Тёмный

Dodoma: Mama na Mwanae wabakwa na kuuawa kikatili 

Simulizi Na Sauti
Подписаться 1,4 млн
Просмотров 14 тыс.
50% 1

Tembelea sns.co.tz/ kwa taarifa zaidi

Опубликовано:

 

15 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 141   
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 9 дней назад
Mungu atupe mwisho mwema mimi nawew unaesom coment 🙌
@tatutatu1570
@tatutatu1570 7 дней назад
Amin 🤲😢
@SalamaNauthar
@SalamaNauthar 7 дней назад
Amin yarabil alamin🤲🤲🤲🤲
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl 9 дней назад
Kwani wanaumesikuhizi Tz wengi wao wanamatatizo gani kichwani na hukochini. Ni.mwendo wakulawiti nakuuwa sibule kunakitu kichunguzwe. Allah atujaalie mwishomwema tunaishi kwauwoga
@user-ux3jl9cl4w
@user-ux3jl9cl4w 9 дней назад
Tatizo sheria zinapindishwa sana ao wangeasiwa tu arf jera maisha
@MsAggie5
@MsAggie5 9 дней назад
​@@user-ux3jl9cl4wlkweli
@jeannettehabonimana2825
@jeannettehabonimana2825 9 дней назад
Mambo anafanyiwa Tanzania Hakuna inchi yingine inafanyiwa Ayo matukio
@jacksportman5181
@jacksportman5181 9 дней назад
Maadili yameporomoka Kwa kiasi kikubwa , familia nyingi znavunjika ,visasi vimetawala mioyoni mwa watu maana utakuta mama anaishi na watoto (single mother) au baba anaishi na watoto (single father) Hili ombwe kubwa sana na si mpango wa Mungu hata kidogo,unakuta mama analea watoto katika misingi ya kumchukia baba yao au baba nae anawalea watoto kumchukia mama Yao,Hiki ndio chanzo kikubwa Cha matukio haya.Inatupasa turudie mpango wa Mungu ya kuwa Baba+mama+watoto waishi kama familia na Kila mmoja ajue nafac yake kwenye familia bila hivi hakika jamii itateketea Kwa kukosa maadili na Kila mmoja Kutaka kuwa mkubwa ndani ya familia✍️
@BesterBrigt
@BesterBrigt 9 дней назад
😭😭😭😭😭😭😭dunia simama nishuke Eeeeee mumba wetu, tujalie mwisho mwema
@magrethjohn4929
@magrethjohn4929 9 дней назад
Kila kitu kinachotokea huwa kina sababu inaweza ikawa nzuri au mbaya,, mwenyezi Mungu wajua wewe 🙏🙏
@ramahkesh9360
@ramahkesh9360 9 дней назад
ALLAH ATAWALIPIA MACHOZI YENU 😢
@lilyjones3584
@lilyjones3584 9 дней назад
Inasikitisha sana. Hii ni zaidi ya ukatili, ni ushetani!!! Mateso waliyopata huyo Mama na binti yake ni makubwa. Halafu kama vile haitoshi bado ilibidi wapelekwe kituo cha polisi badala ya kuwahishwa hospitali! Huu utaratibu wa kupeleka majeruhi wenye hali mbaya polisi ni vema ukaondolewa. Majeruhi wapelekwe hospitali kwanza ili kujaribu kuokoa maisha yao.
