Тёмный

MTANZANIA ANAYEFUNDISHA MARUBANI CANADA, MAMA YAKE ASIMULIA ALIVYOTELEKEZWA “NIMETUMIA MIL.500” 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 85 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

15 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 809   
@EmmanueliZani-ur9bi
@EmmanueliZani-ur9bi 12 дней назад
Hongera sana kijana kwa kupambania ndoto yako, na pongezi nyingi kwa Mama kutimiza ndoto ya kijana wako. Asante.
@joycekisamo4896
@joycekisamo4896 12 дней назад
HONGERA KWA KIJANA WETU PIA 👏🏽 👏🏽 👏🏽 😊
@user-cj2kl7cd9k
@user-cj2kl7cd9k 12 дней назад
Hongera sana mama kwa kusimama na mtoto wako Allah amuhifadhi mtoto wako amkinge n husda amfanyie wepesi katika kazi zake ameen
@Sarah-e1o9k
@Sarah-e1o9k 12 дней назад
Ameen
@RahmaAlly-b6r
@RahmaAlly-b6r 9 дней назад
Mashaalah
@hadijaSeif-v6s
@hadijaSeif-v6s 8 дней назад
Shukran 👏🏻
@moa4122
@moa4122 7 дней назад
Bismillah mashaallah. Allah amuhifadhi, amlinde na ampe umri mrefu pamoja na mama yake,ajaaliye aendelee kutimiza ndoto zake ili na mama yake ale matunda ya kijana wake Amiin Allahuma Amiin. Mama umemlea kijana wako vizuri
@hadijaSeif-v6s
@hadijaSeif-v6s 7 дней назад
@@moa4122 Amiin
@vicentgodda3357
@vicentgodda3357 12 дней назад
Hongereni Milad Ayo kwa kufuatilia maswala ya maendeleo na ya kijamii. Hii ni interview nzuri kuelimisha na kuwatia moyo Wanawake kupambana
@Omari-d2h
@Omari-d2h 7 дней назад
Washauri watoe msaada sio kuwahoji watu bila kujitolea chochote
@muznamohammed1366
@muznamohammed1366 День назад
Maashallah mtoto arudi kwenye dini, ingawa niisiangalie physical appearance lkn kwa maelezo ya Mama alimpambania kwa Mungu. Honger mama na kijana mwenzangu
@mariansumari2179
@mariansumari2179 4 дня назад
Hongera mwanangu mzuri ❤❤ mwanamke mwenzangu wewe ndio halisi ya MWANAMKE WA SHOKA 💪💪💪💪💪💪
@hidayaamri780
@hidayaamri780 12 дней назад
Hongera sana dada kwa ujasiri komgole, ila mawazo yakumrudisha TZ acha hapa kwetu siasa nyingi kule atakusaidia kulipa madeni hayo. BIG UP MAMA.
@zainabkazige7388
@zainabkazige7388 12 дней назад
Kweli kabisa🎉
@ndukulusudikucho_
@ndukulusudikucho_ 12 дней назад
Mungu ibarik familia ya huyu Mama Ila asirudi kabisaaaaaaaa labda akistaafu Canada anaweza staafu hata miaka 40 , ajitafute kwanza huku pagumu saaana labda Uwe kwenye familia za Siasa
@marymwasiga
@marymwasiga 9 дней назад
AminA, sana sana saaana,,,
@hafidhnzota2142
@hafidhnzota2142 9 дней назад
Umesema kweli Huyu asirudi,maana NCHI YETU HAIPENDI WASOMI NA. WATAALAMU.WATAALAM MAPROFESSA WAMEJIINGIZA KATIKA SIASA.
@hadijaSeif-v6s
@hadijaSeif-v6s 8 дней назад
Amiin
@hadijaSeif-v6s
@hadijaSeif-v6s 8 дней назад
@@hafidhnzota2142😂
@ronnylovemoo220
@ronnylovemoo220 8 дней назад
sasa kwa asiruditruu It's
@annahngururi6595
@annahngururi6595 12 дней назад
Mimi nimefurahi kuwa mtanzania wa kwanzaa kiona kijana huyo mwenyeimri wa miaka 22 ametimiza ndoto zake za kurusha ndege. VIJANA KAMA HAO NI LULU & NI ADIMU. RAIS WETU MSIKIVU KWA UNYENYEKEVU KABISA MSAIDIE KIJANA HUYU ILI AWEZE KUFIKIA MALENGO YAKE NA MWISHO WA SIKU AWEZE KURUDI TANZANIA AWE ICON YA TAIFA...❤❤❤❤
@Kibaadvocate
@Kibaadvocate 12 дней назад
Hatutaki arudi Tz afanye kazi huko huko
@trophywilson7211
@trophywilson7211 12 дней назад
​@@Kibaadvocateyote sawa
@zenaal-baalawy1953
@zenaal-baalawy1953 8 дней назад
@annahngururi6595 Mwengine Mtanzania yupo hapa Canada chuo cha Montreal yeye cha urubani ni shemegi yangu but alikua anaishi Dubai na yeye kaja kusoma chuo juzi tu wazazi wake wameondoka kuja kumuona na yeye saivi anasomesha wanafunzi wenziwe na yeye ana umri mdogo tu kama huyu.
