Тёмный
No video :(

DOGO ASLAY NA NANDY WAJISALIMISHA KWA MWENYE WIMBO WA SUBALKHEIR ZANZIBAR 

KTV TZ ONLINE
Подписаться 376 тыс.
Просмотров 286 тыс.
50% 1

~-~~-~~~-~~-~
Please watch: "LIVE:SHUHUDIA WAZIRI MKUU AKIWASILI UKEREWE"
• LIVE:SHUHUDIA WAZIRI M...
~-~~-~~~-~~-~ #hakikahiinifahariyetu #hakikahiinifahariyetu

Опубликовано:

 

5 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 95   
@cherineamina4139
@cherineamina4139 6 лет назад
Congratulations Aslay & Nandy,
@faidadusabe9249
@faidadusabe9249 6 лет назад
uyo mama Mungu ampe umri mrefu 🙏☝
@bonephasbenjamin4848
@bonephasbenjamin4848 6 лет назад
Aliye imba hatokwi na mapovu nyinyi umbwa koko ndo mna bweka kazi nzuri aslay x nandy
@bwanabrainex433
@bwanabrainex433 6 лет назад
Big up Aslay and lovely Nandy
@mwanahalimamwachili9679
@mwanahalimamwachili9679 6 лет назад
Bibi karidhia endeleeni kuimba, Vizuri sana bibi. Na vizuri pia Aslay kwa uamuzi wa kwenda kwa bibi.
@ezekielmichaelmsigala8545
@ezekielmichaelmsigala8545 6 лет назад
respect aslay na nandy. ila kama kesho anzeni na kuomba kwanza
@ryobasamson9395
@ryobasamson9395 6 лет назад
safi sana my model aslay
@mwajumaaisha3707
@mwajumaaisha3707 6 лет назад
Iko vzr
@shamsaismail7707
@shamsaismail7707 6 лет назад
Asante kua na heshima kwa mama
@mussambare4230
@mussambare4230 6 лет назад
sasa nyie mnaotukana mntukana nn wakati bibi Mwenyew amkubali na amewapa Baraka, big up kaka n Dada yang 😘😘😘😘😘😘😖
@faridabakari8511
@faridabakari8511 6 лет назад
jambo la busara mashallah 😍😍😍
@faudhandaluko642
@faudhandaluko642 5 лет назад
Nic
@isihakakillamba2909
@isihakakillamba2909 6 лет назад
kitu kizuri xana mlchofanya guyz, nmependa mno co wasanii wengne wanatumia kaz za watu bla ya kuwaconsult au kufanya appreciation yyte big up guyz
@zainabumwanjoka3085
@zainabumwanjoka3085 6 лет назад
duuuuu jamani nyimbo nzuli sana
@saidsaid9463
@saidsaid9463 6 лет назад
Shukrani bora yamesha
@brownclassic788
@brownclassic788 6 лет назад
nzuriii
@winniemagomba7475
@winniemagomba7475 6 лет назад
kumbe unaendaga kuchangusha maneno dg mmmn mungu akubaliki
@maryshija5132
@maryshija5132 6 лет назад
safi sana
@festomlowegypsum8214
@festomlowegypsum8214 6 лет назад
mmefanya vizuri Sana
@larickmtui2852
@larickmtui2852 6 лет назад
Ila msiache kumpa kitu maana nyimbo imeuza sana
@mussaabdalla5466
@mussaabdalla5466 6 лет назад
nady you so cute
@ramadhanishabani9595
@ramadhanishabani9595 6 лет назад
vizuri sana
@mussaabdalla5466
@mussaabdalla5466 6 лет назад
nandy you soo cute
@zamzamhamisi7332
@zamzamhamisi7332 6 лет назад
Respect
@shanbubakari4550
@shanbubakari4550 6 лет назад
Wem ,
@gspofficial7977
@gspofficial7977 6 лет назад
Acheniiii namaneno simu zipo ruksa kwanzaaa mengine badae nmekuelewa asly hunaakili Nataman Nifanye korabo nawewe
@selengamjanja
@selengamjanja 6 лет назад
Umejiongeza Sanaa janja
@deusmauka9626
@deusmauka9626 6 лет назад
Toeni pesa mumpe bi mkubwa,maneno matupu haiwezekani.
