Ati wataka kumwibia and that is phone company why Steve can't figure out that is service steve is funny. At wewe nae uyo nimumeo your planning to still for me too. Anthen after finishing using the there phone say is bad and come back want to know about he is money🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Steve mweusi ongera sana kwa kazi nzuri.. Ila jaribu kuhusisha watu wa sheria pamoja na taasisi husika kwanza kabla ya kutumia jina la taasisi ktk kuigiza. Mfano hapo umetumia jina la kampuni ya TIGO kwa lengo zuri tu la kuburudisha ila sasa sio sahihi kusema "Nishajua mnataka kuniibia" Yaani ukiituhumu kampuni ya tigo ni wezi. Lengo lako ni nzuri kuburudisha ila sasa tambua kila mtu ana uelewa wake ktk kuangalia michezo yenu.. TIGO wanaweza kukushtaki kwa kuwaita wezi na ukapigwa faini ya pesa nyingi sana... Pia sio vizuri sana kutumia jina la kampuni moja kwa moja labda kuwe na makubaliano ambayo ushayafanya na iyo kampuni la sivyo usitumie utakuwa unawatangazia biashara bila wewe kujua na utakosa pesa za matangazo hivi hivi... Nawapenda nawafuatilia sana..
Dakika Ya 16:12 Customer Care Kazingua..Kasema Mida ya saa Nne na Nusu Mchana..Hv Kweli Yupo Serious na Kazi yake..Ila Big Up Kwa Crew Nzima Maana Mnajua Nini Mnafanya Nawakubali Thanaaaaaa
Haki ya nani brother stive na dogo na huyo Sister mnajua lazima ifike wakati tuseme ukweli nimewafuatilia kwa muda mref leo nimeona ni comment kabisa Mungu afkishe ata subscription nyingi mpate pesa zaidii all the way from Moshi Tanzania
Hahaha yaani huyu Steve amesumbua watu mpaka wameenda kununua vocha ili wakusaidie una matatizo yako kumbe unataka kumsalimia baba Mdogo wako tu🤔duuu 🤗🤗