@zaidiissa3714
@zaidiissa3714 12 дней назад
Mungu Awabariki kina mama wote Duniani
@adelinelyaruu3036
@adelinelyaruu3036 12 дней назад
Amina❤
@jamilajumaa2980
@jamilajumaa2980 12 дней назад
Ameen
@bahathmuro7145
@bahathmuro7145 7 дней назад
Ameeeen
@MshamMsham-u3w
@MshamMsham-u3w 14 часов назад
Kabisa
@Esther-vj3ns
@Esther-vj3ns 4 дня назад
Hongera sana mtoto kwa kutimiza ndoto yako, pia hongera pia wazazi . Baba na mama pia. Baba nae pia lazima hapate hongera yake kwakua nae alianza vizuri ila akatoka kwenye mstari.
@faridaahmad7538
@faridaahmad7538 7 дней назад
Ndugu yangu hizo ndoto za kufungua chuo cha urubani kwa hapa TZ haiwezekani itakuwea ngumu tu kwa namna yeyote ile utabambikiwa mikodi wewe hadi ufe, yaani hapa kwenu ni pagumu. Nakushauri tu ndugu yangu hayo mambo fanyia hukohuko Canada, sisi huku tutumie tu hela ya mboga ya mama yetu huyo aweze kuishi kwisha habari. Hayo mengine fanyia huko isije huku tukakuroga buree mtoto wa watu. Mwenyezimungu akupe maisha marefu na utimize ndoto zako zote. Ila usimsahau aliekiwezesha hayo kwa maana ya mungu wako na pia usimsahau baba yako, pamoja na yote aliyokufanyia lkn still ni baba yako usiache kumfanyia wema ili upate radhi zake. Hayo ya mama yako waachie wenyewe wewe kama mtoto hayakuhusu, cheza nafasi yako kama mtoto kwa baba yako.
@katekupaza9385
@katekupaza9385 12 дней назад
Hongera sana kijana mdogo kwa kutimiza ndoto na pia uko very eloquent kwenye kujibu maswali.... Hongera sana kwa wazazi, hasa mama kwa kuheshimu ndoto ya mwanao na kuipambania
@zakiazakiaomari3392
@zakiazakiaomari3392 День назад
Maasha Allah hongera sana mwanangu Allah akuhifadhi na hongera sana mama mwanamke mwenzangu umepambana na Allah akuimarishe zaidi na zaidi...Aamiyn 🤲 ❤
@hadijaSeif-v6s
@hadijaSeif-v6s День назад
Allahuma Amiin
@ainessfoya4463
@ainessfoya4463 12 дней назад
Mtangazaji hongera unaijua kazi yako..mama shujaaa hongera..mungu akajibu haja za mioyo ya familia hiyo..na kwa ushauri maombi kwa mtumishi ezekiel..
@marykennedymarwa1641
@marykennedymarwa1641 10 дней назад
Kwani huyo mtumishi Ezekiel ndio mungu ? Mama anajiombea mwenyewe na mwenyezi mungu anajibu. Wacha upumbavu wako na huyo Ezekiel wako , mnadanganywa na ma pastor .
@sonnyr1899
@sonnyr1899 12 дней назад
Nakwambia kweli mwanamke ukiamua kuwa mtu wa maana inawezekena sana tu. Na ukiamua kuwa wa ma connection ya kipuuzi pia inawezekana sana. Cha ajabu story yenye motivation kama hii haipewi kipaumbele sana. Ongera dada yetu
@trophywilson7211
@trophywilson7211 12 дней назад
Jitahidi na Wewe uwe hivyo hahahw
@sonnyr1899
@sonnyr1899 12 дней назад
@@trophywilson7211 Tajitahidi nikishindwa hata dada yangu ao mwanangu niwashauri wawekeze katka nidham. Hata wewe pia waweza kuwa mfano mzuri
@hadijaSeif-v6s
@hadijaSeif-v6s 8 дней назад
Kweli!
@RahmaIddi-s2s
@RahmaIddi-s2s 9 дней назад
Masha Allah Masha Allah...Mungu akujaliye kijana upate mke mwema..mulee mama vzr ln shaa Allah...usije kupata mwanamke akakufitinisha na mzazi wako....
@hadijaSeif-v6s
@hadijaSeif-v6s 8 дней назад
@@RahmaIddi-s2s Ameen
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 12 дней назад
Milardayo naipenda sanaaaa Media yako una wafanyakazi wazuri sanaaaa wanajua kuhoji Mungu aibariki sana Media yako
@hadijaSeif-v6s
@hadijaSeif-v6s 8 дней назад
No kweli!