@dayanagaitany7796
@dayanagaitany7796 6 лет назад
Endelea baba uyo baba mzoa mzoa mpk mizoga
@sebajohn7108
@sebajohn7108 6 лет назад
Mzigo umetulia huo ASLAY&NANDY
@kallamudaily73
@kallamudaily73 6 лет назад
صباح الخير
@dashuusaalim8882
@dashuusaalim8882 6 лет назад
khaaaaah kumbe bimwapombe bdo yupo hai enz zake huyoo heehee nakupa barua unpe majibu kamata chukua xoma tartib.... nazpenda nymbo zke
@samsonndaro8492
@samsonndaro8492 6 лет назад
Honger kwa kwenda lkn ingetakiwa muombe ridhaa kwanza kabla ya kutoa wimbo,mmukumbuke maana hyo nyimbo imeuza sana
@jebace
@jebace 6 лет назад
hata mie nimechanganya cjaelewa,yani walienda kumuona mmiliki wa nyimbo kabla ya wao kuitoa remix au baada ya wao kutoa remix.km ni baada then hawanaakili wao na management zao,na inabidi waadhibiwe hii ni dharau
@nafisamohamad3182
@nafisamohamad3182 6 лет назад
sumum bonum kabisa hata mwenyewe hapo anaonekana hayupo radhi kwa hilo jambo waliolifanya, bila kumuomba ushauri, baada wameshalifanya ndio wakumbuka kwenda kumuomba msamaha.
@blacksonismael2501
@blacksonismael2501 6 лет назад
kweli sani kio cha jamii
@nasrmohamed5305
@nasrmohamed5305 6 лет назад
Mngemuomba kwanza yaan mshaimba ndo mnajfnya kwenda kumuona.cfa 2
@paulopoul3134
@paulopoul3134 6 лет назад
Nasr Mohamed mko pow sana
@jemedary6271
@jemedary6271 6 лет назад
kuna mda unakuwa hujui kama itahit,
@francefaida6692
@francefaida6692 6 лет назад
mtangazaji uko vzur
@ramadhanishabani9595
@ramadhanishabani9595 6 лет назад
vizuri sana asleyy
@peterzakaria7000
@peterzakaria7000 6 лет назад
hadi ufurahie utakayokutana nayo mazur
@mariamhamzah7307
@mariamhamzah7307 6 лет назад
duh kumbee
@papafikiri
@papafikiri 6 лет назад
Sio wa kupongezwa mmevunja sheria.Anza kuomba ridhaa ya mtu kisha tumia kitu chake.sio unatumia kwanza....kwani ilikuwa dharura??????tuheshimu kazi za watu.
@mafinamaizez2514
@mafinamaizez2514 6 лет назад
binadamu ndivyo tulivyo sasa wamejua kosa na muhusika kakubali kwa roho moja vipi yasowahusu kuwatoka mara mbona hamkwenda yahusu nini
@rashidseif6103
@rashidseif6103 6 лет назад
Watanganyika kila kitu basi lazima wainge zanzibar
@factshome2843
@factshome2843 6 лет назад
Sabalkher sio subarkheir
@ibrahimshehuna5410
@ibrahimshehuna5410 6 лет назад
Aslay na Nandy mumefanya lamana kumfuwata mwenyewe NYIMBO ili akupeni rizaa
@hoseanobocka4533
@hoseanobocka4533 6 лет назад
Ibrahim Shehuna wezi hao
@aminamusa3806
@aminamusa3806 6 лет назад
nikweli kabisa
@jemedary6271
@jemedary6271 6 лет назад
wamefanya vziur sana, wangeenda kabla ingekuaje usingehit siingekula kwao?
