Тёмный

DOSA AYATIMBA KWA LAURANCE | MEJA ABURUZWA NA MANENO KUHAMA SIMBA"MWANAUME ANAKAZA" 

wispoti tv
Подписаться 43 тыс.
Просмотров 10 тыс.
50% 1

JE UNAHITAJI KUTANGAZA BIASHARA NA WISPOTI TV.
KARIBU TUKUHUDUMIE KWA GHARAMA NAFUU, WASILIANA NASI KWA SIMU NAMBA 0743040370 AU TUCHEKI KUPITIA WHATSAPP NAMBA 0758099136.

Опубликовано:

 

12 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 42   
@DanielChaula
@DanielChaula 18 дней назад
Inachekesha sana 😂😂😂
@furahamoja6582
@furahamoja6582 18 дней назад
Jamni msitukane bas huku jiheshimu tunasoma comment
@jackisonngosha5533
@jackisonngosha5533 18 дней назад
Simba amna kitu kabisa kwa sailimia 100
@user-sz5os6xp5x
@user-sz5os6xp5x 18 дней назад
Salimia inaingiaje hapo?
@GodfreyJames-zt6ig
@GodfreyJames-zt6ig 16 дней назад
Wwe fanya kazi maisha ya sikuhzi ayaitaji ujanja ujanja njaa itakuuwa tunakujuwa mpka unapoish unakazi
@sakinasakina1286
@sakinasakina1286 18 дней назад
meja huyo ni mjinga sana mwanaume hujieleqi wew katafute bwana wew
@ChristopherMisungwi
@ChristopherMisungwi 18 дней назад
Hako kajamaaa hakana hakili Wendy nikatapel Katie maaana mwenyehakil haongei maneno yashombo kama hayo
@OmbenSunja
@OmbenSunja 18 дней назад
Msenge huyu jamaa 😂
@salummkicha6636
@salummkicha6636 18 дней назад
Hii yaan dosa ni chawa kweli kweli juzi tyuu alikuw anasema chama ni mzee hana speed Leo chama wamaana
@muhamedjaffar5653
@muhamedjaffar5653 16 дней назад
Ndo akili zao utoporo.ukishindana nao unapoteza muda .mbumbumbu club
@SaidChande-g4e
@SaidChande-g4e 18 дней назад
Mwanamume huongea machache @ major
@gilbertmaganga9370
@gilbertmaganga9370 18 дней назад
Washabiki Yanga wanasiasa tu
@salymgaimale235
@salymgaimale235 18 дней назад
Jamaa mbona anaonekana kama mzee
@DenisSanga-bj5ud
@DenisSanga-bj5ud 17 дней назад
Simba ni timu ya watu wachache wengine mnajipendekeza ndio maana wenye Simba yao wamefungia kadi msimlaumu Meja kuhama
@user-sz5os6xp5x
@user-sz5os6xp5x 18 дней назад
Hivi huyu alikuwa simba nauliza wale waliosoma nae je aliwahi kufaulu hata somo Moja achilia kupata A walau kuandikiwa pass make mi sijawahi kumuelewa ni Kama Kuna mda dishi halisomi
@Emanueli-vz6fd
@Emanueli-vz6fd 18 дней назад
🎉🎉🎉🎉
@salymgaimale235
@salymgaimale235 18 дней назад
Mwongo huyo
@SylivesterKilunga
@SylivesterKilunga 18 дней назад
Hunajipya
@mgoamkiza1117
@mgoamkiza1117 18 дней назад
Toka umeanza kuvaa nguo za GSM na heris bas ushajiona unaujua mpira😂😂 kwel ww ni bwege
@Sanjey-vp1fm
@Sanjey-vp1fm 18 дней назад
Huyu dosa akili hana daraja A yanga kapewa na chombo gani? Timu zilizokuwa daraja A zimetajwa na wenye mpira wao simba ikiwa ya saba kati ya hizo.
@abubakarbajun3503
@abubakarbajun3503 18 дней назад
Huyo dissappear sijui ni ranging mwasi au kabila gani maana sijaona jina kama hilo yani levo ipiii anaongea Tim top teni haipo unasema subway upiii kijana