@hadijaSeif-v6s
@hadijaSeif-v6s 8 дней назад
Ni kweli wapo vizuri
@hawaelymaricca7602
@hawaelymaricca7602 12 дней назад
Hongera sana mama big up wa mama tunaweza kupambana tunajua hata mkitukimbia .
@honeyGmail.comhassan
@honeyGmail.comhassan 12 дней назад
Mashallah may Allah blessing you ❤
@kinkybanjukome217
@kinkybanjukome217 12 дней назад
Usifanye makosa ya kumwambia mtoto arudi Tanzania mwache mtoto afanye kazi Canada alipie madeni
@liannsambu7264
@liannsambu7264 12 дней назад
💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯 aache AFANYE KAZI ULAYA akichoka alale tu Huko ULAYA ila SI bongo , huku talent nyingi zinapotezwa na kuuwawa ,amwache Huko huko
@joycekisamo4896
@joycekisamo4896 12 дней назад
Kule atakua analipwa kama $50 kwa saa (minimum), hivyo ana mshahara wa kama $400 kwa siku. Tafadhali mwacheni huko kwanza ajijenge na asaidie kulipa mikopo
@ndukulusudikucho_
@ndukulusudikucho_ 12 дней назад
Uko sahihi saana Siasa zinaharibu kila kitu hadi vipaji
@godfreynyapanga3380
@godfreynyapanga3380 12 дней назад
😂😂
@handenitakuru6696
@handenitakuru6696 12 дней назад
Akisema aje afanye kazi Tanzania kajiroga na yeye ndio atakuwa mchawi wakwanza kwa mwanae Tanzania kunawachawi na mchawi wakwanz wa hili Taifa ni selikali yako ukithubu kumrudisha kwisha habari
@maroasamson6219
@maroasamson6219 12 дней назад
Hongera, kwa kumu elimisha mwanao hadi katimiza ndoto yake, na kutu inspire sisi kuwa hamna kinachoshindikana.
@MonadiNadi-j6s
@MonadiNadi-j6s 12 дней назад
Mama ni mama hta iweje hongera sana❤❤
@JescaUrassa
@JescaUrassa 12 дней назад
Hakuna mwanamke anaweza kukurupuka akasema katelekezwa,tunamaumivu mengi sana miyoyoni wanawake,na kama wanaume hamjajua niwakati wakujirudi muombeni mungu msamaha maana nafasi aliyowapeni mmeitelekeza machozi yetu hayatawaachen salama
@maryamadam5622
@maryamadam5622 9 дней назад
Kweli kabisa haya. Mmungu si khiyana sio selfish. Nawaona waja wake wanyonge. Mmungu ana miujiza juu ya Ma Mama. Hongera Mama mwenzetu
@hadijaSeif-v6s
@hadijaSeif-v6s 8 дней назад
Asante kunielewa 👏🏻
@judithsalvatory2892
@judithsalvatory2892 4 дня назад
Hongera sana mama Mungu hamtupi mja wake
@MariamAbuubakar-e5o
@MariamAbuubakar-e5o 12 дней назад
Waooooo mama umenifanya ipate nguvu ya kuzidi kulea watoto wangu kwa nguvu tena
@hadijaSeif-v6s
@hadijaSeif-v6s 8 дней назад
Sımama na watoto wako👏🏻
@suleimanabdillah7490
@suleimanabdillah7490 12 дней назад
Alhamdulillah rabbil'aalamin.hongera kwako mamabkwa namna ulivyompigania mtoto hadi hapo Mungu alipomfikisha na hata huyo baba aliyekutelekeza(sababu zibaki kwenu)hongera sanaaa kwa kijana kuelewa changamoto lakini pia kutokata tamaa hadi ume archieve.umri wake akimtegemea Allah Swt kumpa umri na Siha bilashaka anamengi ya kuchangia katika tasnia ya anga. Mungu awabariki
@hadijaSeif-v6s
@hadijaSeif-v6s 8 дней назад
Amiin
@miltonmachage2462
@miltonmachage2462 12 дней назад
Uyu mtangazaji anajua kuhoji vzr sana
@nyoe1394
@nyoe1394 12 дней назад
Hila pia anautambulisho mrefu sana anatakiwa amwache mtu ajitambulishe mwenyewe.