@eppynecmasatu1901
@eppynecmasatu1901 6 лет назад
jamn wimbo unaitwaje
@mwanaesha6869
@mwanaesha6869 6 лет назад
Umewakomesha wale wambea
@ahmedyoung7300
@ahmedyoung7300 6 лет назад
Apo pw nahis kafata comment za mashabik wake
@hamishamis9905
@hamishamis9905 6 лет назад
Heee huyu bibi kafanana na bibi yangu
@theonlyfunguokeyz5638
@theonlyfunguokeyz5638 6 лет назад
Umkali Aslay
@principiusndyakohai5998
@principiusndyakohai5998 6 лет назад
Nadhani mwaitaji kuliona jua kabla ya mwezi
@mshumimediaproductionzanzi8844
mwapombe sie mtunzi wa nyimbo hiyo yeye ni muimbaji mtunzi ni sami haji dau mtia muzik ni sami hajidau na wamiliki halali ni culture musical club hata kwenye haki miliki zanzibar cosoza culture ndio wenyewe na tunampango wa mkumpeleka mahakamani aslay na nandi
@avax5717
@avax5717 6 лет назад
MSHUMI MEDIA PRODUCTION ZANZIBAR hivyo
@hoseanobocka4533
@hoseanobocka4533 6 лет назад
kumbe aslay mmeiba huu wmbo
@zanzibarsmzenji
@zanzibarsmzenji 6 лет назад
Mlipeni chake haraka msilete stori
@blacknature7637
@blacknature7637 6 лет назад
mlakapolo mzenji09 😂😂😂😂 hahahahaha umenimazaaaaaa mkono mtupu haulambwi 😂😂blabla waache
@deusmauka9626
@deusmauka9626 6 лет назад
Kabisa,hatutaki ujinga wa maneno mengi.
@valentinamussa4212
@valentinamussa4212 6 лет назад
mlipeni bulabulaa hatutaki kusikia
@avax5717
@avax5717 6 лет назад
Afadhali
@sheillahchisika8414
@sheillahchisika8414 6 лет назад
Hapo ndipo nakupendea Aslay kwani una akili mingi kuliko miaka mingi shukurani.
@masusuabas8395
@masusuabas8395 6 лет назад
Safi sana
@masusuabas8395
@masusuabas8395 6 лет назад
Hongereni sana
@evodiaeraston4118
@evodiaeraston4118 6 лет назад
Kwani wamefanya kosa gani ?kwenda kwake bibi hao ndo wanamuenzi bibi mmefanya lamaana kumuomba radhi
@ablysedate3309
@ablysedate3309 6 лет назад
mnafuata nyayo za vee
@fu4308
@fu4308 6 лет назад
Kwanini musimuombe kabla
@khalidhamad5621
@khalidhamad5621 6 лет назад
mumuobe radhi hamja utendea haki na mumlipe yeye hajakata viuno wala kukobeana
@ashminaabdullah5626
@ashminaabdullah5626 6 лет назад
Mtangazaji unatamka vp ww tamka maneno vzur usijifanye kujua itamke vzur ilo neno
@amryzubery1051
@amryzubery1051 6 лет назад
mbona diamond anaiba nyimbo zawatu mbona hamuongei wariosema sray aperekwe basata nichizi
@laythatoman3945
@laythatoman3945 6 лет назад
Wakome ata hawajaipatia kama alivoipatia wenyew
@laythatoman3945
@laythatoman3945 6 лет назад
Wew mjinga kweli mapovu yote aya kisa nimekoment nyimbo sio nzuri tu na hawakuipatia kama alivo imba wenyewe dah pole sana mfuasi wa bilisi ila shobo umeanza ww jengine sitaki unijibu kitu kutoka kwako bilisi wew makaazi yako mungu akuongowe in sha allah
@salmambwana4236