@ankalmzito254
@ankalmzito254 9 дней назад
Tanzania hizi habari za ubakaji sasa zimezidi juzi nliona taarifa baba kabaka mwanae umri wa miezi 6.. habari nyengine baba mzee kafungia binti wa darasa la nane ndani kwa siku mbili akimbaka...tena leo hii mama na mtoto kubakwa kisha kuwawa inasikitisha sana😭😭😭😭😭😭🇰🇪
@WahuBoth
@WahuBoth 8 дней назад
😭 mungu kwanin ulituchukulia rais wetu MAGUFULI 😭 sijui niseme nn adi naogopa MUNGU TUNUSULU 😭
@gloriadaniel3827
@gloriadaniel3827 8 дней назад
Dodoma kunatisha. Viongozi liangalieni hili ni Bora kuweka Makamanda Wakuu hata wawili. Hii ni Too much😢😢
@TanganyikaTanganyika-d6c
@TanganyikaTanganyika-d6c 9 дней назад
Da mungu wetu upo wapi njoo tuokoe mungu
@RayMakini
@RayMakini 9 дней назад
Dodoma saiv VP jaamn jaamn kila kitu Sisi tuuu!! Daaah Munguu iyokoee Dodoma
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl 9 дней назад
Alafu wakikamatwa utaambiwa uchunguzi unaendelea
@yorobokoro8387
@yorobokoro8387 7 дней назад
Daah,tuwe na hofu na mungu tunamuitaji mungu kwann watu makatili ivi
@user-princs
@user-princs 9 дней назад
Kila mtu kwa imani yake tutafute siku ya kufunga na kusali haya matukio yaishe.inashtua inaogopesha inaleta woga Hii kubakwa kulawitiwa inatupa tuwaogope wanaume na kuwaona kama sio binadam wakawaida mbona ukatili mkubwa na unazidi siku hadi siku?? Kwanguvu zetu hatuwezi MUNGU simama 😢😢😢😢😢😢😢
@husnathabiti4114
@husnathabiti4114 8 дней назад
Kwakwel
@peninakilanga1407
@peninakilanga1407 9 дней назад
Imetisha mnooo mnoooo Mungu njoooo!!! 😢😢
@georgedaniel4962
@georgedaniel4962 9 дней назад
Poleni familia ya wafiwa wote,ndoo dalili za kuja kwake mwana wa Adamu yani Mungu
@kassimrajabu7805
@kassimrajabu7805 9 дней назад
Mungu yupi??! Sema ujio wa Issa mwana wa Mariam na sio Mungu....Mungu yupo siku zote.
@georgedaniel4962
@georgedaniel4962 9 дней назад
@@kassimrajabu7805 Ni uelewa tu ila lengo letu mm na ww ni moja.
@nellymtambo8432
@nellymtambo8432 9 дней назад
Tanzania kunaitaji maombi Watanzania mnabidi mfunge na kuomba Tanzania inatishaa kwa Sasa Mungu wangu Serikali mko wapi nchi imekua ya kinyama naogopa Mimi jmn natetemeka 😭 Mungu Baba naiweka Tanzania mikononi mwako 🙏ni wewe tuu ndio unaweza kutuokoa katika janga hili la ulawiti,ubakiji,mauwaji,utekaji Tanzania inakuitaji Jehovah 😭
@swalehemusa4546
@swalehemusa4546 9 дней назад
Mtanikumbuka sio Kwa mabaya bali kwa mema
@aminasittusaid3830
@aminasittusaid3830 9 дней назад
​@@swalehemusa4546 RIP JPM
@tidomilinga3750
@tidomilinga3750 9 дней назад
Dodoma nayo sio poa
@aminahhuawei1133
@aminahhuawei1133 9 дней назад
Wanakamatwa naushahidi kabisa ilaa unaambiwa uchunguzi unaendelea ile kesi ya yule bint hata hatujuwi imeanda wapiii daaa mungu wangu tusimamia sisi wanyonge 😢😢😭😭😭😭😭
@paulojohn-bh2vz
@paulojohn-bh2vz 9 дней назад