@faustinemsanguli1055
@faustinemsanguli1055 18 дней назад
Mnahoji hata vichaa
@mgoamkiza1117
@mgoamkiza1117 18 дней назад
Huyo dosa ni choko anafata upepotu mwambie n asijekuwa km Kabwili
@kassidpandu866
@kassidpandu866 18 дней назад
sss kacheza na Timu mbovu hivyo leo unamsifia mbona Timu kubwa huwa haonekani,?
@frankmlalila1705
@frankmlalila1705 18 дней назад
Leo chama mzur?alivyokuwa simba alikuwa mbaya kumamako ww
@user-zb2mj5nd5g
@user-zb2mj5nd5g 18 дней назад
Sasa hapo tusi linaingiaje udhaifu huo broo unaonesha
@ramsonmadodi8095
@ramsonmadodi8095 18 дней назад
😂😂
@salemarahbi9171
@salemarahbi9171 18 дней назад
Kama umezaliwa na mwanamke alafu unatukana hilio tusi basi utakuwa unatumia ndaga au kichwani hazimo
@huseinbusaba5064
@huseinbusaba5064 18 дней назад
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@SHARIFFDOSSI-tw6zf
@SHARIFFDOSSI-tw6zf 18 дней назад
Nimefurai saaana ulivyonitukana kk😂😂😂😂😂
@MuhsinJuma-wo2bg
@MuhsinJuma-wo2bg 18 дней назад
Haya majitu ya yanga niya kua kabisa
@Emanueli-vz6fd
@Emanueli-vz6fd 18 дней назад
Tuanze na uko wako mbuzi ww
@salymgaimale235
@salymgaimale235 18 дней назад
Katimu Gani hako ,jibu swali dosa
@MajidJuma-pg6ug
@MajidJuma-pg6ug 18 дней назад
Ww mwehu kweli ikiwa yanga hawamo ktk 10 bora barani afrika ni daraja la pili haya simba wa 7 barani afrika je? Daraja lao ni lipi?
@gerphasntaziha4475
@gerphasntaziha4475 18 дней назад
Swali gani umeuliza wewe? Umeandika ukasahau hata swali.
@bone102
@bone102 18 дней назад
​@@gerphasntaziha4475ukiwa Yanga huwezi kuelewa sasa hujaliona swali hapo umeulizwa Simba ambaye yupo top 7 yupo daraja la Ngap kama Yanga ni daraja la pili?
@SHARIFFDOSSI-tw6zf
@SHARIFFDOSSI-tw6zf 16 дней назад
​@@gerphasntaziha4475simba hayupo kwenye mashindano ya ligi ya mabingwa kk😅😅
@adamlubawa1281
@adamlubawa1281 18 дней назад
SIMBA HAINA SLOGAN YA NGUVU MOJA WAAMBIE WAONYESHE KWENYE LOGO YAKE KAMA IPO SIMBA NGUVU MOJA
@bone102
@bone102 18 дней назад
Yanga kwenye nembo kuna.mcheza boxer naomba tutajie mcheza boxer hata mmoja anayetumia nembo ya Yanga
@huseinbusaba5064
@huseinbusaba5064 18 дней назад
​@@bone102😂😂😂😂😂😂😂😂waambie hao
@adamlubawa1281
@adamlubawa1281 17 дней назад
@@bone102 unamjua mandonga mtu kazi ni BONDIA WA YANGA ALAFU TUNAONGELEA NENO SLOGAN HATUSEMI PICHAYA KWENYE NEMBO SIMBA INA PICHA YA KICHWA CHA SIMBA UNAWEZA KUNIONYESHA HICHO KICHWA CHA SIMBA LIVE KWA TAARIFA YAKO ZAMANI KWENYE LOGO YA SIMBA KULIKUWA NA NENO SIMBA NGUVU MOJA SASA HIVI LIPO WAPI? HIYO NDIYO AGENDA
@DeodatuslivingKessy
@DeodatuslivingKessy 18 дней назад
yupo mess wewe mshamba
Далее
TAZAMA BASHE, MPINA WALIVYOKUTANA USO KWA USO
10:18
Просмотров 4,9 тыс.
a hornet bit me on the nose 👃😂
00:16
Просмотров 2,6 млн
Почему не Попал?!
00:15
Просмотров 48 тыс.
А ВЫ ЛЮБИТЕ ШКОЛУ?? #shorts
00:20
Просмотров 2,8 млн
a hornet bit me on the nose 👃😂
00:16
Просмотров 2,6 млн