@salmambwana4236 6 лет назад
+LAYTHAT OMAN nyimbo ni nzur sana Kama hujaipenda isingeiangalia hii video cku nyingine naomba usome maneno kwanza kabla ya kuangalia
@juliealiou9131
@juliealiou9131 6 лет назад
LAYTHAT OMAN roho mbaya 😂 pole shosti
@laythatoman3945
@laythatoman3945 6 лет назад
Julie Aliou nyooooooooooo nfuasi wa bilis ww
@chibby9616
@chibby9616 6 лет назад
Shez kabsa nyie ni wezi mumeiba alaf mnajifanya kujisalimisha Kwann msingeenda kabla?achen ujinga hii chanel imenitoka rohon
@khalidhamad5621
@khalidhamad5621 6 лет назад
mabwege nyie
@selemaniabdul8106
@selemaniabdul8106 6 лет назад
Msilopoke kama mekunywa maji ya ugolo hebu msikilizeni Ashley mwazo kwenye maojiano clouds menejimenti yao wameonananao na wamiliki wa wawimbo wao huo kitambo tu wao si wajinga kuwimba kitu bila kukubaliana na mmiliki wao wamenda zenji km kutoa shukrani tu
@abdulmjeeb4872
@abdulmjeeb4872 6 лет назад
Mumefanya Upuuzi munachanganya Haki na Batwili Nyie humu KTV Tz munausaliti Uislaam
@shakshakira2928
@shakshakira2928 6 лет назад
mmmkkmh napita2
@abdulmjeeb4872
@abdulmjeeb4872 6 лет назад
Na Hakuna Muislaam Mwenye Imaan Ataweza Ku Subscrib Chanel yenu . mumeboa Mimi nimejitoa
@tingij2218
@tingij2218 6 лет назад
Wapuuzi nyie ,yani utumie cha mtu bila ruhusu kisha ndo umfate kushukuru n kupongez unafk.. Mmeniboa
@abdulmjeeb4872
@abdulmjeeb4872 6 лет назад
Astagfiru llahi. Kumbe KTV online Nyinyi Hamfati Cha Haram wal Halali?
@hamadshein935
@hamadshein935 6 лет назад
PAMPULA NYIE WA UTUNZI.UNAIMBA WIMBO WA MTU NDO UNAENDA KUOMBA.MNAZARAU.WAPELEKE.BASATA.NA.WABURUZE.KWA PILATO.CKU INGNE WAKOME.
@aishajumaaisha2769
@aishajumaaisha2769 6 лет назад
....
@annacarlos7925
@annacarlos7925 6 лет назад
Hamad Shein acha ujinga wewe bibi muungwana anajua fika wanamuenzi mchango wake
@hamadshein935
@hamadshein935 6 лет назад
Anna Carlos kama kumuenz wangemsubiria afe.ndo wamuenzi.
@jackmahona6160
@jackmahona6160 6 лет назад
nyanda kamunya
@rashidseif6103
@rashidseif6103 6 лет назад
Watanganyika kila kitu basi lazima wainge zanzibar
Далее
Nikumbushe (Cover song) - Nandy
5:05
Просмотров 15 млн
Barnaba Ft Aslay - NGOMA (Official Music Video)
3:51
ПРОСТИ МЕНЯ, АСХАБ ТАМАЕВ
32:44
Просмотров 1,6 млн
Kivuruge Accoustic (Remix) - Aslay x Nandy
4:16
Просмотров 184 тыс.
Aslay-Rudi Darasani(Official Music Video)
4:50
Просмотров 1,8 млн
Lava Lava - Utatulia ( Official Video )
3:45
Просмотров 7 млн
Aslay - Hauna (Official Music Video)
3:37
Просмотров 7 млн
DOGO DANCING VIPI KWANI
3:59
Просмотров 1,4 млн
Nandy - Nimekuzoea (Official Video)
2:46
Просмотров 19 млн
Bright feat Nandy - Umebadilika (Official Video)
4:04
ASLAY - ANGEKUONA (OFFICIAL VIDEO)
3:47
Просмотров 17 млн