Yaani hii hali itaendelwa nakuendelea maana wale vijana walio mfanyia ukatili yule binty wa yobo mmewaweka tyuu kwahiyo walikuwa natabia kama ya Hawa vijana wataendelea kudhuru wengine kwani Hawa watu wakipatikana wasionyeshwe mfano ili hii hali iwaogopeshe na wengine?? Jmn nihusuni kwakweli 😢😢
@TuyageComcast
@TuyageComcast 9 дней назад
Mbona tanzania muko na uo ungojwa wakubakaa,,,,please government itibu uuu ugojwa jamaniii,,,,,,😢
@LizenMaker
@LizenMaker 9 дней назад
Angekua Magufuri angetibu et
@user-gb5vz6wm2q
@user-gb5vz6wm2q 9 дней назад
Binaadamu ni kiumbe chenye roho mbaya sana
@madamehatibu9324
@madamehatibu9324 9 дней назад
Sio binaadamu Bali mwanaume
@ALLINONE-us6tj
@ALLINONE-us6tj 9 дней назад
Dodoma saiz kwamoto duuu
@lisawilliam2491
@lisawilliam2491 9 дней назад
Hii inchi jaman imekuwaje naogopa aisee 🙆🏻‍♀️heeeh mungu tuhurumie 🙏🏾 . Polen sn familia jaman
@benjagaspar5304
@benjagaspar5304 9 дней назад
Mungu atuepushe na majanga ya kla sku mungu wape nguvu dugu na jamaa
@hongerakimbwala8650
@hongerakimbwala8650 9 дней назад
Ila tunahitaji maombi sana maana binadamu ni zaidi ya wanyama
@mnipulamahahi9858
@mnipulamahahi9858 9 дней назад
Ndugu zangu Dodoma cyo sehemu salama kbs
@subiramussa1428
@subiramussa1428 9 дней назад
Nashindwa hata niandike nn eh MUNGU tusaidie 😢
@mariamfaicalhassan2890
@mariamfaicalhassan2890 9 дней назад
Mtakapo ona maasi yamezidi basi mjue ni wakati wa kurudi mwana wa adamu yupo mlangoni
@TonnleeLwisgon-c6m
@TonnleeLwisgon-c6m 9 дней назад
Inasikitisha sana kwa kweli ila pia sijui huyo kijana nae achunguzwe vizuri au ahojiwe vizuri maaana maelezo yake yananichanganya 😢😭😭😭
@braystuskibassa3842
@braystuskibassa3842 9 дней назад
Mmmmh inaumiza saaana tukemee mambo haya si mema kwa Tanzania
@magrethjames5950
@magrethjames5950 9 дней назад
Tutatembea na kufurii sasa eeh Mungu eee 😢
@HamisMghuna-fj3vz
@HamisMghuna-fj3vz 9 дней назад
Lailahailah hao n kua tu,
@MaryamKhawar-h3j
@MaryamKhawar-h3j 6 дней назад
Jamani hii nch inafika wapi inauma sana
@mnipulamahahi9858
@mnipulamahahi9858 9 дней назад
Acha matukio ya wanajeshi ni hatari sana dodoma ni kubaya mno mnooo
@AminaSwaleh-bt8pk
@AminaSwaleh-bt8pk 8 дней назад
😢😢😢
@ramadhanhassan5285
@ramadhanhassan5285 9 дней назад
Sijui tunaenda wapi umbake umlawiti na Kisha umchome na kitu chenye ncha kali mungu tunusur ya rabb tumefikia pabaya Inna lilah wainna ilaiyhi rajiuu
@user-ot3tw3uq9o
@user-ot3tw3uq9o 8 дней назад
Tanzania saivi imekua ya kutisha sana😢
@kagoyemwambal9061
@kagoyemwambal9061 9 дней назад
Kwa kweli lnauma..khaaa Jaman tunae😭😭😭..muwe pole nda wapi..
@StevenTaylorx
@StevenTaylorx 6 дней назад
TANZANIA
@princetozzy2918
@princetozzy2918 9 дней назад
Dodoma sasa ivi kuna nini aisee.. ishu ya Dojo dom. Ishu yakina afande dom ata hi nayo dom dah.. its so pain
@RubenMtuwaMungu-bz8ee
@RubenMtuwaMungu-bz8ee 7 дней назад
Tangu utawala wa Samia uanze Tanzania inazidi kudidimia. Simaanishi tawala zilizopita hapakuwa na maovu. Nawapenda wanawake ila wana udhaifu mkubwa sana linapokuja suala la kulinda maadili.