@simonrusigwa3024
@simonrusigwa3024 12 дней назад
Sahihi
@WiselightOfficial
@WiselightOfficial 12 дней назад
Sana ametulia
@hafidhnzota2142
@hafidhnzota2142 9 дней назад
KWELI sana background nzuri Hadija Seifu amejieleza hana tambo
@hafidhnzota2142
@hafidhnzota2142 9 дней назад
​@@nyoe1394KWELI intro ndefu ya mama inaboa
@user-zz8mf1wh8g
@user-zz8mf1wh8g 12 дней назад
MaAshallah hongera sana umemuheshimisha mzazi pmj na Taifa lako❤
@paulinaobiria9649
@paulinaobiria9649 12 дней назад
Hongera sana sana mama Fahad na Fahad, Mwenyezi Mungu amtunze kijana huyu
@JamesJastin-bg1rx
@JamesJastin-bg1rx 12 дней назад
Kwani mungu asipo mtunza itakuwaje
@SalmanMughal-lq5lt
@SalmanMughal-lq5lt 12 дней назад
SubhanaAllah kila mtu anahitaji kutunzwa Na Allah Atuepushe naShetani kwani wewe umeelewaje
@yousuphnzira3209
@yousuphnzira3209 12 дней назад
Acha Roho ya kichawi Zwazwa wewe​@@JamesJastin-bg1rx
@jamilajumaa2980
@jamilajumaa2980 12 дней назад
Ameen
@jasmineassenga5064
@jasmineassenga5064 12 дней назад
Hongera sana kwa skill ya urubani. Tuomba mawasiliano yako kwa ajili ya kuwafundisha vijana wetu wanaohiaji kurusha ndege. Asante
@ElishaSalingo
@ElishaSalingo 3 дня назад
Hongera sana ,Mama Fahad Kama sijakosea uliishi Morogoro Ukiwa Tanzania pride meat
@hadijaSeif-v6s
@hadijaSeif-v6s 3 дня назад
Yap
@Wityzac
@Wityzac 3 часа назад
Very insipirational msg.Big up mama and your son
@hadijaSeif-v6s
@hadijaSeif-v6s 3 часа назад
Thank you
@mariambarkat2251
@mariambarkat2251 12 дней назад
Bismillah ma sha allah mwenyezi mungu akuongozee uongozo wako na akuepusha na hasada. Big 🎉 kwa mama mzazi kwa jitihada na dua usichoke kumuombea kijana wetu kwani dua ya mama hairudi chini Allah anaipokea ❤
@JovinJohn-p4w
@JovinJohn-p4w 12 дней назад
Ila mama zetu mnaweza sana kupigania maisha yetu
@trophywilson7211
@trophywilson7211 12 дней назад
utaacha Watoto wahangaike
@user-ky5wu4gc9g
@user-ky5wu4gc9g 7 дней назад
Duh! machozi ya furaha yamenitoka mama mwenzangu amenitia moyo sana nilitaka kukata tamaa kusomesha kwakua sina saport kupitia huyu mama fahad najikuta kupata nguvu mpya Asante milad kutuletea kipindi hiki
@En_Diel
@En_Diel 12 дней назад
Hongera sana mzee kwa kuwakilisha Tz
@hadijaSeif-v6s
@hadijaSeif-v6s 8 дней назад
Shukran
@mwanakombonkullo9280
@mwanakombonkullo9280 8 дней назад
Mashallah Mashallah hongera sana ntoto na mama yake Allah aendelee kuwafanyia wepesi Inshaallah
@MohammedMaokongoro
@MohammedMaokongoro 9 дней назад
Bismillahir Rahmanir Rahiim, Asalam Aleykum mama Afadi mwwnyezi mungu akulinde na akupe afya wewe na mwanao Afadi,ALLAH awalinde na husda Ameen
@AminaMsiyu
@AminaMsiyu 4 дня назад
Amin yarb
@edsonnelson4464
@edsonnelson4464 12 дней назад
Piga huko Canada ulipe madeni ya mama ndiyo uje
@HamidaKondo-j7d
@HamidaKondo-j7d 12 часов назад
Manshaallah warahaula warakwata illah bilaah mungu akusimamie na akupe moyo wakukumbuka ulikotoka na umjali sana mom hongera strong women somo wa my mom
@Officialeinothlekasio
@Officialeinothlekasio 12 дней назад
Congratulations bro, may you glow to the fullest amen.
@hadijaSeif-v6s
@hadijaSeif-v6s 8 дней назад
Amiin
@fatmahhussein6335
@fatmahhussein6335 12 дней назад
MashaAllah hongera pia mlikuwa na uwezo kimaisha pia mm wangu yupo daimond anasema ipo siku nitakuwa rubani mama namkatisha taamaa kutokana na maisha ya huyu mama naimani ipo siku na mm mungu atajibu maombi yangu mwanangu afikie lego lake haki imenitowa machozi 😢na nimejifunza kitu
@a.s.afishfarming6225
@a.s.afishfarming6225 12 дней назад
Mtangulize Mungu kwa kila hatua na umpe moyo mtoto kuwa siku moja ndoto yake itatimia Inn Sha Allah
@liberatusjackson5045
@liberatusjackson5045 12 дней назад
Katobwe😂😂😂😂
@HawaKulindwa
@HawaKulindwa 7 дней назад
Masha Allah Mungu amtunze ampe afya njm mama endelea kumuombea Mwanao na mwache Huko Canada hasad zimejaa Tele
@gasperymisungwi960
@gasperymisungwi960 12 дней назад
Hongera sana mama kwa kupambana, MUNGU huwashika waliowake. Ila kwenye swala la changamoto ya ndoa, no comment!
