Тёмный

HUYU NI NANi ? 

SHADOW TV
Подписаться 83 тыс.
Просмотров 448 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 158   
@alsondasilva
@alsondasilva Год назад
Humm!!!!!!! djameni clam umenitchanganya mimi na ishi Congo, na ni mwenyedji wa Congo lafu nime ona move zako zimenifurahisha mnooooo!!!! Zime nipa ata kiwu kya kudja uko Tanzanie!
@abdulgeorge5968
@abdulgeorge5968 Год назад
Hahaha leo nmkuwa wa nne naomba like zenu 👏🏻😊
@lilianalmas5911
@lilianalmas5911 Год назад
🤣🤣🤣🤣🤣 Nakubali Sana shadow na Clam. Kweli Huyu nani😂😂😂😂🙌🏼
@sophsoph4740
@sophsoph4740 Год назад
Hiv nikiwaona pamoja naskia raha ..Shadow na clam ❤❤mdumu daimaa
@ElizabethMbwambo-dh8nv
@ElizabethMbwambo-dh8nv Год назад
🤙🤙
@bashirumkopi2638
@bashirumkopi2638 Год назад
Nmewahi lakini bdo nmechelewa 😆😆😆 watu awazimi data
@laoessau8603
@laoessau8603 Год назад
🔥🔥🔥
@swalehesaad1143
@swalehesaad1143 Год назад
Nakubali clam naona kimya kimya umemuonyesha brother wako shadow kuwa wewe ni mwamba kuliko yeye🤣🤣🤣
@renatuscharles2018
@renatuscharles2018 Год назад
Best group of the year clam and shadow
@baycerblue5678
@baycerblue5678 Год назад
Yow Iko fresh endeleza episode big up from 🇰🇪
@Kaboratv177
@Kaboratv177 Год назад
Nawakubaliiii mkiwa ivooo ivooo ila mzee kicheche awepooo asee mbwaaa mimi
@pendosamwel9289
@pendosamwel9289 Год назад
😂😂😂namkbal Sana mbwa gogo
@ramadhanichuka3583
@ramadhanichuka3583 Год назад
Babu vevo rud kwa Malaya ndoige
@hawaomary3312
@hawaomary3312 Год назад
Wakwanza leo Jamani! Like hata 10 tu
@Joelmollel-d4f
@Joelmollel-d4f Год назад
Mko xw vjn😮
@muhammadkhalid2542
@muhammadkhalid2542 Год назад
🎉🎉
@neemamkemae2580
@neemamkemae2580 Год назад
Nawapenda mkiwa pamoja,
@aysha9932
@aysha9932 Год назад
Asanten kwa kunkubalia ombi lngu Hua nafurai sna nkiwaona wawli🙏🙏
@mwasimwajambo4686
@mwasimwajambo4686 Год назад
Congratulations shadow and ur ground may God bless them
@abdishivo6764
@abdishivo6764 Год назад
Safi sana wapuuzi nyie sema mwisho mmemaliza vibaya bhana mbwa nyie walau mngeendelea kidooogo bro wake tumuone anavyo shangaa ila mpo gudi sana
@mughishajohn3287
@mughishajohn3287 Год назад
Much love from kenya 💪💪🙏
@charlesmolenje6225
@charlesmolenje6225 Год назад
Please follow me video
@Fresko.onaicimoD_music
@Fresko.onaicimoD_music Год назад
Please please SHANDOW part 2 ipo wapi?
@Samson-fk2no
@Samson-fk2no Год назад
Nataka nami kuigiza najua kinomaaa yaaani,🤸🤸🤸🤸
@mamymdogomamy3670
@mamymdogomamy3670 Год назад
Shadow wafundisha teja kuvuta bangi🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@amissiboe9061
@amissiboe9061 Год назад
Nakubali sana kutoka Canada ❤️
@bernadolaugostino7590
@bernadolaugostino7590 Год назад
Nakubal kutok tz
@stephanmallya2886
@stephanmallya2886 Год назад
Mi nakubali kutoka Afghanistan 🤣
@chamberajr-hl5ug
@chamberajr-hl5ug 11 месяцев назад
Mi nakubali from lebanon
@Chady_Kizzo_Boy
@Chady_Kizzo_Boy Год назад
wew umetisha shado
@Mushalotelevisionkiswahili
@Mushalotelevisionkiswahili Год назад
From Lubumbashi Congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩 like zangu
@hosseamkwandah7178
@hosseamkwandah7178 Год назад
Mpo vizurii
@tjzackn1504
@tjzackn1504 Год назад
They should be part 2
@alimanana7564
@alimanana7564 Год назад
Huyu nani hhh
@patricktegea1430
@patricktegea1430 Год назад
🤣🤣🤣🤣 clam Leo kakimbiwa
@Creativetime00
