Тёмный

DOKTA MO ADAI BHAKERSA NI MWANACHAMAWA SIMBA,ISHUYA FEI KWISHA ATAMBA SIMBA MPYAUSILETE TIMU,TULIENI 

Kaje Tv
Подписаться 20 тыс.
Просмотров 12 тыс.
50% 1

#ahmedally #yanga #alikamwe #yanganasimba #kariakooderby #youngafricans #simbasc #hajimanara #simba #azamfc #azamtv #azam

Опубликовано:

 

3 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 59   
@MashakaSabato
@MashakaSabato 3 месяца назад
Kweli umenikumbusha Yanga walikuwa wanafurahi kuja kwa chama ama walikuwa wanafurahi kifo cha yusuphu manji ebu mnisaidie hapo ndugu mtangazaji
@JohnKavula-xw7xl
@JohnKavula-xw7xl 3 месяца назад
You make me laugh 🤣😂😂😂😂😂😁😁😁😁
@badmeetsevil7643
@badmeetsevil7643 3 месяца назад
Kweli wamekosea sna sio poa dah manji
@ramadhanichaurembokahunge
@ramadhanichaurembokahunge 3 месяца назад
Kweli doct mo umesema kweli
@rexgodwill7353
@rexgodwill7353 3 месяца назад
Yaani yanga wamenishangaza... Kweli mmnyonge mnyongeni haki yake mpeni... Msiba wa manji yanga uliwahusu mnooo... Ama kweli tenda wema nenda zako usingoje shukrani.. Mungu atujaalie mwisho mwema 🙏
@godlistengodlisten7552
@godlistengodlisten7552 3 месяца назад
YAANI KATIKA WATU WA HOVYO KWENYE TATHINIA YA MICHEZO NI HUYU DR, HUWEZI KUIPANGIA YANGA CHA KUFANYA WEWE MJINGA.
@bianahemedi
@bianahemedi 3 месяца назад
Sawa Dr mo umesema sana chama ye nani Kwa Simba uliondoka wengi zaidi ya chama na simba bado ipo
@ramadhanichaurembokahunge
@ramadhanichaurembokahunge 3 месяца назад
yanga umeuzi kweli paka msiba mmesusa
@saidsalum6101
@saidsalum6101 3 месяца назад
Kweli unacho ongea wanao kupinga hawamjui manji vizuli niwatoto wamwaka 2000 hawajui umuhimu wa manji katika michezo
@Dastanikasanda
@Dastanikasanda 3 месяца назад
Ajaabu. Hata marehem wanamsusia khaa. Sio watu hawa 😂😂😂😂😂😂😂
@ramadhanichaurembokahunge
@ramadhanichaurembokahunge 3 месяца назад
Sakosi ya wazee yanga
@drallan6879
@drallan6879 3 месяца назад
Madeni yanga yanawasumbu wapate wapi kumkubuka manji?
@peterpain5594
@peterpain5594 3 месяца назад
Tatizo halipo kwa hawa makolo tatizo lipo kwa hizi chanel zakisenge kwenda kuwahoji madunduka
@Japhethmwakasege-j4k
@Japhethmwakasege-j4k 3 месяца назад
acha kututoa kwenye leri
@innocentnyiliwa1907
@innocentnyiliwa1907 3 месяца назад
Zedz and njoromen, feytoso sio kwa michapio hii😂😂
@abubakarishariff8489
@abubakarishariff8489 3 месяца назад
Apo yanga wamechamka japo uyu Simba lakin uo ndio ukweli bila manji yanga isingekuwa apa ilipo
@SimonPaschal-g9s
@SimonPaschal-g9s 2 месяца назад
Hili ni tahira unabadilishaje awe hai ukipiga hema ndo sifa hakuna sifa ya msiba wew jielewe
@peterpain5594
@peterpain5594 3 месяца назад
Yani kocha anaweza akawa huyu kweli sema ww shabiki simba aka dunduka tupo apa. Hao wachezaji mnao wasifia mnakumbuka kina jobe babakar saa mliwasifia ivyo ivyo sasa hawamu hii mtakufa na presha
@lydiathomas2905
@lydiathomas2905 3 месяца назад
walikuwa wanamfurahia Chama😂😂😂
@omarymwenebatu
@omarymwenebatu 3 месяца назад
Bila kumsahau KRAMO
@AmeMahmoud
@AmeMahmoud 3 месяца назад
Wewe mbona mpumbavu sana
@amanifadhi
@amanifadhi 3 месяца назад
Hawayanga niwatu wajabu sana
@saidalhinai1131
@saidalhinai1131 3 месяца назад
Chama alikua anawagawa wachezaji pamoja na coacher
@ELIACHOMOLA
@ELIACHOMOLA 3 месяца назад
Kweri manji wameshindwa
@daudichoghoghwe5035
@daudichoghoghwe5035 3 месяца назад
Supu za vibudu
@RASHIDIKAWINA
@RASHIDIKAWINA 3 месяца назад
Walichokuwa wanakisema kibovu kwao shangwe hawana hakili hawajitambuwi
@BashiluOmary
@BashiluOmary 3 месяца назад
Kati ya pakome na clamo nani alikua mvp wa kule
@hassanabdala7383
@hassanabdala7383 3 месяца назад
Uto ni kunguru wa mizoga Dampo la Simba
@graceabdalla
@graceabdalla 3 месяца назад