@hamidakiiza1925
@hamidakiiza1925 6 дней назад
Kweli mama umepambana hongera sana na kweli Mungu amekusaidia sala dua na maombi vinasaidia mbele ya Mungu all is possible!
@LuciaMwambingu
@LuciaMwambingu 16 часов назад
Mungu azidi kukuinua umtunze mama na mdogo wako.. Una tia moyo sana ...Hongera sana kwa kipaji hicho
@williamshitobelo6433
@williamshitobelo6433 12 дней назад
MTANGAZAJI UNA TATIZO UNA UNNECESSARY INTERFERENCES NYINGI SANA, TULIA MSIMULIAJI AWEZE KUFLOW
@judithnjalambaya2450
@judithnjalambaya2450 12 дней назад
Hongera sana mama Mwenyezi Mungu azidi kuwabariki na kumtunza kijana 🔥🔥🔥
@hadijaSeif-v6s
@hadijaSeif-v6s 8 дней назад
Amiin
@JohnMabustar
@JohnMabustar 12 дней назад
Asante mamafrika kwa juhudi zako kwa mwanao 😊😊
@hadijaSeif-v6s
@hadijaSeif-v6s 8 дней назад
Shukran sana
@user-hq5mo3dx7l
@user-hq5mo3dx7l 12 дней назад
Hongera rasta huku rasta wote wamechezika
@japhetkyarukambaaristides8698
@japhetkyarukambaaristides8698 12 дней назад
😂
@FahadAbubakari
@FahadAbubakari 12 дней назад
Si ndo mlivyoaminishwa afu mvaa suti ndio mtu wa maana, mnaishi na falsafa za miaka 100 iliyopita watu wanaangalia nini kipo ubongoni sio unaonekana vp
@user-zm4mm4eb5j
@user-zm4mm4eb5j 12 дней назад
Nimecheka sana dah bongo hii eti huku rasta wote machizi😂😂😂😂😂 fala sana ww
@milanozanzibar
@milanozanzibar 12 дней назад
hahaha
@SalmanMughal-lq5lt
@SalmanMughal-lq5lt 12 дней назад
🤣🤣🤣🤣we umetisha nimecheka
@haroldmabwe1436
@haroldmabwe1436 11 дней назад
Hongera sana Mama kwa kupambana...kwanza, Pamoja na yote! Mchango wa Baba unaonekana kwa kukuchagua wewe na kukupa zawadi Watoto wenye vipaji usiache kushukuru Mungu. Pili, harisa ya kupambana zaidi huenda imetokana na kutokuwajibika kwake moja kwa moja pindi ulipohitaji msaada wake...hiyo pia ichukulie chanya(+) na itakuingezea kupambana zaidi. Tatu, jitahidi kuwashauri vijana wasiwaze wala kuweka mipaka ya mawasiliano kama ipo lakini na Baba yao kutokana na tofauti zetu. Kila jambo hutokea na lina sababu zake. Hongera sana kwa mara nyingine.
@kadiakirua7621
@kadiakirua7621 12 дней назад
Daaaah kumbe inawezekana kabisa!!Ayo tv asanteni kwa kumleta huyu jombaa katupa mwanga wa kufanya visivo wezekana
@nassorsandra9997
@nassorsandra9997 12 дней назад
Masha Allah Da Hadija hongera sana kwa Fahad kutimiza ndoto zake
@salometabu100
@salometabu100 7 дней назад
Hongera sana Dada kumpambania mtoto, kwani wamama tunaweza katika Molla. Mungu azidi kumsimamia kijana kwa yote❤
@hadijaSeif-v6s
@hadijaSeif-v6s 7 дней назад
Amiin
@halimamghana2293
@halimamghana2293 8 дней назад
MashaAllah,hongera sana mama Fahad kwa kusimamimia ndoto za mwanao,Kina mama wenzangu tuzidi kupambana hata kama tutatelekezwa kama mama Fahad tupambane na watoto wetu,InshaaAllah m'mungu atawajaalia watakuwa,watasoma na watasimama tu uku tukimuomba m'mungu,M'mungu yeye ndio Kun faya kun,Akisema kuwa linakuwa.Amiin.Hongera sana kijana wetu Allah azidi kukujaalia kila la kheir na akuongoze katika mambo yenye kheir,akukinge na hasad za watu na majini.Amiin.
@hadijaSeif-v6s
@hadijaSeif-v6s 8 дней назад
Amiin Amiin amiin
@maimukanabora8751
@maimukanabora8751 12 дней назад
Dada hongera sana Kwa kupambana hakika Mungu hamtupi Mja wake mwanangu umweshimu sana mama
@omarimsangi4075
@omarimsangi4075 12 дней назад
tuna kariri sana HATUJA ZIJUA BASICS ZA EDUCATION tuna taka master ya kila kitu kila wakati.
