Leo Tunaruka na DOMO ZEGE Steve mweusi. Aujuwi kutongoza et. Bro. Kwa wale wanao penda COMEDY NZURI KUTOKA KWA STEVEN MWEUSI AND NDARO MJESHI KIKOFIA BASI GONGA LIKE HAPA TWENDE MBELE DAIMA NYUMA MWIKO. Leo sijachelewa kabisa kwaiyo nyinyi wote pitiyeni hapa kwangu. team DOMO ZEGE 😅😅😅😅❤❤❤❤❤
Kama Bado tunapumuwa, tusikose collabo ya Afande ndaro na Stivo mcizi. Hhhhhhhhhhhhh ila tuanawapenda sana ni Alexis from Rwanda wallah mtalipa ribs za watu