Kweli.hao.yanga.ni.nyanya.chungu 😮😮😮😮
@Virimogolo
@Virimogolo 3 месяца назад
Hiyo nikweli bro
@SmilingDolphin-xg2kd
@SmilingDolphin-xg2kd 3 месяца назад
Anasema kweli
@hamisikapute598
@hamisikapute598 3 месяца назад
Hivi nyie Wachambuzi hamna Cha kuongea au kiwewe Cha Chama. Ndio maana umefukuzwa na Mangungu
@amanimbawala8889
@amanimbawala8889 3 месяца назад
Nyinyi midia tafuten watu wa kuwaoji puplichupli
@Happypeter-r9q
@Happypeter-r9q 3 месяца назад
Kwe
@gustaphshehumu2458
@gustaphshehumu2458 3 месяца назад
Tulia wew chula dawaingie
@JulianaMunubi
@JulianaMunubi 3 месяца назад
Pambana na Simba yako bro yanga bado snààa itawakera tuuiu
@NoahSimchimba
@NoahSimchimba 3 месяца назад
Kumkera nani nawewe makosa utu na timu yenu
@jaribunimangoma4322
@jaribunimangoma4322 3 месяца назад
Inakukela?😂
@kihilenahimana8821
@kihilenahimana8821 3 месяца назад
Huyu jamaa kachanganyikiwa.
@saidsalum6101
@saidsalum6101 3 месяца назад
Wewe ndiyo umechanganyikiwa au haumjui manji wewe nimtoto wa mwaka 2000
@Shemahonge-ku7xx
@Shemahonge-ku7xx 3 месяца назад
Nanini kweri mmekosa ubinaadamu
@omanbarka1588
@omanbarka1588 3 месяца назад
Yanga wamechanganyikiwa na chama Kwa sababu washamba boss wao manji kafa wamemuachia atupwe tu marekani huko wao wako na chama manyau kwale hawa
@yunusimchala6569
@yunusimchala6569 3 месяца назад
Dogo jiiangalie usitukane watu ongelea mpira utapotea unapowatukana yanga kuna watu wakubwa utapotea msenge kelele nyingi haujui chochote kuma ww watu wanakuangalia watakupoteza ongelea timu yako
@JuliusMollel-jz4xl
@JuliusMollel-jz4xl 3 месяца назад
Mpoteze sasa nyie nani huwa anawapotezaga na unavyotukana kama kichaa
@MACHOYATAI-jk6fu
@MACHOYATAI-jk6fu 3 месяца назад
Mbona unatukana na wewe timu yenu inalawama sana halafu matusi ndio mmeweka mbele hamuendi mbinguni nyie timu imejaa lawama kubebwa kadi nyekundu za uongo zinafutwa
@CornenciaFaustine-pd2rc
@CornenciaFaustine-pd2rc 3 месяца назад
Eeeeh hivi na nyie mmeanza kujipambanua kuwa clubuni kwenu kuna watu wakubwa wa kuweza kupoteza. watu. Jamani tusifike huko kuweni na lugha za kimpira acheni kutisha watu
@AdamRashidi-n9g
@AdamRashidi-n9g 3 месяца назад
Weee fara tuu jamaa anaongea kweli hakuna wakupotea hatupo ktk ukomonist tuko ktk demorsia
@AdamRashidi-n9g
@AdamRashidi-n9g 3 месяца назад
Weee fara tuu jamaa anaongea kweli hakuna wakupotea hatupo ktk ukomonist tuko ktk demorsia
@kihilenahimana8821
@kihilenahimana8821 3 месяца назад
Sijawezaga kumuelewa,anaubiri tuu.
@omanbarka1588
@omanbarka1588 3 месяца назад
Na hutoelewa kama hukumuelewa boss wako manji utamueleea mo kwenda zako na ushamba wenu huko jangwani
@januarysungura8119
@januarysungura8119 3 месяца назад
Sijawahi kuona timu ya washamba kama yanga duniani kote mambo yao ni ya shamashamba hivi
@kihilenahimana8821
@kihilenahimana8821 3 месяца назад
Pambana na hali yako na Simba yako kwanza,huyu jamaa anaubiri au ?
@azizaj776
@azizaj776 3 месяца назад
Kasema UKWELI
@Shemahonge-ku7xx
@Shemahonge-ku7xx 3 месяца назад
Mmekosa utukweri mbona mnajifanya hamumjui kengenyie
@januarysungura8119
@januarysungura8119 3 месяца назад
Kwani nyie hamjawahi kuona hata kama nyumbani kwenu mlipanga sherehe alafu ghafla anakufa ndugu wa karibu ,huwa lazima muanze na msiba kisha sherehe baadae sasa ninyi watu wa aina gani?
@kihilenahimana8821
@kihilenahimana8821 3 месяца назад
HAJUI UCHAMBUZI ,KAZI NI USHABIKI NA UCOMMIDIAN.
@SurprisedFullMoon-gg9vu
@SurprisedFullMoon-gg9vu 3 месяца назад
Wew ndo unajua??
@adsonadrian6472
@adsonadrian6472 3 месяца назад
Chambua wewe kama yeye hajui
Далее
Living life on the edge 😳 #wrc
00:17
Просмотров 2,8 млн
Учёные из Тринидад и Тобаго
00:23
ALICHOSEMA AHMED ALI MSEMAJI WA SIMBA SC
11:19
Просмотров 2,4 тыс.