@andrewjohn4303
@andrewjohn4303 11 дней назад
Huyu mtangazaji,very brilliant and calm
@NassourJuma
@NassourJuma 12 дней назад
baba anaweza akakutupa lakini mama hawez, big kw mama woooote na mungu awasamehe makosa yao kwani yeye ndio msamehevu.
@nahidaothman7163
@nahidaothman7163 12 дней назад
Thank you I'm among them
@bcozhenry2698
@bcozhenry2698 12 дней назад
Ni mihemko tu imekuingia na ukajikuta unadhani wote wana moyo wa huruma. Wanaume wengi wanapambana sana kugharamia baadaye za watoto ila hawana kiherehere cha kuongea kama wanawake. Kumbuka pia wanawake wangapi wanatupa au kuua watoto wao ili waendelee na umalaya?
@NassourJuma
@NassourJuma 12 дней назад
@@nahidaothman7163 you too
@athumaniamani9905
@athumaniamani9905 12 дней назад
Acha uongo wamama wangapi wanawatupa watoto wao kweny makalo ya vyoo......wangapi wanawatupa watoto wao majalala
@PendoMarco-x3u
@PendoMarco-x3u 12 дней назад
​@@bcozhenry2698ndugu yangu wanaume wanatelekeza sana watoto asilimia kubwa sana wanawake tunateseka mfano mzuri uko kwangu baba wa watoto wangu hajali hana huruma hanisaidii kwenye swala la kulea
@mwanyongamama4407
@mwanyongamama4407 8 дней назад
Awe anazunguka Dunia kwa masaa na siku huku na huku Awe International pilot. Bigup vip Glory be to Almighty God
@RebeccaMarango
@RebeccaMarango 6 дней назад
MUNGU Akulinde Mama Pamoja na Watoro Wako!!!❤❤❤🎉🎉🎉
@AminaMsiyu
@AminaMsiyu 4 дня назад
Àmyn yàrab àmyn
@allytv1714
@allytv1714 12 дней назад
Vijana jitaidini kusomesha watoto wenu msikimbie family wale watoto wanabaraka zao Mungu awezi kukuacha iv iv
@winnifridangahyoma9127
@winnifridangahyoma9127 2 дня назад
Hongera sanaa mama. Mungu aendelee kumpandisha kijana matawi ya juu zaidi.
@ChristerKoku
@ChristerKoku 12 дней назад
Homgera mama na mtoto wetu kumhrshimisha.mungu akulinde na kukutunza.
@minzandaki9830
@minzandaki9830 День назад
Mama hongera sana. Your Super Woman. God bless you
@SavelinaKahabuka
@SavelinaKahabuka День назад
Hongera sana mama Mungu amuwezeshe kwa viwango vikubwa zaidi.
@alhajikangalawe6178
@alhajikangalawe6178 День назад
Hii interview imenisaidia hw to guide my kids academically na to review harakati za kiuchumi ili kutimiza ndoto za watoto....kuna vitu tunaaminishana huku uraiani ambavyo vinawatisha na kukatisha tamaa wazazi na wanafunzi ukiondoa issue ya uchumi
@AzhadSaid-j1t
@AzhadSaid-j1t 3 дня назад
Mashallah Allah akuongezeni
@user-ny8ek7xf7o
@user-ny8ek7xf7o 11 дней назад
Mashallaah mola akuongoze kwa kilahatua inshallaah❤
@ElizabethVedasto
@ElizabethVedasto 9 дней назад
Hongera sana kijana. Mama Wewe ni shujaa. Na kilichonifurahisha zaidi ni kijana kuongea kiswahili anajitahidi sana
@maryamadam5622
@maryamadam5622 9 дней назад
Mashallah. Very good interview Milad. Kijana kawa mfano mkubwa kwa ndugu zake. Mmungu akuondoshee hasada. Mama pia kama mama umesimama vyema.
@hadijaSeif-v6s
@hadijaSeif-v6s 8 дней назад
Amiin
@hadijarajabumumba6212
@hadijarajabumumba6212 7 дней назад
Ma Sha Allah. Big up sana dear. Mwenyezimungu akufungulie neema kubwa zaidi. Keep fighting love. You made it. Wajina wangu.❤
@hadijaSeif-v6s
@hadijaSeif-v6s 7 дней назад
Shukran dear
@fanueljames4207
@fanueljames4207 12 дней назад
Hongera sana Mama mpambanaji! Mwambie huyo kijana wake wa pili anauwezo wa kupata scholarship hapa Canada naomba Jitahidi tuwasiliane nikupe mwongozo!
