kumbe mmepambana zaid yakupambana nafikili mungu amempenda zaid
@FaithMboya-n6y
@FaithMboya-n6y 17 дней назад
Nashindwa nicene nini,,MUNGU TU TUNAKUSHUKURU KWA UHAI WA MARCOS ,,AMETUBARIKI SANA KIPINDI CHA UHAI WAKE. Bwana alitoa na bwana ametwaa jina lake lihimidiwe🙏
@WorldNatureChannelTanzania
@WorldNatureChannelTanzania 18 дней назад
R.I.P Marcos..
@bintmrisho3526
@bintmrisho3526 17 дней назад
Aisee amefariki na kidonda kikubwa sana😢
@virginiakariuki6479
@virginiakariuki6479 18 дней назад
I wish angetuniwa hapa kwetu Kenya Nairobi hospital.... wooie Marcos. Lala salama mtumiahi wa Mungu. You're now in a better place
@user-wj6zj1ly4e
@user-wj6zj1ly4e 17 дней назад
Hv kweli mgonjwa atatoka kenya aje tzania kutibiwa? Poaw kifo ni fumbo lkn matatizo km hayo waachieni madaktari wa nairobi, canada, ubelgiji, china, idia. Ss madocta wetu wanawaza mengi mara biashara mara wake zao
@RamadhaniAbdalha
@RamadhaniAbdalha 17 дней назад
Tumwachie Mungu tuu hakuna namna
@naimawilliam1848
@naimawilliam1848 18 дней назад
Kwel kabsa
@ukweli255
@ukweli255 13 дней назад
NITOE TU WITO WATANZANIA TUWE NA TABIA YA KUFANYA CHECK UP!
@GraceNgala-x5i
@GraceNgala-x5i 17 дней назад
Tuwe pole sote 😭😭
@hildandumbalo5827
@hildandumbalo5827 18 дней назад
Mmh!
@adeodatuskakorozya9064
@adeodatuskakorozya9064 17 дней назад
Maiko ndo nani sasa? Kuweni makini na uandishi wenu
Далее
БЕЛКА РОЖАЕТ?#cat
00:28
Просмотров 294 тыс.
А на каком языке ты ДУМАЕШЬ?
00:57
IMENIUMA SANA by Zabron Singers (Official Video)
5:05
MTOTO WA MRISHO MPOTO AWALIZA VIONGOZI KWA UCHUNGU
17:36
БЕЛКА РОЖАЕТ?#cat
00:28
Просмотров 294 тыс.