@Creativetime00 Год назад
Leta part 2 shadow plz tuongenz moja kama tunavyokupenda san
@kelvinsalamba4483
@kelvinsalamba4483 Год назад
They are so best calm and shadow
@francisbarasa5481
@francisbarasa5481 Год назад
Shandow na clam nawatambua kwa movie zenu
@dinabilemanga1703
@dinabilemanga1703 Год назад
Yani mukikutana na clamu uwamnafanya vizuri sana kbs Yani nachekaga sana atanikiwamwenye najikuta tu nacheka kwasababu ya marahaaaaaa
@irenekhasandi7183
@irenekhasandi7183 Год назад
Watching from Kenya likes zangu please
@hawasandale5936
@hawasandale5936 Год назад
🤣🤣 tuekeeni muendelezo plz
@ElephantBBoy
@ElephantBBoy Год назад
Duh BONGE LA MUVI 🔥🔥🔥🔥
@mussaomar1793
@mussaomar1793 Год назад
Bubu hii mumeuwa sana
@abdulazizabdulrahmaan8412
@abdulazizabdulrahmaan8412 Год назад
Ingeendelea kdgo bhnaaaa😂😂😂😂😂😂
@yusufuheri6524
@yusufuheri6524 Год назад
Asante studio
@578k
@578k Год назад
Noma sanaa🔥🔥🔥🔥❤❤
@mamymdogomamy3670
@mamymdogomamy3670 Год назад
Tupeni muendelezo tafadhali 😂😂😂
@laoessau8603
@laoessau8603 Год назад
Wakwanza leo 24sec likes zangu
@laoessau8603
@laoessau8603 Год назад
Combination moja kali sana wakikutana hawa jamaa #Clamvevo Shado Shadox
@hasanainially8619
@hasanainially8619 Год назад
Clam mbona huchekesh kam unavyochekeshaga
@nassorhaji2637
@nassorhaji2637 Год назад
Leo clam kawa mstaarab kinoma
@swalehesaad1143
@swalehesaad1143 Год назад
Kumbe Hawa Wana hawakugombana🤣🤣🤣
@maryamconstantine2232
@maryamconstantine2232 Год назад
Yaan mm niliwaza wamegombana mpk sik nikamwambia Shadow natamani kuwaona na clam nimehappy sana
@jeremayaClassicPhoto
@jeremayaClassicPhoto Год назад
zilikuwa tu kiki zile
@AloyceEmanueli
@AloyceEmanueli Год назад
Part 2 please tunaitaj mbwa nyinyi
@shadyarif653
@shadyarif653 Год назад
Part 2 please 😂
@noru9028
@noru9028 Год назад
Part 2 plz
@KadimaBenjamin
@KadimaBenjamin Год назад
Kudadadeki
@affanabdullahkhamis6330
@affanabdullahkhamis6330 Год назад
Muendelezo hii itakuwa poa sana
@vicentmlumba591
@vicentmlumba591 Год назад
Iviii nyie mnao ombaga like mnatakaga za nn au Kuna mchongo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@bindawood978
@bindawood978 Год назад
Like zinaondowa msongo wa mawazo (stress) nimetoboa siri @ Vincent Mlumba usimwambie mtu.
@meyeomar7821
@meyeomar7821 Год назад
Hahaha
@ziddyziddy2524
@ziddyziddy2524 Год назад
@@bindawood978 😅😅
@safinamsuva9972
@safinamsuva9972 Год назад
Hata wanaotoa like ni wajinga
@Tarzan_cat
@Tarzan_cat Год назад
Kidari mwamba😂
@angelinajohn2639
@angelinajohn2639 Год назад
Nilimisi Clam jamani 🥰🥰💝💝
@charlesmolenje6225
@charlesmolenje6225 Год назад
Mambo
@omarbosiomar8608
@omarbosiomar8608 Год назад
Much love legends
@asantechota8974
@asantechota8974 Год назад
Ñimecheka kindezi sanaaaaa nice battle clam ana kaujinga flan hvi 🤣🤣🤣🤣🤣
@nassybingo4364
@nassybingo4364 Год назад
Shadow big up unajua san
@sashamhina4123
@sashamhina4123 Год назад
Mambo ya kisenge hayo move imeishaje mbn wabongo vichwa maji weka mwendelezo usenge huo
@sumaiyamustafairareze357
@sumaiyamustafairareze357 Год назад
Anaye mkubali kramu tujuwane
@bullettruck5058
@bullettruck5058 Год назад
Tunatak muendelezo hatujaon alivowapiga hahah
@danielhaule155
@danielhaule155 Год назад
Part2 mzee shadow ilete
@omarkipotwile9052
@omarkipotwile9052 Год назад
Kwani si inaendelea hii wadau?