@leylahassan9361
@leylahassan9361 12 дней назад
Bless u
@lucaspetro324
@lucaspetro324 12 дней назад
Mumeshaanza utapeli sasa
@florarog548
@florarog548 12 дней назад
😂😂​@@lucaspetro324
@exnathjoseph5396
@exnathjoseph5396 11 дней назад
@@lucaspetro324😂
@Carlynn-k5c
@Carlynn-k5c 9 дней назад
@@lucaspetro324😂
@claudia1500
@claudia1500 12 дней назад
Hongera mwanamke mwenzangu,na hongera kijana kwa kumfuta machozi mama,nyie kina baba mnaotelekeza watoto endeleeni tu mtakula jeuri yenu
@user-wr7wp9sl2p
@user-wr7wp9sl2p 12 дней назад
Kabisaaa
@uhakikatv255.
@uhakikatv255. 12 дней назад
vijana tunaorusha kindege cha Aviator tujuane basi kwa like hapa
@khadija5761
@khadija5761 12 дней назад
😂😂😂
@marymwasiga
@marymwasiga 9 дней назад
😅😅😅😅
@DotoS12
@DotoS12 12 дней назад
Hongereni sana mama na kijana Mungu aendelee kuwainua
@olivernyakunga4891
@olivernyakunga4891 10 дней назад
Hongera sana mama umepambana kwa kweli. Hukukata tamaa pamoja na yote. Mungu aendelee kukusimamia na watoto wako❤❤❤
@rehemaphillingsonmlawa4206
@rehemaphillingsonmlawa4206 12 дней назад
Hongera sana kijanà natamani sana mwanangu anandoto kama wewe namwomba mungu ndoto zake zitimie
@AnneyLissu
@AnneyLissu 5 дней назад
My dear Habari naomba Kama umepata namba za huyo mama naomba tafadhali hata Mimi mwanangu anahizo jdoto hapo ni mdg Sana lkn kuhusi urubani humwambi kitu
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 12 дней назад
Wewe mama ni mwanamke wa shoka unajua na umejitahidi kulea wanao na ushukuru Mungu kwa watoto kupenda kusoma Mungu awape nguvu na awalinde afya bora
@GodfridaKagaruki
@GodfridaKagaruki 3 часа назад
Hongera sana mama umepambana mungu ampiganie mwanao.
@hadijaSeif-v6s
@hadijaSeif-v6s 3 часа назад
Amiin
@sheilah2018
@sheilah2018 12 дней назад
Mama nimefurahishwa na interview yako ila kumwambia mtoto kurudi nyumbani Hapana ..Tanzania mashirika yote ya umma ni hasara na ATC inaongoza kwa hasara Ni vizuri mtoto kwenda kwenye nchi za Gulf kwa kuwa na experience ya nchi za magharibi akienda Gulf atapata contract mzuri sana na mshahara mzuri
@fauziakarama8581
@fauziakarama8581 8 дней назад
Allah awalinde watoto wetu yarab uwezi want peke yako kazi Allah atatusimamia amiin
@user-hn5kc7up1x
@user-hn5kc7up1x 10 дней назад
Mungu amuondolee jicho la husda mungu ambariki mtoto wetu wa kitanzania pia hongera mama huo ndio mama malikia wa nguvu siyo mchezo hongera sana
@hadijaSeif-v6s
@hadijaSeif-v6s 8 дней назад
Shukran sana 🙏🏻
@bahatimwakilima3273
@bahatimwakilima3273 9 дней назад
Hongera sana mtoto pongezi nyingi kwa mama hakika umepambania ndoto ya mtoto
@hadijaSeif-v6s
@hadijaSeif-v6s 8 дней назад
Kweli. Shukran sana
@Official83640
@Official83640 10 дней назад
Maa'shaallah hongera mwanamke mwenzangu ww ni mwanamke wa nguvu Mungu akupe umri mrefu uje ule matunda yako In'shaallah
@hadijaSeif-v6s
@hadijaSeif-v6s 8 дней назад
Amiin👏🏻
@samniza1763
@samniza1763 12 дней назад
I knew it, I knew it he will ask the salary. You never see journalist asking for how much do you earn.
@silverman6930
@silverman6930 12 дней назад
Why not … its just a qn.
@samniza9015
@samniza9015 9 дней назад
No that's private, you don't ask people how much they earn, only the journalists in Tanzania, if they are really journalists ​ no ethics@@silverman6930
@williammabula5822
@williammabula5822 12 дней назад
Nice interview with great and courageous young man. Ingefaa zaidi kama host angeuliza maswali kwa ufupi zaidi….just provoke the guy to talk don’t do the talking yourself!