@navioma4882
@navioma4882 8 дней назад
Wale maafande wanawalea ndo maana matukio yanazid😭😭😭😭🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿😭😭😭😭😭
@LindaMbilinyi-n3n
@LindaMbilinyi-n3n 9 дней назад
😳😳😭😭😭😭nipo Dodoma mbk napaogopa
@wemamtundu7906
@wemamtundu7906 8 дней назад
Unajua Tatizo ni serikali maana haya matendo yanatokea kila kukicha, ila husikii hawa watu wakiwajibishwa, kila siku ushaidi bado haujakamilika. Ndio maana Shetani nae amekaa hapo hapo kwa wasio julikani. Hizi damu kuna siku zitaligharimu taifa.
@estakapufi7582
@estakapufi7582 9 дней назад
Daa dodoma kuna nini jamani? Inabidi ulinzi uongezeke maana imekuwa sasa matukio yakutusha yana ongezeka kwa kasi sana😢
@mnipulamahahi9858
@mnipulamahahi9858 9 дней назад
Wiki iliyopita kuna mama amebakwa na kukatwa na mapanga mjumbe alikuwa msaada wa watuhumiwa kukimbia yule mama amekufa na hakuna kilicho endelea
@kassimrajabu7805
@kassimrajabu7805 9 дней назад
Dodoma why????😭😭
@shakeuabuu8851
@shakeuabuu8851 9 дней назад
Huko dodoma hakuna mpango😊
@SheliamJuneIamfine-ji6yw
@SheliamJuneIamfine-ji6yw 8 дней назад
This is so sad 😭😭😭
@huseinomary808
@huseinomary808 9 дней назад
II nchi 😢😢
@ibrahimkasim922
@ibrahimkasim922 9 дней назад
Poleni sana duuh Hawa wabakaji wanavuta banging?🥱 How can imagine mauaji hivi
@sonnyr1899
@sonnyr1899 9 дней назад
Wanaume jamani nini kimetutokea ????? Tuna kuwa roho mbaya dhidi ya hawa viumbe wanyonge hivi? Kesi ya binti wa YOMBO itasaidia kuonesha mfano.
@ChristianSiwale-iw7ex
@ChristianSiwale-iw7ex 8 дней назад
😢😢😢poleni sana ndugu zetu kwa misiba 😢😢
@sarahkimu1351
@sarahkimu1351 8 дней назад
Juzi alibakwa mtoto, na rpc alisema mbele ya hadhara kwamba anahakikisha ana komesha hii kitu,Tanzania bado
@michaeljuma254
@michaeljuma254 9 дней назад
Alafu wahalifu wakoshikwa, utasikia hakuna ushahidi mara hao walikua wanajiuza au walijatakia, serikali , serikali zetu hizi
@Sidrasidra636
@Sidrasidra636 9 дней назад
Dah watu wa Tanzania kuna nini jamani!💔😭
@yusuphwm
@yusuphwm 9 дней назад
Aisee😢
@selemanisalum7685
@selemanisalum7685 8 дней назад
Watajulikana tu hao mboni rahisi sana
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly 9 дней назад
wabakaji wanyongwe hapo hapo,yaani ni hukumu ya moja kwa moja na kunyongwa. Na familia yao nzima ifungwe miaka 5 .
