Safi hii kitu iliwahi kuntokea npo na mazoea na dada 1 hivi kumb kana mwana anampenda anashindwa kumwmbia akinikuta nae jamaa anakasilika mwisho wa siku jamaa akanifata Oya achana na mtu wangu duh
Domo zege na ndoa zimepishana siku Moja kutoka kwenye youtube ila huyu dada hakubadilisha Dera lake vi cram mbona unajishusha na wewe ndio star mkubwa bongo Kwa comedy