@zuwenampawevimana7087
@zuwenampawevimana7087 Год назад
shado umetisha😂😂
@issaskighanga3199
@issaskighanga3199 Год назад
😀😀😀😀😀 nawakubali wanangu Clam & shadow 🤞
@Queenjay93
@Queenjay93 Год назад
Weeh shadow kama unawezafanya continuation ya hii bana...na mtungawie subscribers
@aminahusseinafrica
@aminahusseinafrica Год назад
Nawakubar sana
@braxtonmanazi
@braxtonmanazi Год назад
Wapi likes ya watu wanangojea part , 2
@angelrichard899
@angelrichard899 Год назад
Nimekuwa Mt wa 8
@Rajab-Raj
@Rajab-Raj Год назад
😂😂😂😂nangojea part 2
@felistersmejumaa
@felistersmejumaa Год назад
Part 2 jamani
@chadracknshimirimana4761
@chadracknshimirimana4761 Год назад
Eti katupiga mpaka tumemsahau suraa 😂
@messaabbas739
@messaabbas739 Год назад
❤️❤️❤️❤️❤️
@gabrielndungu9122
@gabrielndungu9122 Год назад
Leo clam kakataa demu kama umeona gonga like
@mtaalamutv6928
@mtaalamutv6928 Год назад
Umeimaliza kishambaa,
@harrisonhamisi9971
@harrisonhamisi9971 Год назад
NI CLAM 🔥🔥🇰🇪🇰🇪
@careenkibona6893
@careenkibona6893 Год назад
Clam and shadow bravoo
@othmantv2654
@othmantv2654 Год назад
Dah iltakiwa iwe kijimovie ht cha dakk 45....😰😰
@gloryqueen6296
@gloryqueen6296 Год назад
Mwendelezo plz
@kefinifrancis4776
@kefinifrancis4776 Год назад
Huna baya Kaka shadow ww wamoto 🔥🔥🔥
@homesmartrecords3512
@homesmartrecords3512 Год назад
Nakubali
@578k
@578k Год назад
Endelesha video hio jama imeisha gafla vp
@bhuzahope2746
@bhuzahope2746 Год назад
Shadow akiwa na clam ndo unyama sana
@bosmony
@bosmony Год назад
Like zangu hata 10
@hassanbaoma8798
@hassanbaoma8798 Год назад
Fire
@robertdominiko2667
@robertdominiko2667 Год назад
Mngekuwa mnamaliza kisa
@qaltumsaid3095
@qaltumsaid3095 Год назад
Wale wa kusoma comment tujuane kwa like😍😘
@salmaabdallah8301
@salmaabdallah8301 Год назад
vizuri sana
@George-qk8fw
@George-qk8fw Год назад
Hapa leowanangu mmeua kinoma
@indiansonglomanticlove8493
@indiansonglomanticlove8493 Год назад
🔥🔥🔥🔥
@stellahakmar
@stellahakmar Год назад
Nnajua jmn
@davidteonest6291
@davidteonest6291 Год назад
👍👍👍
@ZainabuAbdallah-ck8xv
@ZainabuAbdallah-ck8xv Год назад
Nice one
@dannymoses1882
@dannymoses1882 Год назад
Waliotaman iendelee like apa
@juzelujo2169
@juzelujo2169 Год назад
Nahitaji part two 🤣🤣🤣
@dancanomari6157
@dancanomari6157 Год назад
😂😂😂clam.leo umeniua, 😂
@modriface
@modriface Год назад
Shadow hii ipe muendelezo
@farajfarjalla1597
@farajfarjalla1597 Год назад
mition town..
@alsondasilva
@alsondasilva Год назад
And i beg part five ya zinduna please !!!
@geoffreykayombo6524
@geoffreykayombo6524 Год назад
Shadow mmezingua yaan mmekata video kwenye utam
@fibolychifunda6639
@fibolychifunda6639 Год назад
vitu vikali ila maranyingi naona mwishoni kuna vipande vya sekunde kadhaa vinaachwa
@frankanania7810
@frankanania7810 Год назад
zinduna habadilishi nguo
@aishalovesidibeaisha9156
@aishalovesidibeaisha9156 Год назад
🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰
@christopherthuranera9646
@christopherthuranera9646 Год назад
Kuna Pt two
@Stream-h3l
@Stream-h3l Год назад
wasijo kiz
@isaacjohnson2076
@isaacjohnson2076 Год назад
Aaah nmeona af tatuu😅
@Galinzaog
@Galinzaog Год назад
Muendelezo
Далее
NDARO KAMCHOMEA STEVE TENA AYAAA
12:27
Просмотров 323 тыс.
MAGIC RING | FULL MOVIE |
1:13:45
Просмотров 671 тыс.
PENZI LA MLINZI
10:59
Просмотров 373 тыс.
Tausi episode 2
30:51
Просмотров 464
UTACHEKA NDARO NA STEVE WALIVO VAMIA MNADA BILA HELA
8:50
CHINI YA KABURI (MWISHO)
9:39
Просмотров 12 тыс.
MADEMU WATANIUA
10:30
Просмотров 171 тыс.
Baahubali Kalakeya War Scene.
27:36
Просмотров 63 млн
NDOA YA KICHAA NAENDA NYUMBANI
6:40
Просмотров 1,6 млн
WHO AM I? [FULL MOVIE]#clamvevo #kiparabrand
3:23:53
Просмотров 55 тыс.