@munaomar9532
@munaomar9532 12 дней назад
Kwaza ashukuriwe Allah Subhanahu Wataala yye ndio apewe sifa zote,Allah alimpa akili akatowa uwezo wa mama kumsomesha na bado Allah amewashika mkono alhamdulilah sifa ni za Mwenyeezi mungu ,badae mama na bba pia katowa sio kidogo hta ikiwa milion 7 imesogeza 3 yye mwenyewe mtto kutulia na kutimiza ndoto zake❤
@user-oo1vz3zi1t
@user-oo1vz3zi1t 12 дней назад
Hongera sana mwanangu umemsimamia vzr Mjukuu Allah azdi kuwaongoza
@hadijaSeif-v6s
@hadijaSeif-v6s 8 дней назад
Amiin
@VeronicaAngumbwisye-jj2bq
@VeronicaAngumbwisye-jj2bq 11 дней назад
👏👏👏 wazazi wote wangeelewa ndöto zà watoto wao, tungefika mbali sAna waafrica ila hatujachelewa badó tusiwalazimishe wasomee tunavyovitaka sisi, tuwaunge mkono wasomee wanavyo vipenda wao ndiö zilipo ndöto zào.
@devothasimbi6495
@devothasimbi6495 10 дней назад
Uko sawa ila kuna vingine vigumu kuvikubali ,mwanangu anataka awe mtanzania wa kwanza kuweka bendera ya Tanzania mwezini hiyo kozi ada yake nitaweza wapi? Ingawa ninaishi ulaya..
@hadijaSeif-v6s
@hadijaSeif-v6s 8 дней назад
Kabisa 👏🏻
@AnneyLissu
@AnneyLissu 5 дней назад
​@@devothasimbi6495devotha hongera Sana kwa kutambua hitaji na tamanio la MWANAO Wala usikate tamaa mtie moyo MWANAO lkn muombe Mungu afungue njia hakuna linaloshindikana chini ya juwa one day yes it's will be the true story
@maomacatta9770
@maomacatta9770 5 дней назад
Well done..kijana kajieleza vizuri sana na amenifurahisha kuongea ukweli kuhusu stages za kufikia ndege kubwa za abiria. Mwingine angetia uongo kuwa tayari anaweza kuendesha Airbus au Boeing za abiria kumbe vyote hivyo vinafuata mlolongo wa masaa ya kuwa angani na uzoefu.👍🏾 .
@harunesmail2444
@harunesmail2444 8 дней назад
Mashaallah hongera mama kwa kupambana na mtoto atimize ndoto zake na kijana hongera sana
@hadijaSeif-v6s
@hadijaSeif-v6s 7 дней назад
Shukran sana ndugu yangu
@ChoroTesla
@ChoroTesla 5 дней назад
Maji hufuata mkondo sio familia zetu hiI izi bimkubwa anadanga afu mtt aje kua Engineer never. Kudos kwa bimkubwa usomi upo kwemye familia doto magari apitie hii interview apne maana ya neno elimu na sio kuongea ongea ushubwada
@clauschaula2050
@clauschaula2050 12 дней назад
Hongera endelea na majukumu yako ukimtanguliza Mungu.
@Wish_Tv
@Wish_Tv 8 дней назад
Nilichogundua Kweli tupo 3rd word maana mtu wa masomo ya Arts leo anaendesha ndege sisi wa Science tulioangaika na Physics tushakataga Tamaa all in all naipenda Tanzania yangu
@azizakitele9165
@azizakitele9165 12 дней назад
Piga kazi hukohuko dogo ili utengeneze njia kwa wabongo wengine pia wapate exposure!
@devothasimbi6495
@devothasimbi6495 10 дней назад
Uko sawa ila wachache wanafamilia kuziishi ndoto zao,wengi wakienda ughaibuni kusoma wanaishia kujipjotoa tuu leongo lililikuwa kuishi au kufika ughaibuni😂 na kuishia kujitumbukiza maisha ya kuigiza mitandaoni ,sio rahisi ni kuomba Mungu kuziishi ndoto kiujumla.
@hadijaSeif-v6s
@hadijaSeif-v6s 8 дней назад
Amiin
@saidmasoud9004
@saidmasoud9004 12 дней назад
Kijana ushauri piga kazi ulaya. Fikra za kurudi nyumbani acha kwanza. Ulaya kunalipa vizuri sana. Hata Gulf kuna lipa sana.
@devothasimbi6495
@devothasimbi6495 10 дней назад
Canada sio ulaya jamani
@MbarakHaruna
@MbarakHaruna 12 дней назад
Top ...story
@fababindawood8363
@fababindawood8363 2 дня назад
Halafu mtt akiwa na kazi nzr na pesa baba ndo atakuja kujitokeza na kulalamika mwanangu hanisaidii wanaume tusome hapa funzo kwetu tuwache ujinga tuwashulikie watt wetu
@Sarah-ve3xn
@Sarah-ve3xn 7 дней назад
Nimewafurahia sana mama na mtoto❤
@margarethsaramaki3966
@margarethsaramaki3966 9 дней назад
Mungu akutangulie na familia yako Mama ni mama na ni Suoer Woman mbarikiwe sana🇹🇿🇹🇿🙏🏼🙏🏼
Далее
ЗАБЛУДИЛИСЬ В ТРАВЕ #shorts
00:25
Просмотров 370 тыс.