@mukamanasalamma3123
@mukamanasalamma3123 9 дней назад
😭😭
@AFRICA_D669
@AFRICA_D669 9 дней назад
Hayo yakawaida tu hata dherusi haifiki huko Kwenye gereza za Israel kulawitiwa na kuchinjwa na makombola vipande vipande BUT RIP
@fatmaalnabhani3609
@fatmaalnabhani3609 9 дней назад
Naona watu watskwisha wote kwa kulawitiwa kubakwa na kuuliwa 😮😮
@aminakawawa5800
@aminakawawa5800 4 дня назад
Hii nchi sijui tunaenda wapi 😢😢😢
@aishakhamis2996
@aishakhamis2996 9 дней назад
Samia jizulu 2 kumamako ...!! Huna maajabu enz za makuful hayakuwa haya...!!! Ww kutwa kiguu na njia tuu...!! Dah so sad...!!
@EliudiJastini
@EliudiJastini 9 дней назад
Duuu inauma sana 😢😢
@ahammedmahruki8708
@ahammedmahruki8708 8 дней назад
Wasanii pazeni sauti kwenye hili na siyo tu kutuimbia matusi 😢😢kila mtu atunge wimbo .kukemea huu ukatili naserikali ibadilishe Sheriya mpya anae baka akatwe uume tu ndio dawa😢😢 make nyie ndio mnaweza peleka ujumbe uka fika kwa kasi sana mkiitwa kwenye shughuli za Serikali mnaimba😢😢😢
@anthonikabuye6819
@anthonikabuye6819 9 дней назад
Dodoma imechangamka sana skuiz 😢
@user-yv6bi8rj5z
@user-yv6bi8rj5z 7 дней назад
Daahh
@Keyjop
@Keyjop 7 дней назад
Heee👀
@amosmakabara3024
@amosmakabara3024 9 дней назад
Ukiingia fb utakutana na viunganishi vingi tu vya video za ngono, kwenye mitandao unakuta mashoga wanacheza na kufurahi alafu leo tunasema mungu tusaidie huyo mungu nae atakuwa hana kazi za kufanya
@teddymutani856
@teddymutani856 8 дней назад
Waziri wa ulinzi waziri wa ulinzi waziri wa ulinzi tusaidieni tunakufa jmni sisi wamama na watoto wetu uuwiiiii
@user-zt4rd5pr1e
@user-zt4rd5pr1e 8 дней назад
Hii ishu ipo chini ya wazir wa mambo ya ndan
@HamisMghuna-fj3vz
@HamisMghuna-fj3vz 9 дней назад
Wamekula utamu kwnn wameua, lanatulah n kua tu,juu y paa,ase balaaa,
@kapingageorge7635
@kapingageorge7635 9 дней назад
Yani 2kio kama hlo linatokea huyo kjn yumo ndan ameshindwa kuckia chochotee mnhh kuna hapa😢😢
@PaulinaOtaigo-cr3sq
@PaulinaOtaigo-cr3sq 9 дней назад
Labda waliwekewa dawa ya usingizi mbona hata huyu mtoto wa miaka Saba aliekua amelala na mama ake hakusikia
@fidesbernard4835
@fidesbernard4835 9 дней назад
Oohh jamani mbona hivyo siku hizi
@PendoMarco-x3u
@PendoMarco-x3u 9 дней назад
Mungu saidia taifa letu
@peninakilanga1407
@peninakilanga1407 9 дней назад
Mungu wangu !!!😢
@aishabakari8040
@aishabakari8040 9 дней назад
Kunatishaaaaaa 😭😭😭😭😭😭
@USTAWIWAJAMIITZ
@USTAWIWAJAMIITZ 9 дней назад
Kuna Haja Ya Kada Ya Ustawi wa Jamii , Kupewa Hadhi Na Heshima Lakini Na Sheria itakayo Ruhusu Kada Hiii Kufanya Kazi za kujitegemea yaaani Private Firms
@husseinkonz5192
@husseinkonz5192 9 дней назад
Duh shida Sana haya mambo yamekua daily sasa serikali Kaz hyo
@ZHING.Tech.
@ZHING.Tech. 9 дней назад
Hapna na wao walikuwa kama wanajiuza tu sindio walisema police wetu walivyosema kwenye kesi ya yule wakwanza
@mwanajumaomahundumla6504
@mwanajumaomahundumla6504 9 дней назад
Jamani 💔
@raddyrapper3171
@raddyrapper3171 9 дней назад
😢
@dorcaskidoti249
@dorcaskidoti249 9 дней назад
Watumie macho yao kutambua wauwaji sbb macho ni Camera 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@JeremiahKaliwa-h1w
@JeremiahKaliwa-h1w 9 дней назад
Wakibainika chuma au kifungo Cha maisha wataogopa serikali isimamie kama kesi ya geita
@obadiahnkwale124
@obadiahnkwale124 9 дней назад
Hv haya mambo yakoje😢
@Aishatheboss117
@Aishatheboss117 7 дней назад
Innalillah wa innalillah rajuuni 😭😭😭
@sund2553
@sund2553 9 дней назад
😢Tunaish dunia yenye ukatir sana 😢
@FredMramba-hx3gl
@FredMramba-hx3gl 9 дней назад
Yani ukishaona mtu aendi hata kusali kanisani au msikitini siku za Ibada basi fahamu huyo ana hofu ya mungu anaweza kufanya lolote amjui mungu
@JofreyMsigwa
@JofreyMsigwa 9 дней назад
Hata huko kanisan mskitin kote Kuna maovu ya kutisha bana
@alexmalyango1405
@alexmalyango1405 9 дней назад
Hii ndo Tanzania niijuayo maswala ya utekaji tumeyasahau tunakimbizwa na wahuni eti wamebakwa magori ya mikono tunayapa kisogo eti mama na mwanae wamebakwa hii ndo tanzania wazee wa kuitengeneza kiki na kuifanya jamimi isahau msingi wake wacha tuone wqtekaji wapo wapi maana tunaacha msingi tunakuja kurishwa tango poli😂😂
@TonnleeLwisgon-c6m
@TonnleeLwisgon-c6m 9 дней назад
Kinachonisikitisha kwenye taifa langu sio tukio au matukio bali watuhumiwa wakipatikana utasikia uchunguzi unaendelea jalada lipo mahakamani
@adelinabaitu3291
@adelinabaitu3291 9 дней назад
Waliwapulizia dawa au jamani kubakwa wasipige kelele inatisha sana watoto waulizwe kwa kina
@user-mh4zq7ec7z
@user-mh4zq7ec7z 9 дней назад
Wanaume wa tz Mbon mnataka kuwa kua wanaume wa Indian iyi nayo hapana
@beautyandfashiontipsforbot4524
@beautyandfashiontipsforbot4524 9 дней назад
Allah akibaru jamani wa tanzania tunakwenda wapi mauwaji yame kisiri serekali ukowapi amani akuna tena
@user-cx1oc6hn3v
@user-cx1oc6hn3v 9 дней назад
Maombi yanatakiwa kwenye hii nchi kama enzi za makufuri
@khalsasalim7930
@khalsasalim7930 8 дней назад
Inawezekana mashetan ndio wa tanzania 🤔
@SalmanMughal-lq5lt
@SalmanMughal-lq5lt 9 дней назад
Uwo wali maharage wangejuwa wange yaweka sumu wafilie mbalinawao
@delsonandrea5223
@delsonandrea5223 8 дней назад
Hao wavuta Bangi mtu mwenye akili timamu hawez kufanya hv ndo.
@rajah9328
@rajah9328 9 дней назад
Kwanza wale police watakiwa wawe mfano wanyongwe au wakiachilwa wanafaa wapigwe mawe ady kufa na wananchi kwnin swala la kubaka kesi yaishi kotini miaka mingi
@delsonandrea5223
@delsonandrea5223 8 дней назад
Unakuta kijana anavuta Bangi mtaani watu wanamuangalia tu matokeo yake ndo hayo sasa
Далее
БЕЛКА РОЖАЕТ? #cat
00:21
Просмотров 602 тыс.